Home → ushauri
→ HATA WAKATI MUNGU ANAUMBA ULIMWENGU ALIANZA NA MWANAUME hivyo mwanaume halisi hawezi kumuumiza mwanamke, Mwanaume anayejitambuwa yupo makini kuhakikisha hamlizi mwanamke kwa sababu MUNGU anayaheshimu machozi ya mwanamke! Mwanamke alitoka kwenye ubavu wa mwanaume sio miguuni mwake ili amtembelee kama ndala, Wala Mwanamke hakutoka kichwani ili uwe shujaa ila UBAVUNI ILI MUWE MWILI MMOJA... Mwanamke anapashwa kulindwa na mikono ya mumewe na sio vinginevyo, Mwanaume ana jukumu la kuulinda na kuutetea MOYO WA MWANAMKE WAKE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: