NILIVYOFANYA INTERVIEW NA LUSIFA 38 MEDUSA Alama ya pili niliyoiona ni ya mwanamke aliyelaaniwa na miungu ya Kigiriki ya zama za Olympia anayetambulika kwa jina la Medusa. Huyu alilaaniwa na nywele zake zikageuka na kuwa nyoka wengi. Inaelezwa kuwa akikutazama machoni unabadilika na kuwa jiwe. Huyu aliuawa na shujaa ambaye aliitwa Poseidon tena pasipo kumtazama macho kwa macho. Kichwa chake kikapelewa jiji la Athen enzi hizo ambapo kilifichwa lakini inasadikika kilipotea mazingira yasiyoeleweka. Kuna kundi fulani la dini ya Shetani la miaka hii linalotambulika kama Luciferian Association la Uingereza, kuna kipindi lilitangaza ibada ya Medusa ambapo walifanya sadaka hata za kuua watu. Lusifa au shetani sasa anaitumia chata la Medusa kwa kazi yake. Akaniambia amefuma mitindo mipya ya fasheni za kinadada na vijana wa kileo na kuweka chata la Medusa, lakini amekuwa makini kuficha muonekano wa nyoka kwenye mchoro wa medusa na kuwafanya wengi wasigundue (nimekuwekea picha za nguo hizo huenda ulishazivaa hivyo achana nazo tena). Akasema kuwa anayevaa nguo hizo mara nyingi hupatwa matatizo kama vile kupooza baadhi ya viungo, kupata magonjwa ya viungo kushindwa kufanya kazi na hatimaye vifo vya ghafla. Akacheka kidogo na kunisisitiza kuwa hata nikiwaambia watu bado hawataamini. Alipomaliza hivi akahamia alama nyingine iliyoonekana kama vile jicho hili akaniambia linaitwa ‘Eye of Horus’.

at 4:15 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top