Home → ushauri
→ TATIZO NI NINI MKE WANGU..............
Aliingia ndani ya nyumba na kukuta mkewe akiwa na huzuni, hasira iliyochanganyikana na jazba.
"Hey babe" alimuita huku akiweka gazeti lake katika meza iliyokuwepo pale sebuleni. " Sema" mke alimjibu kimkato huku akivua viatu vyake.
"Na wewe ndio umeingia mida hii?" Mume alimuuliza mkewe huku mkewe akielekea lilipo jokofu kuchukua maji ya kunywa.
"Ndio" mke alijibu.
"Watoto je?" Mume aliuliza tena.
"Wako chumbani kwao kuoga na kubadili nguo" mke alimjibu huku akichukua vile viatu vyake na kuweka sehemu ya kutunzia viatu karibu na mlango.
"Uko sawa?" Mume alimuuliza.
"Ndio" mke alijibu.
" Hapana hauko sawa. Unaonekana kabisa hauko sawa babe. Tafadhali ongea na mimi tatizo ni nini mpenzi" mume alimwambia huku akimsogelea mkewe karibu zaidi.
"Aah! Wewe nawe na maswali yako mengi mimi nimeshayachoka. Hauwezi kuniacha hivi bwana? Leo nimekua na siku mbaya sana siko sawa wewe niache tu!" Mke alimjibu mumewe.
Mume akamtazama mkewe akielekea jikoni. Akaanza kusikia sauti za vyombo vikioshwa ktk sink na kuwasha moto ili aanze kupika. Unataka kuanza kupika? Mume akauliza huku nae akimfuata mkewe jikoni.
"Wewe unaona ninafanya nini? Maswali yako mengine ni ya kitoto kweli Baba James. inatosha sasa" mkewe alimueleza.
"Usianze kupika saa hizi. Njoo. Twende chumbani" mume alimwambia mkewe huku akimshika mkono waondoke.
"Muda umeenda sana. Natakiwa nipike haraka vinginevyo watoto watachelewa kula na hvyo kuchelewa kulala. Sina muda" mke alimgomea mumewe.
"Please wife, wewe twende. Mimi nitakusaidia" mume aliongea.
" Kama ni tendo la ndoa, siko katika mood kabisa." Mke aliongea huku akichukua mchele uliokuwemo kwenye kabati.
"Mpenzi wangu please" mume aliongea huku akimshika mkono mkewe. Mkewe alimpa mkono na mume akazungusha mkono kiunoni kwa mkewe na kuanza kuelekea chumbani kwao.
Wakaingia chumbani. Mume akafunga mlango.
"Unaweza kuungana na mimi kumuabudu Mungu kidogo? tafadhali naomba tupige magoti tumuombe Mungu kwa dakika chache mpenzi wangu" Mume alimwambia mkewe huku akiwa ameegemea mlango.
Wote wakapiga magoti na wakaanza kumuabudu Mungu. Mume akaanza kuimba na mkewe nae akajiunga nae. Wakaanza kusali kwa pamoja. Mke akaanza kuinua mikono juu huku akiomba na kuongea na Mungu wake.
Mume akamnong'oneza mkewe na kumwambia "ni muda wako huu sasa wa kuongea na Mungu kuhusu ya kuudhi yaliyokutokea leo, yeye ni muaminifu atakurudishia tena furaha yako"
Midomo ikawa ikicheza. Sauti haitoki. Macho yakiwa yamefumbwa. Machozi yakitelemka mashavunu mwake. Tabasamu likiwa kwa mbali. mke akainua mikono juu na kuanza kuomba;
"Asante baba yangu wa mbinguni kwa neema na rehema. Kwa kubeba mizigo yangu yote, kwa kuwa mwamba wangu usiotikisika. Asante kwa kunipa mume bora anaenikumbusha kukuabudi na kukusifu wewe pale ninapokua na furaha hata ninapokuwa nimelemewa na maudhi ya binadamu.
"Mume ambae ananirudisha kwenye mstari pale ninapokuwa busy na haya ya kupita ya duniani hapa kazi na biashara ambayo si kitu bila ya wewe. Ndio maana ninalitukuza jina lako kwani ninavyokuabudu wewe unanirudishia furaha yangu.
"Nisamehe Mungu wangu kwa kumuonyesha hasira mume wangu, kila alichokuwa akikifanya leo ni kuonyesha jinsi gani ananijali mkewe. Sikutakiwa kumjibu kwa hasira kwani sio yeye alionikosea. Juu ya jina lako lipitalo majina yote ninaomba nikiamini AMEN!!
Mume akainuka na kumbusu mkewe kwenye paji la uso na kumwambja haya;
"Saa hizi unaonekana ukiwa poa. Nimekusamehe mke wangu. Maisha yana mabonde na milima. Unaweza ukajikuta hutaki kuongea na mtu kabisa kwa sababu ya kuudhiwa, lakini tafadhali sana ongea na Mungu. Acha mambo mnengine yote yasubiri, ongea na Mungu. Usiwe busy sana mpaka umsahau Mungu, kwani kwa kufanya hivyo unamkaribisha shetani kuja kukuharibu.
Mke akajisogeza kwa mumewe na kumbusu mdomoni kimahaba zaidi. Akamkumbatia na kujilaza kifuani kwa mumewe. Mumewe akaanza kumchezea nywele zake huku mke akimsimulia jinsi gani alivyokua na siku ngumu, hasara aliyoipata baada ya mali aliyonunua kuharibika, kuibwa kwa 'power window' ya gari yake na purukushani zingine za siku nzima.
Mke akajisikia akiwa salama mikonon mwa mumewe. Akacheka..akatabasamu.
"Ok honey, twende tukapike. Nitakusaidia kupika. Wewe utapika wali mimi nitapika mboga" mume akaongea.
Wakainuka na kuelekea jikoni, wakaanza kupika huku wakiimba na kutaniana. Watoto wakawa wakiwatazama wazazi wao wakicheka na kuimba kwa pamoja.
Chakula kikawa tayari haraka na ilikua ni furaha kukitengeneza kwa pamoja, wakaungana na watoto wao kwenye meza. Wakala kwa furaha kama familia.
Wakaenda kuwalaza watoto wao, na wao wakaelekea kulala. Usiku ule Wakapeana chakula cha wanandoa kwa furaha na amani tele.
1 Wakorintho 11:3 “Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.”
Mungu abariki ndoa yako, Mungu abariki mahusiano yako yakawe yenye kuleta tija, ukajenge familia yenye amani, mshikamano na upendo. #AMEN
Share
TATIZO NI NINI MKE WANGU.............. Aliingia ndani ya nyumba na kukuta mkewe akiwa na huzuni, hasira iliyochanganyikana na jazba. "Hey babe" alimuita huku akiweka gazeti lake katika meza iliyokuwepo pale sebuleni. " Sema" mke alimjibu kimkato huku akivua viatu vyake. "Na wewe ndio umeingia mida hii?" Mume alimuuliza mkewe huku mkewe akielekea lilipo jokofu kuchukua maji ya kunywa. "Ndio" mke alijibu. "Watoto je?" Mume aliuliza tena. "Wako chumbani kwao kuoga na kubadili nguo" mke alimjibu huku akichukua vile viatu vyake na kuweka sehemu ya kutunzia viatu karibu na mlango. "Uko sawa?" Mume alimuuliza. "Ndio" mke alijibu. " Hapana hauko sawa. Unaonekana kabisa hauko sawa babe. Tafadhali ongea na mimi tatizo ni nini mpenzi" mume alimwambia huku akimsogelea mkewe karibu zaidi. "Aah! Wewe nawe na maswali yako mengi mimi nimeshayachoka. Hauwezi kuniacha hivi bwana? Leo nimekua na siku mbaya sana siko sawa wewe niache tu!" Mke alimjibu mumewe. Mume akamtazama mkewe akielekea jikoni. Akaanza kusikia sauti za vyombo vikioshwa ktk sink na kuwasha moto ili aanze kupika. Unataka kuanza kupika? Mume akauliza huku nae akimfuata mkewe jikoni. "Wewe unaona ninafanya nini? Maswali yako mengine ni ya kitoto kweli Baba James. inatosha sasa" mkewe alimueleza. "Usianze kupika saa hizi. Njoo. Twende chumbani" mume alimwambia mkewe huku akimshika mkono waondoke. "Muda umeenda sana. Natakiwa nipike haraka vinginevyo watoto watachelewa kula na hvyo kuchelewa kulala. Sina muda" mke alimgomea mumewe. "Please wife, wewe twende. Mimi nitakusaidia" mume aliongea. " Kama ni tendo la ndoa, siko katika mood kabisa." Mke aliongea huku akichukua mchele uliokuwemo kwenye kabati. "Mpenzi wangu please" mume aliongea huku akimshika mkono mkewe. Mkewe alimpa mkono na mume akazungusha mkono kiunoni kwa mkewe na kuanza kuelekea chumbani kwao. Wakaingia chumbani. Mume akafunga mlango. "Unaweza kuungana na mimi kumuabudu Mungu kidogo? tafadhali naomba tupige magoti tumuombe Mungu kwa dakika chache mpenzi wangu" Mume alimwambia mkewe huku akiwa ameegemea mlango. Wote wakapiga magoti na wakaanza kumuabudu Mungu. Mume akaanza kuimba na mkewe nae akajiunga nae. Wakaanza kusali kwa pamoja. Mke akaanza kuinua mikono juu huku akiomba na kuongea na Mungu wake. Mume akamnong'oneza mkewe na kumwambia "ni muda wako huu sasa wa kuongea na Mungu kuhusu ya kuudhi yaliyokutokea leo, yeye ni muaminifu atakurudishia tena furaha yako" Midomo ikawa ikicheza. Sauti haitoki. Macho yakiwa yamefumbwa. Machozi yakitelemka mashavunu mwake. Tabasamu likiwa kwa mbali. mke akainua mikono juu na kuanza kuomba; "Asante baba yangu wa mbinguni kwa neema na rehema. Kwa kubeba mizigo yangu yote, kwa kuwa mwamba wangu usiotikisika. Asante kwa kunipa mume bora anaenikumbusha kukuabudi na kukusifu wewe pale ninapokua na furaha hata ninapokuwa nimelemewa na maudhi ya binadamu. "Mume ambae ananirudisha kwenye mstari pale ninapokuwa busy na haya ya kupita ya duniani hapa kazi na biashara ambayo si kitu bila ya wewe. Ndio maana ninalitukuza jina lako kwani ninavyokuabudu wewe unanirudishia furaha yangu. "Nisamehe Mungu wangu kwa kumuonyesha hasira mume wangu, kila alichokuwa akikifanya leo ni kuonyesha jinsi gani ananijali mkewe. Sikutakiwa kumjibu kwa hasira kwani sio yeye alionikosea. Juu ya jina lako lipitalo majina yote ninaomba nikiamini AMEN!! Mume akainuka na kumbusu mkewe kwenye paji la uso na kumwambja haya; "Saa hizi unaonekana ukiwa poa. Nimekusamehe mke wangu. Maisha yana mabonde na milima. Unaweza ukajikuta hutaki kuongea na mtu kabisa kwa sababu ya kuudhiwa, lakini tafadhali sana ongea na Mungu. Acha mambo mnengine yote yasubiri, ongea na Mungu. Usiwe busy sana mpaka umsahau Mungu, kwani kwa kufanya hivyo unamkaribisha shetani kuja kukuharibu. Mke akajisogeza kwa mumewe na kumbusu mdomoni kimahaba zaidi. Akamkumbatia na kujilaza kifuani kwa mumewe. Mumewe akaanza kumchezea nywele zake huku mke akimsimulia jinsi gani alivyokua na siku ngumu, hasara aliyoipata baada ya mali aliyonunua kuharibika, kuibwa kwa 'power window' ya gari yake na purukushani zingine za siku nzima. Mke akajisikia akiwa salama mikonon mwa mumewe. Akacheka..akatabasamu. "Ok honey, twende tukapike. Nitakusaidia kupika. Wewe utapika wali mimi nitapika mboga" mume akaongea. Wakainuka na kuelekea jikoni, wakaanza kupika huku wakiimba na kutaniana. Watoto wakawa wakiwatazama wazazi wao wakicheka na kuimba kwa pamoja. Chakula kikawa tayari haraka na ilikua ni furaha kukitengeneza kwa pamoja, wakaungana na watoto wao kwenye meza. Wakala kwa furaha kama familia. Wakaenda kuwalaza watoto wao, na wao wakaelekea kulala. Usiku ule Wakapeana chakula cha wanandoa kwa furaha na amani tele. 1 Wakorintho 11:3 “Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.” Mungu abariki ndoa yako, Mungu abariki mahusiano yako yakawe yenye kuleta tija, ukajenge familia yenye amani, mshikamano na upendo. #AMEN Share
Artikel Terkait
UMESOMA HADITHI NYINGI ZA MAPENZI, LAKINI HII ITAKUSISIMUA KULIKO ZOTE, UTATUMIA DAKIKA 2 KUSOMA LAKINI...  1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why 2nd year Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. 3rd year Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda. katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Graduation Day siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it. kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Miaka michache baadae Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it. but before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why. Kwenye Mazishi Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo' Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi I stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me! Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!! Vunja ukimya ... Read More
NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU  Mabadiliko yalio mepesi kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka Umejikuta uko kwenye siku tofauti, story hizo hizo, imekuwa ni kawaida yako? Basi muda huu , sio kesho , sio wiki ijayo, ni wakati wa kubadilisha historia yako. ni za haraka, rahisi na hazina gharama unapofanya hivyo na matokeo yatakupa furaha unayoitaka. 1.Pata masaa 7 mpaka 8 ya kulala usiku. Kulala usingizi wa kutosha unapata furaha, utaweza kuwa na nguvu ya kufanya kazi zako , na utakuwa na mahusiano mazuri. weka simu yako mbali unapoenda kulala, usitumie chakula kingi wakati wa jioni. 2.Amka mapema , dakika 30 kabla . Kama wewe ni mfanya kazi wa kuajiriwa na una tabia ya kuchelewa kazini, jaribu kuamka mapema dakika 15 au 30 kila siku kwa ajili ya kujiandaa vizuri na kukumbuka vitu vyote vya kufanya, kuchukua siku hio. utaona tofauti ya tabia yako. 3.Meditate. Hii ni kubwa. meditate kwa muda wa dakika 10 au 20, utapata faida nyingi zaidi ya furaha, pamoja na kuwa muwazi, kuwa na malengo ya siku nzima. Anza siku yako na meditation. utajiepusha na tress na wasiwasi na hutachanganyikiwa na kazi zako. 4.Jipe nafasi wengi wetu huwa tunajaza vitu nyumbani, ofisini hata vile ambavyo havina kazi, hatuvitumii. inaharibu mfumo mzima wa akili yako, hisia zako, na mwili wako. Ondoa vitu ambavyo huvitumii, tupa nje au gawia watu ambao wanahitaji kuwa navyo, hali yako ya furaha itaboreka. Na hutalemewa na kazi nyingi. 5.Jifunze kitu kipya Jitahidi kujifunza kitu kipya kila siku, kwa sababu hio ndio changamoto itakayokupa furaha, kujifunza kitu kipya inaboresha afya yako ya mwili na akili, kujifunza utajenga ujasiri pia na utakuwa sharp. 6.Tembea mara kwa mara Kutembea kwa dakika 30 kwa siku moyo wako utakuwa unafanya kazi vizuri, utapunguza hasira, hutakuwa na chuki. Kama unaona ni ngumu kwako kutembea , hasa kama una gari , jifunze kupaki gari yako mahali mbali na ofisi , tembea . anza kutumia maji ya kutosha. utapata faida nyingi . 7.Usijihusishe na mambo ya mitandao. Ni rahisi kuingia instagram, facebook na zingine, lakini wachunguzi wanasema kwamba ukizidisha kujihusisha na mitandao unaweza kuharibu afya yako ya akili. badala ya kutumia nusu saa kwenye mitandao, unaweza kufanya kitu kingine unachokipenda, au kusoma kitabu, kujifunza mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kujiboresha mwenyewe kuwa mwenye afya. 8.Kuwa mwema. Ukarimu unakuongoza kwenye furaha yako mwenyewe na utakuwa mwenye afya bora. vitu ambavyo vinavyo chochea furaha ni kutoa , na kuwa mkweli , utapata faida , na utajisikia vizuri kuwa sehemu ya baraka kwa mtu fulani. kujitolea kufanya kitu, au kumwachia mtu kiti kwenye daladala. Sehemu ngumu? lakini nzuri. 9.Kaa na watu wenye furaha. Angalia watu unaoshinda nao, unaofanya nao kazi, ni watu wa aina gani. kwa sababu kuna msemo unasema kuwa ukikaa na ua rose utanukia hata kama ulikuwa hunukii. Fanya hivyo na utaweza kufungua mlango mpya kwa ajili yako maishani. utaiona furaha ikitiririka kama mto. 10.Don’t gossip. Kuseng’enya, umbeya, itakusababishia maradhi ya misongo na kukosa furaha. mtu mmbeya hawezi kusaidia kitu. wakati mwingine jitenge na watu kama hawa, au unapoona kuna kutoelewana na wafanya kazi wenzako, jaribu kutulia kwanza , badilisha negative to positive. Sema kitu kizuri kuhusu mtu. ni vizuri. kwa sababu utajiwekea alama nzuri kwako. 11.Tumia muda wako na watu unaowapenda Unapoongea na familia au marafiki kwenye simu , inatia moyo. mawasiliano hayo yanakupa afya na furaha.Fikiri ilivyo vizuri kama utaenda kula na rafiki yako mahali fulani, au kuamua kupika nyumbani , au kucheza na watoto wako kitu kama game, mpira, inafurahisha. 12.Journal Kuandika vitu vya kufanya kwa siku, au kuandika vitu unavyotaka kuvipata, Lengo hili dogo litaongeza IQ yako na kuleta utulivu wa kuboresha ujasiri wako, ukiwa na tabia hii kila siku , furaha haitakosekana kwako na utapata faida ya akili na hisia zako zitakuwa bora. 13.Jizoeze kujijali. Unapojijali ,Utaona faida zake, pamoja na kuondoa stress na wasiwasi, utakuwa mtu wa kuwaza mazuri na utaboresha immunity.pata muda kila siku kufanya kitu kwa ajili ya furaha, kama vile mazoezi, kupika chakula kizuri, kusoma . utaanza kushangaa jinsi ilivyo rahisi kuwa na furaha unapojijali na utaboresha akili yako na mwili wako, na roho yako. Kama unavyojua , kuna njia nyingi zinazotushambulia kwa siku, Ondoka mahali ambapo panaharibu ratiba yako. sasa, kama kitu kingine chochote,mafanikio ni kufanyia kazi. kwa hio pick one, and let the fun begin! ... Read More
UNAJUA KUMPAGAWISHA MPENZI WAKO????  Kama inavyoeleweka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la "Tantric Sex." Kama inavyoelewaka, mapenzi ni sehemu muhimu ya afya ya binadamu. So, katika peruzi zangu, nikakutana na hili somo la “Tantric Sex.” As if hii duinia, especially hii century haiko overloaded na information kuhusu mambo ya mapenzi, jinsi ya kufanya mapenzi and whats hot in the bedroom, whats in and whats not. So, lately nimeona a lot of tzmoms readers wamekuwa wakitembelea sana na kusoma page ya “mapenzi baada ya ujauzito” na “kufanyamapenzi wakati wa ujauzito.” And I thought well, writing about Tantric Sex will be nyongeza kwa kila mmoja, aliye mama na mbaye bado damu inachemka katika mambo ya mapenzi. Anyhu, kama “SEX/MAPENZI” yangekuwa yanaweza kuyu-nite the world/countries/makabila/people I think hii fani ingeshinda. Well, so kama umeshawahi kujifungua ama kama wewe ni mama, you definitely understand ni jinsi gani ni vigumu kuwa upbeat kuhusu mapenzi ama kumfurahisha mumeo/mpenzio everyday. Well, once in a while maybe but not everyday. Ila kama we ni mdada/binti ambaye hujazaa bado well, damu yako bado inachemka so energy bado ipo nyingi ya kukurupushana na mpenzio. Having said that, si maanishi mtu ukishazaa ndo fani ya kuenjoy mapenzi imekwisha but nguvu zinapungua for sure however, kuna vitu vingi tuu ambavyo vinaweza kusaidia kuleta nguvu ya kutaka kukurupushana chumbani lol. Kukosa nguvu/energy to wanna work it all the time its not because mwanamke ni mvivu but hutokana na kuwa na mambo mengi sana ya kutend nyumbani i.e. kuhakikisha watoto wako taken care of, labda kazini pia unahitajika, etc una kuta hupati muda wa kujifurahisha mwenyewe ama na mpenzi wako. Therefore, mara nyingi before you know mupenzi anaanza kulalamika or hata mwanamke mwenyewe unaweza kufeel like you are not doing enough so mambo ndo hivyo yanaanza kwenda south chumbani. Hivyo basi, lets dig in tuone Tantric Sex inatoa msaada wa aina gani ili kurevamp mapenzi. Kwanza kabisa, FYI tantric sex can be weird at the beginning ila nitajitahidi kutoingia so indepth ili kusave miyoyo ya watu wengine. Kwamaana hii ni soft porn “according to me.” Lol. so usishtuke ama kushangaa sana. Well, anythign “sex” can be unconfortable anyways. Okay, so, kwanza kabisa, with Tantric Sex, mtu na mpenziwe wanatakiwa kuwa; SPIRITUALLY CONNECTED (usishtuke sio kidini lol).. Hii inamaainisha kwamba wewe na patner wako kwa pamoja mnajua mnataka nini emotionally and physically. Kwa kufanya hivi inasaidia kuwafanya kwa pamoja kuwa “FREE” na kuondoa wasiwasi wa labda mwenzangu atanijudge kwamba labda mimi ni malaya ama fuska etc. In other words hii process inaitwa “Dropping the Veil, between “Self” and “Other/patner.” THE ENVIRONMENT/mazingira. Wakati mnapractice tantric sex of course, just like when you are in the bedroom unaweza ukavaa lingerie/kuo za ndani zinazovutia or “kuwa kama mlivyotoka tumboni mwa mama zenu” (you know what i mean). Tatu, wapenzi wanaanza kupapasana lol, but in a way kwamba you are feeling the energy of the other person. Na hii energy unaweza kuifeel kwasababu mko free hamna anayemjudge mwingine/there are no worries. You are just in your own created world. Nne, wakati wa kufeel energy ya mwingine lazima wapenzi wawe wana pumua heavely yaani just feeling every move made but the other person mpaka mnapofikia mahali were you are breathing so hard and you are feeling each other. then you start kissing the lips, and then deeper for minutes even hours. Then mengineyo yanaweza kuendelea. So, all this time kumbuka its not about going straight into sex with your partner rather its about getting high by touching and feeling connected with each other. hivyo basi, once in a while take that time and revamp your intimacy, dress good, feel sexy and heey have fun!!. By 🅱 ... Read More
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA   HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na maneno ya aina hii? Bila shaka jibu ni ndiyo. Si hivyo tu, wapo wanaume pia ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi wao hata kama wanao uwezo wa kuvipata vitu hivyo kama watajishughulisha. Ninachotaka kusema leo ni kwamba, mapenzi ya kweli hayana uhusiano wowote na fedha, ukiona mpenzi wako anaweka fedha mbele na ukishindwa kumpatilizia anachokitaka anakasirika, jua penzi lake lina walakini, hakupendi bali anataka kukutumia kisha kukuacha. Katika mapenzi hatukatai suala la kusaidiana, mpenzi wako akiwa na shida fulani akaomba umsaidie, kama unao uwezo msaidie na kama huna mueleze ukweli kisha muangalie namna nyingine ya kumsaidia. Itakuwa siyo busara kama utakuwa na tatizo lakini ukaona kwamba ukimweleza mpenzi wako ataona unamchuna. Wapenzi wanaopendana kwa dhati hawachunani bali wanasaidiana na hili ni kwa pande zote mbili. Kinachokera ni kutoishiwa na matatizo na wakati mwingine unakuta kuchuna kwingine ni kwa mambo ya starehe. Yaani sasa hivi umemuomba mpenzi wako vocha, hajakaa vizuri umemtaka akija akuletee chipsi mayai, baadaye unataka akutoe ‘out’, bila kujali kwamba wakati huo mpenzi wako ana fedha au laah. Katika mazingira hayo unadhani mpenzi wako atashindwa kukuchoka? Akikuacha kwa sababu hiyo utamlaumu? Kimsingi ukiwa na mpenzi mwenye tabia ya kutaka kukuomba fedha kila wakati tena katika matumizi mengine ambayo siyo ya msingi, mbinu zifuatazo ni muhimu kuzifuata. Twende tukaone. MWELEZE UKWELI Kama huna fedha wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza. Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana fedha au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea! Mwanamke akijua hilo naye ataongeza ‘mizinga’ ili afaidi. JENGENI KUSAIDIANA Jambo la muhimu ambalo wanaume wengi wanalisahau ni kutokuwafundisha wapenzi wao wajibu wa kutoa. Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya basi analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake. Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna fedha zinavyokuwa hazitoshi na ataweza kubana matumizi. ACHA UFUJALI Kuna wanaume wengine tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa fedha kwa kutoa ofa na zawadi kibao. Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa unazo! Unachotakiwa ni kudhibiti mapema matumizi yako hata kama fedha itakuwepo. Ifahamike kuwa kutoa hakushibishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji. Weka maisha yako katikati usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu. BAKI NA HILI Katika kumalizia niseme tu kwamba, mapenzi si kukomoana, bali kusaidiana. Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku na wewe ukiwa na tatizo akusaidie. Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero. Kumbuka kumpiga mizinga mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi hivyo epukana na tabia hiyo. ... Read More
MASWALI 60 YA KUMUULIZA MPENZI WAKO , YANAWEZA KUWA YA KUCHEKESHA& KUFURAHISHA:  Mawasiliano hujenga mahusiano mazuri, bila hivyo kutakuwa na tofauti fulani kati ya wawili wapendanao .watu wengi wanaamini kuwasiliana kunajenga uhusiano mzuri, hebu fikiria kama una rafiki yako mnaopendana hakutafuti hata kama umekuwa mbali kwa muda mrefu , si inaboa sana? nikupe mfano mmoja , wanandoa wakiwa pamoja nyumbani , siku hiyo wameamua wasiende mahali popote, unafikiri wangekalia kufanya tendo la ndoa siku nzima? jibu ni hapana. lakini wanakuwa na mawasiliano ya aina yake , Hapa nakuletea maswali unayotakiwa kumuuliza mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa na watakuelewa. mwanaume mwenye kukupenda atakuelewa. MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE. 1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi kufanya? 2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani? 3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako? 4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako? 5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu ungechagua watu wa jinsia gani wa kuwahudumia ? 6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike? 7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani? 8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda kwa ajili yangu? 9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe? 10.wewe ni wangu? 11.unampenda nani? 12. unaamini kama kuna mungu? 13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli? 14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu? 15.je unweza kukaa na mtu usiempenda? 16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi? 17. Utamjuaje mchumba wa kweli? 18.Unatafuta kitu gani kwa msichana? 19.Utajielezeaje wewe mwenyewe? 20.je, utaweza kunielezea mimi? 21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo? 22.ni mzuri au ni mbaya? 23.umewahi kumwacha msichana? 24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya? 25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani? 26.ulifanikiwa? 27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani. 28. Tamthilia ipi unaipenda? 29.Unapenda chakula gani? 30.unapenda rangi gani? 31.unapenda mziki gani ? 32.ukiwa mtoto ulikulia wapi? 33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto? 34. unashangilia timu gani ya mpira? 35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani? 36. tamthilia ipi ni nzuri? 37.unawafurahia marafiki zangu? 38.unaipenda kazi yako? 39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako? 40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia? MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI. 41.Ukipoteza nguvu zako wakati wa usiku , je ni kitu kipi utanieleza ili niridhike? 42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi? 43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka? 44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili? 45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi? 46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto? 47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako? 48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi? 49.je una uzoefu gani katika mahusiano? 50.unaweza kuniambia vitu vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto? 51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini? 52.Kuna siri yeyote hujaniambia? 53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano? 54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa watoto wetu wafuate tabia zetu? 55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu? 56. umewahi kumpiga mtu kofi? 57.je wewe ni mkweli? 58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia? 60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki? fuatilia maswali mengine mengi yatakuja. toa maoni yako katika maswali haya. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: