MAFUTA YA PEPE NI DAWA KWA KILA UGONJWA ISIPOKUWA KIFO(0658247651 whsp)Hii ni orodha ya magonjwa 89 kwanzaInapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na kukubaliana katika jambo moja, ni mhimu kudadisi juu ya jambo hilo. Ingawa nyakati za sasa tunazungukwa na taarifa na elimu nyingi kuliko katika wakati mwingine wowote, bado tunahitaji kujifunza vitu kutokana na historia na maisha ya kale.Kutoka kwa baba wa sayansi ya matibabu katika nchi za magharibi Hippocrates kwenda mpaka kwa kiongozi wa mfumo wa mwisho wa kifarao Cleopatra hadi kwa mfalme Tut na jamii iliyofuata, kitu cha pekee ambacho walikuwa wakifanana viongozi hawa kwa pamoja ilikuwa ni thamani waliyoiona katika mtishamba fulani.Mtishamba au mmea huo ambao viongozi hao walikutana pamoja si mwingine bali ni Pepe. Pepe ndilo jina linalotumika zaidi mashariki ya kati na huko ulaya hujulikana zaidi kama ‘black seeds’.0658247651 whsp)Kwahiyo niliamua kuchukua muda kusoma na kupeleleza zaidi kuhusu PEPE kwa ajili yangu mwenyewe na ya wasomaji wangu ili hatimaye niweze kukuletea mwanga kamili juu ya mengi yanayosemwa kuhusu mafuta ya PEPE.Unaweza kuwa umesikia majina tofauti tofauti ya PEpe kutegemea na sehemu gani ya dunia ulipo. Haya ni moja ya majina yake:*Kalonji Oil*Black Cumin Seed Oil*Nigella Seeds*Graine De Nigelle*Black Onion Seeds*SchwarzkummelMafuta ya PEPE yanatokana na mbegu za Pepe na mbegu hizi huwa ni nyeusi na ndiyo maana kwa kiingereza wanaita ‘black seed’. Kuna mashine nyingi za nyumbani unazoweza kutumia kutengeneza mafuta yako mwenyewe kutoka katika mbegu za Pepe ingawa bado nakushauri ununuwe yale ambayo yameandaliwa tayari.PEPE ina sifa hizi:*Huondoa bakteria mwilini*Huondoa uvimbe*Huondoa sumu mwilini*Inaondoa fangasi*Inatibu kansa*Inatibu pumu*Inadhibiti kazi za histamini*Inaua virusi*Inazuia damu kugandaVitu viwili mhimu zaidi ambavyo mafuta haya yanavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’.Vimeng’enya hivi viwili ndivyo vinaweza kusemwa kuwa ndiyo sababu ya mafuta haya kuwa ni dawa kwa kila ugonjwa. Vinaimarisha moja kwa moja kinga yako ya mwili na kuifanya ipatikane wakati wowote itakapohitajika na mwili. Vimeng’enya hivi viwili ndivyo inaaminika ndiyo sababu mfalme Tut alipatikana na chupa ya mafuta ya Pepe kwenye kaburi lake akitumaini kuyachukua na kuyatumia atakapofufuka!Mtume Muhammad (S.A.W) amewahi kunukuliwa akisema ‘Mafuta ya PePe ni dawa kwa kila ugonjwa isipokuwa kifo’Mbegu za PEPe zinatoka katika majani ya mmea ujulikanao kama ‘Nigella Sativa’ na unalimwa karibu katika kila pembe ya dunia kwa sasa. Asili yake ni Afrika kaskazini, mediterania/ulaya na Asia na kutoka hapo umesambaa kila sehemu ya dunia. PEPE inachukuliwa kama moja ya dawa za asili bora zaidi kuwahi kutokea.Nini yanachoweza kufanya mwilini haya mafuta ya Pepe? kuna matumizi mengi ya PEpe katika kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali. Hapa nimejaribu kukusanya baadhi ya magonjwa 89 ambayo unaweza kujitibu kwa kutumia PEPE.Kama kawaida unapewa angalizo kutotumia dawa yoyote bila uangalizi wa karibu wa daktari Majani ya PEPEMagonjwa 89 yanayoweza kutibika na habbat soda ni pamoja na:1. Yanaimarisha afya ya moyoAfya mbovu ya moyo inaweza kuwa ni matokeo ya sababu nyingi lakini sababu zote chanzo chake kikuu ni matokeo ya kutokuupa moyo virutubishi unavyovihitaji.Mafuta ya PEPE yana asidi mafuta safi na yenye Omega 6 na 9, pia yana kirutubishi kingine mhimu zaidi kijulikanacho kama “phytosterols” ambacho husaidia kulazimisha kusinyaa na kutanuka kwa mishipa ya damu na hivyo kusaidia kuzuia damu kuganda na kujikaza katika ateri. Viinilishe hivi pia husaidia kushusha lehemu kwenye damu na kiasi cha damu sukari.Kwa karne nyingi mafuta ya PEPE yamekuwa yakitumika kutibu matatizo mengi yanayohusiana na moyo.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PePe kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili2. Hupigana na maambukizi ya fangasiMaambukizi ya fangasi yanatokea wakati bakteria wanapozidi juu ya ngozi yako na kupelekea kutokea kwa magonjwa mengi ikiwemo miwasho, upele na ukurutu. Tafiti zinaonyesha mafuta ya PEPE ni mazuri kwa tiba karibu kwa kila aina ya fangasi kitu kinachopelekea wanasayansi wengi kuamini kuwa PEPe ni dawa ya asili na mbadala mhimu zaidi kwa kila mtu kuwa nayo nyumbani.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPe kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja. Mengine pakaa kama mafuta yako ya kupakaa sehemu yenye muwasho kutwa mara 2 hadi 3.3. Hudhibiti Aleji (mzio)Wengi wetu tunapatwa na aleji na kutokewa na chafya au mafua yasiyoisha na kupelekea kushuka kwa kinga yetu ya mwili. Kutumia mafuta asili ya PEPE kwa ajili ya kutibu aleji kunaweza kuleta matokeo mazuri bila gharama kubwa. Na siyo kwamba mafuta haya yatakupa nafuu kwa haraka sana dhidi ya aleji tu, bali pia yatakufanya kujisikia nafuu haraka zaidi kuliko dawa nyingine nyingi za kutibu aleji za viwandani zilizopo sokoni leo.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PePe kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili.4. Ni mafuta mazuri kwa ajili ya ngozi yakoIwe ni muonekano au afya ya ngozi kwa ujumla, ipo sababu kwanini watu wanapenda kuwa na ngozi ya kupendeza na yenye afya. Mafuta ya PEpE yana asidi mafuta mhimu zaidi, yana vitamini nyingi, yana viondoa sumu vya kutosha na asidi amino mhimu ambazo miili yetu huzihitaji. Mafuta ya PEPE ni mafuta safi ya ngozi kwa nyakati zote za siku na kwa siku zote. Mafuta haya pia yanasaidia ngozi kutokuungua moja kwa moja na miale ya jua huku yakizuia usizeeke haraka kwa kuondoa mikunjo yoyote kwenye ngozi yako.Matumizi: Yawe ndiyo mafuta yako ya kupakaa mwilini kila siku5. Hutibu kansa ya ngozi (Melanoma)Kansa ni matokeo ya kinasaba cha damu (DNA) kujizidisha au kujizalisha mara nyingi na kwa haraka zaidi dhidi ya uwezo wa kinga ya mwili. Mara nyingi kansa hutokeza vivimbe sehemu mbalimbali mwilini. Mafuta ya PEPE yana virutubishi vingine viwili ambavyo ni ‘thymoquinone’ na ‘thymohydroquinone’ ambavyo utafiti unaonyesha huwa vina uwezo wa kudhibiti kansa kwenye ngozi na kansa nyingine mbalimbali mwilini. Hii ni kutokana na sifa yake ya haya mafuta katika kuzuia uvimbe na bakteria, sifa kuu mbili za habbat soda.Pepe hufanya hivyo kwa kuzilenga seli zako nyeupe za damu kwa kuziongezea kinga ya mwili na hivyo kuua seli za kansa.Matumizi: Yawe ndiyo mafuta yako ya kupakaa mwilini kila siku.6. Hutibu chunusiChunusi ni matokeo ya moja kwa moja ya vivimbe kwenye ngozi hasa ya paji la uso na usoni kwa ujumla. Mafuta haya yanaondoa uvimbe wa aina yoyote kwenye ngozi na kuitengeneza upya ngozi huku yakiiacha nyororo na muonekano wake wa asili. Mafuta ya PEPE yamekuwa yakitumika kwa ajili hii ya kutunza na kutibu maradhi mbalimbali ya ngozi na wafalme na malkia wengi katika historia yote ya dunia.Matumizi: Yawe ndiyo mafuta yako ya kupakaa mwilini kila siku. Unaweza pia kunywa kijiko kidogo kimoja kila siku kusafisha mwili ndani7. Hutibu maambukiziMaambukizi ya aina yote hupigwa na kinga ya mwili hasa na seli nyeupe za damu ndizo zinazohusika na kazi hiyo. Kwa kuiongezea nguvu kinga ya mwili moja kwa moja, PEPe soda yanausaidia mwili wako kupigana na maambukizi kutoka kwenye nywele kichani mpaka kwenye kucha. Hii ni sifa ya pekee ya PEPE ambayo imekuwa ikijulikana kuwa nayo katika historia yote ya dunia tangu enzi hata leo bado ni moja ya dawa za asili zenye nguvu ya kupigana na maambukizi ya aina nyingi ya mwili.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PePe kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja mpaka miwili8. Hutibu tatizo la ugumbaUgumba unaweza kutokea kutokana na sababu nyingine nyingi, ingawa imethibitishwa pasipo na shaka kwamba mafuta ya PePe yamewasaidia wengi kuimarisha afya zao za uzazi. Kwa wale wote wenye tatizo la uzazi au ugumba tambueni kuwa mafuta ya PEPe yamekuwa yakitumika kutibu matatizo ya ugumba kwa zaidi ya miaka 2000 sasa. Mpaka leo bado mafuta ya Pepe yanaendelea kuripotiwa kama ndiyo dawa bora zaidi ya asili kwa ajili ya kurekebisha tatizo la ugumba kwa watu wa jinsia zote mbili.Wakati huo huo mafuta ya asili ya PEPe yamethibitika kuwa dawa bora zaidi ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na hutibu tatizo la nguvu za kiume hata kama mwanaume utakuwa na umri wa miaka 120.Unachohitaji ni kuyatumia kwa kipindi kirefu hata miezi miwili au hata zaidi mfululizo kama tatizo limekuwa sugu sana.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PePe kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja mpaka mitatu.9. Huotesha nyweleMoja ya matumizi makubwa ya mafuta haya ni kuotesha nywele. Bidhaa nyingi sokoni zinazotumika kwa ajili ya kuotesha nywele zinaacha madhara makubwa zaidi kwa mtumiaji kuliko faida zake. Kwahiyo kwa wale wenye tatizo la upala, nywele zisizokuwa na kwa wale ambao nywele zao hazina afya mnashauriwa kuchagua mafuta haya kwa matatizo haya yote. Ingawa haieleweki ni kwa namna gani mafuta haya yanakuza nywele lakini wanasayansi wanaamini haya yanaweza kuwa ni matokeo ya uwezo wake mkubwa wa kuondoa sumu na protini nyingi ndani yake. Mafuta ya PEpE kwa ajili ya nywele yenyewe ni meusi kabisa kabisa na huwa mazito kidogo tofauti na yale ya kunywa na kupakaa mwilini.Matumizi: Sugulia kipande cha limao fresh eneo ambalo nywele zimenyonyoka na kisha pakaa kijiko kikubwa kimoja cha mafuta ya PEPE ya nywele na uache kama dakika 15 hadi 20, unaweza kuacha hivyo hivyo au ujisafishe na maji safi, unaweza kufanya kutwa mara 1 au 2 kwa mwezi mmoja hadi miwili10. Hutibu mafua na homaMafua na homa ni matokeo ya kushuka kwa kinga ya mwili na kadri unavyoendelea kuyavumilia magonjwa kama haya ndivyo unavyozidi kuidhoofisha zaidi kinga yako ya mwili. Kama tulivyoona kabla kuwa mafuta ya PEPE huongeza kwa haraka sana kinga ya mwili, huondoa haraka sumu mwilini na bakteria mbalimbali na hivyo kufanya kuwa ndiyo dawa nzuri ya asili dhidi ya mafua na homa za mara kwa mara.Chukua kijiko kikubwa kimoja cha mafuta haya na vijiko vitatu vikubwa vya asali changanya katika glasi moja (ml 250) ya maji ya uvuguvugu na unywe kutwa mara moja kila siku. Kitendo hiki hakitakuondolea mafua na homa pekee bali pia kitaimarisha afya yako kwa ujumla. Fanya kwa siku 7 hadi 1411. Hutibu majipuLiwe ni jipu moja au majipu mengi kwa pamoja, mafuta ya PEpE ndiyo dawa nzuri kukupatia nafuu ya haraka. Hii ni kwa sababu kwa sehemu kubwa majipu ni matokeo ya maambukizi ya bakteria na mchafuko wa damu. Na mafuta ya pEPE ni wakala mzuri wa kuondoa bakteria na kusafisha damu na hivyo kuwezesha majipu kuwa chini ya ulinzi.Unaweza kupakaa mafuta haya juu ya jipu moja kwa moja na wakati huo huo mengine unywe kama ilivyoelezwa kwenye namba 9 hapo juu. Hata hivyo ikiwa jipu ni kubwa sana na huoni nafuu hata baada ya kujaribu mafuta haya muone daktari kwa msaada zaidi.12. Hutibu kikohozi na PumuIle sifa yake kuu ya kuondoa vivimbe kwenye tyubu za koo, kitendo chake cha kuongeza kinga ya mwili, kuua bakteria na virusi ndiyo sababu za mafuta haya kutumika kutibu kikohozi na pumu.Imeandikwa katika historia kuwa mababu wa zamani wa Misri walikuwa wakitumia mafuta ya PEpE hasa kwa ajili ya kuimarisha afya ya mfumo mzima wa upumuwaji.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPE kutwa mara 1 kwa wiki 3 hadi 4 hivi13. Hutibu kuharishaMara nyingi kuharisha ni matokeo ya maambukizi ya virusi na bakteria na kama tulivyoona mafuta ya PEPe hudhibiti bakteria na virusi mbalimbali mwilini na hivyo kufanya ndiyo dawa nzuri mbadala kwa ajili ya kutibu au kuzuia kuharisha. Huweka sawa mfumo wa umeng’enyaji wa chakula na tumbo kwa ujumla na hivyo kuzuia mwili wako kupatwa na tatizo la kufunga choo. Inashauriwa kuchanganya kijiko kidogo kimoja cha chai au viwili vya mafuta ya PEPE na kikombe kimoja cha mtindi na utumie asubuhi na usiku kwa siku mbili hivi na kuharisha kutasimama.14. Hutibu shinikizo la juu la damuMafuta ya PEPe kwa ajili ya shinikizo la juu la damu ni moja kati ya matumizi makubwa ya mafuta haya kwa sasa. Ingawa haijathibitishwa rasmi kama dawa ya kutibu shinikizo la juu la damu lakini wagonjwa wengi wa shinikizo la juu la damu wameripoti kushuka kwa kiwango kikubwa cha mashinikizo yao ya damu wakati wanapotumia mafuta haya ya PEpETafiti kadhaa zimepelekea wengi kuanza kutumia mafuta ya PEPe kama dawa ya asili kwa ajili ya kutibu shinikizo la juu la damu.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPE kutwa mara 1 kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja. Pia hakikisha unakuwa na uzito sawa kulingana na urefu wako. BP ya juu inaweza kuchelewa kupona ikiwa uzito wako upo juu ya inavyotakiwa uwe nao.15. Huondoa tatizo la kukosa usingiziTafiti zinaonyesha mafuta ya PEpE ni dawa nzuri ya asili dhidi ya tatizo la kukosa usingizi na matatizo mengine kama hayo ya kuvuruga utulivu wa usingizi kwa ujumla. Watu wengi wameripoti kupata usingizi mororo na utulivu kwa ujumla kwa kutumia PePe oil.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.16. Huzuia mishtuko na kukakamaa kwa mishipaMafuta ya Pepe ni dawa nzuri ya kuzuia kukakamaa na mishtuko mbalimbali kwenye mishipa. Unaweza kuyanywa mdomoni au unaweza kupakaa na kuchua moja kwa moja sehemu ya mishipa yenye matatizo kwa ajili ya matokeo mazuri ya haraka.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa. Pakaa na ujichuwe pia sehemu ya mishipa yenye matatizo17. Huondoa kichefuchefu na mvurugiko wa tumboMafuta ya PEpE kwa ajili ya kuondoa kichefuchefu na kuvurugika wa tumbo ni moja ya sifa nyingine kubwa ya mafuta haya.Uwezo wa mafuta haya kutibu haya matatizo mawili unatokana na nguvu yake kuhamasisha vimeng’enya vyakula vya mwili wako na kuondoa gesi tumboni.Matumizi: Kwa ajili ya kuondoa kichefuchefu changanya kijiko kidogo kimoja cha mafuta ya pEPE na glasi moja ya juisi ya tangawizi na unywe glasi moja asubuhi na nyingine jioni kila siku kwa siku mbili tatu.18. Dawa bora kwa matatizo ya menoDawa nyingine nzuri kwa matatizo ya meno kama jino kuuma, kuoza, kutoboka, kulegea nk ni mafuta ya asili ya Pepe. Kuondoa maumivu ya jino unachohitaji kufanya ni kunyunyiza matone kadhaa ya mafuta haya juu ya hilo jino na utulie tuli kama dakika mbili hivi kutwa mara mbili.19. Huua seli za kansa ya damuTafiti zinaonyesha mafuta ya PEpE yanacho kitu mhimu sana kiitwacho kwa kitaalamu kama “thymoquinone” ambacho huziua seli za kansa ya damu (leukemia HL-60 cells).Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa20. Hutibu saratani ya matitiMafuta ya PePe yana uwezo wa kuzuia seli za saratani ya titi kuendelea kujizalisha na inashauriwa kwa ajili ya kutibu saratani ya titi yatumike kwa kipindi kirefu miezi hata miwili au zaidi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku21. Hutibu saratani ya utumbo mpanaKimeng’enya kiitwacho ‘thymoquinone’ kilichomo kwenye mafuta ya PEpE na sifa yake kubwa ya kuondoa sumu ndivyo vitu viwili vinavyoyawezesha mafuta ya Pepe kuzishambulia na kuziua seli za saratani ya utumbo mpana (colon cancer). Yanabaki kuwa ndiyo dawa mbadala bora zaidi kwa saratani ya utumbo mpana inayosumbua watu wengi miaka ya karibuni.PEpe oil si dawa ya magonjwa mengine mengi tu bali pia ni moja ya vitu mhimu sana katika kuzuia kukua, kujizidisha au kujizalisha upya kwa seli mbalimbali za kansa.Uwezo wa mafuta ya Pepe kudhibiti uongezekaji wa seli za kansa unashawishi sana kiasi kwamba madaktari wengi wamekiri kuwa ni dawa moja bora sana mbadala dhidi ya saratani ya kwenye utumbo mpana.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku mpaka upone22. Hutibu fangasi ya ngozi na mapunyeFangasi, mapunye, ukurutu na magonjwa mengi ya ngozi yanaweza kutibika kwa kutumia mafuta ya pepe. Fangasi na mapunye ni tatizo linalowapata watu wengi karibu kila sehemu katika nchi tajiri hata katika nchi maskini pia.Unaweza kuyanywa mdomoni na wakati huo huo ukapaka moja kwa moja juu ya ngozi sehemu yenye tatizo kwa majuma kadhaa. Kama ni kunywa basi kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kila siku mpaka upone23. Husaidia kupunguza uzitoUwezo wa mafuta ya PEpe kushusha uzito unatokana na sifa yake ya kuweza kupunguza sukari katika damu. Zaidi ya kuwa ni wakala muondoa sumu mwilini wa asili, mafuta ya Pepe husaidia pia kuongeza nguvu katika mfumo wa umeng’enyaji wa chakula na kupunguza kiasi chako cha njaa. Hii ya kudhibiti kiasi cha njaa ni mhimu sana hasa wakati unataka kudhibiti mfumo wa vyakula unavyokula.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa, usisahau pia kufanya mazoezi ya kukimbia (jogging kila siku)24. Hutibu KisukariKitu gani kimeyafanya mafuta ya PEPe kuwa ndiyo dawa nzuri ya asili dhidi ya Kisukari? Ni ule uwezo wake mkubwa wa kushusha shinikizo la damu na kusaidia wagonjwa wa Kisukari wote ambao ni tegemezi au si wategemezi wa insulin. Ni dawa nzuri kwa watu wote wenye kisukari aina ya kwanza na kisukari aina ya pili kwa wakati mmoja. Pia huboresha kwa ujumla AFYA ya damu yako.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 2 kila siku kwa mwezi mmoja hadi miwili25. Hutibu kifafa na mishtuko ya moyoDawa nyingi za kisasa zinazotumika kutibu kifafa na mishtuko ya moyo huwa zina orodha ndefu ya madhara mabaya (negative side effects) pia. Bahati nzuri kwa upande wako wewe unayesoma makala hii ni kuwa mafuta ya asili ya PEpe (black seed oil) ni dawa nzuri ya kutuliza kifafa na matokeo yaletwayo na kifafa.Baadhi ya tafiti zimeonyesha watu wenye kifafa na mishtuko ya moyo waliacha kuonyesha tabia au dalili za kifafa au mishtuko ya moyo walipotumia mafuta ya PEPe kwa wiki 4 hadi 6 huku wakitumia sambamba na dawa walizopewa hospitalini. Watafiti wengi wanasema hii ni kutokana na kiinilishe mhimu kilichomo kwenye mafuta haya kijulikanacho kama ‘thymoquinione’. Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku mpaka upone.26. Hutibu vidonda vya kooniMafuta ya PEPe yamethibitishwa kutibu vidonda vya kooni (tonsils) na kuondoa kila aina ya maumivu kooni na kuondoa uhitaji wa dawa za kuondoa maumivu (pain killers).Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa27. Hutibu kidonda ndugu (MRSA)Kidonda ndugu au kama kinavyojulikana kwa kitaalamu kama ‘Methicillin resistant Staphylococcus aureus (MSRA)’ ni ugonjwa unaoendelea kuwasumbua wataalamu wengi katika mahospitali maeneo mengi duniani. Mara nyingi hutokea kama matokeo ya kudhoofika kwa kinga ya mwili. Uwezo wa kuondoa uvimbe na sumu wa mafuta haya unayafanya kuwa dawa mbadala yenye ufanisi zaidi katika kutibu kidonda ndugu.Mafuta ya PEpe yatakusaidia kutibu kidonda cha aina hii bila shida yoyote, yatazuia pia kuendelea kuongezeka au kusambaa zaidi kwa kidonda hiki.Kama kuna matumizi mhimu sana ya dawa hii basi ni hili la kutibu vidonda mbalimbali ikiwemo kidonda ndugu kidonda ambacho huletwa na bakteria na kuwa sugu kutibika kwa dawa nyingi za kawaida.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku na upakae sehemu yenye kidonda mara 2 kila siku kwa majuma kadhaa.28. Huondoa utegemezi wa madawa ya kulevyaKutumia mafuta ya PEpe kuondoa utegemezi (uteja) kwa madawa ya kulevya na vilevi vingine ni moja ya kazi nyingine zilizothibitika kufanywa na mafuta haya.Katika majaribio, mafuta ya PEpE yameonyesha kuwa msaada mkubwa kutuliza hali ya kujisikia vibaya na mauzauza mengine yatokanayo na kuacha kutumia dawa za kulevya na wakati huo huo yameonyesha kudhibiti hamu ya kutaka kurudia tena matumizi ya madawa ya kulevya baada ya mtu kuamua kuacha.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja na nusu mpaka miwili29. Huondoa makovuIwe ni makovu ya upasuaji uliopita au ni makovu mengine yoyote, mafuta ya PEpe ndiyo dawa nzuri kwa ajili ya kuondoa makovu. Ni moja kati ya dawa mbadala chache ambazo zimethibitishwa kuondoa na kutibu makovu moja kwa moja.Matumizi: Pakaa mafuta haya sehemu yenye makovu mara 2 mpaka 3 kila siku kwa majuma kadhaa.30. Hutibu kansa ya mlango wa kizaziKansa nyingine ambayo mafuta ya PEPe yamethibitika kuitibu ni kansa ya mlango wa kizazi (cervical cancer). Hii tena inawezekana kutokana na kimeng’enya ‘thymoquinione’ kipatikanacho kwenye haya mafuta, tafiti zinaonyesha kuwa husaidia pia kwa kuziongezea nguvu na idadi seli nyeupe za damu na kuzidhibiti seli za kansa kuendelea kujizalisha.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.31. Huzuia madhara ya miale ya juaTafiti zinaonyesha kuwa watu waliokuwa wakitumia mafuta ya PEpe na kukaa kwenye jua masaa mengi walipatwa na madhara machache ya miale ya jua kulingalisha na wale ambao walikaa juani muda mrefu bila kutumia Kiasi kikubwa cha kinga ya mwili kilionekana kwa watu waliokuwa wakitumia mafuta ya PEPe. Kuna tafiti pia zinazothibitisha PEPe kuwa msaada mkubwa kwa wagonjwa wa kansa walio kwenye matibabu ya mionzi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPE kutwa mara 1 kila siku, pia pakaa kama mafuta yako ya PEpe kupakaa kwenye ngozi kila siku32. Huzuia na kutibu athari za sumu ya risasiSumu ya risasi (lead) ndiyo moja ya sumu zinazowapata watu wengi dunia nzima sababu ya maendeleo ya viwanda na matumizi ya madawa ya mashambani. Risasi inaweza kuleta shida na mambo mengi kuhusiana na kazi za mwili wako kwa ujumla na kuleta matatizo katika moyo, tumbo, figo, mfumo wa fahamu, mifupa na hata katika mfumo wako wa uzai.Tafiti zimeonyesha kwamba mafuta ya PEPE kuwa na uwezo mkubwa kuzuia na kurekebisha madhara katika ubongo yaliyotokana na sumu ya risasi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPe kutwa mara 1 kila siku, pia pakaa kichwani kila siku yale ya nywele nayo yamethibitika kuwa yanatibu maumivu ya kichwa na matatizo mengine mengi kuhusiana na kichwa33. Huimarisha ukuwaji wa ndevuTafiti zimeonyesha mafuta ya PEPE yanaweza kuhamasisha ubora na ukuwaji wa ndevu kidevuni. Ingawa hii siyo kazi yake hasa ya msingi, unaweza kupakaa moja kwa moja mafuta ya PEPe ya nywele juu ya kidevu chako na utaona ndevu zinakuwa na afya nzuri, zinakuwa haraka na kuziacha zenye unyevunyevu pia.34. Hutibu maumivu ya kuumwa na nyuki na nyiguUnga wa pEPe ukichanganywa na maji kidogo ni dawa nzuri kabisa ya asili kwa maumivu au uvimbe kutokana na kuumwa na wadudu kama nyigu na nyuki. Chua sehemu iliyoathiriwa na mchanganyiko huu kutwa mara mbili kwa siku 2 au 4 hivi.35. Huondoa msongamano kifuaniMwagia na uchue kwa dakika kadhaa juu ya kifua chako na mafuta ya pEPe kuondoa msongamano (makohozi, gesi nk) kifuani. Utapata matokeo mazuri zaidi kama utachanganya mafuta haya na asali kwa ajili ya hili zoezi. Unaweza pia kuamua kunywa mdomoni kijiko kidogo kimoja cha chai kila siku badala ya kupaka juu ya kifua.36. Hutibu maumivu ya sikioMafuta ya PEpE yakichanganywa na mafuta ya zeituni yanaweza kutibu maumivu ya sikio na miwasho mingine masikioni. Changanya nusu kijiko kidogo cha mafuta ya PePe na nusu kijiko kidogo kingine cha mafuta ya zeituni, pasha moto kidogo mchanganyiko huu na kuweka matone mawili matatu sikioni sehemu iliyoathirika.Unaweza kuweka skafu au kofia juu ya sikio dakika 2 baada ya kunyunyiza matone ya mchanganyiko huu na utulie sehemu moja kwa dakika kadhaa.37. Dawa nzuri ya magonjwa ya macho na kuonaMafuta ya PEPe yanaweza kutumika pia kutibu maambukizi ya kwenye macho na wakati huo huo kuongeza uwezo wa macho kuona (eyesight and vision).Yametumika pia na watu wengi kutibu maambukizi ya kwenye macho yao ambayo hupelekea macho kuwa mekundu.Ili kutibu hayo unaweza pakaa mafuta haya sehemu zinazozunguka jicho lako kabla ya kwenda kulala na unaweza kufanya zoezi hili kila siku kwa matokeo ya haraka zaidi.38. Hutibu kiharusiUnapougua kiharusi hasa usoni, mafuta ya habbat soda yanaweza kuleta nafuu haraka. Weka kiasi cha mafuta ya PEpe kwenye bakuli au sahani na usogeze pua yako karibu na mafuta na unuse nuse mafuta hayo. Chukua sekunde 10 mpaka 20 kuvuta pumzi ndani kwa nguvu na urudie zoezi. Fanya zoezi hili kila siku mpaka upone.39. Huondoa msongamano puaniPEPe oil pia hutumika kuzibua na kuondoa msongamano puani. Hii ni moja ya kazi ambayo mafuta haya yanazifanya vizuri zaidi. Unaweza kuyanywa na wakati huo huo kuyanusa puani kama nilivyoeleza kwenye namba 38 hapo juu.40. Huondoa mawe kwenye kibofu cha mkojoKutumia mafuta ya PEpe kwa ajili ya kuondoa mawe kwenye kibofu cha mkojo ni njia nzuri ya kuondoa maumivu na mawe katika kibofu cha mkojo kwa pamoja. Uwezo mkubwa ulionayo mafuta haya katika kuondoa vivimbe na sifa yake ya kuondoa sumu ndivyo vitu vinavyoyafanya mafuta haya kuwa dawa bora ya asili ya kuondoa mawe katika kibofu cha mkojo.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEpe kutwa mara 1 kila siku mpaka upone.41. Huondoa mawe katika IniKama ilivyo kwa mawe katika kibofu cha mkojo, mawe katika ini pia yanaweza kusababisha maumivu na madhara mengine makubwa wakati ukijitibu kwa kutumia dawa za viwandani. Sifa za mafuta ya PEpe huondoa mawe katika ini kwa hali ya mwendelezo mpaka yatakapoondoka yote. Kunywa mafuta haya yakichanganywa na asali kwa matokeo mazuri zaidi. Kijiko kidogo kimoja unaongeza na asali kijiko kidogo kimoja. Tumia kwa mwezi mmoja hivi Mbegu za PEPe42. Huondoa gesi tumboniMafuta ya PEPe huusaidia mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula na hivyo kukusaidia kuondoa gesi. Pia yamethibitika kuondoa mvurugiko wa tumbo na takataka nyingine tumboni kwa haraka zaidi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya habbat soda kutwa mara 1 kila siku mpaka upone kabisa43. Hutibu bawasiriDawa nyingi zinazotumika kutibu bawasiri zina madhara mengine mabaya na nyingi ya hizo hazitibu kabisa bawasiri na kulazimisha wengine kufanya upasuaji.Mafuta ya PEPe kwa upande wake yanatoa suluhu ya haraka katika kutibu bawasiri zote ya nje nay a ndani na tafiti zinaonyesha yanao uwezo wa kuzuia kusambaa au kuongezeka kwa ugonjwa huu.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEpe kutwa mara 1 kila siku, pia pakaa sehemu yenye tatizo nje na ndani kutwa mara 2 kwa majuma kadhaa44. Huondoa maumivu ya kichwaFaida nyingine mhimu ya mafuta ya Pepe ni uwezo wake katika kutibu maumivu ya kichwa na kipanda uso. Kwa karne nyingi Waarabu na Wazungu wamekuwa wakitumia mafuta haya kwa kupaka maeneo ya karibu na pua, macho na sehemu ya mbele ya kichwa ili kuondoa maumivu ya kichwa. Hata ukiyanywa kijiko kidogo kimoja kila siku maumivu ya kichwa yatapotea.Pia yale meusi kwa ajili ya nywele nayo yanaondoa maumivu ya kichwa na hili nimelishuhudia mimi mwenyewe nilikuwa na tatizo la kuumwa kichwa mara kwa mara sababu ya kukaa kwenye computer masaa mengi lakini tangu nianze kutumia mafuta haya sijawahi kuumwa kichwa tena.45. Huongeza kinga ya mwiliUnaweza kutumia mafuta ya PEpe kuimarisha kinga yako ya mwili kwa ujumla na hivyo kuongeza ulinzi wa mwili wako dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo dhidi ya bakteria na virusi. Mafuta ya PEpe ndiyo bidhaa pekee ya asili iwezayo kuimarisha kinga yako ya mwili kwa muda mfupi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEpe kutwa mara 1 kila siku mpaka kinga yako imeimarika. Unaweza kutumia pia mafuta haya hata kama huumwi chochote.46. Husaidia mama anayenyonyeshaMafuta ya PEpe yakitumika na mama anayenyonyesha husaidia kuongezeka kwa uzalishwaji wa maziwa. Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.47. Huongeza kumbukumbuUtafiti unaonyesha kuwa mafuta ya PEpe yana uwezo wa kuongeza uwezo wako wa kumbukumbu, ufahamu na umakini. Karibuni imethibitika PePe yanaweza kuongeza uwezo wa kukumbuka vitu kwa haraka vikiwemo vya muda mfupi na hata vile vya muda mrefu.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEPe kutwa mara 1 kila siku mpaka hali yako ya kukumbuka vitu imekaa sawa.48. Huondoa madoa meusi kwenye ngoziMoja ya kazi za mafuta ya PEpe ambazo wengi hawazijuwi ni hii ya kuondoa madoadoa au mabaka meusi juu ya ngozi. Unachohitaji ni kuyatumia kama mafuta yako ya kupakaa kila siku na hutachelewa kuona matokeo.49. Huondoa maumivu ya kung’atwa na waduduWadudu kama mbu na wengine wanapokuuma huacha pia maumivu fulani na hata uvimbe. Kupaka mafuta haya juu ya eneo lililoathirika kutasaidia kuondoa maumivu na uvimbe au muwasho wowote sababu ya wadudu hao.50. Hutibu kukauka kwa midomo (Lips)Tatizo hili la midomo ya nje (lips) kukauka limepelekea kutengenezwa kwa bidhaa nyingi za viwandani kwa ajili hiyo na wanawake ndiyo wanaonekana kuzitumia zaidi huku baadhi ya bidhaa hizo zikiripotiwa kusababisha baadhi ya saratani.Mafuta mhimu (essential oils) yapatikanayo katika mafuta ya PEpe yanaweza kuzuia kukauka kwa mdomo na kuzalisha upya ngozi kwenye sehemu za nje ya mdomo (lips) na kukuachia rangi safi ya asili ya lips zako bila madhara yoyote mabaya hapo baadaye.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai cha mafuta ya PEpe kutwa mara 1 kila siku, pia pakaa sehemu ya lips zako kila siku.51. Yanatibu kufunga chooKama vile yanavyokusaidia katika mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula ndivyo yanavyokusaidia pia kwa tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu sana. Kuna watu wengine asipopata choo hata siku mbili haoni kama ni tatizo kwake na mwingine amezoea kupata choo kigumu kila siku na anaona ni kawaida tu.Kufunga choo au kupata choo kigumu sana kila mara ni ishara mbaya kuhusu afya yako. Ni dalili ya moja kwa moja kuwa huna maji ya kutosha mwilini au maji unayokunywa hayabaki mwilini na yanapitiliza kwenda nje bila kutumika na mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula.Mafuta ya PEpe yanatibu tatizo la kufunga choo (constipation) bila shida yoyote. Kunywa kijiko kidogo kimoja cha mafuta haya kila baada ya chakula cha mchana na baada ya chakula cha usiku kwa matokeo ya haraka.52. Hutibu maumivu ya mgongo na mishipaUnaweza kupunguza mahitaji ya dawa za kuondoa maumivu ya mgongo na mishipa kwa kupaka au kujichua na mafuta ya PEPe sehemu yenye maumivu moja kwa moja. Hutakawia kuona nafuu kwa haraka.53. Husaidia kuondoa maumivu ya tumboKwa matatizo mengi ya tumbo, mafuta ya PePe yanaweza kuwa msaada mkubwa wa kukupa nafuu kwa haraka. Kuondoa maumivu ya tumbo ni moja ya kazi kubwa inayotambulika na wengi ya mafuta ya pepe. Kunywa kijiko kidogo kimoja kila siku baada ya kula chakula cha usiku kwa matokeo ya haraka.54. Huondoa maambukizi kwenye fiziMaumivu na maambukizi kwenye fizi za meno vinaweza kuondolewa kwa kutumia mafuta ya PEPe.Uwezo wake wa kuondoa sumu na uvimbe ndiyo sababu ya madaktari wengi kupendekeza itumike kutibu maambukizi kwenye fizi. Unaweza kutumia kama dawa yako ya mswaki pia uyanywe kijiko kidogo kimoja kila siku.55. Hutibu U.T.IMaambukizi na matatizo mengi kwenye kibofu cha mkojo na njia ya mkojo kwa ujumla yanatibika na mafuta ya habbat soda ikiwemo ugonjwa wa U.T.I (yutiai) unaowasumbua watu wengi miaka ya karibuni.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.56. Huzuia mdomo kukaukaKutibu tatizo la mdomo kukauka chukua kijiko kidogo kimoja cha mafuta haya na weka mdomoni kwa sekunde 30 hivi. Jigeuzegeuze kichwa na mdomo kuhakikisha mafuta yanagusa kila sehemu za mdomo wako kabla ya kutema au unaweza hata kuyameza. Kisha safisha mdomo na kinywaji kingine kitamu kama juisi hivi au asali kuondoa radha yake ya ukakasi.57. Huzuia pua kuvuja damuHaya ni moja ya matumizi ya asili ya mafuta ya PEpe nyakati za joto katika majira ya kiangazi katika jamii nyingi mashariki ya kati. Kama unapata tatizo la pua kuvuja damu unachotakiwa kufanya ni kuweka matone mawili au matatu ya mafuta haya ndani ya pua zako na ukae utulie uone kazi ya mafuta ya Pepe kuzuia damu kuvuja puani.58. Huondoa majeraha ya kuungua motoKupaka mafuta ya PEpE juu ya majeraha ya kuungua kwa moto au maji ya moto kumethibitika kuponya majeraha hayo na kuzalisha upya ngozi.Kuondoa majeraha hayo chua eneo lenye athari ukitumia mafuta ya asili ya PEpe kwa kuondoa maumivu haraka na kuizalisha upya ngozi yako.59. Hutibu mba kichwaniMafuta haya si mazuri kwa ajili ya kukuza au kuotesha nywele zako tu, bali pia huhamasisha ukuwaji wa vinyweleo vya ngozi na hata kuzuia na kutibu mba. Unachohitaji kufanya ni kupaka mafuta ya kutosha ya PEPe ya nywele kichwani kwako na uache kama dakika 30 hadi 60 hivi na unaweza kujisafisha au kuacha hivi mpaka utakapoenda kuoga tena.Na mafuta haya unapoweka kichwani yanadondoka kidogo kidogo hadi kwenye ubongo na utaona vitu kama maumivu ya kichwa vinaanza kuisha taratibu.60. Huondoa maumivu kwenye maungioMoja ya matumizi yanayojulikana na wengi zaidi ya mafuta ya PEpe ni kutibu maumivu ya kwenye maungio (joints) mbalimbali mwilini. Utapata nafuu ya haraka ukitumia mafuta haya kuondoa maumivu katika maungio.Unaweza kujichua ukitumia mafuta haya moja kwa moja sehemu yenye maumivu kwa matokeo ya haraka zaidi. Pia kunywa kijiko kidogo kimoja kila siku kwa matokeo mazuri zaidi.61. Huzuia kudhurika kwa figo kama matokeo ya KisukariUkiacha ukweli kwamba mafuta ya PEpe ni dawa mbadala nzuri kabisa ya kutibu Shinikizo la juu la damu na Kisukari pia ni dawa ya kuzuia kudhurika kwa figo kama matokeo ya kuugua ugonjwa wa kisukari.Sababu ya hili ni kutokana na viinilishe mhimu sana vilivyomo kwenye PEpe ambayo hujulikana pia kama ‘nigella sativa’ au ‘black seeds’.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku62. Huweka sawa mzunguko wa hedhiMafuta haya yana kazi mhimu sana linalopokuja suala la kulinda na kutibu matatizo mbalimbali ya uzazi. Matatizo karibu yote ya uzazi kama maumivu ya tumbo chini ya kitovu, siku za mwezi zisizoeleweka au kutokuwa na mzunguko maalumu, kukosa hedhi, matatizo katika mfuko wa uzazi na hata maumivu wakati wa tendo la ndoa.Ni dawa nzuri kutumika hata kwa wamama wakubwa wanaopatwa na matatizo kutokana na kusimama kuona siku zao. Unaweza kuyanywa kijiko kidogo kimoja kila siku na hata kupaka ndani ya uke mara kwa mara kwani hutumika pia kutibu .U.T.I na fangasi za ukeni.63. Mazuri wakati wa ujauzitoInasisitizwa kuwasiliana na daktari wako wakati wa ujauzito kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote. Hata hivyo mafuta ya PEpE yameonyesha matokeo chanya hata yakitumika wakati wa ujauzito ingawa bado hakuna hitimisho la jumla ikiwa yatumike kwa mama mjamzito au yasitumike sababu katika baadhi ya kesi yanaonyesha kupunguza kukazika kirahisi kwa misuli ya mfuko wa nyumba ya uzazi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku64. Hutibu baridi yabisi (Arthritis)Mafuta ya PEpe yamethibitika kuwa dawa bora dhidi ya ugonjwa wa baridi yabisi, maumivu kwenye mishipa na hali ya mwili kuwaka moto kwa ujumla.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku mpaka upone.65. Hutibu vidonda vya tumboNi moja ya dawa za asili chache zinazoweza kutibu vidonda vya tumbo moja kwa moja PePE oil yanatibu aina zote za vidonda vya tumbo!Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa hadi siku 60. Vidonda vya tumbo pia upate unga wa asili wa majani ya mlonge na unga wa mbegu za maboga kwa matokeo mazuri na ya uhakika.Kumbuka pia kunywa maji mengi ya kutosha kila siku, epuka pia vinywaji na vyakula vyenye asidi nyingi.66. Yanaondoa maumivu mbalimbaliMafuta ya PEpe yanaondoa mahitaji yako kwa dawa nyingi za kuondoa maumivu (painkillers) mbalimbali mwilini. Katika kesi nyingi mafuta ya Pepe yanaweza kuondoa kabisa mahitaji ya dawa za kuondoa maumivu.Uwezo wake wa kuondoa vivimbe unayafanya kuwa chaguo zuri zaidi katika kutibu maumivu yote ya mwili wako kutoka kwenye nywele mpaka kwenye kucha.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.67. Hutibu kansa ya UbongoMafuta ya PepE ni msaada mkubwa katika kudhibiti na kusambaratisha vivimbe kwenye ubongo na seli za kansa kwenye ubongo wako. Makundi kadhaa ya watafiti wamehitimisha kuwa mafuta ya PEPE ni dawa halali ya asili kwa ajili ya kutibu kansa ya ubongo na uvimbe katika ubongo.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa. Pia pakaa kichwani moja kwa moja ama mafuta ya PEPe ya kawaida au hata yale ya nywele kila siku.68. Yanapunguza wasiwasi (Anxiety)Tafiti zimeonyesha mafuta ya PEPe kuwa msaada mkubwa katika kudhibiti tabia za kuhamaki na wasiwasi na hivyo kukuwezesha kujisikia vizuri kila mara. Na utaona matokeo haya baada ya matumizi ya PEPe kwa siku 30 hivi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku 69. Huondoa huzuni na mfadhaiko (stress)Tafiti kadhaa zimeonyesha watu waliokuwa wakitumia mafuta ya PEPe wanakuwa ni watu wenye furaha ya asili na kuwa si wepesi kuwa na huzuni au kufadhaika. Kazi hii ya mafuta ya PEpe ndiyo mhimu kuliko zote sababu mamilioni ya watu wanakabiliwa na tatizo la kuwa na huzuni au stress na mifadhaiko ya akili kitendo ambacho kinaweza kuharibu kinga zao za mwili na maisha kwa ujumla.Ni vigumu sana kupata mtishamba ambao unaweza kutibu matatizo yanayohusiana na saikolojia moja kwa moja lakini mafuta ya Pepe yanaweza kutumika kwa dhumuni hili la kutuliza, kupunguza na kutibu tatizo la huzuni au kufadhaika kwa akili.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku na kwa matokeo mazuri pata pia unga wa mbegu za maboga zilizokaangwa kidogo na chumvi ya mawe ya baharini, tumia muda mrefu hata miezi miwili hata zaidi ikibidi.70. Hutibu kizunguzunguHistoria nyingine katika matumizi ya mafuta ya PePe ni katika kutibu kizunguzungu. Mafuta ya Pepe yanatambulika kwa kutibu kizunguzungu na kile unachotakiwa kufanya ni kujichua shingoni na mashavuni kwa kutumia mafuta ya PePe na dalili za kizunguzungu zinatakiwa zianze kupotea mara moja. Fanya zoezi hili kwa wiki 2 hivi71. Hutibu KiunguliaFaida nyigine kubwa ya mafuta ya PEpe ni kuwa ni dawa ya asili dhidi ya kiungulia. Ingawa kuna tafiti chache zinazoweza kuthibitisha hili, bado historia inaonyesha mafuta ya PEpe yamekuwa yakitumika kutibu kiungulia kwa karne nyingi.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa72. Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbuKumekuwa na tafiti nyingi hivi karibuni ambazo zimeonyesha mafuta ya Pepe kuwa msaada mkubwa kwa kuzuia na kupunguza kuongezeka kwa dalili za ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer). Matokeo yalionyesha kwamba yakitumika kila siku kijiko kidogo kimoja hadi viwili vya chai huleta matokeo mazuri zaidi.73. Hutibu homa ya uti wa mgongoNguvu za mtishamba huu zimethibitika kuwa msaada mkubwa katika kutibu homa ya uti wa mgongo (meningitis). Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa mafuta ya pepe ni moja ya tiba asili nzuri zaidi kwa ajili ya homa ya uti wa mgongo inayoaminiwa hadi sasa. Kunywa kijiko kidogo kimoja hadi viwili vya mafuta haya kila siku kwa majuma kadhaa.74. Huongeza afya ya figoKuanzia kwenye ugonjwa wa figo hadi kwenye mawe ya kwenye figo, mafuta ya PEPe yamethibitika kuwa msaada mbadala kwa matatizo ya figo.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa75. Huimarisha afya ya mbegu za kiumeUkiacha uwezo wake katika kuongeza stamina na nguvu kwa wanaume na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, mafuta haya pia hutumika kutibu tatizo la afya dhaifu la mbegu za kiume na kuongeza wingi wake kwa ujumla (semen count). Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali, mbegu za kiume zinaonekana kuimarika na kuwa nyingi za kutosha baada ya kutumia dawa hii kwa miezi miwili kila siku.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku76. Huimarisha mifupaTafiti zimeonyesha kuwa mafuta ya PEpe yanaongeza ukuwaji wa seli za uboho wa kwenye mifupa kwa asilimia 150 yanapotumika. Hii ni kwa mjibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa kwa watu wengi mbalimbali. Kile kinashangaza zaidi ni kuwa mafuta haya yameonekana kuwa na uwezo wa kuzuia uongezekaji wa vivimbe mbalimbali walau kwa zaidi ya asilimia 50.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja hata miwili.77. Tiba asili ya chango kwa watotoUkiwa na mtoto anayesumbuliwa na chango au msokoto wa tumbo linaweza kuwa ni jambo linalokupa msongo wa mawazo maishani. Ingawa visababishi vya chango kwa watoto bado havijulikani bayana, kile ambacho kimethibitishwa ni kuwa mafuta ya habbat soda ni tiba asili kwa chango au msokoto wa tumbo kwa watoto.Ni mhimu kuanza na kiasi kidogo sana kama matone matatu hadi matano na uendelee kuongeza kiasi cha dawa kidogo kidogo kila siku.78. Hurekebisha matatizo katika tezi dumeAfya ya tezi dume ni ishu kwa wanaume wengi duniani kote na kupata dawa ya asili nzuri kwa ajili hiyo inaweza kuwa mtihani kwa wengi. Kwa bahati nzuri mafuta ya PEPe yamekuwa yakitumika kwa ajili ya kuimarisha afya ya tezi dume kwa karne nyingi sasa. Tafiti zinaonyesha kuwa ni dawa nzuri hata kwa saratani ya tezi dume.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa wiki 4 hadi 6.79. Huondoa udhaifu wa mwili kwa ujumla (lethargy)Wengi wetu tunapatwa na kupungukiwa na nguvu za mwili na wakati fulani nguvu zote za mwili kwa ujumla na nguvu za ubongo na za kiroho pia. Kwa ajili ya matatizo ya udhaifu wa mwili iwe kimwili, kiakili na hata kiroho hakuna dawa nyingine ya asili iwezayo kurekebisha hali hizo kama yawezavyo kufanya hivyo mafuta asili ya PEpe.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku80. Huondoa uchovu suguKutoka kwenye maelezo yaliyotangulia hapo juu, mafuta haya pia yamethibitika kuondoa uchovu sugu wa aina zote na kuupa nguvu mpya mwili. Matumizi yake ni kama kwenye namba 79 hapo juu.81. Huhamasisha uzalishwaji wa mkojoFaida nyingine kubwa ya mafuta ya PEpE ni uwezo wake wa kuhamasisha uzalishwaji wa mkojo. Matatizo mengi ya kibofu cha mkojo na tezi dume yamekuwa yakitibiwa kwa kutumia mafuta ya PEpe kwa zaidi ya miaka 2000 sasa na tafiti zimethibitisha hivi karibuni faida hizi za mafuta ya PePe katika majaribio ya kimaabara yakionyesha kuimarisha sana kwa afya ya tezi dume na kazi zake kwa ujumla.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.82. Huzuia madhara yatokanayo na shambulio la moyoKama tulivyoona pale mwanzo kabisa kuwa mafuta ya PEPe yamekuwa yakitumika miaka mingi kutibu matatizo mbalimbali ya moyo, vivyo hivyo yameonekana kuzuia madhara ya pili yatokanayo na shambulio la moyo (heart attack) na magonjwa mengine kwenye mfumo wa upumuwaji kwa ujumla.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.83. Husaidia kuongeza damu mwiliniWengi wetu tunakumbwa na tatizo la kupungukiwa damu (anemia) na hili linaweza kuiweka miili yetu katika hali ya hatari zaidi. Kwa mara nyingine tena mafatu ya Pepe yanaonek kuokoa tatizo hili baya la kiafya.Yamethibitika kutibu tatizo la upungufu wa damu moja kwa moja.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa84. Huondoa vimelea vya magonjwaMafuta ya PEpe ni kinga dhidi ya vimelea (parasites) vingi vya magonjwa na huvitafuta na kuviua vimelea hivi popote vitakapokuwa ndani ya mwili. Hufanya kazi hii kwa kuvilevya hivyo vimelea na kuupa urahisi mwili kuviangamiza.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa85. Husaidia kupunguza uzitoKwa sababu uzito na unene kupita kiasi huhusiana pia na matatizo mengine ya kutofanya kazi kwa kinga ya mwili, ukaidi wa insulin, kansa na matatizo mengi katika mfumo wa upumuwaji, ndipo mafuta ya Pepe yanapokuja kuwa mhimu kwa ajili ya kupunguza uzito na unene kupita kiasi.Mafuta ya PEpe yamethibitika na watafiti wengi kote duniani kuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotaka kupunguza uzito.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa wiki 4 hadi 6.Usisahau pia kufanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku dakika 60, epuka kukaa kwenye kiti masaa mengi na ubadili chakula unachokula kila mara hasa uepuke vyakula vya wanga na vile vyenye mafuta mengi na unywe maji ya kutosha kila siku.86. Huziua seli za kansa za aina nyingiHutibu na kuziua seli za karibu kansa za aina zote, kansa ya mdomoni, kansa ya ini, kansa ya kongosho nk. Tafiti zimeonyesha mafuta ya PEpe kuwa dawa nzuri dhidi ya kansa mbalimbali mwilini kwa kuzuia uongezekaji wa seli za kansa na kusambaratisha kansa zenyewe katika baadhi ya kesi.Hufanya kazi hii kwanza kwa kuiimarisha kinga yako ya mwili na kuziua seli zenyewe za kansa moja kwa moja.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa mwezi mmoja hadi miwili.87. Huongeza afya ya iniMafuta ya Pepe yanaimairisha afya ya ini kwa ujumla na kuimarisha kinga ya mwili. Ni dawa nzuri kutibu matatizo mengi ya ini hata kama familia yenu wote mna historia ya kuugua ugonjwa wa ini.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa88. Huondoa sumu mwiliniTatizo la mwili kuwa na sumu ni tatizo kubwa kwa watu wengi miaka ya karibuni na kupata mtishamba au dawa ya asili kwa ajili ya kuondoa sumu bado ni mtihani kwa watu wengi. Kwa bahati nzuri kwa upande wako umepata mafuta ya PEPE. Mafuta ya PePe yamethibitika kuondoa sumu kila sehemu ya mwili yanapotumika.Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa wiki 4 hadi 689. Huondoa hali ya kuchanganyikiwa (Schizophrenia)Kutokana na sifa yake ya kuondoa vivimbe na sumu mwilini mafuta ya PEpe yanaweza kutumika pia kutibu ishara na dalili za kuchanganyikiwa. Tafiti zimeonyesha mafuta ya PEpe yakitumiwa na watu wenye kuchanganyikiwa wanapata nafuu haraka ya tatizo hilo ukilinganisha na wale wasiotumia mafuta haya. Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku kwa majuma kadhaa.Hitimisho:Ni rahisi kuelewa kuwa faida nyingi ambazo mafuta ya Pepe inazo zinawashangaza bado watu wengi. Unaweza kudhani hayo hayawezekani kwa mtishamba wa asili kutoa tiba kwa magonjwa mengi namna hiyo! Kile ninachojuwa ni kuwa ukweli hujieleza wenyewe.Kiasi cha faida kinachopatikana katika mafuta haya ukilinganisha na bei yake ndicho kinachowafanya watu wengi wabaki na mshangao usioisha!Watu wengi wanashangaa ni kwanini makampuni mengi ya madawa yatumie mabilioni ya pesa kutengeneza dawa mbalimbali kwa magonjwa mengi ambayo yangeweza kutibika kwa kutumia mafuta ya PePe tu kama tulivyoona hapo juu.Ukiacha hayo, kupata hospitali na ukapata matibabu sahihi na kwa gharama nafuu bado ni changamoto katika nchi nyingi maskini na nyingi ya dawa zinakulazimu kuendelea kuzitumia kwa kipindi kirefu na pengine bila hata uhakika wa wewe kuja kupona.Bahati nzuri kwa wewe ambaye umebahatika kupata habari hizi za Pepe na umeweza kuona ni magonjwa mangapi unaweza kutumia kujikinga na kujitibu nayo.Na jambo zuri kuliko yote ni kuwa huhitaji kutoka hata jikoni kwako ili kupata nafuu ya ugonjwa wowote ukiwa na mafuta ya habbat soda karibu yako.Mtishamba huu wa ajabu utaendelea kubaki kwenye vitabu vizazi na vizazi vingi vijavyo kama moja ya tiba asili mhimu zaidi iliyowahi kujulikana na binadamu.

at 4:53 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top