Home → simulizi
→ UTAMU WA KAKA FUNDI 5
Dakika kadha nilifika kwa bonge moja ya sehemu maarufu pale kitaani kwa kuuza chipsi njaa ilivyokuwa inauma nikaagiza chipsi yai sahani mbili nikalala haraka haraka.
Nikasepa kurudi nyumbani ilinianze kudili na sms moja baada ya nyingine, mdogo mdogo nyumbani. Nikiwa njiani nilihisi kama mtu ananikimbilia nyuma yangu ila sikujali sana. Ghafla nikasikia naiitwa sauti ya kike kabisa inapenya masikioni mwangu yani balaa niliona sasa.
SEHEMU YA TANO
Sauti ambayo ilinifanya nipunguze mwendo kidogo hapo nilishaijua vizuri. alikuwa Aziza kipotabo mtoto bomba, anaumbo fulani hivi lenye kuita akikuangalia kisura chake hivi lazima ukubali mwanaume haswa. Nilijuana nae wiki mbili zilizopita tu aliponikuta kwa bonge,
Bonge huyu muuza chipsi maarufu kitaani hapa japo alikuwa vizuri ila sikuwa na shobo nae ila yeye alikuwa akiniona shobo kibao mara aniombe nininulie soda. Nikiwaga nazo siku moja moja huwa na mtoa muda ,mwingine na mwambia sina.
Hivyo sasa kelele zote nikajua hapa leo atakuwa kaja kunipiga mzinga. Kuzoeana na vidada vya mtaani napo si vizuri. Nilimsubiri hatimaye alinifika karibu yangu.
“Vipi Aziza mbona hivyo mtu wangu”
“Yaani Fundi ulikuwa unisikii au vipi?”
“Ahaa …Aziza nilikuwa na wahi nyumbani, ninashughuli nyingi, hivyo mawazo yangu yalikuwa mbali”.
“Sawa kaka Fundi ila nilikumis tu nikaona isiwe tabu nikusalimie, juzi na jana sijakuona kabisa kwa Bonge. Nikajua labda unaumwa au umepataa jiko nini kaka?”
“Hamna.. Aziza mambo tu wewe unadhani, kila siku utakula chipsi tu. Si utakosa nguvu wakati mtoto wa kiume lazima uwe na nguvu si unajua kazi zetu” Aziza aliniangalia kwa muda kidogo huku nikiendelea kuongea.
“Sawa kaka ila mimi nataka nipafahamu kwako watu tu nakaa mtaa moja atujuani sio vizuri kaka”
“Usijal Aziza utapajua tu kwangu siku moja” Nilimjibu huku tukiwa bado tupo njiani mule Nilivyoona ananing'ang'ania, ilinibidi ni muelekeze. Nikaona haitoshi nikamuachia namba yangu, nikaachana nae Aziza huku nikiona kama amefurahi. Hata sikujua nini shida yake nilijisemea tu moyoni mwangu “visichana vingi shida tu zimewajaa”
Sekunde kadha nilishafika chumbani kwangu nikatulia kwenye sopha langu kucheki text zilizoingia kwenye simu yangu wakati nilipoizima kukwepa kelo za Sophi.
Nilikutana text nyingi za kazi pamoja za Sophi,nikaona isiwe tabu wacha nimpigie.
Nikabonyeza kitufe cha kupigia simu nikisikilizia upande wa pili, ilinijue anajipya gani japo nilishajua shida yake. Simu yake iliita mara kadha baada ya muda mfupi Sophi alipokea
Fundi nilisikia vizuri sauti ya Sophi.
“Yah.. niambie Sophi”
“Ulikuwa wapi?, nimekuja hadi nyumbani kwako alafu simu ulizima ndio nini?” nilikumbana na maswali mfululizo. Haraka nilijitetea.
“Hapana Sophi simu yangu ilikata chaji. Ila jana hatukubaliana kama utakuja”
“Mimi si nilikwambia ok achana na hayo.. baby kuna mzigo nimekuachia kwa mdada wa humo humo nyumbani kwenu”
“Sawa Sophi ila mimi ndio nimerudi sasa nadhani ataniletea tu”
“Poa Fundi ila mimi kesho mume wangu ana safari ya kikazi nitakuja huko huko nimezimisi sana raha zako”
“Usijali” nilimjibu Sophi, niliona kukataa itakuwa sawa na kumuuzi mchinja mbwa ilinibidi nikubali yote maana nilishakubali liwalo na liwe kwa huyo mke wa mtu. Kazimika mwenyewe kwa mziki wa muhuni lazima aisome namba. Dakika kadha nilimaliza kuongea nae nikashughulikia text zingine nilizoona muhimu alafu nikatulia.
Nika fungulia tv yangu nakuanza kucheki mambo ya dunia muda ulishaaenda na kijua nacho ndio kilikuwa kinamalizikia kuzama.
Nilitazama tv nikitegemea Mwaju atakuja kuniletea mzigo wangu nilioletewa na Sophi ila muda ulizidi kwenda sikumuona. Nikajua labda itakuwa katoka maana Mwaju anakaa peke yake kama mimi yeye ajaolewa tu mtu wa mishe mishe.
Niliendelea kuangalia tv hatimaye taarifa ya habari nayo ikaisha muda nao ulikuwa unakimbia sana vile mpaka saa nne niliona kushaanza kuwa kimya mule ndani tofauti na kawaida ni kawa tu najiuliza sijui yupo wapi au kaenda kwa bwana yake nini? Hamu yakutaka kufahamu mzigo nililetewa na Sophi ilinitwala.
Ila nikaona hamna shida kama wangu wangu tu haina tatizo nikaamua nijipumzishe kidogo. ila nilisindika tu mlango wangu kwa muda ule nilijua nitatoka tena nje mida fulani nikaoge maana joto la Dar nalo halina adabu hata kidogo.
Nikajikuta napitiwa na usingizi, tatizo usingizi haunaga heshima hata kidogo nilishapanga nitoke baadae nje nioge nipunguze joto. Wakati ule mwili ulikuwa ukishemka kama upo jikoni hivi nilijua nikioga mapema nitakuwa sawa nacheza tu hivyo nilisubiri muda uende kidogo.
Kati kati ya usingizi nilianza kuhisi kama kuna kitu kina nipapasa mwili mwangu juu chini juu chini. Taratibu nilijikuta napoteza usingizi kuangalia hivi ni Mama mwenye nyumba. “Hey baby vipi?’ Nilianza kumuuliza, kwahali niliyomkuta nayo Mama yule ilikuwa haitaji jibu kabisa kufahamu kilichokuwa kinaendelea. “Mama” niliita… “Ahaaa! mbona hivyo umenitisha kweli mwenzako nilikuwa mbali, kwanza saa ngapi?. Ilinibidi nimulize Mama kwa hali ya kivivu vivu si unajua usingizi nao haunaga adabu hata kidogo, unaweza kukuzalilisha kabisa kama unajambo lako la maana haufai hata kidogo unaweza ukahalibu kazi kabisa.
Mama alinijibu itakuwa saa saba nilishangaa kumbe muda umeenda kiasi kile nilitegemea nipumzike kidogo ilinioge alafu ndio nilale nikwamwambia Mama wacha nioge kwanza. Lengo kubwa nikuhakisha napanga kikosi cha maangamizi kwa usiku ule ilinizidi kumpoteza mpinzani wangu kwa wakati ule nilishaijua udhaifu wa Mama yule. Hivyo ni kazi jepesi tu kwangu haikutaji kufikiria sana ningie na formation gani.
Kwasababu ule mchezo wangu wakujaza viungo wengi wa pembeni ndio nilikuwa nikiutumia kumpoteza Mama mwenye nyumba. Hakika lazima tu atamani kulala na mimi wiki nzima ambazo mumewe yuko safarini. Na hapa Mama alishasahau pesa yake ya umeme aliyokuwa akinidai utamu wote ule hakutamani ukate hata mara moja.
Basi niliamua kwanza niende nikaoge Mama alinikubalia kutokana tv yangu ilikuwa sijaizima chumba changu kilikuwa kinamwanga tosha tu kuweza kuonana vizuri kati yangu na Mama mwenye nyumba. Namna alivyokuja ni noma kufuri lake lilikuwa likiongeza nakshi za uwanja kabla hata ya mpambano kuanza nilikuwa nikusubiriwa mimi tu niingize timu uwanjani.
Nilitoka ndani na kidoo changu cha maji kuelekea chooni sekunde kadhaa nilioga kwakipindi hicho nyumba ilikuwa kimya sana Sikutumia dakika nyingi nilimaliza kuoga mwanaume nipo na kitaulo changu fasta kurudi ndani nikamalize kazi sasa wakati na rudi huku nipo na kitaulo changu ambacho kilikuwa kimetunisha sehemu ya kati ya mwili wangu kwa mbele
Mara nilionana na Mwaju uso kwa uso, Mwaju alizubaa kidogo akinishaanga sikuelewa anashangaa nini sikutaka kulemba nilichojua nikuulizia mzigo wangu.
“Mwaju vipi mzigo wangu?”
“Ahaa!.. kaka Fundi mbona upo tu subiri nikakuletee”.
“Ok nakusubiri fanya haraka”
Ilikuwa ndio kipindi ambacho nikihisi tu atakuwa anarudi kutoka kwenye mishe zake kwasababu tu alivyovalia ni kielelezo tosha kuwa alikuwa matembezini. Sekunde kadhaa baada ya kufungua mlango wake Mwaju alitoka na bahasha kunikabizi.
“Ok Mwaju thank” nilimjibu, kabla ya kumuliza kitu “ila hakuna ujumbe mwingine?”
“Hakuna kaka Fundi”
“Sawa Mwaju usiku mwema” nilimwambia huku nikiingia ndani kwangu.
Nilimwacha Mwaju akiwa kama amepigwa butwa hivi mimi hata sikujali nilichujua tu kuwa muda wa mechi karibia inaanza nahitajika niwahi tu isije gemu ikaharishwa bure.
Je nini kitaendelea? Usikose sehemu inayofata....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: