Home → simulizi
→ SIRI ZA GIZANI 2
Wageni walipo mtembelea mke wa kaka yangu, baada ya mda wakaitaji kuondoka, kwasababu ilikuwa tayari ni usiku mida ya kama saa mbili hivi. Shemeji akaamua kuwa sindikiza ili awatoe nje kidogo kisha waendelee na safari yao. Sasa wakati shemeji yangu anarudi nyumbani bahati mbaya kiatu chake cha kushoto kikakatika, maana kilikuwa ni kiatu cha wazi, shemeji hakuwa na jinsi hivyo akaamua kukibeba ili arudi nacho nyumbani kisha kipelekwe kwa fundi kushonwa. Sasa wakati shangazi anatembea mguu ukiwa peku, bahati mbaya akakanyaga mdudu bila kujua ila alihisi kama amekanyaga kitu kisha kikabonyea, ila kutokana na lile giza hakuweza kuangaika kutazama amekanyaga nini wakati ule. Sasa kumbe ulikuwa ni uchawi tu, majirani zake wamemtumia kusudi tu ateseke na familia nzima iwe katika majonzi, kipindi kaka amerudi kutoka kazini akakuta familia yake ipo na furaha na walikuwa na upendo sana. Kibaya zaidi ni pale ilipo fika saa nane usiku sasa, yule mdudu ambae shemeji alimkanyaga ndiyo akaanza kufanya kazi, huwezi kuamini shemeji yangu alianza kuchemka sana mwili, yaani jasho lina mtiririka sana, kaka akajaribu kumkanda na maji ya baridi ila hari iliendelea kuwa mbaya, kipindi shemeji analia maana alikuwa anaogopa sana ugonjwa, kakidonda kadogo tu, kakaanza kujitokeza mguuni, shemeji hakuhisi chochote akaendelea kukaa tu anajua labda kidonda ni kidogo kitapona, lakini kila kulipo kuwa kunakucha mguu unauma, unawasha, anapata maumivu makali mpaka akaacha kwenda kazini, kaka akaamua kumpeleka mke wake hospitali, alipo fika wakampa dawa na kumchoma sindano, kumbe hapo pia ndipo wakawa wamearibu kila kitu, maana uchawi ukichanganya na madawa ya kawaida unakuwa unaua kabisa, mguu wa shemeji ulianza kuvimba, ulivimba sana ukawa mkubwa kuzidi ata mwili wake, ata watoto wakaanza kuogopa! kaka yangu akashangaa kumuoa mke wake vile, ikabidi arudi hospitali, alipo fika huko, daktari akasema "hii itakuwa kansa hivyo itabidi tumkate mguu wake ili asiendee kuvimba hivi maana anaweza akafariki tukiendelea kusubilia". Shemeji alipo ambiwa kukatwa mguu alianza kulia sana akasema, "mme wangu ni bora tu nife, siwezi kutazama nakatwa mguu, nimemkosea mungu mimi nimekosa nini jamani ehh"
USIKOSE 3
SIRI ZA GIZANI 2 Wageni walipo mtembelea mke wa kaka yangu, baada ya mda wakaitaji kuondoka, kwasababu ilikuwa tayari ni usiku mida ya kama saa mbili hivi. Shemeji akaamua kuwa sindikiza ili awatoe nje kidogo kisha waendelee na safari yao. Sasa wakati shemeji yangu anarudi nyumbani bahati mbaya kiatu chake cha kushoto kikakatika, maana kilikuwa ni kiatu cha wazi, shemeji hakuwa na jinsi hivyo akaamua kukibeba ili arudi nacho nyumbani kisha kipelekwe kwa fundi kushonwa. Sasa wakati shangazi anatembea mguu ukiwa peku, bahati mbaya akakanyaga mdudu bila kujua ila alihisi kama amekanyaga kitu kisha kikabonyea, ila kutokana na lile giza hakuweza kuangaika kutazama amekanyaga nini wakati ule. Sasa kumbe ulikuwa ni uchawi tu, majirani zake wamemtumia kusudi tu ateseke na familia nzima iwe katika majonzi, kipindi kaka amerudi kutoka kazini akakuta familia yake ipo na furaha na walikuwa na upendo sana. Kibaya zaidi ni pale ilipo fika saa nane usiku sasa, yule mdudu ambae shemeji alimkanyaga ndiyo akaanza kufanya kazi, huwezi kuamini shemeji yangu alianza kuchemka sana mwili, yaani jasho lina mtiririka sana, kaka akajaribu kumkanda na maji ya baridi ila hari iliendelea kuwa mbaya, kipindi shemeji analia maana alikuwa anaogopa sana ugonjwa, kakidonda kadogo tu, kakaanza kujitokeza mguuni, shemeji hakuhisi chochote akaendelea kukaa tu anajua labda kidonda ni kidogo kitapona, lakini kila kulipo kuwa kunakucha mguu unauma, unawasha, anapata maumivu makali mpaka akaacha kwenda kazini, kaka akaamua kumpeleka mke wake hospitali, alipo fika wakampa dawa na kumchoma sindano, kumbe hapo pia ndipo wakawa wamearibu kila kitu, maana uchawi ukichanganya na madawa ya kawaida unakuwa unaua kabisa, mguu wa shemeji ulianza kuvimba, ulivimba sana ukawa mkubwa kuzidi ata mwili wake, ata watoto wakaanza kuogopa! kaka yangu akashangaa kumuoa mke wake vile, ikabidi arudi hospitali, alipo fika huko, daktari akasema "hii itakuwa kansa hivyo itabidi tumkate mguu wake ili asiendee kuvimba hivi maana anaweza akafariki tukiendelea kusubilia". Shemeji alipo ambiwa kukatwa mguu alianza kulia sana akasema, "mme wangu ni bora tu nife, siwezi kutazama nakatwa mguu, nimemkosea mungu mimi nimekosa nini jamani ehh" USIKOSE 3
Artikel Terkait
Story........ NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi na mbili (12) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp.... 0769673145 Ilipoishia.......... Penina na Frank walishangazwa Sana na maamuzi ya Nolan lakini hata hivyo Nolan hakutaka wamuulize swali lolote, alimwamuru dereva wa tax ile awashe gari na kuondoka. Kisha Nolan naye akaingia kwenye gari yake na kugeuza kuwafuata vijana wale wa the killer na wakati huo walikuwa tayari wameshaungana wote kwa maana ya kikosi kile cha kwanza kilichokuwa kikimtafuta Nolan na kile cha pili kilichokuwa kikimtafuta Frank. *********Endelea ********* Vikosi vile viwili ambavyo vilikuwa kwenye magari mawili viliweza kumuona Nolan akiwa anarudi kule alikotoka. Vikosi vile navyo haraka haraka vikageuza magari yao na kuanza kumfuata Nolan. Nolan aliweza kuwaona wakimfuatilia na ndio kitu ambacho Nolan alikitaka, lakini kilichomshangaza Nolan ni kwamba Sasa anafuatiliwa na magari mawili tofauti na mwanzo walipokuwa wakimfuatiliwa na gari moja. Lakini Nolan hakujali hilo, akaacha barabara na kukataa kushoto na kuingia kwenye njia moja ya vumbi ambayo haikuwa ikipita watu Mara kwa Mara. Nolan baada ya kuingia kwenye barabara ile akasimamisha gari na kushuka ndani ya gari lile. Na sekunde hiyo hiyo magari mawili ya vijana wale wa the killer wakawasili pale alipo Nolan na kusimamisha magari yao Kisha wote wakashuka kwenye magari yao ambao kwa pamoja walikuwa Nane. Vijana wale wa the killer walishaangaa baada ya kufika na kumkuta Nolan peke yake badala ya kuwakuta wote Nolan pamoja na Frank. Nolan alikuwa amesimama pembeni ya gari yake huku akiwatazama vijana wale waliokuwa wakimsogelea taratibu. "mwenzako yuko wapi?" kijana mmoja wa the killer akamuuliza Nolan huku akijaribu kumkamata Nolan kwenye shingo. Kijana yule alijikuta akipokea ngumi Nzito ya tumbo kutoka kwa Nolan ambayo ilimfanya adondoke chini kwa magoti. Wale vijana wengine walishtuka kuona mwenzao alivyotandikwa ngumi ya tumbo. Lakini hata hivyo bado vijana wale waliamini Nolan hawawezi kwasababu wako wengi na wote wana silaha. Vijana wale kwa pamoja wakaanza kumfuata Nolan, Nolan naye akapiga hatua kadhaa na kurudi nyuma na kuwasubiri. Vijana wale walipomkaribia Nolan kwa pamoja wakaanza kurusha ngumi na mateke kumvamia Nolan. Lakini Nolan alikuwa akiwakwepa tu bila kumgusa mtu yoyote, ndani ya dakika tano Nolan alikuwa akiwakwepa vijana wale waliokuwa wakimshambulia bila mafanikio. Lakini Nolan alizubaa kidogo na kujikuta akipokea ngumi Nzito ya uso kutoka kwa mmoja wa vijana wale. Lakini hata hivyo kijana yule aliyembahatisha Nolan ngumi ya uso ikawa ndio mwisho wake wa kuishi duniani, kwani Nolan alimkamata na kuanza kumshambulia kwa ngumi za haraka haraka na kummaliza kwa kumvunja shingo. Wale vijana wengine ndio walishtuka vibaya mno na kuona huyu mtu sio wa kawaida, wakaamua wamshambulie kwa silaha zao baada ya kuona hawatamuweza kwa mkono. Vijana wale walichomoa bunduki zao na kuziweka tayari kummaliza Nolan. Lakini Nolan alikuwa tayari ameshaingia kwenye gari na kuondoka kwa spidi kali na kuwaachia vumbi kali Vijana wale. Nolan aliamua kukimbia baada ya kuona vijana wale wakitoa bunduki zao, hivyo asingewaweza kwa sababu yeye hakuwa na silaha yoyote. Vijana wale nao hawakumuacha waliingia kwenye gari na kuanza kumfuatilia Nolan. Lakini mpaka pale Nolan alikuwa tayari ameshawapoteza vijana wale na yeye Sasa alikuwa ameshika njia ya kuelekea nyumbani. * Mzee Joel akiwa ameketi sebuleni kwake akisubiri majibu ya kuuwawa kwa Frank na Nolan simu yake ilianza kuita na alipoangalia mpigaji ni nani alikutana na Jina la Dickson, kijana ambaye mzee Joel ndio anataka amuoe mtoto wake Penina. Mara moja mzee Joel akaipokea simu ile. "mzee Joel habari yako?" akauliza Dick baada ya simu yake kupokelewa na mzee Joel. "salama kijana wangu habari ya huko"? Akajibu mzee Joel na kuuliza. " huku Safi tu, Sasa mimi nilikuwa nataka nije kumchukua Penina moja kwa moja nahitaji kuwa na familia Sasa. " akaongea Dick kumwambia mzee Joel. " kijana wangu usiwe na haraka tunaweka mambo Sawa na Muda wowote tutakuita uje umchukue mke wako. " akaongea mzee Joel kumpa moyo Dick. " unaweka mambo Sawa unaweka mpaka lini kama ni pesa nikekupa za kutosha mbona unanizungusha zungusha tu au nikuongezee pesa zingine? " akaongea Dick huku akionesha kuchoshwa na namna mzee Joel anavyomzungusha. "kijana wangu tafadhali naomba utulie Penina ni wako usiogope." mzee Joel akamwambia Dick. "nitulie nitulie mpaka lini nakuja Tanzania kujua Kwanini unanichelewesha kumuoa Penina na wakati nimeshakupa pesa nyingi Sana." akaongea Dick na kukataa simu. Mzee Joel alihisi kuchanganyikiwa hakujua afanye nini ili aweze kumuunganisha Penina na Dick. Na wakati huo huo mlango ulifunguliwa na akaingia Nolan huku akiwa amechafuka kwa vumbi. "Wewe mbwa mbona unaingia ndani kwangu bila hodi?" mzee Joel akamuuliza Nolan huku akiwa amevimba kwa hasira. "mzee tulia huu mchezo umeutaka mwenyewe lazima Frank amuoe Penina." akaongea Nolan maneno hayo ambayo yalizidi kumpandisha hasira mzee Joel na kujikuta akimrushia Nolan glass ya maji iliyokuwa kwenye Meza. Nolan aliigonga ngumi glass ile na kuipasua pasua. "ukiniletea upuuzi na wewe nitakupasua pasua kama hiyo glass." Nolan akamwambia baba yake mzee Joel na kuelekea chumbani kwake. * Frank na Penina baada ya kufika uwanja wa ndege walifuata taratibu zote na hatimaye wakafanikiwa kuingia ndani ya ndege na dakika chache baadae walikuwa angani wakielekea South Africa. "kama tukifanikiwa kufunga ndoa nitafurahi Sana yaani furaha nitakayokuwa nayo sidhani kama itaelezeka." aliongea Penina huku akiwa amejiegemeza kwenye kifua cha Frank. "usijali mpenzi kila kitu ambacho kinatokea kimepangwa na Mungu na vitakavyotokea mbele ni Mungu pia anajua, hakuna mwanadamu asiyependa furaha." akaongea Frank kwa upole kumuambia Penina. "ni kweli mpenzi wangu." akajibu Penina na safari ikaendelea kwa masaa kadhaa na hatimaye wakawasili South Africa Katika jiji la Johannesburg na kuchukua chumba Katika hoteli moja ya kifahari. Baada ya kupumzika kwa dakika kadhaa Penina na Frank waliwasiliana na Nolan na kumjulisha jinsi safari yao ilivyokuwa. Nolan aliwataka wakae kwa amani na wasiwe na hofu yoyote yeye anaweka mambo Sawa na yakiwa tayari bas atawajulisha. * Vijana wa the killer bado walikuwa wakimtafuta Nolan na Sasa waliwasili nyumbani kwa kina Nolan na kukutana na mzee Joel ambaye aliweza kuwaambia Nolan yupo ndani na akawaelekeza chumba chake wakammalizie huko. Vijana wale taratibu walianza kuelekea Katika chumba cha Nolan, lakini kwa bahati mbaya ama nzuri Nolan aliwaona. "mmeamua kunifuata mpaka nyumbani nyie mmeisha." akajisemea Nolan Kisha akatoka chumbani kwake akiwa kifua wazi na kukutana na vijana wale sebuleni. Kilikuwa kitendo cha kushtukiza vijana wale hawakutarajia kukutana na Nolan sehemu Ile. Kitambo waseme waweke silaha zao tayari Nolan alianza kuwashambulia, na baada ya dakika chache Nolan aliwaweka vijana wale wote chini kwa kuwavunja vunja sehemu za miili yao. Mzee Joel ndio hakuamini baada ya kuingia ndani na kukuta vijana wote wamelazwa chini alafu kidogo hivi akatokeza Nolan akiwa amepigilia suti nyeusi Kisha akamwambia baba yake ambaye ni mzee Joel, "naenda kwenye kikao cha harusi ya Penina na Frank na kama utahitaji kadi unijulishe nikuletee ya kwako." ....... Itaendelea. ... Read More
MUUZA MAZIW EP 07 “aaaaahh!! Jamani wifi wao!!” Aliongea kwa furaha baada ya kumuona mgeni aliyekuwa akigonga ni penina. “asante wifi , shikamoo!” Penina aliongea na kisha kumkumbatia wifi yake kwa furaha. “ marhaba wifi ,vipi masomo?” Aliongea huku akiipokea mizigo aliyo ibeba “naendelea vizuri tu wifi” “haya mungu akusaidie” Aliongea lisa na kuelakea sebuleni , aliiiweka mizigo pembeni ya kochi na kasha kuelekea sehemuk ilipo friji. Penina, penina akaamua kuichukua mizigo ili aipeleke chumbani. “hapana wifi, hapana , hiyo iache hapo hapo nitaiingiza mwenyewe,, wewe kwanza kunywa juisi upumzike.“ Aliongea lisa huku akiwa ameshikilia jagi lenye juisi pamoja na glasi, alifanya hivyo kwa sababu chumba anachotakiwa kulala penina ndicho chumba ambacho amemficha muuza maziwa. “usipate tabu wifi wangu kunywa juisi upumzike, nipo kwa ajili yako “ Aliongea lisa huku akiibeba mizigo na kuelekea chumbani na kumuacha penina akinywa juisi taratibu. Alipoingia chumbani alimshutua muuza maziwa na kumweleza hali halisi. “kwahiyo nitatoka saa ngapi humu?” “ itabidi uvumilie mpaka usiku wifi akilala , mlango wa nje nitauacha wazi leo” Aliongea lisa “Sawa lakini vipi kuhusu chakula manaake niana njaa” “ usijali nitakuletea utakula humu humu , jitahidi usitoke nitajaribu kufanya mpango hata kamakabla ya usiku ikiwezekana” “poa” Muuza maziwa aliitikia “alafu nitaa……” Lisa alikatiza kauli yakebaada ya kusikia mlio wa kitasa kikifunguliwa. Haraka haraka muuuza maziwa aliingia kabatini na kisha lisa aliufunga mlango wa kabati hiyo kabla hata hajauachia mlango huo alisikia sauti nyuma yake. “wifi mbona unagombana na hilo kabati!?” Swali hilotoka kwa penina lilimfanya lisa ashikwe na kigugumizi cha ghafla huku akitoa maelezo ya kujikanyagakanyaga. “ah, mh, a-, u-n-a-j-u-a hi-li ka-ba-ti ni bo-vu” “limeharibika , ooh, mungu wangu!” Penina aliongea huku akilisogelea kabati hiloili kuiangalia sehemu ilipoaribika. “ah, hapana wifi usiiguse hapa nimeitegesha , iache hivyo hivyo mpaka atakapokuja fundi kulirekebisha” Aliongea Lisa haraka haraka. “okey”[sawa] Aliongea Penina huku akitikisa kichwa kuonyesha kwamba ameelewa. “nataka kuoga wifi” “na kweli manaake umechoka kweli kweli wifi yangu” Aliitikia Lisa haraka haraka kwani alijua huo ndio upenyo wa kumtoa muuza maziwa. Na kweli penina alipoingia bafuni lisa aliufungua mlango wa kabati haraka na kumtoa muuza maziwa , akala chakula haraka na kuanza safari ya kutoka nje ya nyumba hiyo , walipofika kwenye mlango wa kutokea muuza maziwa alimbusu lisa kwa mara ya mwisho , alipomaliza kufanya hivyo alitoka ndani ya chumba hicho na kutokeza koridoni ili atoke nje kabisa ya nyumba hiyo lakini kabla ya kufanya hivyo alisikia muungurumo wa gari, halikuwa gari lingine bali gari la Jerry mume wa Lisa. Hofu iliwaingia kwa ghafla na haraka haraaka walirudi tena chumbani kwa penina , ambapo kama kawaida alimfungia muuza maziwa kabatini, hawakuwa na njia nyingine tena bali hile waliyoipanga awali, muuza maziwa asubiri mpaka usiku wa manane Penina atakapo lala ndipo atoke kwani Lisa atauacha mlango wa kutokea wazi. Lisa alipomaliza kumfungia muuza maziwa katika kabati alitoka nje ya chumba hicho,akiwa koridoni aligongana ana kwa ana macho na mumewe. Wote wawili waliinamisha vichwa vyao chini. Kwani kila mmoja aliona aibu kwa kumsaliti mwenzake. Lisa kwa muuza maziwa na Jerry kwa sekritari wake. “Ah, mmh, wifi amekuja , kakaribu!” Aliongea Lisa kwa kujiumauma huku akiwa na wasi wasi. “ asante amekuja saa ngapi?” “sio muda mrefu” “aah yuko wapi sasa nimsalimie?” “yuko bafuni anaoga” “Okey” [sawa] Aliitikia na kisha kuelekea chumbani kwake. Lisa nae alimfuata mumewe nyuma hukubado akiwa na hofu juu ya kugundulika kwa uwepo wa muuza maziwa ndani ya nyumba hiyo. “Pole na kazi dear” Aliongea Lisa huku akijibaraguza kwa kumvua tai mume wake, macho yake bado yalikuwa na aibu sababu bado alikuwa na wasi wasi kwamba labda mumewe amegundua chochote. “ah, asante mpenzi” Aliitikia Jerry huku akitabasamu, lakina nae pia tabasamu lake liliishia mdomoni tu moyoni nafsi ilimsuta . Maovu aliyoyafanya na sikritari wake ofisini kwake yalikuwa bado yakionekana katika kichwa chake. Akavua nguo na kuingia bafuni kuoga lisa nae alimfuata na kujumuika nae kuoga . Alifanya hivyo ili Jerry hasihisi chochote. Walioga huku kila mmoja akiwa hana habari na mwenzake. Kwani wote wawili walikuwa wamechoka, walipomaliza kuoga wakavaa na kasha kwenda sebuleni. Huko wakamkuta Penina akianga lia tv. “mdogo wangu huyo!” Jerry aliongea kwa furaha huku wakicheka. “kaka!” Penina aliitikia na kisha kumkimbilia kaka yake. “waoo!!!” Waliongea kwa pamoja na kisha kukumbatiana kwa furaha. “habari za masomo!?” ITAENDELEA.. ... Read More
Story - - - - - NI WEWE TU PENINA Sehemu ya pili (2) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp___0769673145 Ilipoishia........ Katika bar moja iliyopo maeneo ya sinza kikao kimoja kilikuwa kikiendelea, na huku kilichokuwa kikipangwa Katika kikao kile ni namna ya kulivunja na kuliharibu penzi la Penina na Frank. Mzee Joel ambaye ni baba yake Penina, pamoja na Angel ambaye ni mdogo wake Penina pamoja na vijana wengine watatu wa kiume na mmoja wa kike, ndio waliokuwa wahusika wakuu wa kikao kile. *********ENDELEA ******** "sitaki mwanangu aolewe na yule mlala hoi kwa namna yoyote Ile naomba muyakatishe mpenzi yao, nitawapa pesa yoyote mnayotaka." alisikika mzee Joel akiwaambia vijana wake. "hamna shinda mzee wetu kuanzia Sasa tupo Katika mipango ya kuliharibu penzi hilo usijali mzee wetu." kijana mmoja aliyeitwa zaza ndio alisikika akiwaambia mzee Joel maneno hayo. "nitafurahi Sana kama hili likifanikiwa siwezi kukubali mwanangu aolewe na yule mnuka jasho." mzee Joel bado alizidi kuongea kwa jazba. "baba hata mimi nakuunga mkono Dada hawezi kuolewa na yule mnuka shombo." aliongea Angel naye kumuunga mkono baba yake. "hamna shida mzee Joel tutafanya mnayotaka." akaongea Zaza. "bas Sawa ngoja niwape pesa ya maji ili muweze kuianza kazi Mara moja." akaongea mzee Joel na kutoa pesa kias cha shilingi laki mbili na kumkabidhi Zaza agawane na wenzake. "Asante Sana mzee wetu na kuanzia Sasa sisi tunaianza Kaz." akaongea Zaza huku akipokea pesa zile, na Kisha wakaagana na mzee Joel na kuondoka.* Katika ukumbi mmoja wa starehe mziki wa taratibu ulikuwa ukipigwa kwa utaratibu wa hali juu kabisa, huku watu wawili wanaopendana kupita maelezo wakiwa ndani ya ukumbi huo huku wakiburudika na mziki mwororo uliokuwa ukipigwa Katika ukumbi ule, watu hao ni Penina pamoja na Frank. "Frank nakupenda Sana mpenzi wangu sijui nifanye nini ili ujue ni kwa kiasi gani, nafahamu jinsi baba yangu anavyokuchukia Ila yeye hawezi kuwa chanzo cha mimi kutokukupenda wewe, hakika nakupenda Sana." aliongea Penina maneno hayo akimuambia Frank na kujilaza kifuani mwake. "nafahamu Penina ni kwa kiasi gani unanipenda na pia unatambua ni kwa kias gani mimi nakupenda, napenda nikuahidi tu kuwa NI WEWE TU PENINA hakuna mwingine zaidi yako." Frank naye alimwambia Penina maneno hayo ambayo yalimfanya Penina azidi kutoa tabasamu tamu usoni mwake na kuzidi kumvuruga Frank, ambaye alijiona ni mwanaume mwenye bahati Sana kuwa na msichana mrembo kama Penina. Kama Kuna zile sifa wanaume huzitafuta kwa wanawake bas Penina alikuwa nazo na zingine za ziada. "yaani mpenzi wangu kila nikikuangalia nakuwa na maswali mengi ya kijinga ya kukuuliza kwa jinsi tu ulivyo mzuri." aliongea Frank akimwambia Penina. "hahahaaaa maswali gani hayo mpenzi wangu hebu niulize moja." akaongea Penina na kumtaka Frank amuulize moja. "swali moja ambalo huwa najiuliza kila ninapokuona huwa najiuliza hivi wewe ulizaliwa na mwanadamu au Mungu ndio alikutengeneza mwenyewe alafu akakuleta duniani?" akauliza Frank huku akiwa anamtazama Penina. "hahahaaaa Frank mpenzi wangu mi nimezaliwa na mwanadamu kama wewe." akajibu Penina huku akicheka kwa maneno ya Frank. "najua wewe umezaliwa na mwanadamu kama mimi Ila wewe ni mrembo Sana Sana sanaaa." akaongea Frank huku akizidi kumsifia Penina. Penina naye alifurahi Sana na kuzidi kuwa na furaha zaidi kwa sifa alizokuwa akipewa na Frank. "Asante Sana mpenzi wangu kwa sifa zote ulizonipa ila Kuna kitu nataka nikuambie." akaongea Penina na kumtizama Frank. "kitu gani tena mpenzi wangu?" akahoji Frank huku akiwa ametumbua macho. "mbona umeshtuka hivyo Sasa?" Penina akamuuliza Frank baada ya kumuona ametumbua macho. "lazima nishtuke si unajua tena namna navyokupenda isije ikawa ni kitu kibaya." Frank akamjibu Penina. "usijali mpenzi sio kitu kibaya na nina Imani utafurahia." Penina akamwambia Frank kumtoa hofu. "ok niambie bas ni kitu gani?" akahoji Frank huku akionekana kuwa na haraka ya kutaka kujua. "nataka siku chache zijazo tufunge ndoa alafu tufanye harusi kubwa ili tuwakomeshe maadui zetu ambao hawataki kutuona tukiwa pamoja.." Penina ndio alimwambia Frank ambaye alikuwa kimya kumsikiliza. "kweli mpenzi wangu hata mimi nimeshaliwaza hilo tatizo lipo kwangu, bila Shaka unatambua hali iliyopo Katika familia yetu, hatuna uwezo kipesa hivyo nahitaji muda zaidi kulitimiza hilo Penina." Frank akamwambia Penina huku akiwa amepoteza tabasamu usoni mwake. "Frank mpenzi wangu ondoa Shaka kuhusu hilo mimi nina uwezo wa kulisimamia hilo mwanzo mpaka mwisho, na kuthibitisha hilo hapa nimekuja na funguo nne, moja ni ya duka kubwa la kuuza bidhaa za jumla na moja, mwingine ni wa gari kubwa la kubebea mizigo, mwingine ni wa nyumba mpya niliyowanunulia wazazi wako kama zawadi ya kunizalia mwanaume anayenipenda kwa dhati na mwingine ni wa gari ndogo nililokununulia wewe mpenzi wangu. " alimaliza Penina kumwambia Frank maneno hayo na kumuacha akiwa mdomo wazi. " waooow ni ngumu Sana kuamini ila acha niamini tu, Asante Sana mpenzi wangu." alisema Frank huku akimkumbatia Penina na kumshushia mabusu mfululizo. "usijali mpenzi wangu ila nataka utambue nayafanya yote haya kwasababu nakupenda Sana, lakini pia ni moja wapo ya maandalizi ya harusi yetu." Penina akamwambia Frank huku akiwa amejilaza kifuani mwake. "nashukuru Sana Penina mpenzi wangu kusikia hivyo na mimi nikuahidi kuwa na wewe mpaka mwisho wa uhai wangu hakika ni wewe tu Penina." Frank akamwambia Penina huku akiwa amemkumbatia kwa nguvu. Wakati huo tayari Muda ulikuwa umeenda Sana na tayari ilikuwa ni saa moja usiku, hivyo Frank na Penina waliondoka kurudi nyumbani huku Penina akimuahidi Frank kumkambidhi vitu vyote alivyomwambia siku inayofuata. Penina alimfikisha Frank nyumbani kwake, Frank akashuka kwenye gari na kumuuga mpenzi wake Penina. Kisha Penina akageuza gari na kuondoka. Baada ya Penina kuondoka tu, Frank kabla hajapiga hata hatua moja kuondoka pale, ghafla alishtukia amezungukwa na vijana watatu wa kiume waliokuwa wamevalia miwani nyeusi kila mmoja. Na hata Frank alipowaangalia hakuweza kuwafahamu. ....... Itaendelea. ... Read More
HOUSE GIRL DIARY; NAITWA RAYA NI HOUSE GIRL MSTAAFU! Nilikua mgeni katika ile nyumba, ingwa haikua mara yangu ya kwanza kufanya kazi za ndani lakini bado nilikua ninaogopa ogopa Dada (Mama mwenye nyumba) alionyesha mkali sana kwani ile kuingia tu alishanipa mashariti elfu kidogo. Nilishaambiwa sehemu ambazo siruhusiwi kukanyaga, vitu ambavyo siruhusiwi kugusa na majina ya kuwaita wote mule ndani. “Sitaki unite Mama unanizeesha unafikiri mimi naweza kuzaa kinyago kama wewe!” Hiyo ndiyo ilikua kauli yangu ya kwanza kukaribishwa nayo mara tu baada ya kumsalimia na kumuita Mama. Kweli hakua mtu mzima, lakini kwakua katika nyumba niliyoondoka nilikua nimezoea kumuita bosi wangu Mama nilijua ni heshima nayeye atapenda kuitwa hivyo. “Huko ulikotoka kwanini ulifukuzwa?” Aliniuliza kwa hasira, sijui hata nilimfanya nini lakini alionekana na kisirani chake tu. “Sikufukuzwa dada niliamua tu kuondoka, walikua …” “Eeeeh! Mimi si shoga yako kuanza kuniambia matatizo yako, nyamaza nishakuambia sitaki kukusikia, nenda jikoni huko! Unajua kupiga au niwakufundishwa kila kitu!” Alinikatisha kabla ya kujielezea kisha kuendelea kufoka. Nilimuambia najua akaniambia niingie jikoni kuanza kazi. Ulikua mchana kwani niliondokea kwa Shangazi yangu (si Shangazi kweli ni mtu ambaye alinilete tu mjini). Niliingia jikoni na kukuta lundo la vyombo, sikua na haja ya kuelekezwa, nilishakua House Girl mzoefu hivyo nilijua nini cha kufanya. Nilianza kuosha na ulipofika wakati wa kupika nilimuuliza tunapika nini. Nashukuru safari hii alinijibu vizuri hivyo nilichukua kile nilichelelekezwa na kumpikia. Kutokana na kelele za nyumba niliyotoka na uzungu wa Bosi wangu wa zamani nilikua najua kupiga si kitoto, ile milenda milenda yangu ya kijijini niliiacha huko huko hivyo nilipompikia tu na kuweka chakula mezani, alikifurahia ingawa hakusema chochote lakini hakulalamika, hiyo ilikua dalili njema kwangu. Katika nyumba niliyotoka baada ya kuwatengea chakula nilikua nasubiri mpaka wamalize kula, hii ni kwasababu kama kikitokea kitu cha kutumwa basi niwepo kuwasikiliza. Huwa nasimama pembeni kama wale madhouse girl wa kwenye TV kusubiria mpaka mabosi wangu wamalize kula ndiyo huingia jikoni na kujitengea chakula changu. Nilishazoea hivyo na kwakua ilikua ndiyo nyumba yangu ya kwanza nilijua labda mjini kote ndiyo hali ilivyo. “Unasubiri nini hapo si uende jikoni huko ukajipikie au wewe huli?” Aliniuliza kwa hasira, nilitaka kumjibu kumuelezea nilivyozoea lakini hakutaka kusikiliza, jicho alilonikata niliondoka kama chizi nikikimbia. Nilifika jikoni na kupakua chakula, nilikaa chini ili kula. Lakini kabla hata sijafikisha tonge mdomoni alikuja, alikua kasimama pembeni yangu. “Ndiyo unafanya nini?” Aliniuliza, macho yake yalikua katika chakula. “Nakula ma…dada…” Kidogo nisahau na kumuita Mama. “Pumbavu unakula nini? Yaani unakula chakula ambacho ninakula mimi! Hivi una akili kweli unataka kuwa sawa na mimi, nikulipe elfu thelathini na chakula ule kama mimi!” Aliongea kwa hasira, alikipiga teke chakula kisha kutoka, alirudi na ndoo ya dagaa na kunirushia. “Kuna ndoo ya dona iko hapo, pika ugali wako ule. “Aliongea kwa hasira huku anaondoka, alienda kwa sekunde kadhaa na kurejea. “Upike mwingi kuna mwenzako anatoka shule atakuja kula na wewe!” aliondoka na kuniacha pale. Nilianza kuchambua Dagaa ambao wengi walikua wameoza, unakutana na wadudu kabisa. “Haya mapya! Nimeruka mkojo nimekanyaga mavi!” Niliendelea kujiongelesha huku nikichambua dagaa ambao walishaanza kunitia kichefuchefu. Huko nilikotoka nilikua nanyanyaswa lakini angalau nilikua nakula chakula cha mabosi wangu hata kama nilikua nalia jikoni! *** Jioni jioni hivi kama saa kumi na nusu watoto wake walikuja, walikua watatu. Mmoja mkubwa kuliko wenzake Jackline na wengine wadogo Joan na John, hawa walilingana kwani walikua mapacha. Baada ya kubadilisha nguo niliambiwa niwatengee chakula, nilifanya hivyo kwa kuweka sahani tatu mezani. Lakini Jackline ambaye alikua na miaka kumi hakukaa mezani, alikuja jikoni ambapo nilikua naandaa chakula cha usiku. “Wewe ndiyo Dada mpya, shikamoo…” Alinisalimia tena kwani alishanisalimia wakati nawafungulia geti ili waingie. Niliitikia kwa wasiwasi kwani nilishaambiwa nisiongee na wanae hivyo niliogopa hata kumjibu salamu. “Chakula changu kiko wapi?” Aliuliza, huku akikaguakagua vyombo. “Chakula si nimeshawatengea sebuleni?” Niliuliza kwa mshangao, hasira zilinipanda kidogo kwani nilishajua kuwa kumbe mbali na kudili na Bosi kichomi basi ningedili na mtoto mdogo kama yule ambaye ana kisirani. “Baba amesafiri mimi siruhusiwi kula sebuleni nnatakiwa kula na wewe!” Sikumuelewa niliuliza mata mbilimbili ndipo kwa utulivu kabisa alinieleza kuwa yule hakuwa Mama yake mzazi bali ni Mama wa kambo hivyo kila Baba yake anaposafiri yeye haruhusiwi kula chakula sebuleni na wengine mpaka anaporejea. Chakula anachokula ni cha Dada wa kazi. Kusema kweli hilo lilikua jingine jipya, labda kwakua nilikua sijafanya kazi katika nyumba ambayo Bosi ana mtoto wa kambo. Niliwaza kile chakula ambacho nilipika kwaajili yangu, nikawaza wale dagaa kisha nikamuangalia yule mtoto na kumuambia. “Jack, si unaitwa Jack… “Nilimuuliza. “Ndiyo Dada!” Alijibu kwa upole. “Huwezi kula kile chakula, hata mimi kimenishinda, hembu ngoja nikutengee kingine, mbona kiko kingi tu watamwaga hawa!” Niliongea huku nikimtafutia sahani ili kumpakulia chakula lakini alikataa katakata, aliniambia nitapigwa sana kama nikila chakula kingine. Alinionea huruma mimi pia nakuniambia hata Dada mwingine alifukuzwa kazi kwakua alikua ananipakulia chakula cha wengine. Alionyesha kuogopa mpaka na mimi nikaogopa kwa namna alivyokua anaogopa. “Huyu ni mwanamke wa namna gani mbona yuko hivi!” Niliwaza nikimuangalia Jackline, alikua kachoka lakini alijitahidi kuonyesha yuko sawa, mara kwa mara alikua akitabasamu huku akijilazimisha kucheka. Aliniongelesha ongelesha kutaka urafiki, kweli nilimuonea huruma machozi yalinilengalenga. Kwangu ule ulikua ni mtihani mpya ambao sikujua nitaumalizaje. *** Siku mbili baadaye Baba mwenye nyumba alikuja, huyu yeye niliambiwa nimuite Baba na nilifanya hivyo bila kuuliza maswali. Alikua ni kijana tu wa makamo au sijui niseme mtu mzima mwenye muonekano wa kijana. Alikua mchangamfu na alipokuja kila mtu alikua na furaha, si Jackline au watoto wake wengine nyumba ilikua kama imemwagiwa gunia la furaha. Hakukua na kupika mara mbilimbili, hata mimi niliambiwa nikae kwenye meza kubwa, hakukua na kutumwa tumwa kwani Baba akiwepo wakati wa kula ni kula na wote alituchukulia kama wanae. Ilikua ni kama unaishi katika nyumba nyingine tofauti kabisa, Dada alikua mchangamfu akiongea kwa kucheka mara kadhaa akimkumbatia Jackline. Hata mimi alinitambulisha kwa bashasha akinisifia kwa ufanyaji kazi wangu. Kweli nilishangaa “Mbona sielewe, huyu Mama yako wa kambo mbona kama anabadilika sana kama si yeye?” Nilimuuliza Jackline, alijiibaiba kukaa jikoni wakati wenzake wakiangalia TV, Baba yake akiwepo alikua haruhusiwi kufanya kazi yoyote. “Nimeshamzoea, anaigiza tu Baba akiwepo?” “Kwahiyo Baba yako hajui chochote?” “Hapana, nilishamuambiaga zamani lakini hakuniamini, niliishia kupigwa tu. Nilimuambia Mama kwanza aliposema kwa Baba akaambiwa nina wivu hivyo kukatazwa hata kuja kuniona, ilileta ugomvi mkubwa siku hizi kila nikilalamika naambiwa nimetumwa na Mama kuja kumfitinisha Mama Mdogo…” “Mama yako wewe yuko wapi? Kwanini huendi kuishi na Mama yako?” Yuko kijijini, waligombanaga na Baba zamani, hawakuoana, Baba alinichukua nikiwa mdogo na kunileta hapa, mimi sijui mambo hayo ila Mama yangu naongea naye tu kwenye simu mara moja moja lakini simkumbuki hata sura, hata sijui mimi mambo yao.” Aliongea kana kwamba ni mtu mzima, alionyesha kupitia mambo mengi na hakukua na mtu wa kumsikiliza. Nilipokuja kufuatilia nilikuja kugundua kuwa Mama yake na Baba yake hawakua wapenzi, ni watu tu walikutana na mimba ilipotokea basi Mama yake alivyokua akidai matumizi kipindi hicho ashaoa aliamua kumnyang’anya mtoto kwa nguvu. Kwao ni Iringa hivyo alimnyang’anya na kumchukua kipindi akiwa na miaka minne na tangu wakati huo alikua akiwasiliana naye kwa simu tu. Ana Mama yeka mkubwa, Dada wa Mama yake ambaye yuko Dar lakini naye haruhusiwi kumuona kwani ndiyo alimuambia kuhusu manyanyaso na kumuambia Mama yake ambaye alipoongea na Baba yake ukawa ugomvi mkubwa. Sikua na la kuongea zaidi ya kunyamaza tu kwa namna alivyokua akiongea ni kama alishakata tamaa ya maisha muda mrefu, sikujua ni kwa namna gani naweza kumsaidia kwani hata mimi nilikua na matatizo yangu. Usiku wakati wa kulala sikuolazwa stoo kama kawaida, hapana, niliambiwa natakiwa kulala katika chumba kimoja na Jack. Ulikua ni utaratibu wao, Baba akiwapo na mimi nakua mtoto na lala chumba kimoja na Jack. Usiku baada tu ya kuingia Jack alizima taa, nilishangaa kwani hata kitandani nilikua sijafika, nilimuuliza kwanini anazima, nikihisi labda ni Mama yake hapendi. Nilisogea na kuwasha, alishtuka, ni kitu amcho hakukitegemea. Alikua anavua nguo ili kuvaa nguo za kulalia, nilipowasha taa tu alianza kujificha kama vile anaona aibu. Nilishangaa kwani mimi ni mwanamke mwenzake, “Dada zima taa, zima taaaa!” Alipiga kelele, alionyesha kushtuka akijificha, lakini badala ya kuficha hata sehemu za siri alikua anaficha mgongo wake. Nilitaka kuzima lakini kabla ya kufanya hivyo macho yangu yalitua katika mgongo wake, ulikua kama ramani ya Tanzania, ulijaa makovu mengi ya fimbo, mengine mabichi kabisa kama vidonda. Sikuzima, sasa nilijua sababu ya yeye kuzima taa hakutaka nione makovu. Nilisogeza macho mpaka kwenye mapaja na sehemu za siri huko ndipo kuliharibika zaidi. Hapo ndiyo nilijua ni kwanini mara kwa mara huwa anakunja uso hata akiegemea sehemu au kugusa mapaja yake. Nilimsogelea na kumkalisha chini, alianza kulia kabla ya kusema chochote. “Kwanini humuambii Baba yako, kwanini humuonyeshi haya makovu? Akiona atakuamini!” Niliongea kwa hasira, sikua na muda pale lakini kwa upendo aliokua nao yule Baba sidhani kama angeweza kumuona mwanae katika hali ile na kunyamaza kimya. “Namuambia Baba yako, hii kazi ishanishinda, ngoje nifukuzwe lakini niondoke na huyu Sherani!” Niliongea huku nikinyuka kwenda kumgongea Baba yake, tayari walishaingia chumbani kulala. Jack alinifuata akilia kunibemebeleza ili nisiende akiogopa kuwa atamuua lakini sikujali, nilijua ni uoga ambao mimi kama mtu mzima nisingeweza kuuruhusu. Ushahidi alikua nao na hakukua na haja ya kuendelea kuteseka hata siku moja katika nyumba ya Baba yake. Alinisihi sana lakini sikumsikiliza, nilitoka mpaka sebuleni, alinifuata akiwa vilevile uchi kasahau kuvaa nguo, analia, nilielekea mpaka mlangoni kwa wazazi wake. Bado alikua analia, huku akiongea kwa kunong’ona. “Dada Raya, Dada Raya usimuambie, usiongee chochote, mimi niko sawa niliumia Shuleni, sio Mama aliyenipiga, ni ukorofi wangu tu!” Alipiga kelele kuniomba nisiseme. ITAENDELEA… (Hiki ni kisa cha kweli ingawa majina yaliyotumika hapa hayahusiani na wahusika. Hii ni sehemu tu ya simulizi kutoka kwa wadada wakazi “House girls” ambazo nitakua nikiwaletea. Je unadhani kama Raya atagonga mlango na kumshitaki Mama wa kambo, je Baba Jack akiambiwa atachukua hatua gani, kesho si mbali sana tukutane kwa sehemu ya pili hapahapa kwenye ukurasa huu…” ... Read More
CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA MBILI (12,13$14) UMRI ±18 ILIPOISHIA alikuwa analalamika nikaingiza mashine yangu na kuanza kupampup nikiwa naendelea kusex gafla mlango ukafunguliwa............ ENDELEA SASA Mlango ulipofunguliwa hatukuamini macho yetu mtu aliyeingia chumbani yani nilitamani ardhi ipasuke nitumbukie ndani mana nilipatwa na uwoga huku mapigo ya moyo yakiwa yanadunda kupita kiasi Ku kuona aibu.... alikuwa shangazi mke wa mjomba kasimama mbele yetu tena akiwa amekasilika kama simba aliyejeruhiwa. "Hivi nyie mmbwa hamjaona magesti mpaka mfanye uchafu wenu hapa??" Aliongea shangazi kwa hasira. "Tusamehe shangazi "nilimuomba msamaha huku macho yangu yakionesha dalili ya kutaka kulia. "Yani kweli vanessa unafanya mapenzi na kenny tena umejiachia kabisa"shangazi aliongea huku akionesha kweli amekasilika "Naomba nisamehe shangazi sito rudia tena"aliongea vanessa huku akiwa amepiga magoti,lakini alishanga akipigwa kibao kizito kilichompeleka chini "Malaya mkubwa wewe yani umekuja leo leo unaanza umalaya wako" aliongea shangazi "Kwanin unanipiga jamani kosa ni langu na wala sio lake niliamua kumtetea" huku nikiwa nalia.nilimuangalia vanessa kwa huruma pale chini huku machozi yakimtoka ."sasa mkitaka niwasamehe na nisiende kuwasemea kwa mjomba wenu nitawapa sharti moja mkiliweza poa sisemi ila mkishindwa naenda kusema"shangazi aliongea wakati huo huku akiwa ameshika simu akitaka kumpigia mjomba. "Usitufanyie hivyo shangazi tuambie sharti lako na sisi tutafnya unachotaka" "Aaah...kama ni hvyo sawa sasa nataka mfanye mapenzi mbele Yangu" "Aaaah!!."tulijikuta tumeshanga wote mimi na Vanessa" "Mnashanga nini sasa kama hamtaki semeni siwalazimishi"alituambia shangazi.ukweli nilimuona shangazi sio mtu mzuri kabisa.nilifikilia kweli nifanye mapenzi na vanessa mbele ya shangazi na nisipofanya habari hizi zitafika kwa mjomba kitu nisichokitaka. "Sawa nimekubali"nilikubali huku nikimwangalia vanessa aliyekuwa kajikunyata kama kuku anayesubili kuchinjwa mpaka nikamuonea huruma " ndiyo nimekubali na Mimi"vanessa alikubali huku akitokwa na machozi. Basi hatukuwa na budi tuliingia tena kwenye mechi kipindi hiki sikutaka kuwa lelemama nilotaka kumuonesha shangazi Mimi ni nani.nikamuanda vizuri vanessa kwa mechi nilitanua mapaja yake nikaingia kati mzee na limashine langu likiwa limedinda mbaya vanessa alishika mashine yangu akaingiza kwenye kitumbua chake huku akitetemeka alionekana kweli ananyege sana.tuliendelea kuonesha ufundi pale kitandani mpaka nilipomuona vanessa anataka kutangaza goli lake la kwanza (tangazo usisahau kuni follow instagram @ brayton Official Love "ooooohb shiiiiii mmmmmh baby mmmmh tamu " vanessa aliongea huku macho yamemlegea mbaya niliendelea kupiga mambo yangu na Mimi sikuchukua muda mzee nikapiga bao langu.nilikuwa nimechoka sana. "Hapo mmenifurahisha"alituambia shangazi huku akifungua mlango na kutoka zake nje.yani nilibaki na mawazo sana nikatoka zangu ili niende chumbani nilishangaa kuona umeme umewashwa nikatoka mpaka sebreni nikiwa sina raha kabisa muda huo ili kuangalia kama mjomba amesha ludi niligundua mjomba bado ajaludi. nikiwa pale sebleni Mara nikamuona shangazi akiwa amevaa kanga moja huku akiniitia chumbani kwake...... usikose sehemu ya kumi na tatu like page yetu sasa share kama tupo pamoja isome yote mwanzo mpaka mwisho kwa sh 2000 *************CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA TATU (13) INSTAGRAM: CHAS360TZ UMRI ±18 ilipoishia sehemu iliyopita "Hapo safi mmenifurahisha"alituambia shangazi huku akifungua mlango na kutoka zake nje.yani nilibaki na mawazo sana nikatoka zangu ili niende chumbani nilishangaa kuona umeme umewashwa nikatoka mpaka sebreni nikiwa sina raha kabisa muda huo ili kuangalia kama mjomba amesha ludi niligundua mjomba bado ajaludi. nikiwa pale sebleni Mara nikamuona shangazi akiwa amevaa kanga moja huku akiniitia chumbani kwake......!!!! endelea sasa....... shangazi alizidi kuniitia chumbani kwake hata sikujua anataka nini.nilinyanyuka pale kwenye sofa ili kumfuata nilipofika pale mlangoni kwake nilikuta upo wazi kabisa shangazi akiwa ndani ya kanga moja tena anaonekana alitoka kuoga mana kanga ilikuwa imeloaloa maji na kufanya ile kanga kushikana na mwili wake "ingia sasa nawewe unashanga nini"alinistua shangazi kutoka kwenye Lindi la mawazo nikaingia mpaka ndani.shangazi alikuja kwa nyuma yangu akafunga mlango nikataka nikae kwenye sofa lililokuwepo chumbani kwake lakini akaniambia"aaah wewe utakaaje hapo hembu njo hapa kitandani nikasogea mpaka kitandani nikakaa shangazi akaenda kabatini akatoa mafuta laini akanikabizi. "Nataka unipake hayo mafuta mgongoni " "Aaah sawa Hamna shida" "Tena unipake vizuri" "Hata usijali ntakupaka vizuri tu"nikiwa naendelea kumpaka mafuta akawa ananielekeza na sehemu zingine za kupaka mara nimpake shingoni mpaka kwenye mapaja na mapaja yake yalivyokuwa yamejazia mpaka mate yamenijaa mdomoni mtoto anapaja nene jeupe laini kama la mtoto mchanga. labda ngoja nikufahamishe kidogo histori ya huyu shangazi.huyu shangazi sio mama mzazi errycah.huyu alikua mke wa pili wa mjomba baada ya mama yake kufariki kwa ajari ya gari ndio mjomba akaamua atafute mke mwingine ukimwangalia shangazi yangu huyu ni wamakamo yetu kabisa kama sio wa 96 basi 97 na hana hata mtoto ndio mana sijawai kumsalimia. ni kijana mwenzetu wakati nikiendelea kumpaka nikaona anazidi kurembua kama amekula kungu manga"mmmmh kenny hapo hapo jamani mpaka nasikia raha" "Mmmh!!!."niliguna kimoyo moyo Mara akanishika shingoni akanivutia kwake akaanza kunila denda si nikagoma"aaah!!! sitaki niachie bwana we haujui kama wewe ni shangazi Yangu"nilifoka mzee huku nikimuangalia usoni kwa hasira "Ah ah ah ah"alicheka shangazi kwazarau alinyanyuka kitandani huku akilitingisha wowo lake lililoja vizuri akaenda kwenye mkoba wake akatoa simu yake akabonyeza bonyeza kisha akanipa nione nilistuka nilipoona video yangu nikiwa nafanya mapenzi na Vanessa . "Kwanini umeamua kunirecody video nikiwa nafanya mapenzi na vanessa???"nilimuuliza kwa hasira. "Mmmh pole sana kenny hata Mimi nililitamani penzi lako ndo mana nikakuacha umalize kisha uje kwangu...kwaiyo utanipa huo utamu au haunipi???"aliniuliza huku akianza kuvua kanga yake. "Sikupi!!!"na Mimi nilimjibu kwa zarau "Aaaaah sawa najua sio muda mrefu mjomba wako atarudi na lazima nimuoneshe huu upuuzi wako mliofanya leo na ushahidi ninao"shangazi aliniambia huku akinionesha video ile. lakini baada ya kuoneshwa ile video niliona kimeshanuka nikaona bora nikubali huku nikijiuliza hii siku ya Leo mbona nikama ya mkosi sana kwangu basi mana toka nimeanza kufanya mapenzi na sethi hamna siku niliyo pumzika kila Sikh natembeza dozi. alinisogelea nilipo akasogeza mdomo wake kalibu yangu tukaanza kurana denda "mmmmh mmh mmmmh" alikuwa anatoa miguno tu mzee nikaona nisimkawize kwakuwa hakuwa amevaa kitu ndani hakikuwa kazi ngumu kufika kitumbua chake kilipo nikamwambia asimame na mguu mmoja hapandishe kwenye kitanda akafanya kama nilivyomuulekeza na Mimi nikapiga magoti katikati ya mapaja yake yani kitumbua nilikuwa nakiangalia kwa juu. ujue wengi wana jua mapenzi kuchukua mashine yako na kuingiza kwenye kitumbua wengi huwa tunakosea sana muuandae mwenzio kwa mechi kisha mnaingia uwanjani kuoneshana ufundi........ basi tuliendelea nikiwa nimepiga magoti huku kitumbua kipo kwa juu nikapeleka ncha ya ulimi kwenye kitumbua nikaona shangazi miguu ikianza kutetemeka nikaendelea na usafi wangu "mmmmh ooooshhh ta...mu baby " alikuwa analalamika kama hawa machangu doa nikaendelea kumpa Raha ya kufanyia usafi huku nikiendelea kumuanda mtoto wa kike mpaka nilipolizika tukaingia uwanjani daaah aiseee!!! shangazi alikuwa anajua kuliko wasichana wote niliotembeanao mana hivyo viuno alivyokuwa anakata duuuuh noma kama snura kwenye ile nyimbo yake na Christian Bella ""nioneshe wanachumaje mchicha tembele"" nilisikia utamu ukianzia kichwani mpaka kwenye kisigino cha mguu Nili tetemeka kwa utamu ule wa kitumbua nilicho kionja hapo hapo nika cheua mmmmmmmmmhhh,,,,,, ooooooooooshhhh tulifika mshindo wetu kwa pamoja tulipumzika huku tukiwa hoi mara gafla akaingia.......... usikose sehemu ya 14 like page yetu sasa ili uwe wakwanza kuipata simulizi hii kila ikitoka......... pata simulizi hii mwanzo mpaka mwisho kwa sh 2000 tu ***************** CHOMBEZO: UTAMU WA KITUMBUA SEHEMU YA KUMI NA NNE (14) UMRI ±18 ilipo ishia nilisikia utamu ukianzia kichwani mpaka kwenye kisigino cha mguu Nili tetemeka kwa utamu ule wa kitumbua nilicho kionja hapo hapo nika cheua mmmmmmmmmhhh,,,,,, ooooooooooshhhh tulifika mshindo wetu kwa pamoja tulipumzika huku tukiwa hoi mara gafla akaingia.......... endelea sasa aliingia errycah bila hata kupiga hodi huku akiwa anahema"nyie amkeni baba yupo nje amerudi" daaah!!! nilikurupuka pale kitandani kama mshale mpaka mlangoni nikafungua mlango bila kuangalia noma nikiwa mlangoni kwangu nimeshika kitasa ili nifungue mlango nikashanga naitwa "kenny" kumbe alikuwa mjomba "kachukue mizigo kwenye gari "mjomba aliniambia huku akiingia chumbani kwake huku akionekana kuchoka kwa safari.nikatoka mpaka nje nikakutana na nasma alinitolea sana macho " na kuniambia yani wew kweli kidume umepita nyumba nzima sasa sikia nakuomba unifate saizi jikoni unipe kimoja tu kinatosha ...... jamani nasma naomba unionee huruma mana hata sijapumzika na sizani kama hata spem zitatoka akaniambia nisijali atanipa kidongo cha kuongeza nguvu na kama nikimgomea basi atanitobolea siri yangu kwa mjomba.maneno yake hayakunishawishi sana lakini nilijikuta namkubalia baada ya kumwona akiwa ameshika funguo ya kile chumba cha siri na kuniambia sikia najua una shida ya huu ufunguo twende ukanisugue usiku huuu chagua twende jikoni au chumbani kwako...... nika mwambia anisaidie kupeleka mizigo ndani kisha twende tukafanye yetu.tulipangua mizigo na kuingiza ndani sikujua nini kiliendelea chumbani kwa mjomba ila niliona hali shwari mana huyu shangazi yangu kwa Ku igiza tu namuelewa sana tuliingia zetu chumbani.nikameza kile kidonge cha kuongeza nguvu nikamvamia na kuanza kumchezea nasma. Nikaona mlango unafunguliwa na mtu akiingia kwa kunyata tulitulia huku tukimuangalia kwa umakini aliyekuwa anaingia.kumbe alikuwa vanesa tena alikuwa amevaa kanga moja tu. mmmmh nikaguna kimoyomoyo na kusema INA maana dozi niliyo mpa haijamtosha mbona anataka kunitia aibu nikafaamika Nina tembea na ndugu zangu mana shangazi na errycah teali wanajua Nimetembea na Vanessa na nasma na yeye ajue" nikataka kuongea nasma akaniziba mdomo na vanesaa nae alipotuona alistuka mpaka akataka kudondoka " umefata nini we malaya!!!??" Aliulizwa swali na nasma likiambatana na tusi " ni,,,, ni,,, nili,,, kuwa naenda chooni" "Huku chooni sasa" "Mmmmmh mmmmh" alikata kwa kutingisha kichwa. mzee nilikuwa nimetulia tu nikiangalia move linaloendelea " haya toka haraka "vanesa alifukuzwa kama mbwa.aligeuza akitaka kukimbia. " we we we we ngoja kwanza" nasma alimwambia vanesaa na Vanessa akasimama mlangoni huku akitetemeka " na ole wako ukaseme kwa mtu yoyote ntakunyonga" nadhani una nijua vizuri nilikufanyaga nini........ aliongea nasma kwa hasira huku kayatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango "Potea" Vanessa alipoluhusiwa kutoka chumbani alikimbia huyo mpaka nikataka kucheka.nasma nae akaamka kitandani na kuelekea mlangoni kwa ajili ya kuondoka lakini alipofika mlangoni............ usikose sehemu ya 15 like page yetu sasa ili uisome bila usumbufu ********* ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: