Home → ushauri
→ *JINSI YA KUMTULIZA MKE*
1-๐๐๐ปMuombee dua Allah amtulize.
Muonye mukiwa chumbani peke yenu.
2-๐๐๐ปMpe muda wa kujirekebisha.
3-๐๐๐ปYasahau makosa yake yaliyo pita.
4-๐๐๐ปUmsikilize na Umjali.
5-๐๐๐ปMueleze jinsi unavyompenda.
6-๐๐๐ปMsaidie kazi ndogo ndogo. (Kama kumkunia nazi, nakadhalika)
7-๐๐๐ปKuwa na mtindo unaporudi nyumbani kumletea zawadi japo pipi.
8-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kum'busu na kumkumbatia.
9-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kumsifu kwa uzuri na utamu wake katika tendo la ndoa.
10-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kuwajali wazazi wake na ndugu zake.
11-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kumchagulia nguo za ndani za kuvaa kama chupi na kadhalika.
12-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kuoga pamoja na mkeo.
13-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kula kwako na kurudi nyumbani mapema.
14-๐๐๐ปKuwa na kawaida ya kumtoa out mara kwa mara.
15-๐๐๐ปNamengi mazuri kuliko hayo umfanyie mkeo.
Wallahu Aalam.
*Mola ajaalie mapenzi na kuoneana huruma kati yako na Wako mpenzi ( Mke/Mume) #
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: