UTAMU WA KAKA FUNDI 7 Taratibu nikafungua mlango wangu kwa tahadhari sana isije kuwa kuna mpangaji anaweza kusoma mchezo ule au uwenda yupo chooni kwasababu vyoo vyetu vipo nje na ukiwa maeneo yale unaweza kujua kila mtu anayeingia na kutoka chumbani kwake. Mmh ..ile na mtoa Mama tu nilishangaa sura yangu iligongana uso kwa uso. SEHEMU YA SABA Na sura ya Mwaju ni Mwaju kabisa, niliona aibu sana. Nikaona sasa dhahama ya kuhama nyumba ndio ilikuwa inakaribia. Maana kujua habari zangu Mwaju habari zangu sindio zitasambaa ndani mule. Na tatizo si kusamba ingekuwa mwanzo wa Baba. Mwenye nyumba kujua mwizi wake wa mali yake. Sura ya Mwaju licha ya mimi kugongana nae uso kwa uso hata kwa Mama mwenye nyumba ilikuwa vile Mwaju alifahamu vyema kuwa yule ni Mama mwenye nyumba mtazamo wake ulijenga maswali mia kidogo. Na ilikuwa inampa uwakika kwa kile alichokuwa anakiona wakati nampa mambo Mama mwenye nyumba ni kweli kabisa. Miguno ile na namna nilivyokuwa nampa shughuli Mama huyo ilimfanya Mwaju amwangalie kwa jicho kali. Mama alitoa mfunzo mkali huku akishia kwenye chake chumba akimwacha Mwaju asijue cha kufanya kwa wakati ule. Lilikuwa likimshuka kweli hakuamini kama Mama anaweza kufanya yale heshima aliyojiengea ndani mule uaminifu wake kwa mumewe ama kweli hakuna kitu kisicholiwa hata kiwe haramu watu watakula tu, nadhani hilo alitambua. Sikutaka kushangashanga japo ilikuwa naona aibu na nisijue cha kufanya niliamua kufunga mlango wangu huku nikiwa sijui cha kufanya endapo Mwaju atasambaza habari zile. Na kama wapangaji wengine wakijua si balaha kwangu ama kweli nyumba nitayona chungu siku sijingi nilijisemea wakati narudi kwenye kitanda changu. Japo kuwa nilikuwa nimechoka kutokana na ule mtanange baina yangu na Mama mwenye nyumba ila nilishindwa kabisa kupata usingizi ilinijipumzishe akili yangu yote lilikuwa likifikiria lile tukio lilitokea muda mfupi. Ama kweli dunia haina siri watu walisema hivyo hawakukosea hata kidogo na vipi wanakosea? Wakati leo kila kitu kipo wazi kama ilikuwa yetu sasa na Mwaju anahusika na kama Mwaju anahusika sijui anawaza nini kichwani mwake hilo nalo tatizo. Nilifikiria sana sikupata hata jibu sikijua nianzie wapi niishie wapi nilitamani kumpa lawama Mama lakini na mpaje lawama wakati Mama mwenyewe ameshaenda kwenye chake chumba. Hata hivyo yeye hakuwa na hofu zaidi ya kutoa mfunyo tu sasa sikuelewa Mwaju alipokea aje nakama kaupokea vibaya si mwanzo wakuuza gazeti. Sikupata jibu kwenye changu kitandaa muda ulishaenda sana karibia kumi na nusu. Usingizi haukuja kabisa, utakujaje? mawazo kibao yanagonga kwenye kichwa changu. Habari za sumu ya wake za watu ilinitawala na vipi kuhusu chumba changu sitakimbia nyumba nakuacha vitu vyangu nalo lilikuwa swali lingine lilokosa jibu la wazi. Niliona wacha tu niende kuoga niwahi kwenye kazi zangu, huku liwalo na liwe liniongoza. Nilichukua changu kidoo cha maji moja kwa moja chooni nilioga vizuri kuhakisha uchafu wote unatoka na kiarufu cha Mama mwenye nyumba kinatoka mwilini kwangu. Nilitumia kama dakika kumi mpaka nilipojilidhisha kuwa nitakua poa nikatoka chooni mule. Wakati natoka sura yangu ilionana na Mwaju tena. Nbilijiuliza mwenyewe leo kuna nini na huyu mwanamke nikawaza haraka. Nikijua hatakuwa alisikia mlango wangu kama natoka nje wakati naenda kuoga. “Vipi dada” kiaibu aibu nilijikaza nikamsemesha. “Usijali kaka Fundi, naona kama haupo sawa?” “Hapana Mwaju ni..ko..sawa” nilijibu kwa kitemeshi Mwaju aligundua hali ile. “Najua haupo sawa ila usinifikirie hivyo mimi sio kama wengine nimeona natamezea… Kaka Fundi…” “Ok Mwaju nitashukuru kama itakuwa kweli” Nilimjibu kabla ya kunyamaza na kuendelea kuongea tena.”Ndio kiasi fulani nilikuwa naogopa siunajua wake za watu Mwaju?” “Najua kaka ila we huna tatizo shida ni Mama mwenyewe anajifanya mstarabu ila anapenda dogo dogo najaua habari zake sikunyingi” “Nimekuelewa dada yangu acha ningie ndani kwangu siunajua mida hii watu wesije wakanikuta kwenye hali hii” nilimjibu huku nikitaka kuingia ndani lakini sauti yake ilinikatika safari ya kuingia chumbani kwangu. “Sawa kaka ila samahani naomba namba yako kama siku nyingine wageni wako wamekuja kukitafuta nikustue. Siunajua wageni wengine hawanaga simu” Mwaju aliongea hayo huku akijichekelesha. Nikaona isiwe tabu nikampatia na kuingia zangu ndani. Uwi nilishusha pumzi kidogo nilitulia nikijuau Mwaju anaweza akaminya na kama akiminya itakuwa vizuri kwa hali ile iliyonikuta ni noma. Noma kweli mwanaume ila kitendo cha kuchukua namba nilianza kuhisi kitu tu ila nikajisimea. “Hapa huo ni mwenzi wa mwisho acha niondoke usumbufu huu unaweza siku nikagonganisha magari ikawa balaha mtaani” Nilivaa nguo zangu mapema sana kuelekea kwenye kazi jana tu sikutokea si ndio kuharibu kazi kwa sababu ya mapenzi nitakula wapi mimi mtoto wa kiume pesa za kuongwa tu zinaweza kunitokea puuni kabisa mfano mdogo leo tu kwa namna ilivyokuwa je angekuwa Mama Asha ndio ameona mchongo ule ingekuwaje na anavyosifika kwa umbea wake kila mpangaji anamjua sindio kukimbia nyumba huku. Nilijisemea kabla ya kuanza,kukata mtaa na kigiza kile mbaka kwenye stendi ya daladala nikakwea gari muda mchache tu kama si mwingi nilifika kazini nilikutana na watu wachache tu niliwahi sana haki kukuta watu namna ile. Wakati nafika tu simu yangu iliita kuangalia namba ngeni nilipokea kusikiliza ninani, Sauti ya upande wapili ilitosha kujua ni Mwaju. “Vipi Mwaju” “Kaka fundi hiyo ni namba yangu” “Nilimjibu poa nitaisave now nishaingia job baadae harafu nikakata simu” Haikuchukua muda maneja aliingia kuanza kutupangia taratibu za kazi kama kawaida yake Kila moja alipangiwa kazi za kufanya hivyo kila mtu alifanya kazi yake. Nilifanya kazi sana mpaka mida ya kurudi nyumbani ilifika nilikuwa nimechoka mbaya ila mwanaume kazi nilijikaza . Na nilishakubali kila mbuzi atakula. Ulefu wakamba yake hivyo nilikuwa si rembi nikipewa kazi kitendo ambacho kilikuwa kimenijengea jina sana kwa meneja mwajili hatakama sijafika huwa anashida hata kidogo Nilitoka majob nikiwa nimechafuka sana kwa siku hiyo nilikuwa na kazi nyingi tofauti na sikunyingine Hivyo kuchafuka nikawaida siunajua kazi zetu hizi ngumu kitu kama hicho ni kawaida Nilitumia muda mchache tu kufika nyumbani baada ya kutoka kazini nilifikia kuoga kwanza Nilioga alafu nikarudi zangu ndani kubadili kwa wakati huo simu yangu iliita .Nilipotezea kidogo ila nilivyoona makele yana zidi niliamua kuipoke hakuwa mwingine ni Sophi Hello niambie sophi Safi tu usharudi nyumbani Ndio nimesharudi nilimjibu Poa. Mimi nipo karibu na kitaa chenu na kuja Mmh nikaona hii hatari Sophi kuja wakati jana tu Mama mwenye nyumba alisha nipa onyo nisilete videmu vingine ndani kwangu Niliguna kidogo alafu nikamwambia Sophi kwa nini tusitafute gesti hapa waandishi wa habari wengi baby siunajua kuwa wewe ni mke wa mtu Najua ila wacha waseme kwanini wanajua nakaa wapi hao Sophi usifanye hivyo nilimsihi Sophi ila nikaona bado anakazania kuja nikwamwambia sawa ila ukiribia unistue lengo nikutaka Mama mwenye nyumba kama yupo nje nijue nafanyanye iliasimuone Sophi hakuona shida akaniitikia poa nikifika nitakucheki Nilivaa fasta fasta lengo nikuangalia nje kama Mama mwenye nyumba yupo au hayupo sikutaka kupoteza muda hata mafuta niliona jau kupaka .chwa nikafungua mlango huku simu yangu ikiita tena nilishajua hatakuwa amefika sikuamini ile chwa macho yangu yaligongana na macho ya Mama mwenye nyumba huku akichia tabasamu nzito. Je nini kitaendelea? Usikose toleo lijalo..

at 1:28 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top