Home → ushauri
→ PENZI LA DHATI LINAJIMILI MIKIKI YA MAISHA...!!! Dhoruba ijapo katika maisha mara nyingi watu wa karibu hukimbia, Katika mahusiano ama ndoa ikiwa kutatokea tatizo ambaye husimama imara kukabiliana na hilo ni yule MWENYE MAPENZI YA DHATI... Mwenye upendo wa dhati yupo tayari KUDHURIKA akimkinga ampendaye, Mwenye Mapenzi ya dhati yupo tayari akose yeye lakini ampendaye apate, DHAMANA YA PENZI YASHINDA UNDUGU WA DAMU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: