Home → ushauri
→ DAWA YA KUBANA UKE ULIO REGEA
By
🅱 professional love
Tatizo la uke kuregea hupunguza hamu na ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume
Uke kuregea ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke hali hii husababisha Uke kuregea (Kutepeta). Maranyingi wanaume wenye wake au wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulio regea hua wanapoteza hamu ya kuwaingilia hao wake au wapenzi wao au kushindwa kumudu vyema hilo tendo la ndoa kwa maana ya kutokuweza kurudia goli la pili ikiwa atamaliza la kwanza.
SABABU ZA UKE KUREGEA
Zipo sababu zinazopelekea misuli ya uke kuregea hivyo kusababisha mwanamke kua na uke ulio regea nazo ni hizi zifuatazo;
(1) Magonjwa ya uke
(2) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
(3) Kujifungua
(4) Usagaji
DAWA YA UKE KUREGEA
Chukua kokwa za embe za kutosha zianike jua mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini
MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
fanya zoezi hilo kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.
NB: uke utaaza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia hiyo dawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: