SHANGAZI ANATAKA STORY NA 🅱 SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA TISA :“sasa ulikuwa una maana gani, Jose?, Hen! niambie ulikuwa namaana gani?” hapo Joseph hakuwa najibu “au kwasababu hatujawai kufanya mapenzi?, si’ungepunguza hamu alafu ungenisubiri?” hapo Stella akatulia kidogo, akatoa kitambaa chake na kujifuta machozi, kusha aka mtazama Joseph, “ok! Jose akuna, ubaya wewe nimwanamume, basi mimi naomba uniowe na mimi niwe mke wako wapili” aliongea Stella hakionyesha akuwa na utani, kauli hiyo ilimstua sana Joseph,endelea... “Stella, nitaanzaje, kuoa wake wawili, atadini hairuhusu” aliongea Joseph kwa sauti ya kuhamaki, akionyesha kuto kukubaliana atakidogo na Stellah, isitoshe nitamwelezaje mke wangu" aliogeza Joseph akiongea kwa ukali kidogo, maana aliona Stellah ana leta masihala, “unaniachaje Jose, naomba uniambie wewe, nitaolewa nanani?" aliuliz Stellah kwa sauti iyachini ilio ambatana na kilio cha kwikwi, Jose akabaki kimya huku akitazama pembeni, lakini sula yake bado ameikunja kwa hasira, "nitazame Jose,una haja ya kukasilika, unakumbuka hii?” aliongea Stellah akionyesha kovu kwenye kidole chake cha mwisho, huku sauti yake ikiambatana na kilio cha wazi, kama kilio kilianza upya, Joseph alifanya kazi ya kumtuliza, mpaka Stellah alipotulia kidogo, lakini kilio cha kwikwi kiliendelea, “sikia Stella nimepata wazo, nitaachana nahuyu mwanamke nilie naye, alafu nita ishi nawewe, sababu bado sijafunga naye ndoa” aliongea Joseph akizani Stella ange tulia nakuupenda ushauri wake, maana aliona kabisa kama hasipo tumia akili ya kuzaliwa mjadala utakuwa mrefu bila mwisho, “inamaana bado unafikilia kuendelea kuwa umiza wanawake,” aliuliza Stella, akitakakuanza kuanga kilio kikuu, "sasa mimi nifanye nini, basi Stellah najuwa unaumia sana kwa sababu ya msaada ulionipa, mimi nitajitahidi nikurudishie fedha zako zote" hapo Stellah aliganda kama sanamu flani, akimtazama Joseph, kwa sekunde kazaa, "inamaana urafiki wetu ulikuwa kwa sabab ya fedha?" aliuliza Stellah na Joseph akakosa jibu, "Joseph wewe siyo Jose wangu ninae mfahamu, naimani Jose wangu bado yupo nita mpata,tena toka kwako" aliongea Stellah huku Joseph akiamini nimaneno ambayo hayana maana kwasababu yeye ndie Joseph, na hakuna Joseph mwingine, Stella akaendelea kuongea huku ameshika mkono wake, nakutazama tena lile kovu kwenye kidole chake kidogo cha mwisho, “sikia, Jose mimi na wewe tuliweka kihapo, na tukaunganisha damu zetu, nazani unakumbuka kuwa atujawai kufanya mapenzi atasiku moja," hapo Stellah akatulia kidogo nakuachia tabasamu ambalo lili changanyika na uchungu, akamtazama Joseph usoni, akimkaziamacho, naye Joseph alikuwa akimsikiliza kwa makini sana, maana alianza kuhisi kuna neno zito Stellah anataka kuliongea "husijari Jose, mimi nitasubiri naimani utani patia mume wangu Joseph, siwezi nikaolewa na mtu mwingine, mume wngu yupo kwenye damu yako, damu ambayo tuliichanganya siku ile” aliongea Stellah huku akionyesha kuondoka kwenye hali ya uchungu mwingi na tabasamu lake kuzidi kuwa la matumaini, maneno hayo ya Stellah, Joseph au baba Jayden aliyachukulia kama ya mkosaji, yasiyo na maana yoyote, sabau kile kitendo cha wao kuunganisha damu, kilikuwa cha kitoto, alafu ni kama walikuwa wana jiliwaza tu! kwa kutengana kwao, "huyu chizi nini" aliwaza Joseph, akimtazama Stellah ambae alionyesha kuwa anamaanisha ancho kisema, "ok! sikukazi ukimwona unaye mpenda endelea naye, pia nakuomba kitu kimoja, endela kuwa kama dada yangu mke wangu hasijuwe" alisema Joseph akionyesha msisitizo, wa jisi anavyo msamini mke wake, "husijari kaka Jose, nitamweshimu wifi, na mimi naomba uni tunzie mume wangu nitakuwa nakuja kumwangalia mala kwamala" aliongea Stellah akiwa kawaida kabisa wote wakacheka, lakini moyoni Joseph akashangaa, "hivi kunamachizi wanasomea u doctor?" aliwaza huku wakiinuka nakuanza safari ya kurudi nyumbani kwa Joseph, "tena karibu sana siku yoyote na muda wowote" aliongea Joseph akijuwa kuwa anamzuga Stellah na ndoto zake za alinacha, "nashukuru sana, nitakuja mala kwamala, kumtazama mume wangu" baada ya kuongea aneno hayo, walibadiri maongezi wakaendelea kutembea huku wakiongea maongezi mengine kabisa, na sura ya Stellah ikarudi katika hali ya kawaida kabisa, Stellah alimaliza likizo yake, akiwa nyumbani kwa wazazi wa Joseph, lakini aikupita siku pasipo kwenda nyumbani kwa Joseph, kibeba vitu mbali mbali ikiwepo vyakula nanguo za mtoto, mafuta na vitu mbali mbali ambavyo muhimu kwa mtoto, pia ata vikengele va kumbembelezea mtoto, huku mke wa Joseph akimsifia kila mala, kuwa ni mzuri na mkalimu sana kwao, aliagana na Joseph na mke wake, na kurudi Dar es salaam, akiwa ahidi Joseph na mke wake kuwa, atawasaidia kwa kila kitu, atakachoweza kuwa saidia, pamoja na matunzo ya mtoto wao, Stellah alipo fika nyumbani kwao Dar es salaam, aliwasimulia baba na mama yake yaliyo mkuta, ndipo Dr Lazaro akamsahauri kutafuta mchumba kisha aolewe, lakini Stellah akawaambia "tayari ninae nangoja muda ufike nitawajulisha" japo nao walishangaa kwa ualaka wa mtoto wao kumpata mrithi wa kijana Joseph, lakini wali muunga mkono huku wakiwa hawamjuwi kijana mwenyewe ninani, walimsikitikia sana mtoto wao kwa pigo alilo lipata, Siku zilienda, Stellah akamaliza chuo, na huku akisaidiwa na baba yake, alipata kazi kwenye Hospitali ya muhimbili, licha ya kufanya kaazi kwa juhudi, lakini kila mwaka Stellah (sasa ni Doctor) akijitahidi kuwatembelea wakina Joseph na mkewake na mtoto wao Jayden, japo mala moja, akiwa nazawadi nyingi kwa mtoto Jayden, ambae kila alipo zidi kukuwa alikuwa anazidi kufanna na baba yake, na zawadi nyingine kwa Joseph na mkewake, ambae ni mama Jayden, Stellah na mama Jayden waliishi vizuri, huku mama Jayden akiamini kuwa Stella ni wifi yake, ata Jyden alipoanza kupata ufahamu alimtambua Stellah kama shangazi yake, huku Joseph akisahau kabisa maneno ya Stellah, akiaidi kumpata mume toka kwake, zaidi alizidi kuchukulia kuwa Stellah ni mwanamke alie wai kumpenda sana na kuchanganyikiwa na penzi lake, kiburi hicho kilisababisha Joseph ajaribu kumshawishi, Stellah wafanye ngono, lakini Stellah alimjibu kama utani, "aitawezekana kaka, uoni ahibu kutembea na dada yako" kiukweli uzuri wa Stellah ulizidi mala dufu, siyo Joseph peke yake ata, vijana na wazee wengi walimfwata Stellah, kuna kipidi Dr mwenzie mmoja alimfanyia surprise ya kumchumbia, kwa kumwadalia birth day ya siri na kuitaji kumvesha pete, mbele ya mzee Lazaro na mke wake, lakini jibu lilikuwa fupi, "samahani niye tayari" hakuna alie hamini, maana akuna aliwai kumwona Dr Stellah akiwa na mtu yoyote. Stellah aliongeza juhudi za kufanya kazi huku akifunga duka kubwa la dawa za bina damu, maeneo ya mbezi, akiwa ame nunua maeneo mawili na moja wapo kujenga duka hilo, na kuliita Matumaini duka la dawa, baada ya mwaka moja alianza ujenzi wa nyumba yake huko huko mbezi, akisaidiwa na wazazi wake akamaliza ujenzi nakuhamia kwake, akitoka kwa wazazi, Jayden akiwa na miaka kumi, na moja alisha fikia darasa la nne, ndipo shangazi alipoanza kuonyesha nia ya kumchukua na kwenda kuishi naye Dar es salaam, lakini akuna alijuwa nia ya shangazi, huku wakijuwa niupendo wa zati alionao Stellah juu ya mtoto wao, walikubari, lakini Stella akuweza kumchukuwa Jayden kipindi hicho sababu alipata ufadhiri, wa kuendelea na na ngazi za juu za masomao ya u doctor wa maswala ya uzazi kwa wakina mama, akifadhiriwa na shirika moja la kijamii la huko ujerumani, na masomo hayo alitakiwa akasomee ujerumani, licha yakuwa mbali sana, lakini alijitaidi kila hapatapo likizo yakuja Tanzania, lazima awatembelee wazazi wake kwanza, ambao walisha staafu na sasa walikuwa wana ishi kwenye mjengo wao mikocheni, pia Dr Stelah angeenda songea kuwa salimia wakina Joseph na familia yake, akiwa amebeba zawadi nyingi sana kwa Jayden, akika upendo wake ulikuwa mkubwa sana kwa mtoto huyu, miaka mchache baadae shangazi alikuwa amesha maliza masomo yake nchini ujerumani akarudi Tanzania na kufunguwa hospital yake maeneo ya mbezi kwenye eneo ambalo mwanzo lilikuwepo duka lake la madawa, kipindi chote shangazi au Dr Stella alikuwa akiwakataa wanaume wakila aina waliokuja kwa ahadi za kila namna, kipindi hicho ndicho kipindi ambacho Jayden alikuwa amemaliza darasa la saba, na kuchukuliwa na shangazi, na pasipo kujuwa shangazi alikuwa akimkagua Jayden sehemu za siri, asa ikitokea nakipindi Jayden akiumwa, alipenda kumtibu mwenyewe, hapo angemvua nguo nakumkagua vyema dudu na maumbile yake kwa ujumla, akijilizisha na ukuwaji wa viungo na mwili wa mume wake mtarajiwa, akisubiri amalize kidato cha sita nipo waanze kushiriki tendo la ndowa, kwani aliamini ata umri wake utakuwa unafahaa, hayo yote akidai ni kihapo alichowekeana na baba yake, na kuhamishia kwa mtoto baada ya baba kushindwa na kusaliti, *** “wifi hivyo ndivyo ilivyo kuwa, siku taka kuvunja ndoa yako, kwasababu wewe hukujuwa kitu, na ahukuwa na kosa, sikutaka kutembea na Jayden akiwa mtoto, nilisubiri amalize shule, aavuke miaka kumi na nane, nasasa nikijana mkubwa tu!, mimi siyo shangazi yake mimi ni mke wake” alimaliza shangazi Stellah, Jayden na mama yake waki shangaa, kwa jinsi story ilivyokuwa tamu, “inamaana wewe siyo dada wa baba Jayden?” aliuliza mama Jayden akiwaangalia kwazamu, Dr Stella na baba Jayden “nazani nimesha kuambia kila kitu” alijibu Dr Stella au mama Jada “na amkuwai kukutana kimwili?” aliuliza tena mama Jaydeni au bibi Jada “aswaaa, hakuna aliewai kuingiza ata kidole cha mkono” alijibu tena shangazi ambae alikuwa anaamini kuwa yupo sahii kabisa kwajambo alilolifanya UNAZANI SHANGAZI ALITAKIWA KUFANYA ALIYO YA FANYA BAADA YA KUSALITIWA NA JOSEPH BABA YAKE JAYDEN?, JE? WATACHUKUA MAAMUZI GANI? ENDELEA KU LIKE NA KU COMMENT KAMA UNAMAONI YOYOTE KARIBU IN BOX

at 4:12 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top