Labels:
Love sms
at
11:00β―AM
Home β Love sms
β ππππ *π
± professional love*πππππππππππππππHATUA ZA KUZUNGUMZA NA MPENZI WAKO ALIEKASIRIKAππππππππππππππππ
π©π§Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha.
π©π§Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya.
π©π§ hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana.
Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi.
πππππππππππ
Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika.
π
π
MPUNGUZE MHEMKO
Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano.
Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. βBasi mpenzi mwenye makosa ni mimi.β Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi.
π
π
MSOME SAIKOLOJIA YAKE
Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira.
Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. βJ, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?β Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira.
π
π
MRUHUSU AKUJIBU
Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. βUnaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.β Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake
π
π.
EPUKA MARUMBANO
Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena.
βKwa hiyo ulikuwa unasemajeβ¦nilifanya ndiyo,β¦ wewe unaamuaje?β Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano.
π
π
MUOMBE MSAMAHA
Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya mazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. βMpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.β
πππππππππ
Bila shaka kwa haya machache utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππchuo cha mahaba ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
ππππ *π ± professional love*πππππππππππππππHATUA ZA KUZUNGUMZA NA MPENZI WAKO ALIEKASIRIKAππππππππππππππππ π©π§Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. π©π§Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. π©π§ hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. πππππππππππ Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. π π MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. βBasi mpenzi mwenye makosa ni mimi.β Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. π π MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. βJ, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?β Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. π π MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. βUnaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.β Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake π π. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. βKwa hiyo ulikuwa unasemajeβ¦nilifanya ndiyo,β¦ wewe unaamuaje?β Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. π π MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya mazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. βMpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.β πππππππππ Bila shaka kwa haya machache utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππchuo cha mahaba ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Artikel Terkait
π£ MKAO MZURI WA KUMPA KYUMAπ£ π£MUME WAKO WAKATIπ£ π£UMENUNA(UMEKASIRIKA)π£ πππππβ€β€β€β€β€ππππππ π£Raha ya wanaume ni kuto-mind vitu vidogo vidogo kama wanawake wakati mwingine mwanamke hununa/susa a.k.a kudeka kwa vile alipoingia hakukubusu au ulisema afanye kitu "indirect" na yeye hakuelewa ulikuwa unataka nini na hivyo kutofanya ulichotaka afanye. π£Sasa raha ya wanaume ni kuwa hata unune vipi bado "atakuchokoza" tu....sasa pamoja na kununa kwako si vema ukaunyima mwili wako haki yake ... Ukiwa umelala kifudi-fudi lalia tumbo yeye mpenzi ataanza kukuchokoza kwa kushika ku mgongo, makalioni, mapajani au kubusu shingoni n.k π£Nyege zitaanza kukupanda unajau ukiwa umenuna au kususa nyege hupanda haraka..., sasa wakati mwili unaita basi mpe ishara mwenzio kuwa kwa vile umenuna huitaji kusema neno wewe guna na kutoa mihemo yako ya kinyege ambayo huwezi kuizuia alafu anza "kujimuvuzisha" taratiiiiibu. π-Kunja magoti huku kichwa kikiwa kimetulia kitandani kama hali itakayofanya kiuno na makalio yako yainuke kwa juu kiasi, hapo jamaa lazima maruhani ya mpande zaidi kutokana na "muonekano" wa umbile lako na hivyo kuongeza mipapaso sehemu hiyo na hata kwenda kucheza na kisimi kwa kutumia vidole vyake. π-Ukiwa tayari na "umenyevuka" vya kutosha basi jisogeze kwa nyuma zaidi ili ufikie pale kunako utamu kwenye mboo kisha ruhusu kitu kiingie. π-Uume ukiingia inua kiwiliwili chako yeye akiwa kwa nyuma hali itakayomfanya akushikilie sehemu ya tumbo au kucheza na matiti, kubusu shingo, masikio n.k. wakati huo wewe unajipeleka juu-chini taratibu. π-Ukishakojoa rudisha kiwiliwili chako chini lakini na ubaki kana nilivyoeleza awali na yeye atakushikilia kiuno na kukufanya ktk mtindo wa "doggie" mpaka amalize safari yake kisha unajilaza kama ulivyokuwa umelala lalia tumbo yeye akiwa juu na usingizi unawapitia.....mkiamka asubuhi sidhani kama kutakuwa na kununa kwani tule "tuhomoni" twa hasira tunakuwa tumemalizwa. Fanya hivi na mpenzi unaemuamini na sio mzito sana, mana'ke kulaliwa kwa juu sio mcheza. π Ila mjuwe kuwa mwanamke asiepata kitombo kizuri mara kwa mara huwa mchungu(hasira)........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati "ile mwili inataka" utanielewa nina maana gani....wengine nahisi wako humu,π from nowhere unatukanwa 4 no reason.... πππ₯π₯π₯π₯ππ ππΏπ*π ± professional loveπ ... Read More
π―MWALI JINSI YA KUKATA KIUNO KWA RAHA ZAKO MBOO IKIWA NDANI YA KUMA YAKOππ π―π―π― mwanamkeπ©π©:Unatakiwa kukata kiuno wakati wowote utakapojisikia kufanya hivyo au pale unapotaka kufika kileleni haraka. Namna ya ukataji wa kiuno huu ni tofauti na ule wa jukwaani pia ni tofauti na ule wa kumsaidia mwanaume amalize haraka (kwamba anapata utamu kiasi kwamba anahisi kutaka kufika mapema).... ππ©π©π© Mwanamke unatakiwa kukata kiuno kitakachokufanya uhisi kuwa unauzunguuka uume ukiwa ndani ya uke wako, kaza misuli yako ya tumbo kisha aanza kukizunguusha wakati yeye mwanaume anaendelea na nje-ndani kama kawaida...hilo moja. ππ ππPili, wakati mnaendelea kufanya mapenzi, mwanamke unatakiwa kutafuta kona nzuri ya uke wako na kuubana uume kona hiyo na kuanza kukizunguusha kiuno. Vilevile unaweza kuwasiliana na mumeo/mpenzi wako wakati tendo linaendelea mtegee mpenzi akifika mwisho wa uke....shikilia kiuno/ makalio yake fanya kama unamkandamiza chini zaidi....panua miguu alafu kata kiuno kwa. Kwa kufanya hivyo utasikia utamu kila kona ya uke wako kwani uume ukiwa fully ndani na yeye mwanaume katulia wewe unakuwa na nafasi ya kucheza na uume huko kwa kubadilisha ukataji wa kiuno chako nahivyo kona zako zote za uke kuguswa vile utakavyo wewe. Ukataji wa kiuno kwa ajili ya mwanaume: Hapa mwanamke unatakiwa kujua timing, sio akiingiza tu wee unaanza kukata kiuno...inaboaaaaaπππ alafu by the time unatakiwa kufanya hivyo utakuwa umejichokea.....ππ Pia inategemea na ufanyaji wa mwanaume husika kwani kuna wanaume wengine huwa hawatoi nafasi kwa mwanamke kukata kiuno kwani kuna mikunjo mingine kwakeli inakuwa ngumu sana kufanya chochote zaidi ya kutoa mihemo na sauti za raha kama sio discomfort! Ukataji wa kiuno ili kumpa mwanaume raha zaidi na hatimae utamu wa tendo unatakiwa kukatwa ktk mtindo wa kubana na kuachia na wakati unafanya hivyo kwa kutumia kiuno pia unatakiwa kushirikisha misuli yako ya uke. Ukataji wa kiuno huu sio rahisi kwa kila mko, ila kuna mikao inayokufanya uweze kukata kiuno hiki kwa urahisi zaidi. style kama pekecha pekecha hii mnakaa mfano wa dog style afu mwanaume anakua kasimamisha tu uume wake huku ametulia we mwali ndo unakata kiuno kuizunguka ile mboo yake taratibu huku unakaza misuli ya kuma yako hii aweza kulia kwa utamu,mikao mingine ni mwanaume/mke juu/chini (kifo cha mende), Kipepeo, vijiko, kisusio, mbuzi kagoma/miguu minne, kuogelea (mwanamke chini), Kumi na 7/4 na mkao wowote utakao buni ambao unakuwezesha wewe mwanamke kukata kiuno ktk mtindo huu. Natumaini maelezo yangu yamesaidia kuelewa tofauti ya ukataji wa kiuno. Kila lililojema!ππππ―π―π―π―π―π―π― chumba cha mahaba π ... Read More
*πKWENU WADADAπ* *πUTUNDU NDOO HUU SIO KUJITUNDUAπ* πLeo nakupa utundu kidogo maana mahabba yana uhaba na uhaba usababisha ukahaba, kama ujuavyo mume ni kama sahani ya kaure inahitaji kutunzwa ili itunzike. πJitahidi ukikaribia muda wa mumeo kurudi kutoka kazini chukua maji nenda kaoge vizuri mpaka uhakikishe kijasho chote kimekatika harufu yake. πRudi chumbani kaa kitandani au kwenye dressing table uanze kujipamba, chukua poda kidogo jipake vizuri usoni kiasi uso upendeze kisha chukua wanja wako uchore kwenye nyusi na kwenye kope za juu na zachini, paka rangi midomo yako kwa ustadi wa juu, chukua manukato yako ujipake,au jifukize udi wako nzuri wenye harufu ya kuvutia,kanga nyepesi ndo vazi la kimahaba dada. πMkaribishe chakula mumeo kwa maneno ya papaso, *πkaribu chakula mume wangu*π usimuache mumeo anakula wewe ukenda jitupa chumbani au kwenye kochi la hukooo mbali naye, hasha! Huo si mwendo bibi, kaa ubavuni kwa mumeo uku anakula huku unamtupia maneno ya uchokozi,si uchokozi wa madera ulokopa laaaaa! Uchokozi wakumtoa pweza kwenye matumbawe. πJitahidi kumfanya awe mpya asahau vurugu za mchana kutwa, jifanye kama unamuhimiza kula kwa lugha ya vitendo mkatie kipande cha samaki au nyama umlishe huku wakisindikiza na maneno *π"kula baby mbona huli nyama"π* kwa sauti ya chini ya kubembeleza.mara inuka jifanye watafuta kitu mara muulize"mume wangu nikutilie juice,chungwa,ndizi,"usisubiri akujibu bibi, mume ataka kupembejewa bhana. πHakikisha akiwa anakula mshughulishe na mihuja ya kimapnzi sio unamuacha macho yapo kwenye tv anaangalia sinema zetu au tamthilia.kumbuka ndoa hujengwa sehemu mbili kubwa wakati wa kula na wakati wa kulala. πMpe maji ajisafishe mikono na umpe mumeo kitambaa ajifute akisha maliza kula, muangalie shati yake kama vishikizo bado vimefungwa, basi vifungue kwa mahaba huku unamliwaza mwambie *π"joto mume wangu mwili wahitaji hewa."π* mwache apumzike baada ya kula si kumuacha wewe utoke? Laaa! mwache kwa kumkalisha kwa mahaba ... Read More
*JINSI YA KUSISIMUA KISIMI* Hivi karibuni katika somo langu la jinsi ya KUCHEZEA KISIMI (katerero) kuna memba aliniuliza swali lifuatalo: Kama kisimi ni zaidi ya uume kwa raha ya mapenzi kwa nini baadhi ya wanawake wakisisimuliwa kisimi bado huwa hawajisikii raha...?..?...?... JIBU: ......πΉπ» Hakuna tatizo lolote na hao wanawake ingawa ni kweli kisimi/kinembe ni kiungo maalumu na cha tofauti sana kwenye mwili wa mwanamke. .........πΉπ» Ila kumbuka kila mwanamke na mwili wake ni tofauti na mwanamke mwingine, wengine hupenda na kujisikia raha kisimi kikiguswa kwa nguvu, wengine si kwa nguvu sana, wengine kubusiwa, wengine kunyonywa, wengine kikilambwa, wengine kikisuguliwa na wengine hawawezi kupata raha hadi kifanyiwe mazoezi kwa muda zaidi (baada ya miezi na miaka kadhaa). ......π»πΉ Pia kumbuka wapo wanawake ambao huwa hawasikii raha hasa mwanaume akiwahi kisimini kabla ya kusisimuliwa sehemu zingine kama matiti nk kwani huko kuna nerves 8,000 so ukigusa haraka anaweza kurusha rocket mwezini. ......π»πΉ Pia kuna wanawake ambao ni mbumbu kuhusu sexuality na miili yao mfano kama anaamini unampotezea muda kuhangaika na kisimi chake, je unadhani atapata raha yoyote? ......πΉπ» Sex huanza kwenye mind kama ameweka password kwenye mind yake utafungua vipi? ......π»πΉ Kumsisimua mwanamke huhusika moja kwa moja na ubongo wake au nini unaongea naye wakati mwingine hata kabla ya kuingia chumbani au kitandani. ......π»πΉ Ili asisimke inategemea sana nini unaongea kwenye sikio lake, kile unamnongβoneza kina maana sana katika kuuandaa mwili wake, kama hujajua kuongea maneno fulani fulani ambayo huongelewa kwenye sikio la mwanamke kabla ya sex basi huna budi kujifunza. ........π»πΉ Jinsi unavyoweza kumsisimua kabla hata nguo hajavua utakuwa na kazi rahisi sana wakati akiwa hana hata nguo moja na hii itakurahisishia yeye kutaka zaidi. ......π»πΉ Kama umeoa mwanamke ambaye hajijui mwili wake na kisimi kina kazi gani kwake jaribu hii na unaweza kuwa mbunifu zaidi ukiongeza skills inazozijua wewe. ......π»πΉ Kwa kuwa unajua kisimi ni nini na kipo wapi hongera maana umeshapiga hatua kubwa on this game, hakikisha ame-relax, ungana naye kuhakikisha miili inapata joto la mahaba kimwili, kiroho na kiakili. ......πΉπ» Jisikia comfortable, hakikisha unapumua vizuri na ukitaka hakikisha mnapumua pamoja sare na deep , ukiweza mfanyie massage mwili mzima kuanzia kichwa hadi vidole vya miguu, anza kwa kutumia ncha za vidole vyako na baadae kwa kupalaza viganja na mikono yote. ......π»πΉ Sasa hakikisha unalishikilia vizuri hekalu lako, uso, shingo, masikio, mabaga, mikono, kifua, matiti, tumbo, mgongo, mapaja na miguu hadi vidole. ......π»πΉ Huku ukimchunguza kama vile umewahi fanya kazi FBI angalia kama yupo relax na amesisimuka ( anapumua kwa nguvu zaidi, chuchu zimesimama, na south pole kunalowa kimbiza mikono yako kwenye kuta za uke na kisimi. ......π»πΉ Ukiaona bado hajisikii raha kwenye kisimi chake, rudi ground zero kichwani tena kwa kumbusu sawa kama ulivyompa massage. ...π»πΉ Then rudi tena kwenye kuchezea kisimi kwa skills zote...π»πΉ Then fanya unachojua wewe! *JINSI YA KUSISIMUA KISIMI.* *1.VIDOLE.* ......π»πΉ Kwanza mikono lazima iwe safi na kucha fupi zilizokatwa vizuri zisizo na mikwaruzo yoyote wala ncha mpya kali. ......π»πΉ Na kabla hujatujuliza vidole au kidole chako hapo hakikisha unapita kwanza kusalimia sehemu zingine kama mapaja na eneo zima la uke. ......π»πΉ Kujua ni pressure kiasi gani utumie wewe si bubu muulize mkeo anaweza kukujibu kwa kukunongβoneza au kwa kukupa signal, kumbuka kuna aina ya kuchezesha vidole au kidole iwe duara au square na kama hukusoma geometry au vector basi rudi shule maana hapo ndo application yake. ......π»πΉ Kumbuka hilo ni eneo sensitive kuliko eneo lolote katika mwili wa binadamu hivyo usicheze rafu. *2.KINYWA.* ......πΉπ» Wapo ambao kwao sex si uchafu na huweza kutumia viungo vyao nyote katika mwili na kwao kufanya hivyo ni kuwa karibu zaidi kati ya mke na mume na ni mwili mmoja na zaidi tendo la ndoa ni kuwaunganisha wawili kimwili, kiakili na kiroho hivyo si kuingiliana tu bali kuwa kitu kimoja. ......πΉπ» Kwa kuwa ulimi ni kiungo au msuli imara kuliko yote katika mwili wa binadamu basi kisimi kikikutana na ulimi mbingu hufunguka na watu kurushwa International Space Station bila kujijua basi kama umejazwa Roho Mtakatifu unaweza kunena kwa lugha kwa raha inayotokea. ......π»πΉ Lubricant ya asili iliyopo kweny ulimi na joto la kinywa hutoa sensation ambayo ni kama dream team pamoja na kuzungusha ulimi kwa skills zote mke wako atakutana na lift itakayomnyenyua hewani kuelekea kileleni. *3.UUME.* ......πΉπ» Uume ni toy la mwanamke yeyote ambaye ameolewa, uume unaweza kuingia kwenye game la kuchezea kisimi. ......πΉπ» Ila jiangalie usije maliza haraka kwani kusugua kisimi kwa uume huweza kuupa uume sensation za kupelekea kumaliza haraka. *MWISHO*. ... ... Read More
MAANDALIZI YA TENDO LA NDOAπ ππππππππππ UKIWA TAYARI SIKU HIYO MKE BILA SHAKA NYOTE WAWILI πππUSIVUNGEπKM MUMEO YUPO KAZINI TEGEA AKIWA ANAKARIBIA KURUDI ANZA KUMCHOKOZA KWA SMS TAMUTAMUπππ Mfanoπbaby miss u, pole na kazi, rudi mmewangu nikukande nikuondoe uchovuπsi unajua leo cjui kwann nna hisia nyingiπ wangu switi kila navyokufikiliaπnaona masaa hayaendi hubbyπrudi mmewangu nna hali mbayaπ MESEJI KM HIZO MUMEO APITIE KIJIWENI KUFANYA NNπYAANI AKIWA KAZINI ATAKUA ANAWAZA KURUDI NYUMBANI TU ITAMSISIMUA TUπ SASA MKE HUKO NYUMBANI KWAKO USIJIANGUSHEππFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA MWILIπANDAA MSOSI WA NGUVUπππππ PAMBA MEZA YAKO YA CHAKULAπTENGA CHAKULA VIZURIπHAKIKISHA NDANI PANANUKIA MARASHI MAZURIπWW PIA VAA NGUO YA KUVUTIA MUMEO AONE UMBILE LAKOπHAKIKISHA UMEJISAFISHA NA UKATUMBUKIZA MISK KIDOGO JUU KWENYE TUNDA UKAPAKAA MARASHI YAKO MAMBO YANUKIE INAJIKUSANYIA JOTO TAYARI KWA RAHAπMUME AKIFIKAπππHAKIKISHA UNAMSWAFI KWANZAπππππKISHA MPELEKE MEZANI AKAPATE MSOSIπhata km anakula MWENYEWE naww uwepo ukimlisha kidogo kidogo uku una mpepeaππππHAKIKISHA KASHIBA, usisahau muda wote uwe unamuangalia kwajicho la huba/ remburembu sio jicho kavuuuu km fundi saaππ AKISHIBA MUAMIE CHUMBA NIπMLAZE KIFUDIFUDI MUMEO, CHUKUA MAFUTA YA VASSELINE YA MAJIπANZA KUMFANYA MASAJIπhapo utamuondolea uchovuπKISHA MGEUZE CHALIπmfanyie masaji ya kifua, mapaja, na viganja vya miguuπKISHA RUDI KWENYE πanza MAANDALIZI KWA ZAMU NA MMEO MKITOSHEKA RAHA IANZE Kisha anza STAILI upendayo kama YA KUNA NAZIππππUSISAHAU kujibana sio unajiachiiia tu mke ππINGIA STAILI YA MENDE KAONA TUNDU LA CHOOπKISHA PIGA STAILI YA NAMBA(4)ππ KM UMELIZIKA PIGA MBUZI KAGOMAπhii staili lazima kubadili upate pumzi na radha πππππWAKE MASHAMBA YAO WAUME KTK NDOA Baada ya hapo km mmetosheka mke anza kumswafi mumeoππKISHA JISWAFI NAWW MPUMZIKEπππππππ Asantee π ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: