'CHOMBEZO YA MAPENZI' 'INAITWA' 'NANII TAMU!?.' EPISODE;03 Ilipoishia iliishia pale.... Na mimi ilinibidi nisimamishe pikipiki baada ya kuisimamisha nilipanda pikipiki,mpaka ilinifikisha nyumbani baada ya kunifikisha nyumbanj niliweka begi langu chini baada ya kuweka nilienda kuoga,baada ya kumaliza kuoga niliweza kumkuta mdogo wangu Filipo akiwa na kibarua fulani huku akicheka!!??.. Sasa endelea nayo.... Nilimfuata mdogo wangu huku nikiwa nimechukia baada ya kuchukua barua yangu iliyokuwa kwenye begi langu, 'Nani amekwambia unikague'?. Nilimuuliza Filipo huku nikiwa nimechukia sana. 'Samahani nilikuwa na....!?'. Kabla ya kumaliza kuongea nilikuwa nimeshampiga kofi kali sana, Filipo alipepesuka mpaka chini na kuanza kulaani kwa kitendo nilichomfanyia. 'Ngoja Mama na Baba waje lazima nikushitaki kuwa unapenda wasichana wakati wewe unajua wazi kuwa unatakiwa usomee upadri!?. Filipo aliongea huku akiwa ameshika shavu lake. Na kweli wazazi wangu walikuwa wananipendea kuwa Padri kwamaana,mama angu na baba angu walikuwa wanjilisti wa kanisa la romani hivyo walidiriki kuniambia wazi kuwa ni lazima kuwa nisomee upadri nitake nisitake. Niliwaogomea lakini mzazi ni mzazi hususani mama maana mama alinishawishi mpaka nikafikia hatua ya kukubari kwa kuwa padri. Na pia wazazi wangu waliahidi kuwa nikimaliza kidato cha nne,kidato cha tano wananipeleka seminary ili niweze kusomea huko na kuwa padri. 'Sikia basi naomba unisamehe usiwambie basi!?. Nilimwomba radhi mdogo wangu na hatimae aliweza kuelewa na kunisamehe kuwa hatawaambia wazazi wangu. Ilinibidi niichukue hiyo barua na kuisoma 'UNAJUA DAVID JANA NILIKUOTA'. Kijibarua kilihishia hapo na hakikuendelea na neno lolote lile. Ilinibidi nianze kujiuliza hivi kumbe na mabinti uwa wanahota kama sisi. Nikiwa bado nawaza hivyo mara wazazi wangu waliingia ndani nilificha kijibarua hicho, niliwakaribisha wazazi wangu na wao walinipongeza kufanya mtihani. Baada ya kusalimiana ilinibidi nichukue peipa ambazo nilikuwa nimepewa na Suzi, nilizisoma zote na kisha kesho yake nilienda shule kama kawaida ili kufanya mtihani. Niliweza kukuta maswali yaleyale yaliyokuwa kwenye peipa ambazo nilikuwa nimepewa na Suzi. Nilifanya mtihani kwa kujiamini maana majibu nilikuwa nayo mpaka mtihani wa mwisho baada ya suzi kunifuata na kutaka niende nae kwao. Ilinibidi nimuogopee maana wazazi wake walikuwa wakali sana kwa jinsi nilivyokuwa nasikia kwa wanafunzi wenzangu na pia Baba ake na Suzi alikuwa ni msitaafu wa askari wa jeshi la polisi. Baada ya kumuogopea Suzi hakudhubuti hata kuniuliza lolote lile alinywea na kuondoka. 'Suzi, suziiiii'. Nilimwita suzi kwa ukali kidogo lakini hakuonekana kuitika bali aligeuka tu na kunitazama tu. 'Suzi njoo uchukue namba angu harafu jumapili baada ya kutoka kanisani tukutane white lodge'. Nilimwambia huku nikiwa namsogelea na pia nikimtazama kimahaba zaidi. Kitendo cha kusema hivyo Suzi alitabasamu na kutega mkono wake, hivyo nilitoa peni yangu na kuanza kuandika kwenye kiganja chake. Nikiwa bado naandika mara Suzi alinivutia kwake na kunitazama kana kwamba anataka kulia kwani alikua akifumba na kufumbua huku akionekana wazj kuwa ana uwezo wa kutazama vizuri. 'Nina zawadi yako David kabla ya kusafiri'!?. Suzi aliongea huku akiwa anabetua midomo yake na huku akiongea maneno ambayo yalikuwa hayasikiki vizuri. Nilianza kutekenya kiganja chake huku nikiwa namtazama usoni alionekana wazi kuwa amedata sana. 'Jamani Davi, mbona huko hivyo unataka kuniumiza hivyo yaani unanifanya hivi barabarani je nikisema unitimizie utaweza au?'. Suzi aliongea huku macho yake yakiwa yanaoneka kuishiwa nguvu. Nilimwachia kiganja chake baada ya kumwachia nilianza kukimbia na kumuacha Suzi akiwa ananitazama nilienda moja kwa moja mpaka barabarani na kupanda pikipiki ambayo ilinipeleka mpaka nyumbani. Baada ya kufika wazazi wangu walikuwa wameniwekea sherehe ndogo ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. 'Mwanangu nazani unakumbuka ahadi yetu kuwa ukimaliza kidato cha nne tunakupeleka wapi'?. Ilikuwa ni sauti ya Baba. 'Ndio Baba najua kwani kuna tatizo gani?'. Ilinibidi na mimi nimurudishie swali Baba la kumjaribu. 'Hapana mwanangu nakupa taarifa maana kwasasa ndo unaelekea ujana kamili hivyo naomba ujiheshimu na kumbuka ahadi yetu mwanangu'?. Baba aliongea huku akiwa amenishika kichwani na huku mdogo wangu Filipo akiwa ananitazama kanakwamba ananiibia. 'Ndio Baba amna shida tuko pamoja'!?. Ilinibidi nimuogopee Baba maana nilimjua sana Baba alivyomkorofi sana. Nilimtazama mama, mama alionekana wazi kufurahishwa sana na majibu yangu ya kukubari na pia alinipa sifa kemkem sana. Na hatimae siku ya jumapili nilienda kusali baada ya kutoka kusali ilinibidi kutazama simu yangu kama nitaweza kuona sms yoyote kutoka kwa Suzi na kweli niliweza kukuta ujumbe uliokuwa umeandikwa 'Tukutane saa tisa kamili'. Baada ya kuona ujumbe huo sikujibu bali nilisubili mpaka saa tisa na kwenda mpaka kwenye Guest iliyoitwa White lodge baada ya kufika niliweza kumkuta suzi akiwa amenisubilia. Ilinibidi nilipie chumba kwa muda baada ya kulipia tuliangia katika chumba hicho. Kitendo cha kufunga mlango tu, Suzi alinirukia na kuanza kunipiga madenda ya maana na mimi sikutaka kuwa kanyaboya nilianza kumpagawisha baada ya kuanza kutomasa kwenye chuchu zake, nikiwa nampapasa mara mlango ulianza kugongwa kwa kasi sana. JE; Ni nani aliyekuwa akigonga kwa kasi sana na pia nini hatima yangu na Suzi!!??.. Huu bado ni mwanzo wa chombezo yetu bado mambo hayajawa sawia... Hivyi usikose kipande hata kimoja cha chombezk yetu ya NANII TAMU!?.

at 4:39 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top