Home → ushauri
→ MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE
Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “Kuma” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea.
Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.
Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalumu kabisa yanayoitwa Kegel.
Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.
Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu).
Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza.
Hali hiyo ya mkundu na Kuma "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.
Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe.
Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.
Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze.
Nitajuaje kama nimepatia?
Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.
Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.
Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote.
Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.
🅱p rofessional love
MWANAMKE FANYA MAZOEZI YA KUKAZA MISURI YA UKE Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “Kuma” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu. Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea. Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa. Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalumu kabisa yanayoitwa Kegel. Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua. Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa). Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu). Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza. Hali hiyo ya mkundu na Kuma "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje. Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe. Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake. Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze. Nitajuaje kama nimepatia? Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa. Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana. Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote. Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo. 🅱p rofessional love
Artikel Terkait
Je Wajua Kwanini Wanawake Hula Vyakula vya Ajabu Ajabu Wakiwa Wajawazito?  Tabia hii inayojulikana kwa Kiingereza kama “Pica” inatokana na mtu kutamani kula vitu vyenye virutubisho kidogo sana au visivyo na virutubisho vya aina yoyote kwa mwili. Tamaa hizi huwa zinawapata watoto au mama mjamzito kutafuna vitu ambavyo kimsingi si chakula – kama udongo au chaki. Jina hili la pica ni aina ya ndege ambaye anajulikana kwakuwa anakula kitu chochote, hana anachochagua. Ni kweli kwamba wajawazito wengi hupata hamu ya kula vitu ambavyo si vyakula walivyozoea kula mara kwa mara wakiwa si wajawazito; wengi wao ni rahisi kuwaelewa kwa sababu hukimbilia mchele, barafu na vinginevyo ambavyo si vitu vibaya kula. Kwa watoto, hii ni tabia iliyozoelekakwakuwa inawatokea watoto wengi ambao ni kati ya asilimia 25 na 30% ya watoto wote; lakini kwa wanawake wajawazito, inatakiwa iwe kwa kiwango cha chini zaidi. Nini kinasababisha tabia hii kwa wajawazito? Sababu ya baadhi ya wanawake kuwa na tabia hii wakati wa ujauzito haijulikani hasa. Kwa sasa hakuna sababu maalumu, lakini kwa mujibu wa Jarida la Chama cha Watu Wanaoishi na Ugonjwa wa Kisukari nchini Marekani, tabia hii yawezekana ikasababishwa na upungufu wa madini ya chuma mwilini. Baadhi wanadai kwamba hali hii inaashiria kwamba mwili unajaribu kupata vitamini na madini mengine yanayokosekana kwenye chakula cha kawaida ambacho mtu anakula. Muda wingine tabia hii yawezaikatokana na kuumwa viungo au akili kwa muda mrefu. Baadhi ya vitu vya ajabu ambavyo wajawazito hupenda kula Vitu vinavyopendwa zaidi na wajawazito wengi ni udongo, uchafu. Vitu vingine ni njiti za kiberiti zilizochomwa, mawe, mkaa, barafu, dawa ya meno, sabuni na mchanga. Mjamzito anapokula vitu hivi hujisikii raha kana kwamba amekula chakula chenye faida kubwa kwake na kwa mtoto aliye tumboni. Kuna hatari yoyote kwa mtoto aliye tumboni? Kula vitu ambavyo si vyakula kimsingi ni jambo linaloweza kusababisha madhara kwa mjamzito mwenyewe na mtoto aliye tumboni. Kula vitu hivi kunaweza kuharibu mfumo wa kawaida wa kunyonya virutubisho kutoka kwenye vyakula na kusababisha mwili wako upungukiwe na madini muhimu unayoyahitaji kwa afya yako na ya ukuaji wa mtoto vilevile. Tabia hii ni hatarishi sana kwakuwa vitu ambavyo si vyakula vinaweza kuwa na viambata ambavyo ni sumu au vyenye vijidudu vinavyoathiri mwili. Kudhibiti tabia hii Usihamaki unapojikuta unatamani vitu vya ajabu ajabu wakati wa ujauzito: inatokea sana na si jambo la kushangaza kwako pia. Jambo la muhimu ni kumjulisha muuguzi wako au wahudumu wa kliniki unayohudhuria kujua maendeleo yako ya mtoto tumboni ili akuelimishe na ahakikishe kwamba una uelewa kuhusu hatari zinazoambatana na tabia hiyo. Baadhi ya mbinu za kutumia kushinda tamaa hizo Mtaarifu mhudumu wako wa afya kwenye kliniki unayohudhuria na muangalie kumbukumbu za ukuaji wa mtoto tumboni pamoja na hali yako ya kiafyaFatilia kiwango chako cha madini ya chuma mwilini pamoja na kiwango cha vitamini na madini mengine unayotakiwa kulaOmba ushauri kuhusu kitu gani uwe unakula ili kubadili ili kuepuka vitu vya ajabu (waweza kumung’unya/ kutafuna vitu kama pipi au ‘big g’ isiyo na sukariMwambie hata rafiki yako mmoja kuhusu hamu hizi na umtake awe anakukataza unapokula vitu vya ajabu ... Read More
VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:  Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza . Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza. sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele. 1.Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama. 2,Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako. 3.Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu. 4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua. 5.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha. 6.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi. 7.Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo. 8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti. 9.Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu. 10.Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi. 11.kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife. 12.Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja. 13.Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia. 14.Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea. 15.Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa. 16.Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi. 17.Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda. 18.Napata furaha nikiwa na wewe. 19. Napenda kutumia muda na wewe. 20.Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa. 21.Natamani maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha. 22.Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo. 23.Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto. 24.Napenda nywele zako. 25.Napenda nikukumbatie ninapokuaga. 26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako. 27.Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu. 28. ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka. 29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha. 30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke. 31.Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende. 32. Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu. 33.Mungu alikupendelea kukuumba, akili na kila ulichonacho. 34.Najivunia kuwa na wewe na ninafurahia. 35.Napenda unavyosema unanipenda. 36.Mapenzi yetu ni kama mawimbi ya bahari, wakati mwingi hutulia, na wakati mwingine huvuma,lakini yanarudi palepale. 37.mapenzi yetu yawe kama ua rose ambalo halina miiba. 38.Najua kwa nini watu wanatutazama , ni kwa sababu wewe ni mzuri kuliko mwezi. 39.Muda utakuwa hauna thamani endapo sitatumia na wewe. 40.kama siku yangu ingeanza na busu lako, nisingehitaji kahawa. 41.Kama ningeambiwa nielezee rangi, basi ningeenda kwenye rangi za rainbow, kwa sababu wewe ni mzuri.ni wa muujiza. 42.Mimi bila wewe ni mbaya, lakini ni mzuri nikiwa na wewe. 43.Tukishikana mikono na mioyo yetu inashikana,na nafsi zetu zinapatana . 44.Siku ya kwanza tulipokutana, nilijua ipo siku tutakutana tena, na nafurahi imetokea. 45.Nafurahi tumekua pamoja, sina cha kukosa hata kidogo. 46.Moyo wangu unapumua kama ndege, kila unapotabasamu. 47.Kila ninapokuwa nimeshuka moyo, nikikusikia wewe moyo wangu unapata nguvu. 48.Shika mikono yangu nami nitashika moyo wako, tunza kwa maisha yote. 49.Maisha yote , milele yote,isio na mwisho, toka nimekutana na wewe maneno yote yana maana. 50.Siku naona kama mwaka, na siku inapita kama sekunde. 51.Natamani ningekuwa kama pweza mwenye mikono mingi ili nikukumbatie na mikono myote. 52.Siamini katika nafsi mpya, lakini baada ya kukutana na wewe nimeamini, natamani kama ningeweza kurudi nyuma na kutengeneza kitu. 53.Sitaweza kukutoa kwenye mawazo yangu , kwa maana nakuhitaji uwepo. 54.Kuna wakati nahisi upweke, kwa wakati huo, basi huamua kukupigia simu na kusikia sauti yako. 55.Ninapokutizama namuona mungu jinsi alivyokuumba na kukubariki. 56.Unanifanya niwe wa muhimu . 57.Ni siri ambayo inanifanya nikutazame zaidi kwa kila siku. 58.Kuongea na wewe kila siku unanifanya nikufahamu zaidi na zaidi. 59.Moyo wangu nakupa,nipe moyo wako ili tuifungie kwa pamoja, na tutupe ufunguo mbali. 60.Nakuhitaji muda wote, siku , mwaka na hata milele. ... Read More
Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa njia 10 muhimu  Mwanamke ni kiumbe anayependa kuonyeshwa mapenzi kila wakati. Kumtongoza mwanamke kunaweza kuwa kazi ngumu sana usipozingatia mambo kadhaa muhimu. Ukitaka kuweza kumtongoza mwanamke lazima ujue anachotaka yeye. Waweza kushangaa kwamba wanachotaka wanawake ni vitu vidogo ambavyo waweza timiza ili kuweza kumfanya akukubali hata kuzungumza na wewe. Waweza kumtongoza mwanamke ukizingatia mambo yafuatayo Msikilize mwanamke unayemtongoza Wanawake hupenda mtu ambaye anawasikiliza kwa kila jambo wanachosema. Ni muhimu unapopatana na mwanamke sharti uwe makini na anacho simulia. Kuwa mtu ambaye anauliza maswali na anaye taka kujua zaidi juu ya huyu mwanamke. Muulize kazi anayofanya, anakoishi, na mwonyeshe kwamba unamsikiliza kwa kuuliza swali unapotaka ufafanuzi. Mwanamke huskia ako huru kwa mwanamme ambaye anamsikiliza kwa maana hii huonyesha mwanamume anamdhamini huyo mwanamke. Kwa kumwonyesha kwamba wewe una nia ya kujua mahitaji yake, kwa matendo yako, si maneno yako, kutakusaidia kumwonyesha kwamba wewe ni mtu anayeweza kuwa naye maishani mwake. Kuweka kipaumbele mahitaji yake na kumsikiza kutakusaidia kwa kumtongoza mwanamke huyo. Mwanamke hupenda mtu mwenye kujiamini Unapomwongelesha mwanamke lazima uwe mtu mwenye kujiamini. Ujasiri na kujiamini ni kitengo kikubwa kinachofafanua mwanamume. Unapomwongelesha mwanamke lazimi uonyeshe ujasiri mbele yake. Kama Warren Farrell, Ph.D., anavyosema “Jambo linalomvutia mwanamke kwa mwanamume ni mwanamume mwenye ujasisiri”. Ujasiri utamvutia mwanamke kwa kujua mwanamume anazungumza na kujibeba kwa ujasiri. Mwanamke hupenda kuwa karibu na mwanamume anayevutia Kuvutia kwa mwanamume huja kwa njia kadhaa. Mwanamke hupenda mwanamume ambaye hachoshi kwa hadithi zake, ni mcheshi, anachangia kwa mazungumzo kati yao na anaye hakikisha kwamba mwanamke anajiskia huru kwa maongezi. Kama mwanamume, hakikisha unatoa mifano inayoendana na maongezi mliyo nayo. Hakikisha mnayoyaongelea yanachangiwa na nyinyi wawili. Mwanamume aliemcheshi na mwenye kumvutia mwanamke kwa anavyoendeleza mazungumzo ndie aliye na nafasi kubwa ya kumpata mwanamke anayetarajia ama aliye na hamu naye. Kumbuka kwamba usiwe ni wewe pekee unayeongea, mwachie pia mwanamke achangie pia. Ukizingatia haya, mwanamke hujiskia yuko huru nawe na anaweza ongelea chochote. Mwanamke hapendi mtu mwenye haraka Haraka hapa ina maana, kwa kutongoza mwanamke lazima uwe mtu mwenye subra sana. Kinachomfanya mtu awe na hamu ya kuwa na mwingine ni matarajio anayopata rohoni. Unapopatana na mwanamke kwa wakati wa kwanza, usimwonyeshe kwa umbele unachotaka, lakini taka kumsikiliza, mjue jina, anachofanya kazini, na mambo mengine kwanza. Kwa kufanya haya mwanamke ataona kwamba unahamu naye na kwamba atajiskia wa maana kwako. Jambo hili litakusaidia sana kwa kutongoza huyo mwanamke. Kitu cha muhimi ni kwanza upate kuwa marafiki na mwanamke yule ili uweze kupata nafasi nzuri ya kumtongoza. Ubinafsi wa kipekee Mwanamke hupenda vitu vya kipekee sio vitu vinavyoigwa kwingine. Usije ukafanya ama ukanena kama mwanamume mwingine ili kumshinda huyo binti. Kuwa na ubinafsi wako, fanya mambo yako kwa kipekee. Kuiga wengine hakutakusaidia kwani mwanamke atakuona kama mtu asiyejiamini. Mwanamke hupenda manamume ambaye ni tofauti na wanaume wengine ambao amewahi kutana nao hapo mwanzo. Ni vizuri kuwa na vitu ambavyo ni vya kipekee kwako. Kama sauti yako, vile wacheka vile wamtizama mwanamke yule, vile wavaa, vile umejipaka manukato mazuri. Upekee huu hukupa nafasi ya mbele kwa mpango wako wa kumtongoza mwanamke yule. Mavazi na usafi Mwanamke hupenda usafi sana. Ukitaka mwanamke aweze kuvutiwa nawe lazima uvae vizuri na uwe safi. Kuvaa vizuri, nguo zinazokufanya upendeze huwa njia moja ya kuvutia wanawake. Pia kuwa makini na usafi. Kuoga vizuri, kujipaka manukato yanayo vutia, kuweka nywele, nguo safi husaidia sana kwa kukupa ujasiri wa kumwendea mwanamke uliye na hamu naye. Sio lazima uvae mavazi ghali, lakini valia kwa kupendeza. Mwanamke hupenda mtu anayejiamini katika alichovalia. Muziki Kwa miaka mingi muziki umejulikana kuwa chombo cha kuonyesha mapenzi ama kama namna ya kumtongoza mwanamke. Mwanamke hupenda kuonyeshwa kwamba ni mtu wa thamani kwa mwanamume. Muziki waweza kukusaidia kuweka mazingira yenye utulivu na yenye riwaya ya mahaba. Kumbuka kumzingatia wakati unaweka muziki ule, jua mbeleni muziki anaopenda na fanya hima kwamba unamtumbuiza na aina hizo kwa kikamilifu. Ukifanya hivyo, mwanamke ataoona kwamba unathamini. Weka muziki wenye utulivu, wenye mahaba na wenye kumsifu mtu wa kike na uzuri wake kwa kumwonyesha mapenzi. Bidii ya kuwa makini kwa mwanamke na kumpa pongezi wakati wowote Mwanamke ni kiumbe anayependa kusifiwa na kupongezwa sana. Kwa mwanamume ni muhimu kwamba kwa kumtongoza mwanamke, kumbuka kila wakati kumpongeza kwa kuvaa kwake, nywele, viatu, anavyong’aa. Ni muhimu kumwonyesha kwamba umefurahia bidii yake ya kuvaa vyema na kuhakikisha anakaa vyema mnapokutana. Mwanamke hujiskia mwenye thamana sana kwa kujua kwamba kuna mwanamume amemwona anakaa sawa. Mwambie wapenda alivyosongwa, anavyotoa busu, anavyocheka, na kila kidogo anachofanya. Utashangaa kwamba yaweza onekana ni mambo madogo lakini huchangia katika kutongoza mwanamke. Mpikie chajio mwanamke unayemtongoza Kama mwanamume hakuna kitu cha muhimu kama kumpikia mwanamke uliye na macho kwake. Mwanamume ajuaye kupika huwa anawavutia wanawake sana. Unaweza kumwalika mwanamke kwako ka chajio. Fanya hima ukajua chakula anachopenda binti unaye mtarajia, ukahakikisha umepika chakula kitamu na kinachovutia kwa kuangalia na harufu tamu. Mwandalie mezani pamoja na kinyuaji. Kuwa umehakikisha kuna mazingira yenye utulivu na pia weka mziki wenye mahaba. Mwanamke hujihisi mwenye thamani sana. Hapa utakuwa umejiongezea pointi kadhaa kwa mpango wako wa kumtongoza binti yule. Zawadi Kila mwanamke hupenda kupata zawadi wakati wowote. Kama mwanamume itakusaidia pakubwa kwa mpango wako wa kumtogoza binti yeyote. Zawadi zaweza kuwa tofauti. Waweza mtumia maua ya waridi kazini, ukakumbuka kumtumia chokoleti wakati wa wapendanao, ukamtumania kahawa asubuhi akiingia kazini. Kwa kufanya vile, mwanamke hujiskia wa dhamana na anayependwa. Wanawake pia hupenda kupelekwa mahali pa zuri ambapo anaweza kujibinjari. Mpeleke densi, mpeleke mahali mkala chajio, mpeleke mbugani kwa wanyama ama kwa safari. Kufanya vile kutakupatia pointi nyingi kwa mtazamo wako wa kumtongoza mwanamke yule. Kama kawaida wanawake na wanaume huwa na hamu ya kujuana na kuishi maisha pamoja. Katika kumtongoza mwanamke lazima kwanza mwanamume afahamu nini mwanamke yule anachopenda. Pia inabidi mwanamume pia kumpa sikio binti yule wakati wowote wanapozungumza na kuuliza mwaswali asipoelewa kitu. Mpe wanamke pongezi wakati wowote mnapopatana, mpe pongezi kwa kusukwa vizuri, kupaka kucha vizuri, kuvaa nguo vizuri, tabasamu lake na anavyocheka. Mara kwa mara mpe zawadi za hapa na pale. La muhimu sana ni mwanamke huvutiwa na mwanamume anaye jiamini. Ukiwa mwanamume ambaye anajiamini, itamfanya mwanamke yule kujiskia huru kuwa karibu nawe na hio itakusaidia katika hali ya kumtongoza. ... Read More
HESABU YA KUONGEZA Niwapo hisabatini, Hufikiri akilini, Kuongeza umakini, Jawabu kulibaini. Jawabu hilo halani, Hukaa makinikoni, Linafaa maishani, Hapa hapa duniani. Ingawa jana nyumbani, Siku niliyobaini, Hata leo furahani, Nakuweka pongezini. Kijana huyu nyikani, Akiwa hisabatini, Kanuniye mkononi, Kaifikiri kichwani. Ndipo nilipobaini, Kafika hisabatini, Kasogea nyongezani, Hapa hapa duniani. Kafika hisabatini, Kashikilia kanuni, Kuingia umrini, Kakaa makinikoni. Hesabuye kabaini, Kamjalia Manani, Kaingia furahani, Yamfaa maishani. Nyongezaye umrini, Hapa hapa duniani, Ufurahi maishani, Singie ubazazini. Sivutwe hisabatini, Duara kulibaini, Ukaidai kanuni, Ukokotozi pupani. Sivutwe hisabatini, Maumbo kuyabaini, Kuchora karatasini, Ukafika ushenzini. Hari yako maishani, Tuliza kichwa nyumbani, Makinika ubwabwani, Ukishibishe tumboni. Busara zako kichwani, Ziongeze kwa makini, Ufike makinikoni, Utulie furahani. Nyongezayo umrini, Ikufae maishani, Hapa hapa duniani, Sichenge msikitini. Wasalamu tamkoni, Nalitoa mdomoni, Ukae mshawashani, Vilevile moralini. Sijiweke haramuni, Kulazimisha kanuni, Iliyo hisabatini, Ukae makinikoni. Na kwa kheri tamkoni, Naitoa mdomoni, Naenda zangu nyumbani, Nikae pumzikoni. UJUMBE Shamsa Cyprian ... Read More
ULISHAWAHI KUKUTANA NA MTU MWENYE UPENDO WA KWELI??? Ipo siku utakutana na mtu tofauti na ulivyozoea kuona au kusikia. Haitakuwa kwa sababu ya tabasamu lao au ucheshi wao au kwa jinsi ya kuongea kwao au kusema majina yao. Ni kwa sababu ya njia itakayo kufanya wewe ujisikie tofauti. hutaogopa kupenda na kupendwa. Siku moja utakutana na Upendo utakaoufurahia. Hutaweza kufikiria mara mbili. Hutaweza kuwa na wasiwasi kwamba anakupenda au hakupendi. ‘Utafahamu tu. Kwa mtu huyu hutaweza kuficha tabia yako. hutaficha madhaifu yako na usumbufu wako. hutakuwa na mawazo ya itakuwaje kama ata kupandia kichwani. hutakuwa na maswali ya kujua muhimu wake na hutakuwa na labda. Wakati ukikutana na mtu huyu hutaingiwa na woga. hutaweza kufikiri fikiri kitu chochote. hutaweza kufikiria upendo wake kwako. Na wakati anaposema hawezi kwenda mahali , utafahamu kuwa ni kweli. Wakati huo hutasikia kukosa kitu ndani ya moyo wako, hutasikia upweke, hutaweza kusikia chochote kinyume na upendo uliopo. Ipo siku , mtu fulani atabadilisha maisha yako. kwa sababu atakuonyesha upendo wa kweli ni upi na maana ya upendo ni nini, unaonekanaje. Atakuonyesha kuwa upendo hauna mwisho. na hutamkimbia , na hutaweza kutaka faida zaidi. hutapigwa na wala kupata maumivu yasio na msingi. Ipo siku Hutaogopa kupata maumivu. Hutaogopa kuacha tena. kwa kupoteza kipande cha moyo wako na roho yako. hutaogopa tena kutoa na kutoa upendo wako . Siku moja utapumua kwa urahisi kwa kufahamu kuwa huyo mtu hataondoka . Utapumua vizuri kwa kujua kwamba upendo huo utadumu. Huyo mtu hatakutelekeza na wala hataweza kukukimbia. Utafahamu toka moyoni mwako kwamba upendo huo hautakuumiza. Utaweza kuishi, kucheka, kulia na kupumua kwa urahisi ukiwa pembeni ya mtu huyo. Utajifahamu na kujiona vizuri. Utaweza kumuonyesha makovu, na vidonda ulivyonavyo na kwa kuwa vimepona. Utaweza kumuonyesha mtu huyo moyo wako wote kwa kujua kuwa hawezi kukuacha. Ipo siku utajikuta unaamka mikononi mwake, ukiwa karibu yake kwa upendo , katika maisha yako. hutakuwa na wasiwasi . hutaogopa. hutasikia uzito wa kupumua tena. Utahisi upendo ndani yako. mwisho utagundua Upendo halisi. Washirikishe wengi. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: