Kuoa Mwanamke Kutoka Uswahilini au Alieishi Maisha Duni ni Kujichimbia Kaburi na Kujipa Umaskini 2 weeks ago  Kuna jamaa yangu amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana. But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu.. Pia wengi wanaamini sana mambo ya Ushirikina kwenye mapenzi Wadau hii mnaonaje? Je kuna ukweli wowote hapo?

at 11:32 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top