Home → Love sms
→ πππππππππππππππ π°πMBINU ZA KUFANYA ILI MPENZI WAKO AKUOEπ°πππ πMwali kuolewa katika maisha ni jambo muhimu sana,ndio maana inaelezwa matukio muhimu katika maisha ni kuzaliwa,ndoa na kifo πNdoa ni heshima mwali na ni fahari ya mwanamke hata kama usome hadi mwisho lkn swala la ndoa ni muhim sana hata kama umezeekaππhakuna asiotamani kuolewa mwali wangu upooπjapo siku hiz watu wanajifariji kwa kauli zao eti waowaji hawapoπ€nyoo kakudanganya nani??waoaji wapo sana na hakijabadilika kituπ ππLeo ntashare tips kadhaa zitakazokusaidia kumuweka boy wako sawa hatimae aone wewe ni wife material,unafaa kuwa mama watoto wake ndani ya nyumba yake upo mwaliπππ πππUnapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. ππ ππππ§MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYAπππππ°π° 1. Usiigize. Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia,mwache akupende hivyohivyo ulivyo sio unaweka maigizo alafu mwisho wa siku unajisahau unaweka tabia zako halisi hii inaweza fanya kidume afikilie upya uamuz wa kukuoa au la. πππ 2. Don't move too fast/act desperate. Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho. πππ 3.Don't be too demanding. Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimishwa na wewe,mwache aamue mwenyewe japo kumweleza shida zako au mambo unayotaka ni Haki yako lkn angalia vilivyo ndani ya uwezo wake,ila usiwe omba omba sana ndio maana siku hiz wanaume wanaoa wanawake wenye shughuli zao kuepuka hili,sasa ili kuondoa hilo jishughulishe usimtegemee sana yeye kwa kila kitu πππ 4. Kuwa na shukurani. Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo hii ni kitu muhimu sana πππ 5. Be real. Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la. πππ 6. Learn to cook if you don't know how to. Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake. πππππ 7. Mheshimu. Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki. ππππ 8. Kuwa ngao yake. Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.hili litamfanya akuone wife material πππ 9. Kuwa muwazi. Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.sio kujibebesha mimba bila kuamua na mchumba wako,ndomaana wazee wa zamani ndoa zilidumu kwasababu wengi wao walisubir ndoa ndio wakazaa watoto πππ 10. Usiwe na chuki. Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe. ππππ 11. Give your all. Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu hasa mkiwa chumbani,mpe vitu adimu hadi akumis sehemu yeyote anapokua kwa ujuzi wako chumbani mpe yote bila kumbania wala aibu, kuwa mtundu na usiwe mvivu usiokua na faida πππππ 12.Pendeza. Vaa/onekana vizuri unapokuwa nae nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako kiasi kwamba hatoona tabu kukutambulisha kwa rafiki zake,vaa mavaz kuendana na wakati mkiwa nje ila yasiwe ya nusu uchi,mwanamke staraππhakuna mwanaume anaependa mwanamke asiejiheshim, wakati mwinginemavaz hutambulisha tabia zako 13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye. Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa. ππππ 14.Kuwa mtulivu. Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana. ππππ 15.Usimzonge. Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu ama ku-ignore simu/text zako. ππππ 16. Mfurahishe/chekeshe. Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe. ππππ 17. Jifunze kusamehe. Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite. ππππ 18.penda sana ndugu zake Mwali unatakiwa uwapende ndugu wa huyo boy wako na wazazi wake wape heshima zote,jipendekeze kwao hao ndo watakaokusaidia pale mpenz wako atakapowashirikisha maamuz yake ya kukuoa ππππ 19.kuwa mshauri wake Mwali watakiwa uwe mshauri wake ,tena tumia busara na hekima ktk kumshaur jambo lolote lile linalomuhusu na linalohusu mahusiano yenu bila kupayuka payuka πππ 20Kuwa msiri wake Unatakiwa utunze siri za mpenz wako sio kitu kidogo tu ushaenda kusimulia watu,atakuona wewe hufai pindi atakapoyasikia huko nje,mwanamke shurti uwe na kifua cha kumvumilia mpenz wako kwa shida na raha πππ Mwisho kabisa Mshirikishe Mungu wako. Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho.ππΎhili ni jambo kubwa sana sanaaa. Timiza yote hayoππ½na wallah ndoa itakua halali yakoππΌππΌππΌππΌππΌππΌππΌππΌ πππππchuo cha mahaba πππππππππππππππππππππππππ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: