Home → Love sms
→ 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎
*MUHIMU:TAMBUA UTAMU WA MAPENZI NA JINSI YA KUULINDA KATIKA MAHUSIANO.*
Kuna sababu za msingi kabisa kuelezea mambo ya kuzingatia ili kutambua vitu vitakavyokufanya ufurahie utamu wa ndoa yako. Kuishi na mke au mume sii kitu rahisi kama ambavyo watu wengi ambao hawako katika ndoa hufikiria. Hivi ni vipengere baadhi tu, wanandoa na wampenzi wanapaswa kuvitambua;
Kwanza kabisa ni kwambie kwamba utamu wa mapenzi sii lazima ufanye tendo la ndoa ama ngono, kuna mambo kibao ambayo moyo wa binadamu ukiyakosa huweza kukonda kama muathirika wa magonjwa hatari ya mwili. #"Upendo kutoka kwa yule umpendae", hili ndilo jambo kubwa la kwanza katika afya ya moyo ulio katika dimbwi la mapenzi.
Hakuna kitu kitamu kama kupendwa na ukapenda pia, kitendo hiki hufunga macho yote ya vishawishi vya dunia hii ya kidigitali. Usilazimishe upendo kwa mtu ambae unaonekana kuwa wewe tu ndiye unaye mjali wakati yeye hana habari na wewe. Ndio maana ukitaka kuingia katika ndoa lazima umtafute mtu unayempenda na anayekupenda ili muishi katika maisha yasiyo ya kushawishika kufuata matamanio mengine nje ya ndoa.
Kitu cha pili katika kufurahia utamu wa penzi ni #"amani" watu wengi wana wanaume na wanawake warembo, lakini hawafurahii mapenzi kwasababu hawana amani ndani ya nyumba. Utafurahia utamu wa mahusiano ya ndoa endapo utakuwa na moyo uliopondeka mbele za Mwenyezi Mungu, yani kuvumiliana katika changamoto za maisha.
Wapo watu wao ni maarufu kwa kuharibu mahusiano ya watu "tofauti na ndugu yako wa karibu" hakuna mtu anayefurahia kukuona unamwanamke mrembo ndani ya nyumba au mwanaume mtanashati ndani ya nyumba, na kwambia hili, jifunze kutunza siri za uzuri wa mkeo au mmeo. Kunawatu wanavitaka vitu hivi sana hata kwa gharama yoyote ile na popote vitakapopatikana vitanakuwa halali yao.
Kama mpenzi wako anakupa penzi tamu na la kistaarabu, basi haina haja ya kumueleza rafiki yako maana hujui yeye anakosa nini katika mahusiano yake na mwenzi wake. Pesa ni silaha kubwa sana katika mapenzi haya ya kizazi cha digitali, pesa zimekuwa na ushawishi mkubwa sana katika mapenzi hivyo unapaswa kuwa msiri katika mambo yako ya chumbani.
Cha msingi zaidi, hakuna mtu anayefurahi kusalitiwa katika mapenzi, kila mtu anatamani kummiriki mwenzi wake asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano. Tunajua kabisa dunia hii kila siku tunakutana na wasichana warembo kabisa na pia tunakutana na wanaume watanashati sii kidogo, lakini kitu cha msingi ni kuyashinda macho na kuamini #"UKIONA VYAELEA UJUE............?
