Home → ushauri
→ ❤❤❤❤❤❤❤
JE WEWE NI MIONGONI MWA WALE WANAWAKE AMBAO WAMEBEBA DHAMANA YA NDOA KULINDA MAHARI ULIYOLIPIWA?
Ni kweli unalinda ndoa iliyojaa machungu na mateso mengi kisa ukitunza heshima ya mzazi wako ambaye alipokea mahari ya Mumeo na ukiitazama mahari hiyo huioni machoni pako nawe unakosa namna ya kujiokoa katika kifungo cha mahari? Mwanamke wewe sio kama mnyama ambaye ananunuliwa kwa manufaa fulani, Mahari ni HESHIMA kulinda tamaduni zetu katika kuileta maana ya NDOA... Ndoa yoyote ikibebwa kwa mahari ama mashuhuda wa ndoa mara nyingi hutawaliwa na UVUMILIVU wala sio UPENDO TENA! Thamani yako mwanamke hailinganishwi na MBEGE wala NG'OMBE ila thamani yako mwanamke ni moja tu WEWE NI PUMZIKO LA MUMEO na katika hilo hakuna mbadala wake na likitokea Basi ujue HAKUNA HAKIKA YA FURAHA ila Kuna uvumilivu kiasi mtu hukosa namna na kujikuta akikosa tumaini ila sio kwa kulitaja PENDO ila tuseme TAMAA... Usikubari woga ukakutawala hata ukashindwa kujitetea mbele za nafsi yako pamoja na hisia zako, Yaani usiruhusu kuolewa na mtu ambaye MOYONI MWAKE ANALINDWA NA MAHARI ALIYOKULIPIA! Kataa kuolewa na mtu ambaye siraha yake ni mahari, Yaani ubora wako pamoja na heshima yako kuumbwa mwanamke eti uolewe na Mwanaume ambaye AKILINI MWAKE ANAJIVUNIA KUKULIPIA MAHARI... Kumbuka MAHARI ni vitu na kwa vyovyote vile juhudi yaweza kuvileta hivyo lakini FURAHA HAITENGENEZWI KWA MAHARI bali mtu huitengeneza FURAHA YAKE ikiwa atampata mtu aijuaye thamani yake.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dr Luv🤓🤓🤓
❤❤❤❤❤❤❤ JE WEWE NI MIONGONI MWA WALE WANAWAKE AMBAO WAMEBEBA DHAMANA YA NDOA KULINDA MAHARI ULIYOLIPIWA? Ni kweli unalinda ndoa iliyojaa machungu na mateso mengi kisa ukitunza heshima ya mzazi wako ambaye alipokea mahari ya Mumeo na ukiitazama mahari hiyo huioni machoni pako nawe unakosa namna ya kujiokoa katika kifungo cha mahari? Mwanamke wewe sio kama mnyama ambaye ananunuliwa kwa manufaa fulani, Mahari ni HESHIMA kulinda tamaduni zetu katika kuileta maana ya NDOA... Ndoa yoyote ikibebwa kwa mahari ama mashuhuda wa ndoa mara nyingi hutawaliwa na UVUMILIVU wala sio UPENDO TENA! Thamani yako mwanamke hailinganishwi na MBEGE wala NG'OMBE ila thamani yako mwanamke ni moja tu WEWE NI PUMZIKO LA MUMEO na katika hilo hakuna mbadala wake na likitokea Basi ujue HAKUNA HAKIKA YA FURAHA ila Kuna uvumilivu kiasi mtu hukosa namna na kujikuta akikosa tumaini ila sio kwa kulitaja PENDO ila tuseme TAMAA... Usikubari woga ukakutawala hata ukashindwa kujitetea mbele za nafsi yako pamoja na hisia zako, Yaani usiruhusu kuolewa na mtu ambaye MOYONI MWAKE ANALINDWA NA MAHARI ALIYOKULIPIA! Kataa kuolewa na mtu ambaye siraha yake ni mahari, Yaani ubora wako pamoja na heshima yako kuumbwa mwanamke eti uolewe na Mwanaume ambaye AKILINI MWAKE ANAJIVUNIA KUKULIPIA MAHARI... Kumbuka MAHARI ni vitu na kwa vyovyote vile juhudi yaweza kuvileta hivyo lakini FURAHA HAITENGENEZWI KWA MAHARI bali mtu huitengeneza FURAHA YAKE ikiwa atampata mtu aijuaye thamani yake. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Dr Luv🤓🤓🤓
Artikel Terkait
Mbinu Tata Za Kumfanya Mwanamke Ajigonge Kwako Kirahisi  #1 Mfanye mwanamke ajieleze kwako Unaweza kumuuliza swali kama “Ni kitu gani ambacho kinakufanya unique/tofauti na wengine?” Ama kumwambia, “Wewe unakaa mdogo sana kiumri kwangu. Ni kitu gani ambacho uko nacho ambacho kitaziba pengo hilo?” Ataanza kukupatia sababu ambazo anajiona kuwa yeye ni unique – kiufupi atakuwa akijaribu kujieleza zaidi ili ajipendekeze kwako/ umpende zaidi. Yaani atakuwa anajaribu kuhakikisha kuwa unaridhika na kila kitu ambacho atakwambia. Na uzuri wa kutumia mbinu hii ni kuwa kadri mwanamke anavyokuwa mrembo ndivyo zaidi utakavyohitajika kumfanya ajihitimishe kwako, usiogope kumuuliza maswali ambayo yatamlazimu ajihitimize kwako. Muulize maswali mazito. Muulize maswali ambayo itakuwa ngumu kwake kujihitimu kwako. Na kitu cha kufurahisha kuhusu wanawake warembo, ni kuwa wamezoea kufukuziwa na wanaume kiasi cha kuwa ukianza kuuliza maswali na kujihitimu kwako, atafall na wewe zaidi. Hii ni kwa sababu hawajazoea kuulizwa maswali kama hayo. Hawajazoea kuambiwa, “Wewe si mwanamke type yangu.” ama, “Ningekutongoza lakini unanikumbusha ndugu yangu wa kike mdogo.” Pia unapaswa kuhitimisha wanawake kulingana na ladha yako. Labda kwa mfano hupendi wanawake wanaovuta sigara, kunywa pombe nk, basi mhitimishe kwa kutumia mambo haya. Usimfiche. Mwambie ukweli. Kumwambia mambo kama haya kutamfanya ajue vigezo vyako. Unampa challenge na yeye kutaka kutimiza vigezo vyako. Mbinu hii ni rahisi ya kumuwin kirahisi na kumfanya akufukuzie. #2 Tumia Mwili wako Mara ya kwanza unapoongea na mwanamke huwa anaangalia kando. Wewe ndie uko wazi, unaongea na yeye, unamwangalia, lakini yeye ameangalia kando kabisa. Hapo kuna ile hisia ambayo inakuja ndani yako kuwa huyu mwanamke hamakiniki na wewe kabisa. Well, hapa ndipo unatumia mbinu funge ya kuiga vile ambavyo anafanya yeye. Wakati umemuapproach, si lazima umuangalie mzima mzima kwanza, unaweza kuangalia kiupande. Na akiongea kitu ambacho umependezwa nacho, unaweza kutumia mwondoko wazi kwa kuangalia upande wake. Na akisema kitu ambacho hujapenda basi tumia mwondoko funge kwa kuangalia kando. Mbinu hii hufanya kazi kwa kuchukua atenshen na umakinifu wa mwanamke. Atamakinika kwa kila neno ambalo atakwambia. Mwishowe itajeuka kuwa ni yeye ndiye anayekufukuzia na wala si wewe. Mbinu hii pia inampa confidence ya kutamka mambo ambayo si rahisi kutamkwa na mwanamke hivihivi. #3 Ongea Kwa Kujiamini na Amri Ndani yake Katu mwanamke hawezi kukufukuzia kama utatumia toni saidizi kama, “Mambo waendeleaje?” ambapo sentensi kama hii toni ya sauti inapanda mwishoni. Kama vile unauliza swali. Matumizi ya sentensi hizi zitakufanya uonekane mtu mdhaifu, mhitaji, na utafanya wanawake wakukimbie. Lakini ukitumia toni saidizi zilizovunjwa kwa mwanamke kama, “Hey! Njoo hapa! Waendeleaje!” unatoa sauti ya kuamrisha na ya kutoa maelekezo. Na kwa kuwa uasili wa mwanamke ni kufuata amri, atakujibu kwa kutafuta toni saidizi ili aweze kujihitimisha kwako. Atakwambia, “Mmh, jina langu ni Mamito?” huku akitaka umthibitishe. So, ukimwambia, “Sasa, mpangilio wako ni upi!? kwa toni saidizi iliyovunjwa, atakujibu... “Mmh, mimi mwanafunzi nasomea...huu ni mwaka wangu wa...” Kiufupi hapa anajaribu kujieleza zaidi kwako kulingana na vile sauti yako ilivyotoka. [Soma: Jinsi ya kuwa mwanaume bora ya wote] #4 Weka nafasi na Pozi Katika Maongezi yako Unapoongea na mwanamke, hutaki kuona umepalilia maongezi bila mpangilio, badala yake huwa unataka nafasi angalau kurudi nyuma kiasi kuyapa maongezi yenu nafasi ya kupumua. Unaruhusu kuwe na angalau kimya ndani yake. Kimya ambacho kinaenda polepole. Na nafasi ambayo utampa mwanamke nafasi ya kujileta kwako ili kuteka atenshen yako. So mpe mwanamke nafasi ya kujiekeza kwako, na utagundua kuwa mwanamke huyu anakusaidia pakubwa kuyafanya maongezi yenu yanawiri. Atafurahi kukupa namba yake ya simu kwa kuwa anakufukuzia. Atafurahi kukutana na wewe katika deti ya pili. Na hatakutatiza zile nyakati za mwisho mwisho za kumuomba penzi. ... Read More
VITU VIZURI 60 VYA KUMWAMBIA MSICHANA UMPENDAE:  Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza . Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza. sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele. 1.Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama. 2,Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako. 3.Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu. 4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua. 5.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha. 6.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi. 7.Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo. 8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti. 9.Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu. 10.Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi. 11.kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife. 12.Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja. 13.Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia. 14.Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea. 15.Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa. 16.Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi. 17.Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda. 18.Napata furaha nikiwa na wewe. 19. Napenda kutumia muda na wewe. 20.Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa. 21.Natamani maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha. 22.Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo. 23.Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto. 24.Napenda nywele zako. 25.Napenda nikukumbatie ninapokuaga. 26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako. 27.Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu. 28. ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka. 29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha. 30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke. 31.Unaponiaga napata shida kukuruhusu uende. 32. Umenielewa vizuri, ni kama unasoma mawazo yangu. 33.Mungu alikupendelea kukuumba, akili na kila ulichonacho. 34.Najivunia kuwa na wewe na ninafurahia. 35.Napenda unavyosema unanipenda. 36.Mapenzi yetu ni kama mawimbi ya bahari, wakati mwingi hutulia, na wakati mwingine huvuma,lakini yanarudi palepale. 37.mapenzi yetu yawe kama ua rose ambalo halina miiba. 38.Najua kwa nini watu wanatutazama , ni kwa sababu wewe ni mzuri kuliko mwezi. 39.Muda utakuwa hauna thamani endapo sitatumia na wewe. 40.kama siku yangu ingeanza na busu lako, nisingehitaji kahawa. 41.Kama ningeambiwa nielezee rangi, basi ningeenda kwenye rangi za rainbow, kwa sababu wewe ni mzuri.ni wa muujiza. 42.Mimi bila wewe ni mbaya, lakini ni mzuri nikiwa na wewe. 43.Tukishikana mikono na mioyo yetu inashikana,na nafsi zetu zinapatana . 44.Siku ya kwanza tulipokutana, nilijua ipo siku tutakutana tena, na nafurahi imetokea. 45.Nafurahi tumekua pamoja, sina cha kukosa hata kidogo. 46.Moyo wangu unapumua kama ndege, kila unapotabasamu. 47.Kila ninapokuwa nimeshuka moyo, nikikusikia wewe moyo wangu unapata nguvu. 48.Shika mikono yangu nami nitashika moyo wako, tunza kwa maisha yote. 49.Maisha yote , milele yote,isio na mwisho, toka nimekutana na wewe maneno yote yana maana. 50.Siku naona kama mwaka, na siku inapita kama sekunde. 51.Natamani ningekuwa kama pweza mwenye mikono mingi ili nikukumbatie na mikono myote. 52.Siamini katika nafsi mpya, lakini baada ya kukutana na wewe nimeamini, natamani kama ningeweza kurudi nyuma na kutengeneza kitu. 53.Sitaweza kukutoa kwenye mawazo yangu , kwa maana nakuhitaji uwepo. 54.Kuna wakati nahisi upweke, kwa wakati huo, basi huamua kukupigia simu na kusikia sauti yako. 55.Ninapokutizama namuona mungu jinsi alivyokuumba na kukubariki. 56.Unanifanya niwe wa muhimu . 57.Ni siri ambayo inanifanya nikutazame zaidi kwa kila siku. 58.Kuongea na wewe kila siku unanifanya nikufahamu zaidi na zaidi. 59.Moyo wangu nakupa,nipe moyo wako ili tuifungie kwa pamoja, na tutupe ufunguo mbali. 60.Nakuhitaji muda wote, siku , mwaka na hata milele. ... Read More
🎀MVUMBIKO WA KITUMBUWA 🎀 Mwanamke mvumbiko bibi 👌🏼 Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juu👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Matayarisho ya mvumbiko👇kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wako👌🏼 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaa👌🏼 Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? 🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀🎀 IMETOKA MWANAMKE NDOWA ... Read More
NI JINSI GANI UNAMWOMBA MPENZIO MSAMAHA, JE NI KWA KUMPA ZAWADI? Msamaha una nafasi kubwa sana katika mapenzi. Hamna mtu aliyemkamilifu ndiyo maana neno samahani lipo. Ila neno hili linaweza kutumika sahihi au isiwe sahihi. Hivyo ni vizuri ukawa makini katika matumizi ya neno hili. Kuna baadhi ya watu hawawezi kabisa kutamka hilo neno na badala yake hutumia maneno yafuatayo (mbadala) kama ; yaishe,basi samahani,umeshinda,sorry(kama njia yakupunguza makali na wakati lugha iliyokua ikitumika ni kiswahili). Jinsi yakutumia samahani kiusahihi Unapotoa samahani kutoka katika kilindi cha moyo wako ina maana sana zaidi ya chochote. Samahani itumike tu pale unapotenda kosa moja kwa mara ya kwanza, hapo ni rahisi kusamehewa na kuaminiwa zaidi.Heshima, pendo na mapenzi yatakuwa kama awali na utaheshimika nakuonekana unajali. Hakikisha hauombi samahani zaidi ya mara moja kwa kosa moja ndo mana wanasema, “kosa sio kosa ila ukirudia kosa ndio kosa’’. Kama ulikua haufahamu ni vizuri ujifunze na ikiwezekana rudisha kumbukumbu zako katika matukio yanayohitaji msamaha kwenda kwa mpenzi wako na ulinganishe na hatua ulizozifanya. Kiri kosa ndiyo msamaha wako uweze kukubalika.Usiombe msamaha huku unasema lakinii…… ila……. Siamini kama haya yangetoa……… aina hizi za midokezo inapotumika katika kuomba msamaha ujue unataka kuonesha ulichokifanya sio kosa… Its simple, admit your mistake for the heartest forgiviness .Utapelekea upande wa pili (uliokosewa kukuamini tena na ni rahisi kusamehe na kusahau) tofauti na kuwa na maneno meeengi yakujitetea ilihali umetenda kosa. Sasa nije kwenye suala la zawadi, Jamani zawadi isiwe ndiyo silaha ya kudai msamaha. Zawadi inatumika wakati wowote kuimarisha mapenzi kwa kuonesha unamjali mwenzi wako nakumfanya ahisi faraja wakati wote na uwepo wake katika maisha yako. Epuka tabia ya kutoa sana zawadi wakati unamplease mpenzi wako.Kwa wakati mwingine utamjengea fikra za kosa pindi tu unapomletea zawadi. Hivyo asiifurahie ile zawadi na badala yake atakua na shauku kufahamu msamaha wa siku hiyo ni wa kitu gani au umetenda kosa gani tena. Wakati mwingine zawadi inapotumika katika kuomba msamaha itakua ni kama KUMBUKUMBU YA KOSA ulilomfanyia mwenzi wako, hivyo kumfanya akumbuke mara kwa mara kosa ulilolifanya. Kuwa makini sana katika njia za kuomba msamaha. Njia nzuri ya kuomba msamaha na ukubaliwe kwa upesi Kubali kosa pale ambapo umetenda,(note; Usikiri kosa kwa sababu tu unampenda na hutaki kumpoteza ,au hutaki malumbano. Ukifanya hivo ndo unaweza haribu uhusiano wako kabisa) Badili mazingira ya maongezi yaani tofauti na eneo la nyumbani/mlilozoea kukaa Omba msamaha wakati hasira zimepungua na ukiwa sio mlevi (hasa kwa wale wenye hasira au wanywaji wa pombe) Usilazimishe kusamehewa ,yaani mwenzako anapokua haridhii tumia njia nyingine mfano kumshirikisha mtu wenu wa karibu saana (kwa wote wawili) ila hapa uwe makini kwa sababu sio wote wanapenda siri zao za uhusiano kujulikana na wengine.Hapa itategemea na jinsi mlivyo Anayeomba msamaha ahakikishe sio mtu wa kukumbuka makosa ya mwenzie yaliyofanyika kipindi cha nyuma.Hapa na maanisha wale wenye tabia yakusamehe wenzao ila niwakukumbuka, endapo atakosewa kwa kitu kingine hata kwa bahati mbaya.Mfano akikosewa huwa ni mtu wakusema; ''hiyo ni kawaida yako'' that means anashikilia vitu moyoni.Itamuwia vigumu mwenzako kukubalia msamaha kwa urahisi, kutokana na tabia yakumshikilia bango kwa kumkumbusha yaliyopita endapo yeye atakukosea. Ni vizuri kujitahidi katika kufanya mambo mazuri kwenye uhusiano wako.Usitegemee zawadi kuwa ni kitu kizuri katika kuomba msamaha. Timiza malengo yako,jiheshimu,kuwa mwaminifu na kumthamini mwenzio na kumpenda kwa dhati. Bila kusahau kusikilizana na kufanya maamuzi kwa pamoja. ... Read More
JIFUNZE KUMTAMBUA MTU MWENYE MAPENZI YA DHATI NA WEWE: Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi". Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye hakupendi na pia kumtambua anayekupenda. Vilevile kukubaliana na hali halisi. Watu wengi hawapendi kutambua kwamba mtu anayempenda yeye hampendi, kwasababu ni maumivu makubwa sana moyoni. Unapokuwa kwenye mahusiano na mtu huyo nae inamuwia vigumu kukwambia "sikupendi" hufanya hivi katika kuzihurumia hisia zako juu yake. MTU AMBAYE HAKUPENDI KWA DHATI: ==> Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara nyingi atakwambia asante kwa kunipenda basi, na akikuhurumia sana atakwambia nakupenda pia ili kukuridhisha wewe na moyo wako. ==> Utajikuta una mawazo sana juu yake na kujiuliza "hivi kweli mtu huyu ananipenda?" Utajaribu kumuuliza, "je unanipenda?" Jibu lake kwanza litafikiriwa sana, sababu ya kufanya hivyo ni kwa vile anatambua kwamba hakupendi sasa kukwambia ukweli wa swali lako anahisi utaumia, kwahiyo baada ya swali hilo anaweza kukuuliza swali na wewe "kwani unaonaje?" kwavile unampenda sana utamjibu, "naona kuwa unanipenda" naye atakwambia "basi ndio hivyo". Mara nyingine baada ya wewe kumuuliza swali kuwa je anakupenda kweli, atakujibu "ukweli unaujua ila kwanini unapenda kuniuliza swali hilo kila mara?" kama umeshaingiza dosari juu ya upendo wake utajikuta unamuuliza "ukweli upi?" naye atakujibu "kuwa nakupenda", hapo utajikuta umepata furaha kugundua kuwa anakupenda kumbe mwenzio amekuhurumia tu. ==> Huwa hajali mambo yako unayomwambia, ukimueleza muda huu badae anajifanya kusahau ili tu akupotezee mueleleo. ==> Unapopanga kukutana nae huwa ni mtu asiyeishiwa na sababu za kushindwa kufika, huwa na aibu ya kukutambulisha kwa watu. Unaweza kufika nae mahali akakwambia kuwa "kuna watu wanafahamiana na mama/baba mahali hapa kwahiyo tusiongozane karibu", hapo anaweza yeye akatangulia mbele au kukuacha wewe utangulie. ==> Hufanya tabasamu la kuigiza au kicheko cha kejeli ili wewe uridhike kwamba anafurahishwa na uwepo wako kwake. ===> Wakati mwingine inampasa mtu kujitambua na kumpa uhuru huyo umpendaye aweze kuamua mwenyewe labda kuendelea na wewe au kumfata anayempenda yeye. Cha muhimu ni kuwa using'ang'anie mahusiano ambayo yanayoumiza moyo kwani yanaweza pasua moyo wako kwa mawazo. MTU ANAYEKUPENDA KWA DHATI: ==> Hachoki kukwambia NAKUPENDA, kwani anajisikia raha sana pale atamkapo neno hilo juu yako kwahiyo unaweza ukawa kama wimbo wake kwako. ==> Anajivunia kuwa na wewe na atapenda kukupa sifa nzuri kila mara, yani Hachoki kukusifia. Atakushauri pale unapokosea ili uwe katika njia nzuri. Unaponuna atajua cha kufanya ili wewe ufurahi na kurudi kwenye hali ya kawaida. ==> Hachoki kukuombea mema na kukutakia mafanikio. ==> Atapenda kukueleza ukweli kila mara ili uweze kujenga uaminifu na imani juu yake. ==> Wewe utakuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yake, atakuthamini na kukujali. Tatizo lako litakuwa sawa na tatizo lake, atakupa ushauri bila kuchoka. ==> Kabla ya kumuuliza swali kuwa "je unanipenda?" atakuwa ameshakujibu tena kwa hisia nzito kuwa "nakupenda sana mpenzi wangu". ==> Hatokuonea aibu kukutambulisha kwa watu kuwa wewe ndiye mpenzi wake, kwakuwa wewe ndiye furaha yake. ====> Thamani yako ni kubwa sana kwake, anakuona mpya kila siku na hachoki kuvutiwa na wewe. Anakupenda kwa kumaanisha na si kukupenda kimazoea tu. Neno NAKUPENDA litamtoka moyoni na ataridhihirisha kwa kinywa chake. Mtambue mtu huyu kuwa anakupenda kwa dhati. NB: Hakuna aliyekamilika, kila mtu ana kasoro na mapungufu yake. Si vyema kutumia mapungufu ya mwenzio kama fimbo katika mapenzi, cha muhimu ni kumuelimisha na kumuelekeza ili muweze kwenda sambamba. Nadhani baadhi ya maswali ya wadau yatakuwa yamejibiwa na hiyo mada. Kama kuna nyongeza au swali lolote kuhusiana na hiyo mada tuambiane hapa na kupatiana majibu hapa hapa wadau. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: