Chombezo fupi: Kitamu Kinaliwa na Wengi Sehemu: MWISHO Ilipoishia jana... wangu kwani ilionesha ni kahaba mzoefu anayefanya biashara ya mwili. Niliamini kabisa hakuwa na bwana mmoja, kabla sijapiga kelele jamaa na kunieleza... SONGA NAYO... “Kaka tumekeleta umuone mjomba nina imani ukweli umeujue.” “Leo huyu mwanamke atanitambua.” “Akutambue kwa lipi, kwanza jione mtu mwenye bahati anachokitafuta kwa mwili wake anakula wote nina imani anakupa fedha nyingi.” “Ni kweli lakini si muaminifu.” “Kaka hukumkuta bikira, jilie na kipofu ukimshika mkono utakosa mwana na maji ya moto. Siku hizi kizuri hakiliwi na mmoja na pia harua haina makombo.” Nilitulia kwa muda nikiwaza jinsi Anna alivyoyabadili maisha yangu kwa muda mfupi na mipango ya kunifanya tajiri, niliamini kabisa kitamu hakiliwi na mmoja. Niliporudi baa hata pombe ilinishinda, baada ya muda Anna alirudi na kuja kunibusu huku akisema: :Samahani mpenzi kwa kuchelewa,” Maneno yale mbele za watu niliona kama kuvuliwa nguo. Nilinyanyuka na kuongozana naye kabla sijafika mbali jamaa zangu aliniita na kunieleza: “Kaka kitu kinalipa nina imani huo mkoba una milioni mia tatu vumilia utakula vingi jifanye hujui lolote sawa kaka.” “Sawa,” nilijibu kwa sauti ya unyoge. Kwa kweli siku ile niloipoteza uchangamfu kabisa kitu alichokiona Anna na kuhoji hali yangu. Nilim danganya naumwa hata mapenzi kwa siku ile hatkufanya. Ajabu siku ile ndiyo aliyoniletea maneno matamu kwa kunieleza vifaa vyote vya duka langu vimefika na kazi itaanza mara moja pia alikuwa ameninunulia nyumba ya kuishi ambayo ilikuwa kwenye matengenezo ya mwisho. Nilijikuta nikijiona mjinga kama kama nitaendelea kukosa raha, niliamua kuigawa dozi ya nguvu iliyomfanya azidi kumwaga ahadi. Baada ya muda vitu vyote vilikwenda kama alivyoniahidi. Pia tulifunga ndoa ambayo ilikuwa tofauti na nilivyofikilia kuwa cha wote. Kipigo cha pweza kilimfanya aachane na wanaume wote kwani fedha alikuwa nayo nyingi. Sasa hivi tuna watoto mapacha waliofanana na mimi kuongeza ukweli sasa kitamu najilia peke yangu. _MWISHO_ _*Usikose utamu mpyaa*_ *Simuliz mpya inaitwa SAlima*

at 9:08 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top