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎
Dr Luv🤓🤓🤓
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 *MUHIMU:TAMBUA UTAMU WA MAPENZI NA JINSI YA KUULINDA KATIKA MAHUSIANO.* Kuna sababu za msingi kabisa kuelezea mambo ya kuzingatia ili kutambua vitu vitakavyokufanya ufurahie utamu wa ndoa yako. Kuishi na mke au mume sii kitu rahisi kama ambavyo watu wengi ambao hawako katika ndoa hufikiria. Hivi ni vipengere baadhi tu, wanandoa na wampenzi wanapaswa kuvitambua; Kwanza kabisa ni kwambie kwamba utamu wa mapenzi sii lazima ufanye tendo la ndoa ama ngono, kuna mambo kibao ambayo moyo wa binadamu ukiyakosa huweza kukonda kama muathirika wa magonjwa hatari ya mwili. #"Upendo kutoka kwa yule umpendae", hili ndilo jambo kubwa la kwanza katika afya ya moyo ulio katika dimbwi la mapenzi. Hakuna kitu kitamu kama kupendwa na ukapenda pia, kitendo hiki hufunga macho yote ya vishawishi vya dunia hii ya kidigitali. Usilazimishe upendo kwa mtu ambae unaonekana kuwa wewe tu ndiye unaye mjali wakati yeye hana habari na wewe. Ndio maana ukitaka kuingia katika ndoa lazima umtafute mtu unayempenda na anayekupenda ili muishi katika maisha yasiyo ya kushawishika kufuata matamanio mengine nje ya ndoa. Kitu cha pili katika kufurahia utamu wa penzi ni #"amani" watu wengi wana wanaume na wanawake warembo, lakini hawafurahii mapenzi kwasababu hawana amani ndani ya nyumba. Utafurahia utamu wa mahusiano ya ndoa endapo utakuwa na moyo uliopondeka mbele za Mwenyezi Mungu, yani kuvumiliana katika changamoto za maisha. Wapo watu wao ni maarufu kwa kuharibu mahusiano ya watu "tofauti na ndugu yako wa karibu" hakuna mtu anayefurahia kukuona unamwanamke mrembo ndani ya nyumba au mwanaume mtanashati ndani ya nyumba, na kwambia hili, jifunze kutunza siri za uzuri wa mkeo au mmeo. Kunawatu wanavitaka vitu hivi sana hata kwa gharama yoyote ile na popote vitakapopatikana vitanakuwa halali yao. Kama mpenzi wako anakupa penzi tamu na la kistaarabu, basi haina haja ya kumueleza rafiki yako maana hujui yeye anakosa nini katika mahusiano yake na mwenzi wake. Pesa ni silaha kubwa sana katika mapenzi haya ya kizazi cha digitali, pesa zimekuwa na ushawishi mkubwa sana katika mapenzi hivyo unapaswa kuwa msiri katika mambo yako ya chumbani. Cha msingi zaidi, hakuna mtu anayefurahi kusalitiwa katika mapenzi, kila mtu anatamani kummiriki mwenzi wake asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano. Tunajua kabisa dunia hii kila siku tunakutana na wasichana warembo kabisa na pia tunakutana na wanaume watanashati sii kidogo, lakini kitu cha msingi ni kuyashinda macho na kuamini #"UKIONA VYAELEA UJUE............? 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 Dr Luv🤓🤓🤓
Artikel Terkait
MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA👌 🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝 UKIWA TAYARI SIKU HIYO MKE BILA SHAKA NYOTE WAWILI 🏝🏝🏝USIVUNGE🏝KM MUMEO YUPO KAZINI TEGEA AKIWA ANAKARIBIA KURUDI ANZA KUMCHOKOZA KWA SMS TAMUTAMU🏝🏝🏝 Mfano🏝baby miss u, pole na kazi, rudi mmewangu nikukande nikuondoe uchovu🏝si unajua leo cjui kwann nna hisia nyingi🏝 wangu switi kila navyokufikilia🏝naona masaa hayaendi hubby🏝rudi mmewangu nna hali mbaya🏝 MESEJI KM HIZO MUMEO APITIE KIJIWENI KUFANYA NN👌YAANI AKIWA KAZINI ATAKUA ANAWAZA KURUDI NYUMBANI TU ITAMSISIMUA TU🏝 SASA MKE HUKO NYUMBANI KWAKO USIJIANGUSHE🏝👌FANYA USAFI WA MAZINGIRA NA MWILI🏝ANDAA MSOSI WA NGUVU🏝🏝🏝🏝🏝 PAMBA MEZA YAKO YA CHAKULA🏝TENGA CHAKULA VIZURI🏝HAKIKISHA NDANI PANANUKIA MARASHI MAZURI🏝WW PIA VAA NGUO YA KUVUTIA MUMEO AONE UMBILE LAKO🏝HAKIKISHA UMEJISAFISHA NA UKATUMBUKIZA MISK KIDOGO JUU KWENYE TUNDA UKAPAKAA MARASHI YAKO MAMBO YANUKIE INAJIKUSANYIA JOTO TAYARI KWA RAHA🏝MUME AKIFIKA🏝🏝🏝HAKIKISHA UNAMSWAFI KWANZA🏝🏝🏝🏝🏝KISHA MPELEKE MEZANI AKAPATE MSOSI🏝hata km anakula MWENYEWE naww uwepo ukimlisha kidogo kidogo uku una mpepea🏝🏝🏝🏝HAKIKISHA KASHIBA, usisahau muda wote uwe unamuangalia kwajicho la huba/ remburembu sio jicho kavuuuu km fundi saa👌🏝 AKISHIBA MUAMIE CHUMBA NI🏝MLAZE KIFUDIFUDI MUMEO, CHUKUA MAFUTA YA VASSELINE YA MAJI🏝ANZA KUMFANYA MASAJI🏝hapo utamuondolea uchovu🏝KISHA MGEUZE CHALI🏝mfanyie masaji ya kifua, mapaja, na viganja vya miguu🏝KISHA RUDI KWENYE 🏝anza MAANDALIZI KWA ZAMU NA MMEO MKITOSHEKA RAHA IANZE Kisha anza STAILI upendayo kama YA KUNA NAZI🏝💚💚💚USISAHAU kujibana sio unajiachiiia tu mke 👌💚INGIA STAILI YA MENDE KAONA TUNDU LA CHOO🏝KISHA PIGA STAILI YA NAMBA(4)💚🏝 KM UMELIZIKA PIGA MBUZI KAGOMA😋hii staili lazima kubadili upate pumzi na radha 😋🏝🏝🏝🏝WAKE MASHAMBA YAO WAUME KTK NDOA Baada ya hapo km mmetosheka mke anza kumswafi mumeo🏝🏝KISHA JISWAFI NAWW MPUMZIKE💚🏝🏝🏝🏝🏝🏝 Asantee 😘 ... Read More
🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞* 🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺 _✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_ _✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_ _✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_ _✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_ _✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_ _✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_ _*Namalizia kwa hili*_ _✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_ ```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo``` _©brayton official love _ 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚 ... Read More
👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻MWANAMKE PENDEZA NDANI KWA MMEO Haya Leo Ni Michambo 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Siku hizi dada zangu mmekuwa na kasumba moja ambayo mimi inanikera sana hata katika jamii mambo hayo siyo kwa wasioolewa tu hata kwa walio olewa Mpoooooo 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Pia jingine hamjuw hivyo vipodozi vimekuja kwa ajiri gani hilo nyie hamlitambui yaaani ndo unakuta mwanamke unajipodoa hadi podo linapita kipimo loh!!!!! 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mpk anakuwa km misiuka 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Mtu unakuta akitaka kwenda sokoni unajipodoa unajipodo unajinyunyizia marashi mazuuuuri yenye kunukia ila ukiwa ndani unatema harufu za makwapa sasa huko nje unamnukisha Nani??????? 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Tubadilke Wanawake nyumban tunashnda wachafu Kwel Ngoja mtu atake kutoka utafikilia mwana sesele 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mwanamke unatakiwa uwe msaf kila dakika sio mpk utoke na hzo make up utafikilia lijn Kabura hamjuag tuuu 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Hayo mavipodozi unapaswa uvitumie ukiwa kwa Mme wako sasa mtu unakuta ukiwa ndani kwa mmeo mdomo umekauka kama unanjaa ya miaka mitano ila ukitaka kwenda sokono unajipodoa midomo inabadilika je unajipodoa kwa kumtamanisha Nani??????? Leo mtaniambia vizuri 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Sjui nan kawaambia ndan mkae wachafu wachafu ebu mtajen nkampge👊🏿kaen tuuu kimya lkn nawape vdonge vyenu mbadilke 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Ndo kila sku mwanaume anamafua kumbe uchafu Wa kwapa wa mkeo kuoga shda had out wanaume muwe mwawatoa out wake zenu waoge mtaumwa mafua mpk mtakomaa pua 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Unakuta mwanamme anajitahidi kukununulia vipodozi viiiingi ili afurahi kukuona unapendeza ila unavitumia ukitaka kutoka je unajipodoa kwa ajiri ya nani wakati ukiwa ndani hautamaniki ila ukitaka kutoka njiani watu unawatia dhambini je unajipodoa kwa ajiri ya nani????au unamtamanisha Hamza kwa kuwa hajaoa?????? Hahahahaaaa 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Leo mniambie kabs nskie ndan matenet nje lol twasahauliana km n Mwana fulan 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Wanawake bhana ntawapiga ngum👊🏿michezo ya upatu mwacheza alf mwalalamika ooh mume Wangu anitunz ndo maana spend haya kalien hvyo hvyo wapo watu wanashda na ndz tuuu wala hawana shda na nguo zubaen sasa sunnah ztapitilza Sio mathna sasa 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻Mwanamke unakuta ukitaka kutoka unajipakaa rangi za midomoni hadi mdomo unabadilika unakuwa kama DEGE ila ukiwa ndani kwa mmeo mdomo unakuwa kama mpuliza vuvuzela huo mdomo huko nje unampakia Nani wakati mdomo ni wa mmeo???? 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Mkiwa ndan midomo mikavu utafikilia vbambalala aibu mbadilke 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 Alf mkipendeza ndo mnapiga picha kumbe wachafu sasa ntaanza kuwa baloz wa nyumba kum nakuja tuuuu vuuu hod niwaone huko majumban Je mnaoga 👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻 ... Read More
*🔴MWANAMKE ANACHOTAKIWA KUFANYA MUME ASITOKE NJE YA NDOA.🔴* _✍🏾Mapenzi yana kanuni zake, *kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia.* Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza *lakini omba sana* upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati._ _✍🏾Kwa bahati mbaya ukitokea *kumzimikia mtu* ambaye wala hana hata *chembe za penzi kwako,* utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia *vidonda vya tumbo*._ _✍🏾Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata *wapenzi wa ukweli* lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha *penzi*, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani._ _✍🏾Kwa kifupi ni kwamba, *unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda*, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia *utundu na ubunifu* wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake._ ,_✍🏾Ninapozungumzia hayo, *namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi* ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai._ _✍🏾Faragha ni eneo *muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa.* Ninapozungumzia hilo, ni kwa wote yaani mke na mume._ _✍🏾Mwanaume anatakiwa *kumridhisha mkewe kwa kiwango kinachostahili.* Kusiwepo mazingira ya kupeana mambo *kiduchu kwani* ikiwa hivyo lazima mke atakosa furaha iliyokamilika._ _✍🏾Ila sasa leo nataka niwazungumzie kwa kirefu wanawake. Kuna wanawake ambao wamebahatika kupata wanaume wanaowapenda sana na kuwapatia kila wanachohitaji._ _✍🏾Hawa wanatakiwa kujiona ni *wenye bahati kubwa kwani kwa hali ilivyo sasa,* wanawake wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa hawawapati._ _✍🏾Kinachonishangaza ni kwamba, *kuna baadhi ya wanawake ambao wako ndani ya ndoa lakini wamejisahau kwamba wana jukumu la kuwapa waume zao furaha ambazo hawawezi kuzipata kwingine.*_ _✍🏾Ukijaribu kuchunguza utabaini wanawake wengi walio ndani ya ndoa siku hizi wanasalitiwa sana. Hii ni kwa sababu *wamekuwa waongeaji sana lakini wanapokuwa faragha unaweza ukadhani siyo wao.* Hawajui kitu, *wamekaa kama magogo tu halafu eti wanadhani hawatasalitiwa na ndoa zao zitadumu*, zitadumu kwa misingi ipi?_ _✍🏾Mwanamke akae akijua kwamba, mumewe ni kama *mtoto ambaye anatakiwa kubembelezwa huku akipewa vitu vitamu ili kumpumbaza asishawishike kutoka nje.* Ukiwa kwenye ndoa kisha ukachukulia kila kitu poa tu eti kwa kuwa tayari ulishapendwa ipo siku utajikuta ni *mke wa pambo la nyumba tu.*_ _✍🏾Mtaani kuna utitiri wa nyumba ndogo, wanaume walioanzisha makoloni hayo nje ya ndoa zao walikosa wake sahihi ambao wanaweza kuwashikilia waume zao._ _✍🏾Matokeo yake sasa nyumba ndogo hizo ndizo *zinazooonekana kuwashika waume za watu* siku hizi na wanafanikiwa kwa kuwa ni watundu na wabunifu._ _✍🏾Sasa kwa nini wewe mwanamke uliye ndani ya ndoa usifanye kama yale wanayofanya nyumba ndogo?_ *Namalizia kwa maneno haya* _✍🏾Naomba niseme tu kwamba, *huenda unajiamini kuwa ni mzuri na umbo la kuvutia kiasi kwamba,* ni rahisi kupata mwanaume wa kuoa lakini tambua bado utakuwa na kazi kwenye kuidumisha ndoa na kuhakikisha hukaribishi mazingira ya mumeo kutafuta nyumba ndogo._ _Hakikisha *unaonesha uanamke wako ili hata kama huyo mumeo atatoka nje, iwe ni kwa tamaa zake tu lakini mambo ya msingi uwe unampatilizia*._ _ahsanteni sana kwa muda wenu_ _©brayton official love * 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚 ... Read More
*_✍🏻NDANI YA RAHA, NDOA NA UTAMU WAKE🌺_* *✍🏻MAMBO YA KULETA RAHA NA UTAMU IJUMAA*🌺🌺🌺 *🌺Ijumaa Yenye Kheri🌺* *✍🏻KABLA YA MUME KUENDA MSIKITIN MKE KWANZA FANYIANENI MAMBO HAYA ILI UUPATE UTAMU RAHA YA Ijumaa*🌺 ✍🏻✍🏻Mke andaa vitu hivi kwa Ajili ya na Mumeo,kitambaa safi vyeupe 4,,,,,Maji ya Uvugu,Poda ,Kietezo cha Moto,,,,,,,Udi,,,,Mafuta ya Mzaituni,,,Mafuta Ya Nazi,mafuta mazui,Kizoleyo,Viwembe cha Mkono Mashine,Taula mbili,Mkeka au Busati n.k *KAZI YAKE HIVYO VITU.* ✍🏻Busati au Mkeka kwa Ajili ya kutandikia Munapotaka kupeana raha.... ✍🏻✍🏻Viwembe kimoja cha kukatia kucha....chengine kunyoana Nywele sehemu Nyeti ( kwapa na Za Chini) ✍🏻✍🏻Kizoleo Kwa ajili ya kuweka Nywele na kucha zenu,Kitambaa Chenye Majivya Uvugu Uvugu kimoja kufutiana sehemu mutakazo nyoana Nywele 🌺 Chengine Munakaushana hizo sehemu 🌺 Poda kupakana hizo sehem mulizo safishana baada ya kuoga 💞🌺💞 ✍✍Mafuta kwa ajili ya kukandana yaaani kufanyiiana massage ya mwilini 🌺 Mkande mwili mzima Mkaliye kiunoni umkande mgongo / Pia ikande Mashine kwa Mafuta ya Mzaituni,Ukiona mashine imesimama ichumu na iambie bado zamu yako machine ikiwa mbishi kulala Ipe haki yake muingize kwenye kitumbua jipimie Mtoto wa kike muingize kama yote au Nusu uanze kuikatikia Nyonga kwa Raha zako mpagawishe hadi Maji ayatamke kwa kiarabuuu m'bane kwenye kuta za Uke wako iki azidi kupagawa mpaka amalize hamu yake . 🌺 Akishamaliza mfute MPE Ahsante kwa raha hizo.....Mbebe Mumeo kama unamuweza had Bafuni kwa Ajili ya Kuogeshana 🌺💓🌺 Tuishie hapo kwa Leo usikoshe pati ya bafuni na Raga za kuogeshana. *@alhy@* ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: