Home → simulizi
→ STORI YA MAPENZI; MALKIA WA JELA
SEHEMU YA PILI
.......................*🅱 professional love*..........
"Mimi ni mkeo hata ingekuwa usiku wa manane wewe niamshe uniage nijue kabisa kweli unakurupuka tu asubuh unaondoka hata ujumbe basi ungeandika nao umeshindwa
"Baby nimekuelewa nisamehe basi nitafanyia kazi
BENSON anajarbu kumbembeleza kwa kusogea na kupeleka mikono yake taratibu na kumshka LINDA kiunoni kwa nyuma na kumbusu shingoni
"Baby sikujua Kama nitakuudh kuondoka bila ya kukuambia nisamehe nakuahd hata nikiwa naenda choon lazima nikuage
"Hahahah anaangua kicheko
"Unafrah nini sasa ?
"Ushaanza matan yako chooni ukienda Mimi hata usiniage
"Utajua nimeenda wapi Kama nisipofanya hvo
"Sitak " wanacheka wote wawili
Baada ya muda LINDA aliandaa chai na kuweza kukaa katika meza ya chakula na kunywa
Wiki moja baadae BENSON akiwa seburen peke yake mkewe akiwa ameondoka ameenda nyumban kwao Mara moja kusalimia BENSON aliamua kuitumia nafas ile kumpigia simu kimada wake na kuongea naye kabla ya LINDA kurud nyumban
"Halloo! Baby ! Alipokea simu kimada huku akitoa saut lain na nyororo
"Hallo ! Baby nambie
"Safi nimekumith ile mbaya BEN wangu
"Hunishind Mimi
"Unanitania.... kweli Baby ?
"Ndiyo kwanini nikuongopee nimeimis Sana ile mechi ya siku ile ulinifanya nione sinto maliza mchezo niliona uwanja mkubwa
"Hahahaahah Ikasikika saut ya kicheko
"Nilihisi kufa kufa
"Amna bhana usingekufa woga wako tu kufa huwez kufa ila cha moto lazima ungekipata
"Aa sikufich mke wangu anasubir we mtoto kibokoooo lini tena ligi yetu ya ugenini ?
Muda wako Uwanja wako sikuzuii kuja kufanya mazoez afu mechi kwa mkeo
"Hahahahah BENSON akaangua kicheko
"Baby hata ukitaka sahv tutafanya hata kwa kutumia "whatsapp" voice note
"Hahahah ndo maana nakupendaga Bab..................Kabla hajamalizia kuongea LINDA alifungua mlango BENSON alistuka na kuikata simu LINDA alibakia kasimama pale mlangon huku akimtazama Mumewe na kuanza kudondokwa na machozi Mkoba aliokuwa ameubeba aliuachia na kuuangusha chin
"BABY umewah nilijua utachelewa " Huku akionekana kuwa na wasiwasi Alinyanyuka na kutaka kumsogelea alipokuwa
"BENSON naomba usinisogelee "akamzuia kwa ishara ya mkono
"Mbona sielew Nyumban wazima mbona hukuondoka hivo afu umewah kurud kuna tatzo kwani
"Malaya mkubwa wewe Endelea kuongea na simu uliyekuwa unaongea naye nimesikia kila kitu
"Nan ? Mimi nilikuwa naongea na DAVID ananieleza habar za NITTY
"Mwanaume huna shukran BEN ni mangapi nimekufanyia kumbe ndo unavyo niongelea kwa hao Malaya zako
"LINDA mke wangu kwanini tugombane nilikuwa naongea na DAVID jarbu kunielewa Nakupenda hakuna mwingine zaid yako
"Mwongo mkubwa kwanini nilipoingia hukuendelea kuongea ukakata simu
"Tulikuwa tumeshamaliza maongez
"Ahsante kwa kunidanganya " Kumbe LINDA alikuja na DAVID ,DAVID alikuwa kwa nje akiwasikiliza akaona bora aingie alipoingia BEN aliishiwa nguvu na kuinamisha uso chin huku akijarbu kumtizama mkewe kwa kuibia ibia
"Endelea kuniongopea siumezoea haya ulokuwa unaongea nae huyu hapa Endelea BEN... LINDA kwa hasira alimfuata BEN na kuanza kumpiga mingumi huku akilia kwa uchungu DAVID alimshika LINDA na kuomba wasigombane
Alipowaamua aliamua kuwaacha kwa muda watulie kwanza baada ya robo saa kupita DAVID akamgeukia BEN na kutaka aseme alikuwa anaongea na nan
"DAVID sema ukweli "
"Mimi nilikuwa naongea na Dada yangu alinipigia kunijulia hali
"Unamwon a alivyo mwongo Dada yako gani umwambie maneno Yale BEN niambie "kwa jazba huku akijarbu kutaka kunyanyuka alipokaa
"Aaa shemej punguza jazba Mimi nipo hapa kila kitu kitaisha BEN Una uhakka
"Ndiyo Kwanini nimwongopee amesikia vibaya tu
"Shemej huenda ikawa ni kweli jaribu kusahau hili
"DAVID unapendelea au kwa kuwa BEN ni mwanaume mwenzio Ahsantee
LINDA Alinyanyuka na kuondoka kuelekea chumban
"Kaka bora hata ulivyokuepo sijui ingekuaje Leo
"BEN punguza hata Kama Una kimada nje hapa ni nyumban kwako paheshimu ukitaka kuongea nae Hakikisha mkeo kaenda mbali
"Saw a kaka
"Mi nilipita kukusalimia nilikutana na mkeo kwenye folen nikaon a bora Nam nipite kukuona kwahyo Mimi nafikir nimeshakuon a naondoka jarbu kumpoza mkeo
"Haina shida
BEN alimtoa DAVID mpka nje na kuweza kuagana kisha akarud na kuingia chumban alimkuta mkewe amejilaza kitandani kifudifudi amelalia mto huku akiwa Analia"LINDA mke wangu kwanini unapenda kujiumiza kwa vitu ambavyo siyo kwanini Mimi na wewe tugombane kwa vitu vidogo "Aliongea BEN
LINDA alijigeuza na kunyanyuka pale kitandan akaanza kuzunguka mule chumban huku na kule
"Unajua sikuekewi sasa unapozunguka hivi unamaanisha nini ? Alirudia tena kumwuuliza baada ya kuona hajibiw
"BEN lazima utaona ni jambo la kawaida kwasababu lipo kwangu ila ipo siku BEN unajua Mimi na wewe tumetokea wapi siyo kwamba hujui unajisahau Sana BEN "Aliongea LINDA huku akionekana kuwa na hasira Sana
BEN anaamua kumsogelea na kujishusha akaamua kupiga magoti kumbembeleza "Sawa naamua kukubali kosa nisamehe Mke wangu kipenzi nakupenda najua unajua siwez kukusaliti "
"BEN acha kuniigizia Mkeo "Aliongea LINDA
"Mke wangu nakuahd Kama nitakukosea basi amua lolote lile uwezalo
"Unanifanyia kusud kwakuwa unajua nakupenda
"Najua hilo Mke wangu ndo maana nimeamua kukupigia magoti kuomba msamaha
"Sawa umeshajua Mimi ni mdhaifu kwako kila ukikosea unakimbilia kuomba msamaha kwakuwa unajua siwez kukataa sawa utumie udhaifu wangu "Aliongea LINDA kwa uchungu huku machozi yakimtiririka
Baada ya siku kadhaa kupita LINDA akiwa seburen anaonekana kuna kitu anakitafuta pale seburen baada ya kutafuta kwa muda na kuonekana kukikosa aliamua kuchukua simu yake na kumpigia Mume wake hili aweze kuuliza
Katika maeneo ya Gesti BEN alikuwa ameingia Bafuni kuoga na kitandan amemwacha Kimada wake TABU ,Simu ilikuwa ikiita TABU alinyanyuka kitandan na kwenda kwenye dressing kuichukua na kuangalia ni nan anaye piga alipoona ni Mke wa BEN aliirudsha LINDA alipoona simu haipokelew akaamua kupiga tena TABU alipokuwa anataka kurud kitandan akaona simu tena kwa mara nyingine inaita alimua kuipokea "Nikusaidie nini mbona hamtulii majumban kwenu Asubuh yote hii unampigia simu kakwambia harud nyumban au unatafuta matatzo (Alipokea TABU kwa kusema maneno hayo
"We nan unapokea simu ya Mme wangu !!!? Aliuza LINDA
"Mke mwenzio
"Tafadhar usinitanie najua mume Wangu yupo kazin kama wewe ni mfanyakaz mwenzie naomba niongee nae Mara moja
"Dada sikujui hunijui Ila mume Kama hakuwah kukwambia shukuru nimekwambia na hapa niko nae Gesti
"Eti nini !
"Ndo ivo tunakula raha tu Kama kakwambia yupo kazn kaz Gan za saa kum na mbili
LINDA alikata simu na kwenda kukaa kwenye kochi huku akitokwa na machozi
TABU alipokuwa anairudsha simu BEN nae akawa anatoka Bafuni
"Vipi ulikuwa unaongea na nani ? Aliuliza BEN
"Mkeo
"Kwenye simu yangu ??!
"Ndiyo kwani kuna ubaya
"Umemwambia nini "BEN akionekana kupanik
"Nimemweleza ukwel kwann tuendelee kujificha
"TABU huu siyo wakat wa utani naomba usinitafutie tabu Kama jina lako
"Mmh! Sasa nikutanie nalipwa au nimemwambia yupo na mke mwenzie Gesti au nimekosea
BEN alimvamia TABU na kuanza kumpiga vibao
"BEN unanipiga Mimi kwaajil ya huyo mke wako Kama hukunipenda kwanini ulinambia tukutane
BEN alivaa nguo zake haraka haraka huku akiwa amejawa na hasira "Ole wako kitokee kitu chochote kile TABU nitakuonesha "Aliongea BEN kwa hasira huku akiondoka
"Mtu mzima hatishiw nyau kwenda kulee hapa utakuja tu mkeo mkeo ungempenda ungeendekeza umalaya
LINDA aliamua kuondoka na kwenda nyumban kwao
_______________
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: