Home → ushauri
→ MUNGU ATANILIPIA:
Nakumbuka nililazimishwa kuolewa ila nilikubali ili kutii amri ya wazazi. Nikabahatika kupata mtoto wa kike niliyempenda sana, kwani sikuwa na raha ya kuishi na mume wangu aliyekuwa mzee sana kwa bahati mbaya mume wangu alikufa kwa ugonjwa wa kisukari. Nikabaki mimi na binti yangu kwakweli sikutaka kuolewa tena niliamua kukaa na kulea mwanangu huyu.
Kweli nilimlea na kumsomesha binti yangu, alipofika chuo ndipo mambo yalipoanza kubadilika. Binti yangu akanitaarifu kuwa amepata mchumba na akaja nae nyumbani kumtambulisha kwa ushamba wangu nikashangaa kweli ile gari ya mchumba wa mwanangu na nikaona raha kwa binti yangu kumpata mwanaume mwenye pesa kama yule, ilikuwa ni kipindi cha likizo na yule bwana alikuwa akija mara kwa mara kutusalimia huku akibeba zawadi tofauti tofauti, sikuwa na shaka naye hata akiniambia anataka kutoka na mwanangu nilimpa ruhusu wanaenda halafu anamrudisha nyumbani.
Siku moja ambayo siwezi kuisahau kamwe katika maisha yangu, mwanangu akaniaga kuwa anataka kutoka na mchumba ake ila atarudi kesho yake nikamkatalia na kumwambia asifanye hivyo kwani ataonekana hana thamani tena. Badae kidogo alifika mpenzi wake huyo na kuniomba, mwanzoni nilimkatalia ila baada ya kunisihi sana nikakubali kuwa waende basi mwanangu na yule mpenzi wake wakaondoka pale nyumbani nikitegemea mwanangu kurudi kesho yake.
Kesho ikafika hadi jioni mwanangu hakurudi, hofu ikaanza kunitawala moyoni mwangu hadi kunakucha mwanangu hakuwa nyumbani pa kuanzia sijui kwani yule kijana ni mgeni kwetu.
Siku hiyo nikiwa kwa mbali namwona mwanangu akijikongoja kwa kujivuta, nilimkimbilia mpaka pale alipo nikambeba hadi nyumbani, naye akaniambia maneno haya
"mama nakupenda sana ila naomba nikwambie ujumbe huu uwafikishie mabinti wote.
Mama, yule kijana nilikutana naye wakati naenda chuo akanipa lifti na kuchukua namba yangu. Mawasiliano yetu yalianzia hapo ila sijui anapoishi wala ndugu zake, aliniomba nije nae nyumbani kumtambulisha kipindi hiki cha likizo na ndio nikafanya hivyo, nilizoea kuzunguka nae hotel, bar, cinema na majumba yote ya starehe. Ila alichonitenda hivi karibuni ni cha kustaajabisha, nilipoondoka naye hapa alinifunga kitambaa machoni na kusema anaenda kunifanyia suprise nilishangaa tukielekea mahali pasipojulikana huko nilienda kupata mateso makubwa mengine hata hayasimuliki ila kuna hili la kunifunga mimi kamba kwenye miti, mikono na miguu ikiwa imetanuliwa halafu wakanifanyisha mapenzi na mbwa watatu, ikiwa hiyo haitoshi lililetwa joka kubwa ambalo liliingizwa sehemu zangu za siri, sijui lilienda kufanya vitu gani ila nilipata maumivu ambayo hayaelezeki nililia hadi kuzimia, nilipozinduka nikajikuta nipo nje ya nyumba yetu nimetupwa ila kabla ya yote waliniambia kuwa sitakiwi kusema chochote kile kwa mtu yoyote kwani nitakufa."
Alipomaliza kusema hayo nilikuwa natetemekd mwili mzima kwani nilimuona mwanangu akinyooka na kufa mikononi mwangu. Hata nikieleza maumivu yangu hakuna atakayenielewa, ila niliumia kupita maelezo. Yote namwachia Mungu.
Tangu kifo cha mwanangu nimekuwa kama mtu nisiyejielewa, natoa wosia kwa mabinti wengine tafadhari sana angalieni kwa makini wachumba mlionao isije ikawa kama yaliyomkuta binti yangu, wazazi wote kuweni makini. Naumia kumpoteza binti yangu mpenzi tena aliyekufa kwa maumivu makubwa. Ila najua Mungu atatenda jambo. Hadi leo sielewi kwanini mwanangu alitendwa hivi.
