Mwanaume wa kweli ni rafiki kipenzi kwa mwanamke wake, Mwanaume makini hawezi kumsimamisha wala kumuangusha mwanamke wake, Mwanaume makini humpa uhakika mwanamke kila anapojihisi hajianimi na atamfariji baada ya siku mbaya... Atamwelekeza kufanya vitu ambavyo hakuwahi kufikiri atavifanya, Atamfanya aishi bila woga na kusahau majuto, Atamwezesha kuelezea hisia zake na kumwingiza kwenye matamanio yake halisi! Atahakikisha siku zote anamfanya kama mwanamke mzuri zaidi chumbani na kumfanya awe mwenye mvuto kwake kuliko wengine, Mwenye ushawishi na mwenye muonekano unaoishi katika NDOA YAO.

at 8:42 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top