Home → Love sms
→ *🔴MWANAMKE ANACHOTAKIWA KUFANYA MUME ASITOKE NJE YA NDOA.🔴*
_✍🏾Mapenzi yana kanuni zake, *kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia.* Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza *lakini omba sana* upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati._
_✍🏾Kwa bahati mbaya ukitokea *kumzimikia mtu* ambaye wala hana hata *chembe za penzi kwako,* utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia *vidonda vya tumbo*._
_✍🏾Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata *wapenzi wa ukweli* lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha *penzi*, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani._
_✍🏾Kwa kifupi ni kwamba, *unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda*, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia *utundu na ubunifu* wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake._
,_✍🏾Ninapozungumzia hayo, *namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi* ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai._
_✍🏾Faragha ni eneo *muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa.* Ninapozungumzia hilo, ni kwa wote yaani mke na mume._
_✍🏾Mwanaume anatakiwa *kumridhisha mkewe kwa kiwango kinachostahili.* Kusiwepo mazingira ya kupeana mambo *kiduchu kwani* ikiwa hivyo lazima mke atakosa furaha iliyokamilika._
_✍🏾Ila sasa leo nataka niwazungumzie kwa kirefu wanawake. Kuna wanawake ambao wamebahatika kupata wanaume wanaowapenda sana na kuwapatia kila wanachohitaji._
_✍🏾Hawa wanatakiwa kujiona ni *wenye bahati kubwa kwani kwa hali ilivyo sasa,* wanawake wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa hawawapati._
_✍🏾Kinachonishangaza ni kwamba, *kuna baadhi ya wanawake ambao wako ndani ya ndoa lakini wamejisahau kwamba wana jukumu la kuwapa waume zao furaha ambazo hawawezi kuzipata kwingine.*_
_✍🏾Ukijaribu kuchunguza utabaini wanawake wengi walio ndani ya ndoa siku hizi wanasalitiwa sana. Hii ni kwa sababu *wamekuwa waongeaji sana lakini wanapokuwa faragha unaweza ukadhani siyo wao.* Hawajui kitu, *wamekaa kama magogo tu halafu eti wanadhani hawatasalitiwa na ndoa zao zitadumu*, zitadumu kwa misingi ipi?_
_✍🏾Mwanamke akae akijua kwamba, mumewe ni kama *mtoto ambaye anatakiwa kubembelezwa huku akipewa vitu vitamu ili kumpumbaza asishawishike kutoka nje.* Ukiwa kwenye ndoa kisha ukachukulia kila kitu poa tu eti kwa kuwa tayari ulishapendwa ipo siku utajikuta ni *mke wa pambo la nyumba tu.*_
_✍🏾Mtaani kuna utitiri wa nyumba ndogo, wanaume walioanzisha makoloni hayo nje ya ndoa zao walikosa wake sahihi ambao wanaweza kuwashikilia waume zao._
_✍🏾Matokeo yake sasa nyumba ndogo hizo ndizo *zinazooonekana kuwashika waume za watu* siku hizi na wanafanikiwa kwa kuwa ni watundu na wabunifu._
_✍🏾Sasa kwa nini wewe mwanamke uliye ndani ya ndoa usifanye kama yale wanayofanya nyumba ndogo?_
*Namalizia kwa maneno haya*
_✍🏾Naomba niseme tu kwamba, *huenda unajiamini kuwa ni mzuri na umbo la kuvutia kiasi kwamba,* ni rahisi kupata mwanaume wa kuoa lakini tambua bado utakuwa na kazi kwenye kuidumisha ndoa na kuhakikisha hukaribishi mazingira ya mumeo kutafuta nyumba ndogo._
_Hakikisha *unaonesha uanamke wako ili hata kama huyo mumeo atatoka nje, iwe ni kwa tamaa zake tu lakini mambo ya msingi uwe unampatilizia*._
_ahsanteni sana kwa muda wenu_
_©brayton official love *
🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚
*🔴MWANAMKE ANACHOTAKIWA KUFANYA MUME ASITOKE NJE YA NDOA.🔴* _✍🏾Mapenzi yana kanuni zake, *kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia.* Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza *lakini omba sana* upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati._ _✍🏾Kwa bahati mbaya ukitokea *kumzimikia mtu* ambaye wala hana hata *chembe za penzi kwako,* utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia *vidonda vya tumbo*._ _✍🏾Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata *wapenzi wa ukweli* lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha *penzi*, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani._ _✍🏾Kwa kifupi ni kwamba, *unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda*, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia *utundu na ubunifu* wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake._ ,_✍🏾Ninapozungumzia hayo, *namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi* ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai._ _✍🏾Faragha ni eneo *muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa.* Ninapozungumzia hilo, ni kwa wote yaani mke na mume._ _✍🏾Mwanaume anatakiwa *kumridhisha mkewe kwa kiwango kinachostahili.* Kusiwepo mazingira ya kupeana mambo *kiduchu kwani* ikiwa hivyo lazima mke atakosa furaha iliyokamilika._ _✍🏾Ila sasa leo nataka niwazungumzie kwa kirefu wanawake. Kuna wanawake ambao wamebahatika kupata wanaume wanaowapenda sana na kuwapatia kila wanachohitaji._ _✍🏾Hawa wanatakiwa kujiona ni *wenye bahati kubwa kwani kwa hali ilivyo sasa,* wanawake wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa hawawapati._ _✍🏾Kinachonishangaza ni kwamba, *kuna baadhi ya wanawake ambao wako ndani ya ndoa lakini wamejisahau kwamba wana jukumu la kuwapa waume zao furaha ambazo hawawezi kuzipata kwingine.*_ _✍🏾Ukijaribu kuchunguza utabaini wanawake wengi walio ndani ya ndoa siku hizi wanasalitiwa sana. Hii ni kwa sababu *wamekuwa waongeaji sana lakini wanapokuwa faragha unaweza ukadhani siyo wao.* Hawajui kitu, *wamekaa kama magogo tu halafu eti wanadhani hawatasalitiwa na ndoa zao zitadumu*, zitadumu kwa misingi ipi?_ _✍🏾Mwanamke akae akijua kwamba, mumewe ni kama *mtoto ambaye anatakiwa kubembelezwa huku akipewa vitu vitamu ili kumpumbaza asishawishike kutoka nje.* Ukiwa kwenye ndoa kisha ukachukulia kila kitu poa tu eti kwa kuwa tayari ulishapendwa ipo siku utajikuta ni *mke wa pambo la nyumba tu.*_ _✍🏾Mtaani kuna utitiri wa nyumba ndogo, wanaume walioanzisha makoloni hayo nje ya ndoa zao walikosa wake sahihi ambao wanaweza kuwashikilia waume zao._ _✍🏾Matokeo yake sasa nyumba ndogo hizo ndizo *zinazooonekana kuwashika waume za watu* siku hizi na wanafanikiwa kwa kuwa ni watundu na wabunifu._ _✍🏾Sasa kwa nini wewe mwanamke uliye ndani ya ndoa usifanye kama yale wanayofanya nyumba ndogo?_ *Namalizia kwa maneno haya* _✍🏾Naomba niseme tu kwamba, *huenda unajiamini kuwa ni mzuri na umbo la kuvutia kiasi kwamba,* ni rahisi kupata mwanaume wa kuoa lakini tambua bado utakuwa na kazi kwenye kuidumisha ndoa na kuhakikisha hukaribishi mazingira ya mumeo kutafuta nyumba ndogo._ _Hakikisha *unaonesha uanamke wako ili hata kama huyo mumeo atatoka nje, iwe ni kwa tamaa zake tu lakini mambo ya msingi uwe unampatilizia*._ _ahsanteni sana kwa muda wenu_ _©brayton official love * 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚
Artikel Terkait
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 *MUHIMU:TAMBUA UTAMU WA MAPENZI NA JINSI YA KUULINDA KATIKA MAHUSIANO.* Kuna sababu za msingi kabisa kuelezea mambo ya kuzingatia ili kutambua vitu vitakavyokufanya ufurahie utamu wa ndoa yako. Kuishi na mke au mume sii kitu rahisi kama ambavyo watu wengi ambao hawako katika ndoa hufikiria. Hivi ni vipengere baadhi tu, wanandoa na wampenzi wanapaswa kuvitambua; Kwanza kabisa ni kwambie kwamba utamu wa mapenzi sii lazima ufanye tendo la ndoa ama ngono, kuna mambo kibao ambayo moyo wa binadamu ukiyakosa huweza kukonda kama muathirika wa magonjwa hatari ya mwili. #"Upendo kutoka kwa yule umpendae", hili ndilo jambo kubwa la kwanza katika afya ya moyo ulio katika dimbwi la mapenzi. Hakuna kitu kitamu kama kupendwa na ukapenda pia, kitendo hiki hufunga macho yote ya vishawishi vya dunia hii ya kidigitali. Usilazimishe upendo kwa mtu ambae unaonekana kuwa wewe tu ndiye unaye mjali wakati yeye hana habari na wewe. Ndio maana ukitaka kuingia katika ndoa lazima umtafute mtu unayempenda na anayekupenda ili muishi katika maisha yasiyo ya kushawishika kufuata matamanio mengine nje ya ndoa. Kitu cha pili katika kufurahia utamu wa penzi ni #"amani" watu wengi wana wanaume na wanawake warembo, lakini hawafurahii mapenzi kwasababu hawana amani ndani ya nyumba. Utafurahia utamu wa mahusiano ya ndoa endapo utakuwa na moyo uliopondeka mbele za Mwenyezi Mungu, yani kuvumiliana katika changamoto za maisha. Wapo watu wao ni maarufu kwa kuharibu mahusiano ya watu "tofauti na ndugu yako wa karibu" hakuna mtu anayefurahia kukuona unamwanamke mrembo ndani ya nyumba au mwanaume mtanashati ndani ya nyumba, na kwambia hili, jifunze kutunza siri za uzuri wa mkeo au mmeo. Kunawatu wanavitaka vitu hivi sana hata kwa gharama yoyote ile na popote vitakapopatikana vitanakuwa halali yao. Kama mpenzi wako anakupa penzi tamu na la kistaarabu, basi haina haja ya kumueleza rafiki yako maana hujui yeye anakosa nini katika mahusiano yake na mwenzi wake. Pesa ni silaha kubwa sana katika mapenzi haya ya kizazi cha digitali, pesa zimekuwa na ushawishi mkubwa sana katika mapenzi hivyo unapaswa kuwa msiri katika mambo yako ya chumbani. Cha msingi zaidi, hakuna mtu anayefurahi kusalitiwa katika mapenzi, kila mtu anatamani kummiriki mwenzi wake asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano. Tunajua kabisa dunia hii kila siku tunakutana na wasichana warembo kabisa na pia tunakutana na wanaume watanashati sii kidogo, lakini kitu cha msingi ni kuyashinda macho na kuamini #"UKIONA VYAELEA UJUE............? 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 Dr Luv🤓🤓🤓 ... Read More
*_✍🏻NDANI YA RAHA, NDOA NA UTAMU WAKE🌺_* *✍🏻MAMBO YA KULETA RAHA NA UTAMU IJUMAA*🌺🌺🌺 *🌺Ijumaa Yenye Kheri🌺* *✍🏻KABLA YA MUME KUENDA MSIKITIN MKE KWANZA FANYIANENI MAMBO HAYA ILI UUPATE UTAMU RAHA YA Ijumaa*🌺 ✍🏻✍🏻Mke andaa vitu hivi kwa Ajili ya na Mumeo,kitambaa safi vyeupe 4,,,,,Maji ya Uvugu,Poda ,Kietezo cha Moto,,,,,,,Udi,,,,Mafuta ya Mzaituni,,,Mafuta Ya Nazi,mafuta mazui,Kizoleyo,Viwembe cha Mkono Mashine,Taula mbili,Mkeka au Busati n.k *KAZI YAKE HIVYO VITU.* ✍🏻Busati au Mkeka kwa Ajili ya kutandikia Munapotaka kupeana raha.... ✍🏻✍🏻Viwembe kimoja cha kukatia kucha....chengine kunyoana Nywele sehemu Nyeti ( kwapa na Za Chini) ✍🏻✍🏻Kizoleo Kwa ajili ya kuweka Nywele na kucha zenu,Kitambaa Chenye Majivya Uvugu Uvugu kimoja kufutiana sehemu mutakazo nyoana Nywele 🌺 Chengine Munakaushana hizo sehemu 🌺 Poda kupakana hizo sehem mulizo safishana baada ya kuoga 💞🌺💞 ✍✍Mafuta kwa ajili ya kukandana yaaani kufanyiiana massage ya mwilini 🌺 Mkande mwili mzima Mkaliye kiunoni umkande mgongo / Pia ikande Mashine kwa Mafuta ya Mzaituni,Ukiona mashine imesimama ichumu na iambie bado zamu yako machine ikiwa mbishi kulala Ipe haki yake muingize kwenye kitumbua jipimie Mtoto wa kike muingize kama yote au Nusu uanze kuikatikia Nyonga kwa Raha zako mpagawishe hadi Maji ayatamke kwa kiarabuuu m'bane kwenye kuta za Uke wako iki azidi kupagawa mpaka amalize hamu yake . 🌺 Akishamaliza mfute MPE Ahsante kwa raha hizo.....Mbebe Mumeo kama unamuweza had Bafuni kwa Ajili ya Kuogeshana 🌺💓🌺 Tuishie hapo kwa Leo usikoshe pati ya bafuni na Raga za kuogeshana. *@alhy@* ... Read More
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 👰💍MBINU ZA KUFANYA ILI MPENZI WAKO AKUOE👰💍💍💍 💍Mwali kuolewa katika maisha ni jambo muhimu sana,ndio maana inaelezwa matukio muhimu katika maisha ni kuzaliwa,ndoa na kifo 💍Ndoa ni heshima mwali na ni fahari ya mwanamke hata kama usome hadi mwisho lkn swala la ndoa ni muhim sana hata kama umezeeka👌👌hakuna asiotamani kuolewa mwali wangu upoo👌japo siku hiz watu wanajifariji kwa kauli zao eti waowaji hawapo😤nyoo kakudanganya nani??waoaji wapo sana na hakijabadilika kitu👌 💍💍Leo ntashare tips kadhaa zitakazokusaidia kumuweka boy wako sawa hatimae aone wewe ni wife material,unafaa kuwa mama watoto wake ndani ya nyumba yake upo mwali👌👌👌 💍💍💍Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. 👌👌 💍💍💍💧MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA👇👇👇💍👰👰 1. Usiigize. Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia,mwache akupende hivyohivyo ulivyo sio unaweka maigizo alafu mwisho wa siku unajisahau unaweka tabia zako halisi hii inaweza fanya kidume afikilie upya uamuz wa kukuoa au la. 💕💕💕 2. Don't move too fast/act desperate. Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho. 💕💕💕 3.Don't be too demanding. Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimishwa na wewe,mwache aamue mwenyewe japo kumweleza shida zako au mambo unayotaka ni Haki yako lkn angalia vilivyo ndani ya uwezo wake,ila usiwe omba omba sana ndio maana siku hiz wanaume wanaoa wanawake wenye shughuli zao kuepuka hili,sasa ili kuondoa hilo jishughulishe usimtegemee sana yeye kwa kila kitu 💕💕💕 4. Kuwa na shukurani. Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo hii ni kitu muhimu sana 💕💕💕 5. Be real. Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la. 💕💕💕 6. Learn to cook if you don't know how to. Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake. 💕💕💕💕💕 7. Mheshimu. Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki. 💕💕💕💕 8. Kuwa ngao yake. Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.hili litamfanya akuone wife material 💕💕💕 9. Kuwa muwazi. Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.sio kujibebesha mimba bila kuamua na mchumba wako,ndomaana wazee wa zamani ndoa zilidumu kwasababu wengi wao walisubir ndoa ndio wakazaa watoto 💕💕💕 10. Usiwe na chuki. Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe. 💕💕💕💕 11. Give your all. Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu hasa mkiwa chumbani,mpe vitu adimu hadi akumis sehemu yeyote anapokua kwa ujuzi wako chumbani mpe yote bila kumbania wala aibu, kuwa mtundu na usiwe mvivu usiokua na faida 💕💕💕💕💕 12.Pendeza. Vaa/onekana vizuri unapokuwa nae nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako kiasi kwamba hatoona tabu kukutambulisha kwa rafiki zake,vaa mavaz kuendana na wakati mkiwa nje ila yasiwe ya nusu uchi,mwanamke stara👌👌hakuna mwanaume anaependa mwanamke asiejiheshim, wakati mwinginemavaz hutambulisha tabia zako 13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye. Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa. 💕💕💕💕 14.Kuwa mtulivu. Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana. 💕💕💕💕 15.Usimzonge. Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu ama ku-ignore simu/text zako. 💕💕💕💕 16. Mfurahishe/chekeshe. Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe. 💕💕💕💕 17. Jifunze kusamehe. Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite. 💕💕💕💕 18.penda sana ndugu zake Mwali unatakiwa uwapende ndugu wa huyo boy wako na wazazi wake wape heshima zote,jipendekeze kwao hao ndo watakaokusaidia pale mpenz wako atakapowashirikisha maamuz yake ya kukuoa 💕💕💕💕 19.kuwa mshauri wake Mwali watakiwa uwe mshauri wake ,tena tumia busara na hekima ktk kumshaur jambo lolote lile linalomuhusu na linalohusu mahusiano yenu bila kupayuka payuka 💕💕💕 20Kuwa msiri wake Unatakiwa utunze siri za mpenz wako sio kitu kidogo tu ushaenda kusimulia watu,atakuona wewe hufai pindi atakapoyasikia huko nje,mwanamke shurti uwe na kifua cha kumvumilia mpenz wako kwa shida na raha 💕💕💕 Mwisho kabisa Mshirikishe Mungu wako. Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho.🙏🏾hili ni jambo kubwa sana sanaaa. Timiza yote hayo👆🏽na wallah ndoa itakua halali yako👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 💍💍💍💍💍chuo cha mahaba 💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 ... Read More
*🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖MUDA WA UMALAYA🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖* 🔖HUJAAMBIWA MUME AKIFIKA BASI NDIO UWE UCHI TU👌🏿 🔖KWA VILE UMEAMBIWA UKIKUBALI KUOLEWA UKUBALI KULALA UCHI BASI WW NDIO KILA UINGIAPO USIKU NI UCHI TU👌🏿 🔖MWANAMKE LAZIMA UWE NA VILE VINGUO VYA KULALIA VYA KICHOKOZI AMBAVYO VITAKUFANYA UONEKAME KM MALAIKA USIKU👌🏿 🔖UNAVAA MUDA ULE UNAPIGA STORI NA MUMEO ILI KUMVUTIA 🔖VAA BIKINI NA SIDILIA NZURIII YA KUVUTIA 🔖VAA NIGHT DRESS ZA KIMALAYA MALAYA 🔖KM NI KAMTANDIO VAA KAZURI SIO MTANDIO KM DEKIO👌🏿 🔖ANDAA NGUO.ZA KIMAHABA KWAAJILI YA MUMEO ISIKU UWE UNAMVALIA WALA HAZIUZWI BEI 🔖KABLA YA TENDO LAZIMA UWE NA MUDA WA KUMUOMESHA MUMEO HOW BEAUTIFUL YU A!!👌👌?msidhani sijui kingereza kungwi wenu nna Phd 🔖JE WANGAPI HUMU KUNDUNI UWA WANAHUO.MUDA WA KUMUONESHA MUMEO UMALAYAAA👌🏿muda uliojipamba na kumtega tega mala uiname👌 mala uokote kitu mala ukachukue limoti💋 basi tu kumtega na kivazi chako👌🏿 🔖AU WW UNAWAZA TU KUOGA NA KWENDA KITANDANI👌🏿 🔖MUDA WA KIMALAYA NI MZURI SANAAA HAPA NDIO MUMEO UTAMFANYA AWE ANAWAHI HURUDI NYUMBANI 🔖MUDA WA UMALAYA NDIO MUDA MZURI AMBAO MWANAUME ATAJIONA YUPO PEPONI NA KUTO JUTIA MAHALI ALIYOKUTOLEA 🔖HUU MUDA KM ULIKUA HAUNA KUANZIA LEO UUTAFUTE 👌🏿 🔖MWANAFUNZI MARUFUKU KUACHIKA UPOOOO👌🏿 🔖SITAKI WANAFUNZI AMBAO HAWAZINGATII MASOMO 🔖MWANAFUNZI WANGU LAZIMA UIVE KATIKA 🔖utundu kitandani 🔖urembo 🔖MAPISHI nk Saasaaaaaaa unaachikaaje kwamfanooooooo👌🏿 Ole wako uachike 👌🏿👌🏿👌🏿 🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖🔖 nawatakia usiku mmwema ... Read More
*RANGI ZA UTE NA MAANA ZAKE.* Kuna rangi za ute ambazo hutoka kwenye uke, zipo za kawaida na zisizo za kawaida, kutofahamu ute wa kawaida huongeza hofu kwa wengi lakini ukifahamu ute wa kawaida ni msaada kujua ute upi si wa kawaida na kugundua mapema kwamba upo kwenye tatizo linalohitaji tiba. 🌹 Rangi ya ute unaotoka kwenye uke unapaswa kuwa mweupe na wenye kuonekana vyema (clear), ute huo ni sehemu ya mwili kufanya kazi vizuri, unatoka kwaajili ya kusafisha na kuweka uke salama. 🌹 Uzito na muonekano wake unategemea zaidi uko katika kipindi gani ndani ya uanguaji mayai au kipindi cha damu ya hedhi kwa ujumla. 🌹 Mabadiliko yoyote ya rangi ya ute zikiambatana na dalili tofauti inaweza kuwa ni sehemu ya maambukizi fulani,yanayohitaji uangalizi na umakini ni vyema kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. 🌹 Unapaswa kuangalia zaidi rangi ya ute na harufu yake, ni rahisi kujua tatizo ndani yake, ute wa kawaida hautoi harufu wala haukeri, lakini wenye maambukizi fulani unatoa harufu. UTE MWEUPE.(white)⚪ Huu ni ute wa kawaida kutoka kwa mwanamke hasa katika kipindi cha hedhi lakini utakapokuwa mzito kiasi na wenye kufanana na mtindi,ukiambatana na maumivu ni dalili ya maambukizi (yeast infection) Matibabu baada ya uchunguzi yanahitajika. 🌹 UTE WA MAJIMAJI.(clear waterly) Ute wa majimaji ni ute unaohitajika zaidi kwa mwanamke, ute unaofanya uke usiwe mkamvu, ute huu mwanamke anapaswa kuhakikisha anakuwa nao hasa kwenye tendo la ndoa, unasaidia kulinda manii na kuzisafirisha, unaleta uwezekano mkubwa wa mimba kutunga.Ute unaoshiria kwamba upo kwenye kipindi cha kuangua mayai, ukiwa nao wala hauna shida wala tatizo. 🌹 UTE WA NJANO.( yellow or greenish) 💛 Ute huu si salama unapomtoka mwanamke, ni ute unaoshiria maambukizi ya bakteria pamoja na magonjwa ya zinaa, hutoa harufu isiyopendeza unaweza ukaambatana na ukijani ndani yake, pindi unapouona nenda hospitali na mwenza wako, magonjwa ya zinaa hutibiwa na wapenzi wote wawili ili kuepusha muendelezo wa maambukizi endapo atatibiwa mmoja. 🌹 UTE WA KAHAWIA. (brown) Ute huu humtoka mwanamke pindi anapomaliza hedhi yake, husafisha uke baada ya hedhi, unaweza kuambatana na damu damu kiasi lakini unaweza kutokwa na ute huu katikati ya hedhi yako au kipindi cha mwanzo cha ujauzito. 🌹 Wenye mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika huweza kusababisha kutokwa na ute huu, pindi unapotokwa zaidi na ute huu inaweza kuwa ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi. ni vyema kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi. 🌹 Sababu za kutokwa na uchafu ukeni tumeshajifunza kwenye somo lake, ni vyema kusoma yote kwa makini ili uweze kujua zaidi kwanini unatokwa na ute au uchafu ukeni na nini ufanye. Asante🌹 BEAUTY ZONE 2 ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: