YAFAHAMU MAMBO YANAYOVUNJA NDOA Wengi wetu tumekuwa tukifanya makosa kwenye ndoa bila kujua ni makosa tena makubwa yanayoweza kuvunja ndoa na mapenz yetu YANAYOVUNJA NI PAMOJA NA: 1) Kutokukubali hali halisi ya maisha yenu 2) Kutokuwa mbunifu na mtundu kwenye mapenzi 3) Kutokujali hisia za mwenza wako 4) Kuwa mbinafsi/mchoyo wa mawazo na fikra zako 5) Kuwa na migogoro ya muda mrefu na isiyokua na suluhu 6) Kutokuwa mkweli, kuwa muongo 7) Kuwa na wivu wa kuptiliza hadi inakuwa kero 8) Kuwa mbish na kiburi na kubishia hata mambo yasiyo na msingi 9) Kumfuatilia mwenza wako kulikopitiliza 10) Uchafu na kutojijali kwa mwil na mazingira unayoishi Yote Mautam na✍🏻 🌾🌴alialawi/Dubai🌾🌴

at 2:22 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top