Bikira yangu 09 Vuai alikuwa ananitazama kwa umakini wa hali ya juu lakini mara pengine alikuwa akiniangalia kwa jicho la wizi wizi. Nilipokuwa nikiendelea kunywa kile kinywaji nilianza kujihisi mchovu na mwenye usingizi mzito. Mwili ulianza kupoteza nguvu kwa kiasi flani, macho yalilegea sana nilihisi tabu hata kuendelea kufumbua macho, kwakweli nilijihisi mchovu sana. Wakati mwili umepoteza nguvu ukiambatana na uchovu na usingizi mzito kwa mbaali nilimsikia vuai akiniuliza "unahitaji kwenda kupumzika?" Sikufanikiwa kujibu swali lake kwa mdogo wangu zaidi kuitikia kwa kichwa. Vuai alinifata kuninyanyua na kunipeleka chumbani, alinifikisha ktk chumba ambacho hakikikuwa na kitu chocho zaidi ya dressing table na kitanda. Nilifikishwa kitandani, bila kupoteza dakika usingizi mzito usio wa kawaida ulinivaa, nililala fo fo fo sikuweza kujua chochote kilichoendelea.................................... Ghafra nilishtushwa na mlio wa simu yangu ilikuwa ikiita, nilipoitazama alikuwa ni mama akinipigia, Kutokana na kuwa na wenge la uchovu na kutahamaki nimefikaje fikaje ktk chumba kile, kipindi nikiendelea kutafakari nilifikaje katika jumba kile hapo ndipo nilipojitambua kama nipo uchi ila nilifunikwa shuka ya rangi ya pick. Nilipojitambua kwamba nipo uchi nilishtuka sana na moja kwa moja nilipeleka akili yangu ktk sehemu zangu za siri, hapo ndipo niligundua kwamba kuna maumivu makali yasiyo ya kawaida. Nililia kwa uchungu sana huku nikijilaumu kwanini nilikubali kuja kwa huyu jambazi vuai. Nilipokuwa nikijitahidi kuinuka pale kitandani maumivu ndio yalizidi maradufu, nililia sana kwa uchungu. Wakati nikiendelea kujivuta pembeni ya kitanda niliona karatasi nyeupe ilikuwa imeandikwa maneno machache yaliosomeka hivi... "Najua utanilaumu sana kwa hilo nililofanya bila hidhini yako, ila ninachotaka kukwambia ni kwamba bado malengo yangu yapo pale pale, nataka uje kuwa mama wa watoto wangu. Usinifikirie vibaya. Wako vuai" Yalikuwa ni maneno ya vuai alioyaandika baada ya kuniingilia kimwili bila ridhaa yangu, niliendelea kulia sana huku nikizielekea nguo zangu mahali zilipo. Nilipo anza kuinua nguo moja baada ya nyengine zilidondoka noti karibu kumi za Tsh elfu kumi kumi. Akili yangu haikuwa ktk pesa zile zaidi ya kuvaa na kuondoka ktk chumba kile. Nilishika simu yangu kuangalia muda tayari ilikuwa imetimu saa moja kasoro jioni, nilichanganyikiwa sana na sikujua ni kipi ntaenda kuwaeleza wazazi wangu, nilivaa haraka haraka na kuanza safari ya kutoka ktk chumba kile. Nilipofika koridoni nilikutana na dada mmoja alionekana busy na usafishaji wa nyumba, sikumsemesha kitu moja kwa moja nikaelekea nje ya nyumba, niliona ile gari aliyokuwa akiitumia vuai. Sikutaka kumuulizia vuai alipo, nilikuwa nafanya jitihada kuwahi nyumbani. Nilifika nyumbani, nilipokuwa nataka kuingia ndani mtu wa kwanza kukutana nae ni mdogo wangu, nilijitahidi kuficha mazingira ya unyonge na uzuni kubwa niliyonayo ktk moyo wangu. "shikamoo dada, yani mama amekuulizia kweli alafu anasema alikuwa anakupigia simu hupokei" alisema mdogo wangu Nilijawa na hofu coz sikujua cha kumjibu mdogo wangu zaidi ya kumuuliza baba amerudi? "Alirudi saa 10 jioni alafu akaondoka tena, hajarudi hadi muda huu" Alijibu mdogo wangu Niliingia ndani haraka haraka huku nikiwa bado na maumivu makali sehemu za siri lakini sikutaka mtu yoyote halijue hilo. Nilifika chumbani kwangu nikaweka mkoba kitandani kisha nikajiangalia kwenye kioo alafu nikatoka nje kwenda kumsalimia mama, wakati huo mama alikuwa chumbani kwake. Nilifika ktk mlango wa chumba chake nikagonga hodi mama alifungua mlango... "shikamoo mama" nilimuamkia "Barahaba ulikuwa wapi mwanangu hadi muda huu?" mama aliniuliza "Nilikuwa kwa rafiki yangu tunajisomea na simu nilitoa mlio ndio maana sikuweza kupokea simu yako kwa wakati." Nilijitetea kwa mama kwa kusema hivyo "Uwe unatoa taarifa mwanangu utakuja kuniuwa na presha si unajua hali yangu tena" alisema mama kisha akarudi chumbani kwake. Niliondoka mlangoni kwa mama nikiwa na wasi wasi, sikutaka kupoteza muda nikaweka maji bafuni na kwemda kuoga. Muda wa kula chakula ulifika wakati huo baba alikuwa tayari amerudi, tulikaa katika meza moja wote, nilikuwa nakula huku nikiwa na wasi wasi labda baba atagundua nilichokifanya leo. Lakini hadi namaliza kula baba hakuniuliza chochote zaidi ya maendeleo yangu ya chuoni. Tulimaliza kula na nikafanya ninachotakiwa kukifanya kwa wakati ule kama ilivyo ada. Nilimaliza shughuri zangu na kungia chumbani kwetu kujipumzisha kutokana na maumivu niliyonayo. kipindi nafika chumbani tu vuai alipiga simu lakini sikutaka kuipokea, akapiga tena sikupokea , nilifanya hivyo zaidi ya mara nne alipo piga kwa mara ya tano ilinilazimu kuipokea na mazungumzo yalikuwa hivi. "Hallo" alisema vuai "Nakusikia" nilimwambia "Najua nimekukosea sana zuleiha..................... ITAENDELEA

at 4:42 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top