Kama ujumbe huu umekugusa, dondosha LIKE yako hapo au SHARE ukiweza ili na wengine wapate kitu.
MUNGU ATANILIPIA: Nakumbuka nililazimishwa kuolewa ila nilikubali ili kutii amri ya wazazi. Nikabahatika kupata mtoto wa kike niliyempenda sana, kwani sikuwa na raha ya kuishi na mume wangu aliyekuwa mzee sana kwa bahati mbaya mume wangu alikufa kwa ugonjwa wa kisukari. Nikabaki mimi na binti yangu kwakweli sikutaka kuolewa tena niliamua kukaa na kulea mwanangu huyu. Kweli nilimlea na kumsomesha binti yangu, alipofika chuo ndipo mambo yalipoanza kubadilika. Binti yangu akanitaarifu kuwa amepata mchumba na akaja nae nyumbani kumtambulisha kwa ushamba wangu nikashangaa kweli ile gari ya mchumba wa mwanangu na nikaona raha kwa binti yangu kumpata mwanaume mwenye pesa kama yule, ilikuwa ni kipindi cha likizo na yule bwana alikuwa akija mara kwa mara kutusalimia huku akibeba zawadi tofauti tofauti, sikuwa na shaka naye hata akiniambia anataka kutoka na mwanangu nilimpa ruhusu wanaenda halafu anamrudisha nyumbani. Siku moja ambayo siwezi kuisahau kamwe katika maisha yangu, mwanangu akaniaga kuwa anataka kutoka na mchumba ake ila atarudi kesho yake nikamkatalia na kumwambia asifanye hivyo kwani ataonekana hana thamani tena. Badae kidogo alifika mpenzi wake huyo na kuniomba, mwanzoni nilimkatalia ila baada ya kunisihi sana nikakubali kuwa waende basi mwanangu na yule mpenzi wake wakaondoka pale nyumbani nikitegemea mwanangu kurudi kesho yake. Kesho ikafika hadi jioni mwanangu hakurudi, hofu ikaanza kunitawala moyoni mwangu hadi kunakucha mwanangu hakuwa nyumbani pa kuanzia sijui kwani yule kijana ni mgeni kwetu. Siku hiyo nikiwa kwa mbali namwona mwanangu akijikongoja kwa kujivuta, nilimkimbilia mpaka pale alipo nikambeba hadi nyumbani, naye akaniambia maneno haya "mama nakupenda sana ila naomba nikwambie ujumbe huu uwafikishie mabinti wote. Mama, yule kijana nilikutana naye wakati naenda chuo akanipa lifti na kuchukua namba yangu. Mawasiliano yetu yalianzia hapo ila sijui anapoishi wala ndugu zake, aliniomba nije nae nyumbani kumtambulisha kipindi hiki cha likizo na ndio nikafanya hivyo, nilizoea kuzunguka nae hotel, bar, cinema na majumba yote ya starehe. Ila alichonitenda hivi karibuni ni cha kustaajabisha, nilipoondoka naye hapa alinifunga kitambaa machoni na kusema anaenda kunifanyia suprise nilishangaa tukielekea mahali pasipojulikana huko nilienda kupata mateso makubwa mengine hata hayasimuliki ila kuna hili la kunifunga mimi kamba kwenye miti, mikono na miguu ikiwa imetanuliwa halafu wakanifanyisha mapenzi na mbwa watatu, ikiwa hiyo haitoshi lililetwa joka kubwa ambalo liliingizwa sehemu zangu za siri, sijui lilienda kufanya vitu gani ila nilipata maumivu ambayo hayaelezeki nililia hadi kuzimia, nilipozinduka nikajikuta nipo nje ya nyumba yetu nimetupwa ila kabla ya yote waliniambia kuwa sitakiwi kusema chochote kile kwa mtu yoyote kwani nitakufa." Alipomaliza kusema hayo nilikuwa natetemekd mwili mzima kwani nilimuona mwanangu akinyooka na kufa mikononi mwangu. Hata nikieleza maumivu yangu hakuna atakayenielewa, ila niliumia kupita maelezo. Yote namwachia Mungu. Tangu kifo cha mwanangu nimekuwa kama mtu nisiyejielewa, natoa wosia kwa mabinti wengine tafadhari sana angalieni kwa makini wachumba mlionao isije ikawa kama yaliyomkuta binti yangu, wazazi wote kuweni makini. Naumia kumpoteza binti yangu mpenzi tena aliyekufa kwa maumivu makubwa. Ila najua Mungu atatenda jambo. Hadi leo sielewi kwanini mwanangu alitendwa hivi. Kama ujumbe huu umekugusa, dondosha LIKE yako hapo au SHARE ukiweza ili na wengine wapate kitu.
Artikel Terkait
Hivi unazijua Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati??  Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli. 1. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda! 2. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati ku Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 3. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu. 4. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume! 5. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu! ... Read More
KWA WANAWAKE TU! NJIA 14 ZA KUJIWEKA ILI WANAUME WATAMANI KUKUTONGOZA  Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Mtandao wa Sayari ya Mapenzi umeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi. Owk.... Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee. Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza. Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya kuapproach mwanamke, unaweza kumfanya mwanaume yeyote kutaka kuongea na wewe dakika tano atakapokuja katika himaya yako. So mbinu zenyewe ndizo zipi? Zama nami... Njia za kujiweka ili mwanaume apate nafasi rahisi ya kukutongoza Kwanza jiweke nadhifu Hii ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika chumba, inamchukua sekunde ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke mfani au la. Kama umevalia vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana. Pili usionekane kama una shughli Usijishughlishe sana na simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa iweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake. Tatu ni kuwa mko ligi moja? Hii inakinzana na hatua ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka kama uko ligi tofauti na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya juu wanawake watapenda kukuangalia lakini hawatakuaproach. Hii ni kwa sababu wanaume wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach....kiufupi ni kuwa ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa. Lakini tena, kuna wale wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproach, nao ni wanaume alfa, wanaume diriki, na pia wale wanaume mapleya. Kama wataka kuteka atenshen ya mwanaume mzuri wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu kutumia mbinu ya kuwa jamili na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia. Ujanja wa kumfanya mwanaume aweze kukuakuaproach 1. Jinsi utakavyovalia Usivalie kana kwamba huna kitu cha kuficha. Utapata atenshen ya kila mtu lakini wanaume ambao wataamua kukuapproach ni wale ambao wanataka kulala nawe kwa usiku mmoja pekee. Enyewe kuvalia kwa kutamanisha kunasaidia kuteka atenshen ya mwanaume, lakini usivuke mipaka ya kawaida. Kumbuka kuwa si lazima uonyeshe viungo vyako vyote vya mwili ili uweze kuteka macho ya mwanaume. Kama unavutia inatosha kumfanya mwanaume akugundue. 2. Unavyomuangalia Mchungulie mara moja na nyingine, halafu mwangalie mara kwa mara. Hakikisha ya kuwa haujisahau ukamwangalia sana kupindukia ama atakuona kama wewe ni rahisi wa kuapproach na anaweza kukupuuza. 3. Mitindo ya kumwangalia Kuna mitindo miwili mikuu ya kumwangalia mwanaume ili kumuonyesha ya kuwa umevutiwa naye. Unaweza kutumia mbinu zote mbili kulingana na vile unataka. i) Kumwangalia polepole - wakati ambapo unaangalia pande zote, angalia upande wake na uyaangalie macho yake kwa sekunde kadhaa huku ukiweka tabasamu. Halafu pole pole zungusha kichwa chako uangalie kwingine. Mbinu hii ni ya kijasiri ya kumwonyesha mwanaume umevutiwa kwake. ii) Kumwangalia kwa uharaka - hii ni mbinu ya kumwangalia kwa uharaka. Anza kumuangalia, ukiona kama anataka kukuangalia, ghafla angalia kando halafu utoe tabasamu ukiangalia chini. Mbinu hii inampa confidence na kukuona wewe ukipendeza. 4.Mfanyie kazi iwe rahisi Inakuwa vigumu kwa mwanaume kumuapproach mwanamke sehemu ambapo yuko kundini na marafiki zake. Kama mawazo yako ni kufuatwa na mwanaume, hakikisha ya kuwa wakati mwingine unajipa time ukiwa pekeako ama zaidi uwe na rafiki yako wa kike mmoja. 5. Sehemu zifaazo Si kila sehemu ni nzuri kufanya maongezi na mtu. Kama unataka mwanaume akuapproach, chagua sehemu ambayo si kila mtu ataanza kujeuza kichwa chake kutaka kujua ni nini kinachoendelea kati yenu. Sehemu za mkawahawa, supermarket, ama bookshop ni sehemu nzuri zaidi za kukutana na mwanaume kupiga stori. 6. Mpatie nafasi aongee na wewe Hata kama uko katika group na marafiki zako halafu mwanaume akakugundua, mwonyeshe interest kwa kumuangalia kwa madakika. Ukiona kama yuko tayari kuongea na wewe, unaweza kujitenga na marafiki zako kwa muda. Aidha unaweza kuanza kuzunguka hio sehemu kiasi ama unaweza kujipeleka mahali ambapo itakuwa rahisi kwa mwanaume huyu kuzungumza na wewe. 7. Tabasamu Onekana jamili, na nafasi ya wewe kufuatwa na wanaume itaongezeka mara dufu. Kupendwa kwa mwonekano wa kwanza ni kama baraka kwa mwanamke yeyote yule ambaye anataka macho ya mwanaume yamwone. 8. Usiboe Kuwa mwanamke mwenye furaha na mwenye hisia chanya mahali popote pale utakapokua. Mwanamke mwenye shangwe huvutia mwanaume yeyote yule. Kama utaonyesha chembechembe za kuboeka, mwanaume anayetaka kukuapproach anaweza kuwa na maswali mengi ya kujiuliza kwani ataona ya kuwa maisha yako huboesha na yasiyo na mwanga. 9. Usiwe mjeuri Kama wewe ni mjeuri kwa yeyote, aidha weita ama mmoja wa rafiki yako, inaweza kutokea kuwa mwanaume ambaye anapania kukuapproach kusimamisha ari yake. Hakuna mtu anapenda mtu mjeuri, na hakuna mwanaume angependa kuapproach mwanamke ambaye anaweza kumpuuzia ama kumkataa. 10. Usitangamane na wanaume Hii ni muhimu kwa mwanamke yeyote aelewe. Usiwahi kamwe kutangamana na marafiki zako wa kiume kama unataka kukuwa approached na mwanaume. Haitafanya kazi kamwe. 11. Mwoneshe kuwa uko intrested Mwonyeshe kuwa uko interested kwake kwa kutaka kumjulia hali zaidi. Hata kama uko na marafiki zako mnaongea halafu amekaa karibu na wewe, mwangalie iwapo anakuangalia hata kama unawajibu rafiki zako. 12. Onyesha uanawake wako Mwangalie mara kwa mara, halafu ukishika macho yake, peta nywele zako nyuma ya sikio lako. Inaweza kuonekana kama jambo dogo kwako, lakini kwa mwanaume ni kama kugonga ndipo. 13. Mtege Pita mbele yake halafu mwangalie machoni mwake wakati unapompita. Mtese kihisia, ataipenda kuona atenshen yake. 14. Usilazimishe Utakuwa unajiaibisha iwapo unalazimisha mambo. Wanaume si mabubwi, hivyo ukiwaangalia mara moja na nyingine ama kuwatabamia, wanajua kuwa uko tayari kuapprochiwa. Ok hizi ni mbinu ambazo unafaa kuzitumia kama unataka mwanaume yeyote yule akunotice ama akufukuzie. ... Read More
NI JINSI GANI UNAMWOMBA MPENZIO MSAMAHA, JE NI KWA KUMPA ZAWADI? Msamaha una nafasi kubwa sana katika mapenzi. Hamna mtu aliyemkamilifu ndiyo maana neno samahani lipo. Ila neno hili linaweza kutumika sahihi au isiwe sahihi. Hivyo ni vizuri ukawa makini katika matumizi ya neno hili. Kuna baadhi ya watu hawawezi kabisa kutamka hilo neno na badala yake hutumia maneno yafuatayo (mbadala) kama ; yaishe,basi samahani,umeshinda,sorry(kama njia yakupunguza makali na wakati lugha iliyokua ikitumika ni kiswahili). Jinsi yakutumia samahani kiusahihi Unapotoa samahani kutoka katika kilindi cha moyo wako ina maana sana zaidi ya chochote. Samahani itumike tu pale unapotenda kosa moja kwa mara ya kwanza, hapo ni rahisi kusamehewa na kuaminiwa zaidi.Heshima, pendo na mapenzi yatakuwa kama awali na utaheshimika nakuonekana unajali. Hakikisha hauombi samahani zaidi ya mara moja kwa kosa moja ndo mana wanasema, “kosa sio kosa ila ukirudia kosa ndio kosa’’. Kama ulikua haufahamu ni vizuri ujifunze na ikiwezekana rudisha kumbukumbu zako katika matukio yanayohitaji msamaha kwenda kwa mpenzi wako na ulinganishe na hatua ulizozifanya. Kiri kosa ndiyo msamaha wako uweze kukubalika.Usiombe msamaha huku unasema lakinii…… ila……. Siamini kama haya yangetoa……… aina hizi za midokezo inapotumika katika kuomba msamaha ujue unataka kuonesha ulichokifanya sio kosa… Its simple, admit your mistake for the heartest forgiviness .Utapelekea upande wa pili (uliokosewa kukuamini tena na ni rahisi kusamehe na kusahau) tofauti na kuwa na maneno meeengi yakujitetea ilihali umetenda kosa. Sasa nije kwenye suala la zawadi, Jamani zawadi isiwe ndiyo silaha ya kudai msamaha. Zawadi inatumika wakati wowote kuimarisha mapenzi kwa kuonesha unamjali mwenzi wako nakumfanya ahisi faraja wakati wote na uwepo wake katika maisha yako. Epuka tabia ya kutoa sana zawadi wakati unamplease mpenzi wako.Kwa wakati mwingine utamjengea fikra za kosa pindi tu unapomletea zawadi. Hivyo asiifurahie ile zawadi na badala yake atakua na shauku kufahamu msamaha wa siku hiyo ni wa kitu gani au umetenda kosa gani tena. Wakati mwingine zawadi inapotumika katika kuomba msamaha itakua ni kama KUMBUKUMBU YA KOSA ulilomfanyia mwenzi wako, hivyo kumfanya akumbuke mara kwa mara kosa ulilolifanya. Kuwa makini sana katika njia za kuomba msamaha. Njia nzuri ya kuomba msamaha na ukubaliwe kwa upesi Kubali kosa pale ambapo umetenda,(note; Usikiri kosa kwa sababu tu unampenda na hutaki kumpoteza ,au hutaki malumbano. Ukifanya hivo ndo unaweza haribu uhusiano wako kabisa) Badili mazingira ya maongezi yaani tofauti na eneo la nyumbani/mlilozoea kukaa Omba msamaha wakati hasira zimepungua na ukiwa sio mlevi (hasa kwa wale wenye hasira au wanywaji wa pombe) Usilazimishe kusamehewa ,yaani mwenzako anapokua haridhii tumia njia nyingine mfano kumshirikisha mtu wenu wa karibu saana (kwa wote wawili) ila hapa uwe makini kwa sababu sio wote wanapenda siri zao za uhusiano kujulikana na wengine.Hapa itategemea na jinsi mlivyo Anayeomba msamaha ahakikishe sio mtu wa kukumbuka makosa ya mwenzie yaliyofanyika kipindi cha nyuma.Hapa na maanisha wale wenye tabia yakusamehe wenzao ila niwakukumbuka, endapo atakosewa kwa kitu kingine hata kwa bahati mbaya.Mfano akikosewa huwa ni mtu wakusema; ''hiyo ni kawaida yako'' that means anashikilia vitu moyoni.Itamuwia vigumu mwenzako kukubalia msamaha kwa urahisi, kutokana na tabia yakumshikilia bango kwa kumkumbusha yaliyopita endapo yeye atakukosea. Ni vizuri kujitahidi katika kufanya mambo mazuri kwenye uhusiano wako.Usitegemee zawadi kuwa ni kitu kizuri katika kuomba msamaha. Timiza malengo yako,jiheshimu,kuwa mwaminifu na kumthamini mwenzio na kumpenda kwa dhati. Bila kusahau kusikilizana na kufanya maamuzi kwa pamoja. ... Read More
Je Wajua Kwanini Wanawake Hula Vyakula vya Ajabu Ajabu Wakiwa Wajawazito?  Tabia hii inayojulikana kwa Kiingereza kama “Pica” inatokana na mtu kutamani kula vitu vyenye virutubisho kidogo sana au visivyo na virutubisho vya aina yoyote kwa mwili. Tamaa hizi huwa zinawapata watoto au mama mjamzito kutafuna vitu ambavyo kimsingi si chakula – kama udongo au chaki. Jina hili la pica ni aina ya ndege ambaye anajulikana kwakuwa anakula kitu chochote, hana anachochagua. Ni kweli kwamba wajawazito wengi hupata hamu ya kula vitu ambavyo si vyakula walivyozoea kula mara kwa mara wakiwa si wajawazito; wengi wao ni rahisi kuwaelewa kwa sababu hukimbilia mchele, barafu na vinginevyo ambavyo si vitu vibaya kula. Kwa watoto, hii ni tabia iliyozoelekakwakuwa inawatokea watoto wengi ambao ni kati ya asilimia 25 na 30% ya watoto wote; lakini kwa wanawake wajawazito, inatakiwa iwe kwa kiwango cha chini zaidi. Nini kinasababisha tabia hii kwa wajawazito? Sababu ya baadhi ya wanawake kuwa na tabia hii wakati wa ujauzito haijulikani hasa. Kwa sasa hakuna sababu maalumu, lakini kwa mujibu wa Jarida la Chama cha Watu Wanaoishi na Ugonjwa wa Kisukari nchini Marekani, tabia hii yawezekana ikasababishwa na upungufu wa madini ya chuma mwilini. Baadhi wanadai kwamba hali hii inaashiria kwamba mwili unajaribu kupata vitamini na madini mengine yanayokosekana kwenye chakula cha kawaida ambacho mtu anakula. Muda wingine tabia hii yawezaikatokana na kuumwa viungo au akili kwa muda mrefu. Baadhi ya vitu vya ajabu ambavyo wajawazito hupenda kula Vitu vinavyopendwa zaidi na wajawazito wengi ni udongo, uchafu. Vitu vingine ni njiti za kiberiti zilizochomwa, mawe, mkaa, barafu, dawa ya meno, sabuni na mchanga. Mjamzito anapokula vitu hivi hujisikii raha kana kwamba amekula chakula chenye faida kubwa kwake na kwa mtoto aliye tumboni. Kuna hatari yoyote kwa mtoto aliye tumboni? Kula vitu ambavyo si vyakula kimsingi ni jambo linaloweza kusababisha madhara kwa mjamzito mwenyewe na mtoto aliye tumboni. Kula vitu hivi kunaweza kuharibu mfumo wa kawaida wa kunyonya virutubisho kutoka kwenye vyakula na kusababisha mwili wako upungukiwe na madini muhimu unayoyahitaji kwa afya yako na ya ukuaji wa mtoto vilevile. Tabia hii ni hatarishi sana kwakuwa vitu ambavyo si vyakula vinaweza kuwa na viambata ambavyo ni sumu au vyenye vijidudu vinavyoathiri mwili. Kudhibiti tabia hii Usihamaki unapojikuta unatamani vitu vya ajabu ajabu wakati wa ujauzito: inatokea sana na si jambo la kushangaza kwako pia. Jambo la muhimu ni kumjulisha muuguzi wako au wahudumu wa kliniki unayohudhuria kujua maendeleo yako ya mtoto tumboni ili akuelimishe na ahakikishe kwamba una uelewa kuhusu hatari zinazoambatana na tabia hiyo. Baadhi ya mbinu za kutumia kushinda tamaa hizo Mtaarifu mhudumu wako wa afya kwenye kliniki unayohudhuria na muangalie kumbukumbu za ukuaji wa mtoto tumboni pamoja na hali yako ya kiafyaFatilia kiwango chako cha madini ya chuma mwilini pamoja na kiwango cha vitamini na madini mengine unayotakiwa kulaOmba ushauri kuhusu kitu gani uwe unakula ili kubadili ili kuepuka vitu vya ajabu (waweza kumung’unya/ kutafuna vitu kama pipi au ‘big g’ isiyo na sukariMwambie hata rafiki yako mmoja kuhusu hamu hizi na umtake awe anakukataza unapokula vitu vya ajabu ... Read More
🎀MVUMBIKO WA KITUMBUWA 🎀 Mwanamke mvumbiko bibi 👌🏼 Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juu👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Matayarisho ya mvumbiko👇kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wako👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaa👌🏼 Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 IMETOKA MWANAMKE NDOWA ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: