Chombezo fupi: Kitamu Kinaliwa na Wengi Sehemu: 03 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Ilipoishia jana... ...nilitamani kutoa dozi nyingine lakini hali yake ilinifanya nimuache apumzike kwangu alionesha kuchoka sana hata lala yake ilionesha hajitambui. Kwa vile nami nilikuwa nimechoka sana nilijilaza pembeni yake na usingizi mzito ulinichukua. Songa nayo sasa... Wa kwanza kushtuka alikuwa yule mrembo ambaye alikuwa amekaa kitako huku akiachia tabasamu pana baada ya kukutanisha macho. Niliopom,uangal ia sana aliangua kicheko. “Vipi mbona unacheka,” nilimuuliza huku nikitaka kujinyanyua lakini nilihisi bado mwili ulikuwa na uchovu mkali. “Mmh! Siamini kwangu leo itakuwa historia.” “Kwa nini?” “Haijawahi kutokea, siamini na sitaamini kweli kila mzizi una mchimbuaji wake.” “Kwa nini unasema hivyo?” “Sijawahi kuvunja madafu mengi toka nivunje ungo kama leo,” alisema huku akichezea love garden zangu. “Kwa vipi?” “Kwa mara ya kwanza nimejua kwa nini wanawake hujinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake, hivi raha za leo ukininyima tena naweza kufa.” “Raha gani?” “Mmh! Leo umejua kunikamua mtoto wa mwanaume mwenzio, mpenzi japo umenipa raha za ajabu lakini silijui jina lako.” “Naitwa Dafa.” “Ooh! Dafa ni mwanamke wa kwanza kunilaza usingizi wa pono, lazima nilizilinde raha hizi kwa nguvu zote, umeoa?” Kutokana na kumchanganya na machejo ya kugusa sehemu muhimu mrembo ambaye hata mimi nilikuwa sijui jina lake, alisahau kuwa nilimueleza amesalitiwa na mchumba wangu. “Mrembo si nimekueleza nina mchumba.” “Ooh! Mambo uliyonifanyia yamenichanganya sana, nina imani umeamini kuwa mchumba wako si mkweli kwa hiyo naiomba nafasi hiyo.” Kutokana na mambo niliyofanyiwa na uwezo wake mkubwa kitandani ulinifanya nimkubalie bila kutaka kumchunguza historia yake. “Kwa uliyonifanyia ya ndani na nje ya kitanda sina budi kukubaliana nami nimejikuta nikikupenda ghafla kama ugonjwa wa moyo unavyomuua mtu kwa ghafla.” “Asante nakuahidi kukufanyia mambo makubwa kukupoteza ni sawa na kuipoteza pepo ya duniani ambayo hakuna kiumbe anayetaka kuipoteza.” Kwa vile tulilala kwa muda mrefu tulikwenda kuoga kisha tulipata chakula cha nguvu ambacho alilipia mrembo yule ambaye baada alinieleza anaitwa Anna. Baada ya chakula hakuchoka kunitazama kama kaona kiumbe kimpya duniani, muda wote alikuwa ubavuni kwangu na kusema: “Asante sana mpenzi kwa penzi lako tamu, amini kama kuna mwanamke atakuwa tayari kuilipoteza penzi tamu kama hili. Namshangaa mwanamke mwenzangu kugawa raha kama hizi.” “Yaani hata siamini,” nilijibu huku nikimshangaa yule mwanamke iweje ajitoe kwangu mtu asiyenijua. “Mpenzi naomba nikuache niwahi nyumbani.” “Umeolewa?” nilimuuliza kwani sikuamini kwa urembo kwama yule kuwa peke yake japo alitaka niwe naye. “Hapana naishi kwetu.” “Huna rafiki wa kiume?” “Nilikuwa naye lakini si muaminifu niliamua kuachana naye.” “Sawa mpenzi nashukuru kwa yote uliyonifanyia na mapenzi mazito kwangu sijui tutaonana lini na saa ngapi?” “Mmh! Hutoka mara moja kwa wiki lakini kwa penzi tamu ulilonipa leo lazima jioni tukutane kwenye baa tuliyokutana.” ”Hakuna tatizo.” Ajabu nilipotaka kumpa fedha alikataa na kusema yeye alikuwa nazo na kuniongeza kiasi cha fedha kama laki moja. “Hii zitakusaidia mpenzi wangu kwa usafiri ila ukiwa na shida niambie usiogope.” “Hakuna tatizo.” Niliagana na Anna na kurudi zangu nyumbani nikiwa na mtazamo mwingine baada ya kumpata mpenzi mpya aliyekuwa amemuacha mbali mpenzi wangu aliyenisaliti na rafiki yangu. Kuanzia siku ile mimi na Anna tulikutana jioni na kuachana asubuhi. **** ** JE nini kitaendelea? *** LIKE na SHARE mara nyingi uwezavyo ili utagiwe kila inapotoka usiwe unapitwa.

at 5:58 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top