Chombezo fupi: Kitamu Kinaliwa na Wengi Sehemu: 02 Ilipoishia jana... Baada ya kusema vile yule binti mrembo alianza kulia huku akikaa kitandani bila kuokota mtandio wake. Kauli ile ilinifanya nijione mjinga kwa kurupuka kutukana bila kujua nimefikaje pale. Songa nayo sasa... Nilikuta nikimuonea hutuma na kujisogeza pembeni yake na kuanza kumbembeleza kwa sauti ya upole. "Samahani mrembo, nimekosea unajua nimechanganyikiwa mwenzio." "Najua umechanganyikiwa na ndiyo maana sikutaka kukuacha peke yako najua watu wangekufanya vibaya." "Ni kweli kabisa nashukuru narudia naomba unisamehe sana," niliyasema yale nikiwa napiga magoti mbele yake. "Najua lazima uchanganyikiwe kusalitiwa kunauma tena kwa mtu wako wa karibu." Mmh! kauli ile ilinishtua na kunifanya niwe mpole na kujiuliza ni nani aliye mueleza siri yangu. "Mrembo umejuaje yote hayo?" "Jana baada ya kukuta peke yako nilishangazwa na unywaji wako wa pombe huku akijifonza kila dakika ilionesha kuna kitu kisicho cha kawaida kimekuchanganya, ukinywa pombe kwa fujo nilijitahidi kukuzuia na kukuhoji kulikoni kuwa katika hali ile. “ Ndipo uliponieleza kuwa mpenzi wako ambaye ndiye uliyemchagua kuwa mkeo amekusaliti na rafiki yako wa damu." "Ooh!" nilijikuta nikishika mdomo kwa mshtuko. "Kwa kweli kitendo kile hata mimi kiliniuma na kuchukua nafasi ile kukuliwadha kwa kuchagua hoteli hii kukuweka ili upumzike nami kuchukua nafasi ya kukupoza machungu japo sikupata kile nilichokitalajia kwako nilikula hivyo hivyo japo sikushiba." Kauli ile ilinishtua na kujiuliza ana maana tumefanya ngono, kibaya hata kondomu sikuona nimuuliza. "Ina maana tumefanya ngono" "Kwa kiwango cha chini sana kutokana na wewe kuzidiwa na pombe." "Tumetumia kondomu?" "Mmh! Muda ulikuwa umekwenda sana hatukuweza kupata kondomu." "Mungu wangu nimekwisha," nilijisemea moyoni. "Kwa hiyo mpenzi hunipi cha asubuhi kabla ya kuagana maana nilikuwa sawa kuchambia pilpili bila kupata ukunaji." Ilikuwa sauti ambayo iliufanya mwili wangu usisimke, wakati huo alikuwa ameisha nisogelea karibu yangu na kuitoa shuka wakati huo na mkonga wa tembo ulikuwa juu. Binti kama katiwa fungua alianza kunipa mshike mshike na kujifanya niende wavuni bila mpira. Baada ya mshike mshike tulizama sote huku nikimaliza hasira zangu zote kwa binti yule ambaye alinimwagia sifa zote. Naye alionekana mahili kwenye medani ile kwa kunitoa jasho jepesi lililotufanya sote tutepete. Sikuamini pamoja na umbile lenye ushawishi la mwanaume kufanya mapenzi bila kinga bado muumba alimpendelea nyonga laini. Mwanaume nami kwa wepesi ya gia kila kilivyogusa gari liliozidi kuchanja mbuga. Wepesi wa nyonga yake ulinifanya nitandaze soka safi lililomtia uchizi motto wa wake. “Haki ya nani u..u..najua wanaume wote hawana kitu ni wewe tuuuu haki ya nani la..la..lazima unioee. Unajua…unajuaaa li..li..lingine hilooo,” Maskini motto wa kike alijipindua kama mkizi na kunikumbatia kwa nguvu alikuwa amepasua dafu lililokuwa na maji mengi baada ya kunishika kwa nmguvu aliniachia na kujilaza bila kujielewa. Mwanaume kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanamke mwenye sifa zote pia mwenye uwezo kwa kukata mawimbi bila kuogopa dhoruba. Nilimwangalia mwili wake uliokuwa umetoka kwa jasho chuchu zake zilizojaa kifuani na kukufanya uzitamani kuninyonya kila uzionapo zilikuwa kama embe nyonyo ambazo zilihitaji kunyonywa tu ukitumia kisu ungezionea. Niliangalia tumbo dogo la binti aliyekuwa amejilaza hajitambui, ukiliangalia unaweza kusema akila tunge mbili ameshiba nilitelemsha macho yangu taratibu hadi kwenye kiuno kidogo kilichobeba hipsi na kuingia ndani kidogo kuyaruhusu makalio yabinuke kwa nyumba na kuongeza muonekano usiochosha kuutazama akiwa na nguo akivua msalie mtume. Binti aliyekuwa amelala pembeni yangu alinifanya nisichoke kumtaza, nilitamani kutoa dozi nyingine lakini hali yake ilinifanya nimuache apumzike kwangu alionesha kuchoka sana hata lala yake ilionesha hajitambui. Kwa vile nami nilikuwa nimechoka sana nilijilaza pembeni yake na usingizi mzito ulinichukua. **** *** Je nini kitaendelea? *** LIKE na SHARE mara nyingi uwezavyo ili utagiwe kila inapotoka usiwe unapitwa.

at 5:58 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top