Bikira yangu 08 ILIPOISHIA "Yani hilo lote ndio liingie kwenye uke wangu!!!!!? Hapana vuai kwa leo naomba univumilie mpenzi wangu" nilimwambia vuai huku nikitazama dudu lake lililojichora ndani ya suruali. "Hapana zuu usinifanyie hivyo mamie, usiniache nikiwa ktk hali hii mpenzi wangu" aliongea kwa huruma vuai huku akianza kuvua shati aliyokuwa amevaa. "Nooo vuai jaribu kunielewa tafadhali leo sipo tayari kufanya hilo swala, wewe ndio umesababisha hadi uwe hivyo coz nilikwambia tangu mwanzo kwamba sipo tayari kufanya jambo hilo katika kipindi hiki. Kwanza nimeanza kupata wasi wasi kwanini unilazimishe kufanya kitu ambocho nilikwambia sipo tayari kukifanya tangu mwanzo. Vuai najua unanipenda ila sidhani kama unanipenda kweli, kwanini ushindwe kuheshimu maamuzi yangu kama kweli unanipenda. Nimeshakwambia tusubiri kwanza lakini umeonekana kutonielewa kabisa lengo lako ni nini kwangu? Kwa mfano leo ikipita mimba nitawaeleza nini wazazi wangu, tafathali vuai nakupenda sana ila kwa hilo sipo tayari". Niliongea kwa uchungu sana huku nikiwa natoa macho baada ya kumuona vuai anataka kunilazimisha kufanya nae mapenzi kwa nguvu. "Hapana zuu usiseme hivyo, maneno yako yamekuwa makali sana kwangu , sitaki kufanya hivyo kwania mbaya bado ninandoto na wewe, usinifikirie vibaya kwa kushindwa kuzi_control hisia zangu, usiniweke kwenye kundi la watu wabaya tafathali, mimi ni mtu mwema kwako. Sipo tayari kufanya usichotaka ila ibilisi amenipitia licha ya hivyo mimi ni mwanaume tena rijali kwahiyo ni ngumu sana kukaa na msichana ktk mazingira kama haya nishindwe kuonyesha hisia zangu kwake kama ninampenda, tafathali zuleiha usinifikirie vibaya. Vuai aliongea kwa hisia huku akiwa amesimama na shati lake mkononi. Baada ya kuongea hayo nilimuona vuai akianza kuvaa shati yake kinyonge kisha akaelekea bafuni kunawa uso, wakati huo mimi nilikuwa bado nimekaa kitandani nikiwa nimejifunika shuka kifuani huku nikitafakari maneno ya vuai. "Nakusubiri hapo nje mamie vaa tuondoke" alisema vuai akiwa anaonekana mtu anaetia huruma sana kisha akafungua mlango na kutoka nje. Nilikaa pale kitandani kwa dakika kadhaa nikiwa namtafakari vuai, ghafra nikaingiwa na moyo wa huruma, nilitamani sana kimsaidia lakini nilikuwa nafikiria juu ya wazazi wangu, nilifikiria maumivu ya kutolewa bikira na nilihofia mimba pia, baada ya kufikiria hayo nikajipa moyo na kujiita mimi ni MALKIA WA NGUVU, coz nimeweza kuruka kikwazo kikbwa ambacho kingeniletea matatizo siku za mbeleni. Nilisimama pale kitandani kisha nikaelekea maliwato nikajisuuza uso wangu kisha nikarudi kuvaa nguo na kujiandaa kuondoka. Nilitoka nje na kumkuta vuai ameketi katika kiti kimoja kilichokuwa karibu na mapokezi ya hoteli ile lakini alionekana akiwa katika mawazo mazito sana, hadi nafika karibu yake hakugundua kabisa kutokana na akili yake haikuwa pale kabisa. "Vuai VUai VUAIII unanini mpenzi wangu mbona upo hivyo? Inamaana nimekosea kukwambia kama sipo tayari kufanya jambo hilo kwasasa? Naomba unisamehe sana kama nimekukosea lakini tambua kuwa mimi naishi na wazazi wangu na niwafatiliaji wakubwa juu ya maisha yangu, kwanini unataka niwakwaze kwa vitu vinavyoweza kuepukika vuai". Nilimwambia vuai. "Nimeshakuelewa zuu hebu tuondoke" alisema vuai huku akisimama pale alipokuwa na kueleke mlango mkubwa wa kutokea ktk hoteli ile. Tuliongozana kwa pamoja huku kila mtu akiwa kimya hamsemeshi mwenzie, tulifika ktk eneo tulilopaki gari, tuliingia ndani ya gari na kuanza safari ya kurudi nyumbani. Katika safari hiyo ukimya ulitawala kwa kiasi kikubwa sana, nilishindwa kuvumilia kuendelea kukaa kama bubu, ilibidi nimsemeshe. "Vuai unawaza nini honey mbona upo hivyo? Nilmuuliza lakini swali langu halikupata majibu. Vuai alionekana kuwa busy na uskani hakutaka kabisa kunisemesha kitu chochote kile. Punde tulifika maeneo ya nyumbani lakini nilishangaa kuona vuai hakusimamisha gari pale nilipozoea kushushwa, alizidi kuendesha gari kuelea nyumbani ninapo kaa. "Niache hapa hapa inatosha" nilimwambia vuai lakini hakutaka kufanya hivyo. "Vuai nishushe hapa hapa usinipeleke huko maeneo ya nyumbani nitaonewa mwenzio" nilimwambia tena vuai lakini hakutaka kunielewa Alizidi kuendesha tu gari kuelekea mtaani kwetu. Ila nilichokumbuka ni kwamba sikuwahi kumuonesha vuai nyumba ninayokaa zaidi ya kumuelekeza mtaa na njia ya kuelekea nyumba hivyo siku wa na wasi wasi sana. "we vuai unanini lakini leo"? Nilimuuliza "Ni nyumba gani unayokaa hapa? Nambie nijue coz nimeshachoka kuibana ibana bora nikajitambulishe mwenyewe kwa wazazi wako sitaki kuendelea kukosa uhuru wa kuwa na wewe, najua nikishaenda kwa wazazi wako kinachofata hapo ni ndoa tu, naomba unielekeze niende ni boranikuoe tu ijulikane moja kuliko kuendelea kuishi kama hivi". Aliongea vuai kwa hasira huku akionekana kama mtu aliyechanganyikiwa. "Vuai hili swala haliitaji haraka kiasi hilo hebu nenda kwanza katulize akili yako then kesho tutaonhea vizuri ila usifanye maamuzi kama haya kwa hasira, mi ni wako vuai haraka za nini jamani. Niliongea huku nikiwa nambembeleza vuai. "Ok poa tutawasiliana, nahitaji unielekeze unapokaa ili niwatume wazee wangu waje kwenu. Sitaki kuishi maisha haya zuleiha", aliongea kwa kifupi kisha akatoa noti tano za shilingi elfu 10 akanipa. "Ahsante baby" nilimwambia na kushuka ndani ya gari. vuai aliwasha gari nakuondoka.............................. ........................................................................ Siku zikakatika nikiendelea na mahusiano kama kawaida lakini tangu nilipo mnyima tendo la ndoa kiukweli mapenzi yalipungua kwa kiasi fulani, sikupata day out kama za kipindi kile. Hata hivyo na mimi nilikuwa nimebakiza miezi michache kuhitimu masomo yangu. Ilikiwa ni siku ya alhamisi saa tatu usiku vuai alinipigia simu na kuniambia "kesho baada ya swala ya ijumaa nitakufata chuo coz nataka nikupeleke nyumbani kuna ndugu zangu wanahitaji kukufahamu. Nilikubali kutokana siku ya ijumaa huwa tunatoka chuoni mapema. Ijumaa ilifika kama kawaida niliudhuria chuoni kama kawaida, ilipofika muda wa kutoka chuo vuai alinijulisha sehemu alipopaki gari kisha nikamfata. Kipindi vuai kaja kunifata ilikuwa tayari imefika saa nane mchana. Niliingia ndani gari tayari kwa safari tulianza safari yetu kuelekea kwao vuai. Kipindi tunaendelea na safari nilikumbuka kuwa vuai alishawahi kuniambia kwamba anaishi Mbweni na ndivyo ilivyokuwa, gari ilielekea huko huko mbweni. Baada ya dakika kadha gari ilisimama mbele ya geti kubwa jeusi lenye nakshi za kuvutia. Alipiga honi kisha geti ikafunguliwa na kijana fulani hivi, moja kwa moja gari ilielekea kwenye sehemu yake ya kupaki. Tulishuka ndani ya gari na kuelekea ndani huku vuai akionekana mwenye furaha sana. Na mimi nilifurahi sana japo sikutaka kudhihirisha furaha yangu mbele ya macho yake. Nilikaribishwa hadi ndani, baada ya kufika ukumbini nilikuta watu wengi wenye muonekano wa kichotara/ wamanga sikushangazwa na muonekano huo kwasababu vuai alikuwa na asili hiyo hiyo. kwa mahesabu yangu ya haraka haraka wale watu walikuwa zaidi ya kumi na moja. nilikaribishwa pale ndani kwa furaha. Ila kwa muonekano wa watu wale kiumri hawakuwa na zaidi ya miaka 40. Nilianza kujiuliza kimoyo moyo, sasa hapa mama na baba yake vuai ni yupi? Swali hilo halikuwa na jibu. Nilikaribishwa na kuketi pamoja na wale niliowakuta lakini nilishangazwa na kitu kimoja idadi ya wanawake waliopo pale ni sawa na idadi ya wanaume waliopo pale. Na kila mmoja alikuwa na glass yake, lakini walikuwa wakishea kinywaji katka chupa moja zaidi ya watu wawili. Sikuwa mgeni na vinywaji vile, zilikuwa ni wine, nilisogezewa chupa iliyokuwa na wine nusu na glass. "karibu mgeni" aliniambia jamaa mmoja aliketi karibu yangu . "Ahsante" nilimjibu wakati huo sikujua vuai yupo maeneo gani. Sikutaka kuanza kutumia kile kinywaji kwasababu najua ilikuwa ni pombe. Punde vuai alirudi akiwa amebeba Red bull mbili alijuwa kabisa kuwa mimi ni mpenzi wa red bull. Alinifungulia na kunimiminia kwenye glass, nilianza kunywa huku nikisubiri kutambulishwa. "Ndugu zangu naombeni usikivu wenu kidogo" aliongea vuai kwa nidhamu ya hali ya juu. Aliendelea kuzungumza "Mnae muona hapa anaitwa Zuleiha, huyu ndiye mke wangu mtarajiwa, huyu ndiye usingizi wangu nampenda sana jamani". "Zuu hawa unaowaona hapa wote ni rafiki zangu pamoja na watu wao laki kasoro hao wawili waliokaa karibu na tv hao ni dada zangu baba mmoja, mama mmoja" alinitamvulisha vuai na kila mmoja alinipa jina lake. Tuliendelea kukaa pale huku tukipiga stori mbili tatu ila baada ya muda kidogo wale wadada wawili ambao nilitambulishwa kama dada zake vuai waliaga na kuondoka. Tuliendelea kuzungumza lakini kadri muda ulivyozidi kwenda wale wageni wengine waliendelea kuaga na kuondoka. Baada ya dakika kadhaa nilimuomba vuai maelekezo sehemu choo kilipo, alinielekeza nilienda, niliporudi sikuwakuta wale wageni wote walikuwa wameshaondoka. "Vp wameenda wapi wengine?" nilimuuliza vuai baada ya kutowaona wale wageni wengine. "wameondoka" alijibu vuai "Na mimi nikimaliza kinywaji changu tu naondoka" nilimwambia vuai huku nikinyanyua glass kuendelea kunywa. Vuai alikuwa ananitazama kwa umakini wa hali ya juu lakini mara pengine alikuwa akiniangalia kwa jicho la wizi wizi. Nilipokuwa nikiendelea kunywa kile kinywaji nilianza kujihisi mchovu na mwenye usingizi mzito................................ ITAENDELEA

at 4:41 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top