Labels:
ushauri
at
11:36β―AM
Home β ushauri
β Usiku mwema. *πUTAMU WA NDOA KATIKA UISLAMπ*
*Samahani ni neno dogo Sana lakini thamani yake ni kubwa Sana kwa Wanandoa*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Ukimkosea mwenza wako haraka muombe Msamaha*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Ukiishi kwa kujishusha pale unapokosea jua utaishi kwa amani kwenye ndoa yako*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Usione aibu kuomba msamaha*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Msamaha humaliza matatizo katika ndoa, humfanya anayeombwa akuone kweli unajutia Kosa lako, pia unamuheshimu*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Kuomba msamaha sio utumwa bali unaomba ili kumuonyesha mwenza wako kuwa unamjali, unampenda pia haupo tayari kumpoteza*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Kama unampenda mwenza wako muombe Msamaha pale unapomkosea*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Ukiwa mtu wa kuomba Msamaha jua ndoa yako itakuwa tamu Sana maana ibilisi hatopata nafasi ya kuiyumbisha ndoa yenu*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Jitahidi kuishi kwa kuliweka Mbele neno Samahani ili kumfanya mwenza wako azidi kukupenda zaidi*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Msiishi kwa kushindana katu sio Sifa nzuri kwa Wanandoa*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Ukiwa jeuri, hujui kuomba Msamaha jua ndoa yako itakuwa haina furaha*
ππΎππΎππΎππΎπ
*Jishushe Kisha omba Msamaha ili kuifanya ndoa yako iwe yenye furaha na utulivu.*
πΉππΉππΉππΉππΉππΉπ
Usiku mwema. *πUTAMU WA NDOA KATIKA UISLAMπ* *Samahani ni neno dogo Sana lakini thamani yake ni kubwa Sana kwa Wanandoa* ππΎππΎππΎππΎπ *Ukimkosea mwenza wako haraka muombe Msamaha* ππΎππΎππΎππΎπ *Ukiishi kwa kujishusha pale unapokosea jua utaishi kwa amani kwenye ndoa yako* ππΎππΎππΎππΎπ *Usione aibu kuomba msamaha* ππΎππΎππΎππΎπ *Msamaha humaliza matatizo katika ndoa, humfanya anayeombwa akuone kweli unajutia Kosa lako, pia unamuheshimu* ππΎππΎππΎππΎπ *Kuomba msamaha sio utumwa bali unaomba ili kumuonyesha mwenza wako kuwa unamjali, unampenda pia haupo tayari kumpoteza* ππΎππΎππΎππΎπ *Kama unampenda mwenza wako muombe Msamaha pale unapomkosea* ππΎππΎππΎππΎπ *Ukiwa mtu wa kuomba Msamaha jua ndoa yako itakuwa tamu Sana maana ibilisi hatopata nafasi ya kuiyumbisha ndoa yenu* ππΎππΎππΎππΎπ *Jitahidi kuishi kwa kuliweka Mbele neno Samahani ili kumfanya mwenza wako azidi kukupenda zaidi* ππΎππΎππΎππΎπ *Msiishi kwa kushindana katu sio Sifa nzuri kwa Wanandoa* ππΎππΎππΎππΎπ *Ukiwa jeuri, hujui kuomba Msamaha jua ndoa yako itakuwa haina furaha* ππΎππΎππΎππΎπ *Jishushe Kisha omba Msamaha ili kuifanya ndoa yako iwe yenye furaha na utulivu.* πΉππΉππΉππΉππΉππΉπ
Artikel Terkait
MWANAUME ANAPOSEMA HATAKI KUKUOA: MWAMINI οΏΌ Naandika hii makala kwa sababu nimekutana na maswali mengi ambayo yanaumiza wanawake wengi. Swali linakuwa hivi. Nimekuwa na huyu mwanaume kwa muda mrefu na tumekuwa tukishirikiana mambo mengi. Sijawahi kuwa na hisia kama nilizo nazo kwa mwanaume huyu kwa mtu yeyote. Na nilijua tutakuwa pamoja maisha yetu yote. Tatizo ni kwamba anasema hataki kunioa? Nitafanyaje ili aweze kujua kuwa nampenda na tunaendana vizuri pamoja na tunatakiwa tuoane? Wanaume wengi huwa wanaogopa kuweka ahadi kama hawana uhakika na upendo walio nao kwa mwanamke. Semeni ukweli wanaume. Je ameongelea kuhusu maisha ya baadae? Kuna mpango gani? Ni rahisi kubadilisha mwanaume? Unawezaje kumlazimisha akuoe? Kitu gani cha kufanya kama amesema hawezi kukuoa? Kama amesema hatakuoa, Mwamini . Elewa. Najua tayari jibu umepata kwenye maandiko yangu ya juu, lakini napenda kurudia, huwezi kumlazimisha mwanaume akuoe kama amesema hataki kukuoa. Hataweza. Sasa basi sisemi kama haiwezekani kweli. Kuna wanaume ambao husema hawatakuoa na hubadili mawazo yao na kuamua kuoa mwanamke ambaye alikuwa hapendi kumuoa. Lipo hilo. Mwanaume anayesema hatakuoa na wakati anaishi na wewe, mara nyingi anakupotezea muda na atakwenda kuoa mtu mwingine anayempenda kuliko wewe. Tuangalie kwa nini iko hivyo. Ina maana gani anapokuwa anaongea kuhusu kuchukia ndoa Aina ya mwanaume ambaye atakuambia hatakuoa ni yule ambaye anachukizwa na taasisi ya ndoa au sheria yake. Mwanaume huyo hafikirii kama wazo la kuoa ni zuri kwa kila mtu- anaona hata wanandoa ambao wako pamoja hawaonyeshi kama wana upendo wa kutosha, hawana upendo wa kweli ( anaweza kuwa haamini hata kama kuna upendo) Anafikiria hata kama ataona, mbona ndoa nyingi hazifiki mwisho, au mbona ugomvi ndani ya ndoa hauishi. Vyovyote vile , kwa sababu zozote zile, lakini mwanaume huyu anaonyesha kuchukia taasisi ya ndoa, na hataki kuingia huko, ndio maana hataki kuoa. Kama utasikia akisema hivyo mwamini. Haonyeshi kama atatafuta mwingine ambaye ataweza kubadili mawazo yake kuhusu kuoa.hata kama mnakaa pamoja na mnapendana sana , lakini hatafunga ndoa. Ina Maana Gani Anaposema Muda Wa kuoa Bado. Huyu ni aina nyingine tena.Anasema muda bado, anakuwa na sababu nyingi.Kama hali yake ya maisha haijakaa sawa, hajajenga nyumba, hana gari, na sababu kibao. Mwanaume huyu hana tatizo katika kuoa , Ila wakati bado , hataweza kuoa wakati unaotaka wewe, hata kwa sababu zipi hataweza. Unachotakiwa kufanya ni kumwamini anachokisema. Sababu zake hazina msingi. Kitu cha msingi ni Ukweli anaokuambia.Inaumiza lakini ndio ukweli.Inavunja moyo lakini ndio ukweli, Amini hilo na itaokoa muda wa kwako kusubiri.Na wakati huo huo utakuwa unafanya maamuzi ya kusubiri, kukubali jinsi ilivyo. Lakini kumbuka kuwa ndoa ni kitu cha muhimu sana. Wanaume wanaosema hawataoa huongea ukweli.Kama anakuambia hatakuoa Amini tu. Wanaume wanajua ni mwanamke wa aina gani atakayeishi nae maisha yake yote, uwe makini asije akawa anakutumia huku ana mipango yake .Yapo mambo wanaume huyapenda kwa mwanamke, vile vile yapo mambo ambayo wanawake wanapenda kwa mwanaume. Kama unaona unamlazimisha jambo fulani hataki , kuwa makini. ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA οΏΌ οΏΌ HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: βMimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.β Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe βoutβ, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza βmizingaβ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
SEHEMU 4 za Mwili Usizopaswa Kumshika Mkeo Nyakati Hizi 18+ οΏΌ Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa. Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa mahusiano na ndoa waliofanya mahojiano na wanawake kama kuna sehemu wazisopenda kuguswa na waume zao na nyakati husika, umetoa picha na mtazamo ambao wanaume wanapaswa kuufahamu mapema kabla hawajaingia katika hatari ya kuwa kero au kuwakwaza wake zao. Kama tunavyofahamu, wanawake ni viumbe wenya mlango mmoja wa ziada wa fahamu kuwapita wanaume. Hii nitaizungumzia siku nyingine. Lakini mlango huu wa ziada ndio huwapa hisia ya ziada pamoja na kuwafanya kujali sana vitu ambavyo mwanaume hasa mwenye haja ya kufanya tendo anaweza asizingatie sana anataka kukidhi haja yake. Ukifuatilia sehemu hizi za mwili wa mwanamke nitakazozitaja na nyakati zake, utabaini kuwa ni rahisi sana kufahamu kwani mwanamke katika nyakati hizo anaweza kuonesha kusita sana wakati anataka kuguswa. 1. Chuchu wakati miili yao inaendelea na shughuli nyingine za ndani Idadi kubwa ya wanawake huwa hawapendi kuguswa na wanaume chuchu zao wakati wananyonyesha au wakati wako katika hedhi. Hiki ni kipindi ambacho kama mwanamke ananyonyesha na mwanaume anataka kumgusa sehemu hiyo basi maziwa yanaweza kutoka kwa kasi na kumfanya ajisikie hayuko βconfortableβ kuendelea na zoezi la kushiriki tendo. 2. Kwapani wanapokuwa wanatoka jasho kabla ya kuoga Wanaume wengine huwa na hisia za matamanio zaidi wanapoyaona makwapa ya wake zao. Hii ni hali ya kisaikolojia inayojengeka kwa baadhi japo sio wengi. Kuna wanaume wakiona kwapa la mwanamke basi matamanio yao huongezeka mara dufu. Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hujisikia vibaya na kukosa amani pale wanaume zao wanajaribu kuwashika kwapani wakati ambapo wametokwa jasho. 3. Sehemu za siri kabla ya kuoga Hili ni eneo ambalo wanawake wengi wameonesha kulalamikia waume zao. Kwa mazoea wanaume wengi huwa kama wanawabaka wake zao bila kufahamu, hasa pale wanapotoka safari zao wakiwa na matamanio. Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hupoteza hali ya kuwa βcomfortableβ pale wanapoguswa na wanaume zao sehemu za siri wakati bado hawajaoga. Wanaume wengi hujikuta wakishiriki tendo la ndoa na wake zao ghafla baada ya kukamilisha kazi kadhaa za ndani wakati wanawaangalia. Wanaume wanaweza kuwa wanafurahia zaidi tendo hilo lakini wanawake pamoja na kwamba hufurahia pia lakini mlango wao wa ziada wa fahamu huwafanya kukosa amani kwa kiasi fulani wakati wa tendo ukilinganisha na nyakati ambazo wanajiamini ni wasafi. 4. Nywele zao dakika chache baada ya kutoka saloon kujiremba Ingawa unaamini kuwa mkeo alienda saloon kujiremba kwa ajili ya kukuvutia wewe, usithubutu kutaka kuzivuruga nywele zake dakika chache baada ya kutoka kwa mtaalam wa kutengeneza nywele, hata kama pesa aliyotumia ulimpa wewe. Hiki ni kama kituko hivi, lakini ndio ukweli. Wanawake hutumia muda mrefu sana kwenye vibanda au saloon za gharama kwa ajili ya kujiremba ili waongeze mvuto. Lakini, hugeuka kuwa walinzi wa vichwa vyao angalau kwa saa kadhaa. Msifie uwezavyo, lakini nywele zake usizivuruge mapema mtaharibiana βmoodβ. Haya ni kati ya mambo machache ambayo wanaume huyaona madogo sana na kufuatilia yale wanayoamini ni makubwa zaidi. Lakini mambo haya ni kati ya machache yanayokwangua taratibu kuta za hisia za mwanamke kwa mmewe. ... Read More
Kwanii Wanaume Waaminifu Kwenye Uhusiano Huachwa..... οΏΌ Kuachwa na mpenzi kwa sababu umekuwa ni muaminifu sana yaonekane ni jambo lisiloingia akilini lakini linatokea. Moja ya mambo ya ajabu unayoweza kuwa ushawahi kuyasikia ni kwamba mara nyingine uamuzi wako wa kuwa mwanaume mwema sana na unayejitahidi kufanya uhusiano wako wa kimapenzi uwe mzuri muda wote unaweza kukugharimu na kujikuta unaachwa kabisa. Haitakiwi kuwa hivyo lakini mara nyingine inatokea, na inatokea kwa sababu wazo la mwenza wako kuhusu uhusiano wa kimapenzi laweza likawa tofauti na ulionao wewe. Wengine wana mawazo hasi kuhusu jinsi uhusiano/ndoa inavyotakiwa kuwa. Hii ndio sababu hutakiwi kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mtu asiye na vipaumbele sawa na vya kwako au asiye na mtazamo mmoja wa kimaisha kama ulionao wewe. Usipozingatia hilo, utajikuta unaingia kwenye uhusiano na mtu ambaye hatakujali vya kutosha kwakuwa labda humfokei au kumpiga anapokukosea β au utajikuta ameshakupanda kichwani na kuanza kukudai mambo ambayo huwezi kuyatimiza lakini ukajikuta unajitutumua kumtimizia kwa sababu unataka kumfurahisha mpenzi wako na analijua jambo hilo. Kwa sababu baadhi ya wanaume wanapenda kulinda siri na kuwaachia uhuru wapenzi wao, wanajikuta wakiwapa ruhusa wanawake zao kwenda popote wanapojisikia bila kuwafatilia wanachofanya. Nini kinafata baada ya hapo? Mwanamke anatoka, anatafuta mchepuko na kukusaliti. Mwisho inakufanya wewe mwanaume uonekane mjinga mbele ya wengine. Tatizo ni kwamba tabia hii inaibuka kutokana na mazoea ya watu kuingia kwenye uhusiano wakiwa wameficha tabia zao halisi na kuja kufungua makucha yao baada ya kuona ameshaishi na wewe kwa muda mrefu kiasi kwamba huwezi tena kumuacha. Hii inasababisha wanaume walioathirika kutokana na tabia kama hizi kutoka kwa waliokuwa wapenzi wao wasiweze kuwaamini wanawake wengine tena kwa kuona kwamba wote ni sawa na wale waliowaumiza na kusababisha wasiweze kuwaonesha wenza wao wapya mapenzi kwa kiwango cha juu wakihofia kuumizwa tena. Kuwa mpole, mkarimu na mwenye upendo wa hali ya juu kwa mpenzi wako ndio jambo linalotarajiwa kwenye uhusiano. Mtu hatakiwi kufanywa ajisikie vibaya kwa kumuonesha mapenzi ya kweli mwenza wake. Kama wewe unakuwa muaminifu na mwema kwa mpenzi wako lakini umekuwa unadharauliwa au ukaachwa kutokana na tabia hiyo, kaa ukiwa na amani kabisa kwamba lawama za kuvunjika kwa uhusiano huo hazikuhusu wewe β lawama ni za mpenzi wako aliyeshindwa kujua wewe umekuwa mwema kiasi gani kwake. ... Read More
MUNGU ATANILIPIA: Nakumbuka nililazimishwa kuolewa ila nilikubali ili kutii amri ya wazazi. Nikabahatika kupata mtoto wa kike niliyempenda sana, kwani sikuwa na raha ya kuishi na mume wangu aliyekuwa mzee sana kwa bahati mbaya mume wangu alikufa kwa ugonjwa wa kisukari. Nikabaki mimi na binti yangu kwakweli sikutaka kuolewa tena niliamua kukaa na kulea mwanangu huyu. Kweli nilimlea na kumsomesha binti yangu, alipofika chuo ndipo mambo yalipoanza kubadilika. Binti yangu akanitaarifu kuwa amepata mchumba na akaja nae nyumbani kumtambulisha kwa ushamba wangu nikashangaa kweli ile gari ya mchumba wa mwanangu na nikaona raha kwa binti yangu kumpata mwanaume mwenye pesa kama yule, ilikuwa ni kipindi cha likizo na yule bwana alikuwa akija mara kwa mara kutusalimia huku akibeba zawadi tofauti tofauti, sikuwa na shaka naye hata akiniambia anataka kutoka na mwanangu nilimpa ruhusu wanaenda halafu anamrudisha nyumbani. Siku moja ambayo siwezi kuisahau kamwe katika maisha yangu, mwanangu akaniaga kuwa anataka kutoka na mchumba ake ila atarudi kesho yake nikamkatalia na kumwambia asifanye hivyo kwani ataonekana hana thamani tena. Badae kidogo alifika mpenzi wake huyo na kuniomba, mwanzoni nilimkatalia ila baada ya kunisihi sana nikakubali kuwa waende basi mwanangu na yule mpenzi wake wakaondoka pale nyumbani nikitegemea mwanangu kurudi kesho yake. Kesho ikafika hadi jioni mwanangu hakurudi, hofu ikaanza kunitawala moyoni mwangu hadi kunakucha mwanangu hakuwa nyumbani pa kuanzia sijui kwani yule kijana ni mgeni kwetu. Siku hiyo nikiwa kwa mbali namwona mwanangu akijikongoja kwa kujivuta, nilimkimbilia mpaka pale alipo nikambeba hadi nyumbani, naye akaniambia maneno haya "mama nakupenda sana ila naomba nikwambie ujumbe huu uwafikishie mabinti wote. Mama, yule kijana nilikutana naye wakati naenda chuo akanipa lifti na kuchukua namba yangu. Mawasiliano yetu yalianzia hapo ila sijui anapoishi wala ndugu zake, aliniomba nije nae nyumbani kumtambulisha kipindi hiki cha likizo na ndio nikafanya hivyo, nilizoea kuzunguka nae hotel, bar, cinema na majumba yote ya starehe. Ila alichonitenda hivi karibuni ni cha kustaajabisha, nilipoondoka naye hapa alinifunga kitambaa machoni na kusema anaenda kunifanyia suprise nilishangaa tukielekea mahali pasipojulikana huko nilienda kupata mateso makubwa mengine hata hayasimuliki ila kuna hili la kunifunga mimi kamba kwenye miti, mikono na miguu ikiwa imetanuliwa halafu wakanifanyisha mapenzi na mbwa watatu, ikiwa hiyo haitoshi lililetwa joka kubwa ambalo liliingizwa sehemu zangu za siri, sijui lilienda kufanya vitu gani ila nilipata maumivu ambayo hayaelezeki nililia hadi kuzimia, nilipozinduka nikajikuta nipo nje ya nyumba yetu nimetupwa ila kabla ya yote waliniambia kuwa sitakiwi kusema chochote kile kwa mtu yoyote kwani nitakufa." Alipomaliza kusema hayo nilikuwa natetemekd mwili mzima kwani nilimuona mwanangu akinyooka na kufa mikononi mwangu. Hata nikieleza maumivu yangu hakuna atakayenielewa, ila niliumia kupita maelezo. Yote namwachia Mungu. Tangu kifo cha mwanangu nimekuwa kama mtu nisiyejielewa, natoa wosia kwa mabinti wengine tafadhari sana angalieni kwa makini wachumba mlionao isije ikawa kama yaliyomkuta binti yangu, wazazi wote kuweni makini. Naumia kumpoteza binti yangu mpenzi tena aliyekufa kwa maumivu makubwa. Ila najua Mungu atatenda jambo. Hadi leo sielewi kwanini mwanangu alitendwa hivi. Kama ujumbe huu umekugusa, dondosha LIKE yako hapo au SHARE ukiweza ili na wengine wapate kitu. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: