Home → Love sms
→ 🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻
*💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞*
🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺
_✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_
_✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_
_✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_
_✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_
_✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_
_✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_
_*Namalizia kwa hili*_
_✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_
```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo```
_©brayton official love _
🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚
🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞* 🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺 _✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_ _✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_ _✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_ _✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_ _✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_ _✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_ _*Namalizia kwa hili*_ _✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_ ```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo``` _©brayton official love _ 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚
Artikel Terkait
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 👰💍MBINU ZA KUFANYA ILI MPENZI WAKO AKUOE👰💍💍💍 💍Mwali kuolewa katika maisha ni jambo muhimu sana,ndio maana inaelezwa matukio muhimu katika maisha ni kuzaliwa,ndoa na kifo 💍Ndoa ni heshima mwali na ni fahari ya mwanamke hata kama usome hadi mwisho lkn swala la ndoa ni muhim sana hata kama umezeeka👌👌hakuna asiotamani kuolewa mwali wangu upoo👌japo siku hiz watu wanajifariji kwa kauli zao eti waowaji hawapo😤nyoo kakudanganya nani??waoaji wapo sana na hakijabadilika kitu👌 💍💍Leo ntashare tips kadhaa zitakazokusaidia kumuweka boy wako sawa hatimae aone wewe ni wife material,unafaa kuwa mama watoto wake ndani ya nyumba yake upo mwali👌👌👌 💍💍💍Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. 👌👌 💍💍💍💧MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA👇👇👇💍👰👰 1. Usiigize. Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia,mwache akupende hivyohivyo ulivyo sio unaweka maigizo alafu mwisho wa siku unajisahau unaweka tabia zako halisi hii inaweza fanya kidume afikilie upya uamuz wa kukuoa au la. 💕💕💕 2. Don't move too fast/act desperate. Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho. 💕💕💕 3.Don't be too demanding. Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimishwa na wewe,mwache aamue mwenyewe japo kumweleza shida zako au mambo unayotaka ni Haki yako lkn angalia vilivyo ndani ya uwezo wake,ila usiwe omba omba sana ndio maana siku hiz wanaume wanaoa wanawake wenye shughuli zao kuepuka hili,sasa ili kuondoa hilo jishughulishe usimtegemee sana yeye kwa kila kitu 💕💕💕 4. Kuwa na shukurani. Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo hii ni kitu muhimu sana 💕💕💕 5. Be real. Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la. 💕💕💕 6. Learn to cook if you don't know how to. Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake. 💕💕💕💕💕 7. Mheshimu. Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki. 💕💕💕💕 8. Kuwa ngao yake. Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.hili litamfanya akuone wife material 💕💕💕 9. Kuwa muwazi. Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.sio kujibebesha mimba bila kuamua na mchumba wako,ndomaana wazee wa zamani ndoa zilidumu kwasababu wengi wao walisubir ndoa ndio wakazaa watoto 💕💕💕 10. Usiwe na chuki. Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe. 💕💕💕💕 11. Give your all. Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu hasa mkiwa chumbani,mpe vitu adimu hadi akumis sehemu yeyote anapokua kwa ujuzi wako chumbani mpe yote bila kumbania wala aibu, kuwa mtundu na usiwe mvivu usiokua na faida 💕💕💕💕💕 12.Pendeza. Vaa/onekana vizuri unapokuwa nae nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako kiasi kwamba hatoona tabu kukutambulisha kwa rafiki zake,vaa mavaz kuendana na wakati mkiwa nje ila yasiwe ya nusu uchi,mwanamke stara👌👌hakuna mwanaume anaependa mwanamke asiejiheshim, wakati mwinginemavaz hutambulisha tabia zako 13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye. Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa. 💕💕💕💕 14.Kuwa mtulivu. Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana. 💕💕💕💕 15.Usimzonge. Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu ama ku-ignore simu/text zako. 💕💕💕💕 16. Mfurahishe/chekeshe. Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe. 💕💕💕💕 17. Jifunze kusamehe. Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite. 💕💕💕💕 18.penda sana ndugu zake Mwali unatakiwa uwapende ndugu wa huyo boy wako na wazazi wake wape heshima zote,jipendekeze kwao hao ndo watakaokusaidia pale mpenz wako atakapowashirikisha maamuz yake ya kukuoa 💕💕💕💕 19.kuwa mshauri wake Mwali watakiwa uwe mshauri wake ,tena tumia busara na hekima ktk kumshaur jambo lolote lile linalomuhusu na linalohusu mahusiano yenu bila kupayuka payuka 💕💕💕 20Kuwa msiri wake Unatakiwa utunze siri za mpenz wako sio kitu kidogo tu ushaenda kusimulia watu,atakuona wewe hufai pindi atakapoyasikia huko nje,mwanamke shurti uwe na kifua cha kumvumilia mpenz wako kwa shida na raha 💕💕💕 Mwisho kabisa Mshirikishe Mungu wako. Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho.🙏🏾hili ni jambo kubwa sana sanaaa. Timiza yote hayo👆🏽na wallah ndoa itakua halali yako👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 💍💍💍💍💍chuo cha mahaba 💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 ... Read More
*KWA NINI BAADHI YA WANAWAKE HULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA?* Inaelezwa kuwa hatua ya baadhi ya wanawake wakati wa tendo la ndoa ni kama kutua mzigo wa moyo na kisaikolojia. Kupitia kilio hicho, mwanamke huonesha furaha yake ya kuwa karibu na mumewe na kuonesha kuwa hana tatizo la kuelezea kuridhia kwake na kufika kileleni. Baadhi ya nyakati mwanamke huyaelezea yote hayo kupitia kilio. Lakini kwa upande mwingine, mwanamke anaweza akalia kwa sababu ya kutofurahia tendo la ndoa, jambo linaloonesha kuwa hakuna utamu kwenye tendo husika na kuonesha kuwa wanandoa husika hawana mrandano. Hivyo, mchanganyiko wa hisia za furaha na kufika kileleni au kutofurahia tendo kama atakavyo, humfanya alie. Hivyo unapokutana na hali hiyo ya mwanamke, usimkasirikie, usimkimbie na kumgeuzia mgongo kwa kuamini kwamba hajakufurahia au hakupendi. Bali unatakiwa kujua kwamba katika hali ya kwanza mwanamke anafurahia tendo la ndoa pamoja nawe na anakujali, lakini katika hali ya pili unatakiwa umsaidie aweze kufurahia tendo na kuboresha ukaribu wa kimwili na kisaikolojia kati yenu ili kufikishana kileleni kama inavyotakiwa. Nakutakieni usiku mwema ... Read More
*💞💖KUFANAYA MAPENZ SI KUPATA WATOTO KUWA MBUNIFU WA TABIA💝💞💝* *💕💝💕💝💕💝💝💝💝Sex kwa wanandoa haipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu. Kama mke, kila mara lazima uwe tofauti kwa mumeo💕💝💕💝💕💝*. Mshawishi mumeo, usiruhusu mumeo akuombe sex, usiwe na ratiba ya sex. Kuwa mbunifu, na wala usitabirike. Mpe ile anayostahili.. kama ukipoteza mvuto kwa mumeo, basi umepoteza thamani yako kama mwanamke. Kuwa sehemu ya mipango ya mume wako. Hakuna kitu mume wako atakipenda kama kumuomba sex, toa aibu....huyo ni mume wako..mmehalarishwa mbele za Mungu, penis yake ni mali yako pia... Inashangaza kuna baadhi ya wanawake hata hawajui penis za waume zao zikoje. Ichezee unavyotaka, usiku usilale na suruali au jinsi...acha ngozi yako laini imguse mumeo...kuna raha kubwa mwanaume anavyoguswa na ngozi yako laini...msisimuko wake ni wa kiwango cha PhD. ```Mwanaume anavyokuwa satisfied na sex siku zote anakuwa stable kiakili na kimwili...anafurahia maisha na atatamani kurudi nyumbani kila mara...🌹💋🌹💋🌹💋🌹💋``` *💋👄💋👄💋👄💋👄💋💋👄💋👄💋👄💋Msikariri kwamba sex lazima iwe usiku tu, fanyeni hata mchana...kama uko nyumbani na mumeo yupo kazini...mwite hata muda wa lunch aje nyumbani...fanyeni tendo hata la nusu saa tu...huo ndio ubunifu na ndoa haitaboa.💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋* ```👄👄👄👄👄👄👄👄👄Mtii mumeo kwa moyo mmoja, kamwe usimweleze kwamba upo hapo kwa ajili ya watoto.. Kumbuka ulianza kumjua yeye kabla watoto hawajaja.👄👄👄👄👄👄👄🍇👄``` *🌹💕🌹💕🌹💕🍍💕🌹💕🌹🌽🌹💕🌹🌽Mbembeleze mumeo, weka kichwa chake kwenye kifua chako. Muombee...mpe kiss ya kibabe...mmmhwwwwaaa....usijihisi vibaya kumkiss mbele ya public...yeye ni mumeo..mali yako halali kabisa hata malaika mbinguni wanajua💕🌹💕🌹💕🌹💕💕🌹🌹*. ```👄👄👄👄👄👄👄👄👄👄👄👄👄👄Kuwa romantic uwapo nyumbani, vaa nguo laini za mitego....usivae mivitenge na magauni magumu....👄👄👄👄👄👄👄👄👄``` *💖🌹💖🌹💖🌹💖🌹🌹💖🌹🌹💖Kuwa msafi kila muda...Nukia kwa manukato yenye mvuto, usinukie mapilipili hoho na mavitunguu swaumu....kama vipi nunua sex lingarie halafu vaa kila muda uwapo na mumeo peke yenu.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤* *💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝Usionekane kama una miaka 50 wakati hata 40 hujafikisha...fanya mazoezi, acha bia, nyama choma, chips mayai, mapizza, na mavyakula mengine yenye wanga mwingi.💕🌹💕🌹💕🌹💕🌹🌹💕🌹💕* *💕🌹💕🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💕🌹🌹💕🌹Tunza vizuri mwili wako, mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na fahari ya macho ya mume...sasa ukipoteza mvuto umefanya kosa kubwa sana. Fanya jitihada kupigania kuwa na mwili uliokuwa nao mwanzo.💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕* ... Read More
🎀🎀UKIWA NA MAMBO HAYA MUMEO ATAKUPENDA SANAA🎀🎀 Ni sifa 7 ambazo mwanamke anatakiwa kujipamba nazo ili azidi kumteka mwanaume, hasa mume anayejitambua... Ni muhimu kutambua kuwa suala la uchaguzi wa mwenza ni jambo la kwanza kabisa kwa sababu ndio dira ya maisha yako ya ndoa... Je, unapaswa kuwa vipi ili mumeo akupende? 🌺🌺🌺🌺 1. MWENYE HISIA ZA UCHESHI: Ikiwa unafurahishwa na utani wake, ni jambo litakalomvutia sana. Lakini ukiwa mwepesi wa kuchukia na kukasirika, yumkini mumeo asivutike nawe. Jitahidi kuwa na hisia za utani na ucheshi... 🌺🌺🌺 2. MWENYE KUSAMEHE: Unapoelewa kuwa mumeo sio mtu mkamilifu na unapokuwa na uwezo wa kumsamehe kwa dosari zake, hii itamaanisha kuwa unamiliki mojawapo ya sifa muhimu sana ambazo wanaume wanazitaka kwa udi na uvumba. Ukiwa na mchezo wa kumrukia kwa kila kosa dogo analolifanya au ukawa na ukosoaji uliopitiliza, tambua kuwa mumeo hatakuwa mwenye kukufurahia, hata kama ni miongoni mwa wale wasiosema. Niliwahi kumnasihi memba wangu mmoja wa Ndoa Maridhawa kuwa: “Kama wamtafuta mume asiyekosea, hutampata na utaishi bila mume”. 🌺🌺🌺 3. MWENYE SUBIRA: Sifa hii inakaribiana na sifa ya kusamehe niliyoielezea hapo juu. Ninapozungumzia subira hapa ninamaanisha uwezo wa mwanamke wa kuwa na uhusiano na mumewe bila kumshinikiza kuchukua maamuzi ambayo hajajiandaa kuyachukua. Mwanamke anaye anamuonesha mwanaume kuwa yuko tayari kusubiri humvutia zaidi mwanaume kuliko yule anayetoa picha inayoonesha kuwa si mwenye subira. 🌺🌺🌺 4. MWENYE ASHIKI: Mwanamke ambaye sio romantic huwa hamvutii mwanaume. Ili mwanaume avutike unatakiwa kumfanya ahisi raha na uwe mwepesi wa kumchokoza. Ikiwa unadhani kuwa mwanaume ndiye tu anayepeswa kukuchokoza, basi hapo unajitesa na haitakuwa na faida kwako. Boresha uwezo wako wa uchokozi na kuwa romantic utaona namna mumeo atakavyokuwa akikutamani. 🌺🌺🌺 5. MKWELI: Wanaume wanavutiwa sana na mwanamke mkweli, mwaminifu. Ikiwa wewe ni mwanamke unayosema ukweli, usiyeficha ukweli, basi sifa hii itamfanya mwanaume avutike nawe. Ifanye kauli mbiu ya maisha yako iwe ni: “Sema unachofanya, na ufanye unachosema”. Kama ambavyo mwanamke anampenda sana mwanaume mkweli, vivyo hivyo mwanaume anavutiwa na mwanamke mkweli na mnyenyekevu ambayo hapendi makuu. 🌺🌺🌺🌺 6. ALIYEFUNGUKA KIAKILI: Raghba ya ugunduzi wa fikra na mawazo mapya ni sifa nyingine ambayo mwanaume anapenda kuiona kwa mwanamke anayetaka kuangukia katika penzi lake. Ninachokusudia hapa ni ule uwezo wa kuona mbali, kutambua na kuheshimu mtazamo mwingine, hata kama utakuwa kinyume na mtazamo wake. Aidha, miongoni mwa mambo ambayo wanandoa wengi wanakosa ni dira (vision). Hakika iwapo mwanamke ana sifa ya kuwa na dira atamvutia sana mwanaume. 🌺🌺🌺 7. UELEWA WA KIAFYA: Mwanamke ambaye anajitunza humvutia sana mwanaume kuliko mwanamke asiyejitunza. Muonekano wa kimwili humvutia mwanaume. Mume huvutiwa na mwanamke anayefanya mazoezi, anayekula chakula chenye afya, anayezitunza nywele zake na mwili wake kwa ujumla, na anayevaa mavazi maridhawa. Jitahidi sana kumvutia mumeo kwa kuonekana mpya kila siku. mtoto wa kishirazi mwenye kujiamini na kujitambua ... Read More
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 👰💍MBINU ZA KUFANYA ILI MPENZI WAKO AKUOE👰💍💍💍 💍Mwali kuolewa katika maisha ni jambo muhimu sana,ndio maana inaelezwa matukio muhimu katika maisha ni kuzaliwa,ndoa na kifo 💍Ndoa ni heshima mwali na ni fahari ya mwanamke hata kama usome hadi mwisho lkn swala la ndoa ni muhim sana hata kama umezeeka👌👌hakuna asiotamani kuolewa mwali wangu upoo👌japo siku hiz watu wanajifariji kwa kauli zao eti waowaji hawapo😤nyoo kakudanganya nani??waoaji wapo sana na hakijabadilika kitu👌 💍💍Leo ntashare tips kadhaa zitakazokusaidia kumuweka boy wako sawa hatimae aone wewe ni wife material,unafaa kuwa mama watoto wake ndani ya nyumba yake upo mwali👌👌👌 💍💍💍Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. 👌👌 💍💍💍💧MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA👇👇👇💍👰👰 1. Usiigize. Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia,mwache akupende hivyohivyo ulivyo sio unaweka maigizo alafu mwisho wa siku unajisahau unaweka tabia zako halisi hii inaweza fanya kidume afikilie upya uamuz wa kukuoa au la. 💕💕💕 2. Don't move too fast/act desperate. Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho. 💕💕💕 3.Don't be too demanding. Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimishwa na wewe,mwache aamue mwenyewe japo kumweleza shida zako au mambo unayotaka ni Haki yako lkn angalia vilivyo ndani ya uwezo wake,ila usiwe omba omba sana ndio maana siku hiz wanaume wanaoa wanawake wenye shughuli zao kuepuka hili,sasa ili kuondoa hilo jishughulishe usimtegemee sana yeye kwa kila kitu 💕💕💕 4. Kuwa na shukurani. Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo hii ni kitu muhimu sana 💕💕💕 5. Be real. Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la. 💕💕💕 6. Learn to cook if you don't know how to. Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake. 💕💕💕💕💕 7. Mheshimu. Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki. 💕💕💕💕 8. Kuwa ngao yake. Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.hili litamfanya akuone wife material 💕💕💕 9. Kuwa muwazi. Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.sio kujibebesha mimba bila kuamua na mchumba wako,ndomaana wazee wa zamani ndoa zilidumu kwasababu wengi wao walisubir ndoa ndio wakazaa watoto 💕💕💕 10. Usiwe na chuki. Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe. 💕💕💕💕 11. Give your all. Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu hasa mkiwa chumbani,mpe vitu adimu hadi akumis sehemu yeyote anapokua kwa ujuzi wako chumbani mpe yote bila kumbania wala aibu, kuwa mtundu na usiwe mvivu usiokua na faida 💕💕💕💕💕 12.Pendeza. Vaa/onekana vizuri unapokuwa nae nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako kiasi kwamba hatoona tabu kukutambulisha kwa rafiki zake,vaa mavaz kuendana na wakati mkiwa nje ila yasiwe ya nusu uchi,mwanamke stara👌👌hakuna mwanaume anaependa mwanamke asiejiheshim, wakati mwinginemavaz hutambulisha tabia zako 13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye. Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa. 💕💕💕💕 14.Kuwa mtulivu. Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana. 💕💕💕💕 15.Usimzonge. Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu ama ku-ignore simu/text zako. 💕💕💕💕 16. Mfurahishe/chekeshe. Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe. 💕💕💕💕 17. Jifunze kusamehe. Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite. 💕💕💕💕 18.penda sana ndugu zake Mwali unatakiwa uwapende ndugu wa huyo boy wako na wazazi wake wape heshima zote,jipendekeze kwao hao ndo watakaokusaidia pale mpenz wako atakapowashirikisha maamuz yake ya kukuoa 💕💕💕💕 19.kuwa mshauri wake Mwali watakiwa uwe mshauri wake ,tena tumia busara na hekima ktk kumshaur jambo lolote lile linalomuhusu na linalohusu mahusiano yenu bila kupayuka payuka 💕💕💕 20Kuwa msiri wake Unatakiwa utunze siri za mpenz wako sio kitu kidogo tu ushaenda kusimulia watu,atakuona wewe hufai pindi atakapoyasikia huko nje,mwanamke shurti uwe na kifua cha kumvumilia mpenz wako kwa shida na raha 💕💕💕 Mwisho kabisa Mshirikishe Mungu wako. Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho.🙏🏾hili ni jambo kubwa sana sanaaa. Timiza yote hayo👆🏽na wallah ndoa itakua halali yako👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 💍💍💍💍💍chuo cha mahaba 💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: