Home → simulizi
→ KURUDI KWA MOZA: 15 Mara Ana akaingia tena chumbani kwa Sara na kusema, “Nimekusikia yote, subiri nikuonyeshe” Kabla hajaanza kufanya chochote chumba cha Sara kikaanza kutikisika, wote walichanganyikiwa cha kushangaza hata ile hali ilimchanganya pia na Ana hadi akajikuta akipiga kelele ambazo zilimshtua hadi mama yao chumbani. Kelele za Ana zilifanya watu wote mule chumbani wazimie. Rose aliingia chumbani na chumba kikaacha kutikisika, alikuwa akishangaa sana na kumuuliza Ana aliyekuwa amesimama na hasira, “Kuna nini Ana?” Ana alimpushi mama yake na kutoka nje, kwakweli Rose alikuwa akishangaa tu na kwenda kuwagusa wanae ambao walikuwa wamezimia wote. Kiukweli hakuelewa kabisa kwani kabla aliwaacha wakiwa wanaongea na Sara ambaye kapona kimuujiza halafu akakumbuka kuwa Ana alibaki nje wakati amemwambia kuwa waondoke. Ikabidi atoke mule chumbani kwakina Sara na kwenda tena kumfata Ana chumbani kwake, aliingia na kuongea nae kwa utaratibu kabisa, “Mwanangu Ana niambie tatizo ni nini?” “Mama niache, tafadhali niache” “Sawa mwanangu, ila mimi ni mama yako mwanangu jamani. Usiponiambia na mimi utamwambia nani mwingine! Mimi na wewe ndio wa kusaidiana mwanangu. Kumbuka nakupenda sana mwanangu, ndiomana wote wale nimeachana nao ingawa wamezimia ila nimekuja kuzungumza na wewe” “Mama, kuna mtu ananichezea akili halafu Sara anajua ukweli wote” “Mwanangu, kama Sara anaujua ukweli najua cha kumfanya aseme ukweli kwetu hata usijali” “Kwahiyo mama utanisaidia!” “Ndio nitakusaidia mwanangu” “Sasa hivi hakuna siri mama, yani watoto wako wanaelewa fika kuwa mimi ni nani na nina uwezo gani. Sasa nadhani wametafuta vya kuwasaidia ndiomana imekuwa hivi, hebu fikiria mama kabla sijafanya chochote eti chumba cha cha Sara kikaanza kutikisika kwakweli nimechukia sana” “Kheee makubwa, sasa mbona wamezimia?” “Sauti yangu ya kelele imewafanya wazimie, ndiomana nakwambia saivi washanijua kuwa mimi ni mtu wa aina gani. Tafadhali mama fanya kitu nijue ukweli maana nasikia aliyemfanya Sara apone ndiye aliyemuokoa Yule mwalimu aliyeanguka chooni” “Kheee mwanangu, atakuwa jinni huyo sidhani kama ni mtu wa kawaida” “Hata kama ni jinni sidhani kama anaweza kunishinda kiasi hiki halafu kwanini nisipate hata kengele ya hatari kuwa kuna kitu kinatendeka nyuma yangu!” Basi Ana na mama yake wakajadili sana siku hiyo, na mama yake akamwambia atakachokifanya ili Sara aseme ukweli. Muda kidogo Patrick nae alirudi ila aliamliwa akalale siku hiyo bila hata ya kula chochote kile humo ndani. Kulipokucha Patrick alitoka na kuruhusiwa kuondoka ila watoto wa rose walikuwa bado hawajazinduka, na baada ya Patrick kuondoka Ana nae aliondoka na kwenda shuleni kisha huku nyuma Rose aliingia chumbani kwa Sara na kuanza kuwaburuza wanae wale mapacha mmoja mmoja, hadi wote wawili akawaingiza chumbani kwako kisha akawaweka kitandani na kuwafunika mashuka halafu akaenda chumbani kwa Sara na kumuweka vizuri Sara kitandani kisha akamfunika na shuka. Baada ya muda wale mapacha walizinduka ila kila mmoja hakukumbuka kitu chochote kilichokuwa kimetokea ila walijikuta wamechoka sana na kuulizana kwa mshangao, “Mbona tumechelewa sana kuamka!” “Hata sielewi, sijui kwanini” Basi ikabidi wajiandae haraka haraka na kuondoka, sebleni walimkuta mama yao na kumuaga. “Sasa nataka niwaagize” “Wapi tena mama?” “Leo msafiri, muende kule shambani Morogoro” Mmoja akadakia, “Mama, kuna nini tena?” “Sitaki maswali ila nataka muende kule shambani kwangu na mrudi kesho. Nadhani tunaelewana” Akawapa na pesa kidogo ya kuwasaidia kwenye safari hiyo, waliondoka ila walijiuliza mambo mengi sana kuwa mama yao safari hii ana mpango gani maana mara ya mwisho aliwatuma Morogoro kumbe kuna kifo cha Moza, ila kwasababu hawakuwa na kumbukumbu yoyote ya kilichotokea usiku wakapuuzia na kuondoka zao. Muda kidogo Sara nae aliamka, tena akaoga na kujiandaa kuondoka. Alipotoka sebleni akamkuta mama yao amekaa na akamuuliza swali, “Unaenda wapi?” “Naenda kwenye shughuli zangu mama” “Nani amekuruhusu?” “Mama jamani si nimepona! Je kutoka siruhusiwi?” “Njoo ukae kwanza hapa nikuambie” Sara alienda kukaa karibu na mama yake , kisha mama yake akamuuliza swali, “Wewe umejizaa au nimekuzaa?” “Umenizaa mama, ila kwanini umeniuliza hivyo?” “Sasa niambie ukweli, ni kitu gani kimerudisha kuongea kwako na kuona kwako” “Jamani mama inamaana haujapenda nilivyopona?” “Wewe niambie tu umeponaje?” “Nilikuwa nimelala hapa sebleni, mara nikasikia sauti ikisema inuka Sara umepona. Nikafungua macho yangu nikaona halafu nikajaribu kuongea napo nikaweza. Basi nikafurahi sana nimeweza kupona mama” “Sara usinifiche, mimi ni mama yako niambie ukweli” “Huo ndio ukweli mama wala hakuna ukweli mwingine zaidi ya huo” “Sara, sitaki kutumia ukali mwanangu. Niambie ukweli” “Huo ndio ukweli mama” “Nadhani unataka kuona nitakufanya nini” Rose akainuka na kuelekea chumbani, kisha Sara nae akainuka na kutaka kutoka nje ila akakuta mlango umefungwa kila alipojaribu kuufungua ilikuwa ni vigumu kuufungua ikabidi akae chini amsubirie tu mamake arudi. Bado Neema alikuwa akishangaa sana jinsi Salome alivyobadilika kwani mwanae hakuwa hivyo kabla, vitu vingi sana Salome alikuwa anavifanya vya tofauti. Muda huu alikuwa nae sebleni wakiangalia luninga, mara gafla Salome akashika kichwa chake kwa nguvu na kumfanya Neema amuulize kwa mshangao huku ameinuka na kumshikilia, “Vipi Salome mwanangu!” Ila Salome hakujibu zaidi aliinuka na kukimbilia chumbani halafu akafunga mlango. Kwakweli Neema alishindwa kuelewa kabisa kuwa imekuwaje lakini bado hakupata jibu kabisa, akawa tu anamgongea mlango, “Jamani mwanangu Salome fungua, una matatizo gani mwanangu!” Hakujibiwa wala mlango haukufunguliwa na kumfanya azidi kuchanganyikiwa lakini akaamua kwenda kukaa akisikilizia tu kipi kitajili baada ya hayo. Baada kama ya lisaa limoja Salome alitoka ndani, na alimkuta mama yake akilia. Salome alimfata mama yake na kuanza kumbembeleza, “Usilie mama, mimi ni mzima” “Salome mwanangu, ulinifungia mlango lazima nihisi kuna kibaya kimekupata” “Hakuna kibaya chochote mama” “Sasa kwanini uliondoka gafla ukishika kichwa na kwenda kujifungia ndani?” “Kichwa kiliniuma mama, sasa niliingia ndani na kunywa dawa na kupumzika sikutaka kuacha mlango wazi kwamaana niliona ungesumbuka” “Jamani Salome mwanangu mbona siku hizi umebadilika sana, toka lini umefanya hivyo mwanangu?” “Nisamehe mama yangu, naomba unisamehe sana” Neema sasa alinyamaza ila akaja kushtuliwa tena na kauli ya Salome, “Mama nataka kwenda kwa baba” “Kivipi Salome?” “Nataka kwenda kuishi na baba” “Jamani Ssalome jamani, subiri basi kesho nitakujibu” “Sitaki kusubiria kesho, nataka leo leo iende kwa baba” “Hapana Salome, siwezi kukuruhusu leo. Subiri utaenda tu” “Huwezi kubadilisha mawazo yangu mama, nishajipanga kwenda. Nitakuja tena tu hapa nyumbani ila kwa leo niache niende” “Hapana Salome” Ila Salome akainuka na kwenda chumbani kwake kisha akatoka na begi dogo na kumwambia mama yake, “Baki salama mama” Halafu akatoa milioni moja na kumkabidhi mama yake, hakutaka hata kusikia mama yake atasema nini kwani muda huo huo akatoka na kuondoka, kwakweli Neema alikuwa kama amepigwa na bumbuwazi hizi kwani aliona ni mambo ya ajabu sana kutokusikilizwa na mwanae. Wale mapacha walipokuwa wanajiandaa ili wapande basi waende Morogoro maana walichelewa sana kutokana na mambo waliyokuwa wanayafanya ndiomana ikawachelewesha, wakasikia mtu akiwaita, “Kulwa na Doto” Walishtuka na kumuangalia aliyewaita, kwakweli sura ya Yule mtu ilikuwa ni ngeni machoni mwao ila walipomuangalia zaidi waligundua kuwa mtu Yule amefanana na baba yao wa kambo Mr.Patrick. Walimsogelea Yule binti na kumsikiliza vizuri, “Naitwa Salome” Wakatazamana na kumuuliza, “Unatujua sisi?” “Ndio nawajua” “Na je umetuitia nini?” “Nimetumwa na mama ambaye ni mama yenu” “Kwani na wewe ni mama yako?” “Ndio ni mama yangu, kaolewa na baba yangu” Wakashangaana kwa muda na kuuliza kwa makini kuhusu baba wa Salome, naye akawaelezea, “Mzee Patrick ni baba yangu mzazi, nz mimi ni mtoto wake wa pekee na analitambua hilo. Nimefika leo rasmi nyumbani nyie mmeondoka, ndio mama kasema niwafate hapa stendi turudi nyumbani akawatambulishe vizuri. Hata hivyo amesema huko Morogoro ameshamalizana na wakulima tayari kwahiyo hakuna cha kuendea.” Wale mapacha wakaangaliana na kujikuta wakikubaliana nae kile alichowaambia na kuamua kughaili kwenda Morogoro na kurudi nyumbani ila Salome aliwaaga kuwa yeye anapitia mahali kwahiyo ataonana nao nyumbani. Wakati wanarudi njiani walikutana na baba yao ambaye ni Mr.Patrick nae akiwa kwenye gari yake akirudi nyumbani kwahiyo walimsimamisha na kushuka kwenye gari ya kukodi waliyopanda kisha kuingia kwenye gari ya Patrick. “Baba mbona na wewe unarudi nyumbani muda huu?” “Nimejisikia tu kurudi” Wakaona si vyema waongee sana labda baba yao anaenda kufanyiwa kitu cha kushtukiza kwahiyo wakimwambia watakuwa wameharibu ila baba yao aliwaomba wapiti kumchukua Ana maana amepigiwa simu na walimu wa Ana kuwa arudi kwao. Basi wakapita shuleni kwakina Ana, halafu Patrick akakabidhiwa Ana arudi nae nyumbani. Walimu walimkabidhi na barua mr.Patrick aende nayo. Walirudi na kupanda kwenye gari, kaka zake wakamuuliza kwa mshangao, “Kwani Ana imekuwaje mdogo wetu mbona mapema sana, halafu umerudishwa nyumbani na barua juu” “Achaneni na mimi” “Mmmh haya bhana, tunaachana na wewe ila kumbuka elimu ndio kila kitu katika maisha” “Naweza kupata kila kitu bila ya elimu, achaneni na mimi kabisa” “Haya tumekuacha” Basi safari ilikuwa inafanyika ya kurudi nyumbani. Rose alikuwa anampango wa kumfanyia mambo ya ajabu sana Sara kwavile alimficha bado ila kila alichotaka kufanya aliona kuna kitu kinapingana nae na kushindwa kuelewa kuwa ni kitu gani ambacho kilikuwa kikimshinda kufanya vile alivyotaka kufanya, akamuita Sara kwa nguvu kiasi cha kufanya hadi nyumba yake itikisike ila Sara alishindwa kuinuka pale alipokuwa amekaaa ikabidi amfate kwa hasira na kutaka kumuinua kwa nguvu ila wakati anakazana kumuinua mara gafla nguo zake zote zikaanguka chini hata asielewe kwanini zimeanguka kwahiyo akawa kama alivyozaliwa, gafla mlango ulifunguliwa na waliingia ndani watoto wake na mume wake, kwakweli wote walimshangaa mama yao kuwa kama alivyozaliwa. Ikabidi Ana akimbilie nguo na kumfunika mama yake kisha wale mapacha nao wakatoka nje kwa aibu. Kwakweli siku ya leo ilikuwa ni siku ya aibu kubwa kwa Rose ambayo hajawahi kuitegemea kwa siku zote, hajawahi kutegemea kama kuna siku atadhalilika kiasi kile. Ana alimchukua mama yake na kwenda nae chumbani huku akisikitika sana kwa kilichotokea na kumpa mama yake pole, “Imekuwaje mama?” “Sijui ila nguvu zangu zimepotea mwanangu, yani sina nguvu kama mwanzo. Nimedhalilika sana” “Pole mama, ni kitu gani kimetokea?” “Sijui ila kila nilipokuwa nafanya dawa zilikuwa zinapingana na vitu vingine. Hapo ndipo nilipotaka kwenda kumchukua kwa nguvu Sara ila ndio nguo zikanidondoka halafu nyie mkaingia” Mara wakasikia sauti ya Sara ikiongea kwa nguvu tena kwa ujasiri, “Sasa huyu ndio kiboko ya Ana” Ikabidi watoke ili wakamuone huyo kiboko ya Ana, kwakweli Rose alishtushwa sana kumuona Salome. Itaendelea kesho usiku……!!!!! By, Atuganile Mwakalile.
Mapenzi na Maisha iko kwenye Facebook. Ili kuunganisha kwa Mapenzi na Maisha, jiunge kwenye Facebook leo.
Jiunge
au
Ingia
Mapenzi na Maisha
KURUDI KWA MOZA: 15
Mara Ana akaingia tena chumbani kwa Sara na kusema,
“Nimekusikia yote, subiri nikuonyeshe”
Kabla hajaanza kufanya chochote chumba cha Sara kikaanza kutikisika, wote walichanganyikiwa cha kushangaza hata ile hali ilimchanganya pia na Ana hadi akajikuta akipiga kelele ambazo zilimshtua hadi mama yao chumbani. Kelele za Ana zilifanya watu wote mule chumbani wazimie. Rose aliingia chumbani na chumba kikaacha kutikisika, alikuwa akishangaa sana na kumuuliza Ana aliyekuwa amesimama na hasira,
“Kuna nini Ana?”
Ana alimpushi mama yake na kutoka nje, kwakweli Rose alikuwa akishangaa tu na kwenda kuwagusa wanae ambao walikuwa wamezimia wote. Kiukweli hakuelewa kabisa kwani kabla aliwaacha wakiwa wanaongea na Sara ambaye kapona kimuujiza halafu akakumbuka kuwa Ana alibaki nje wakati amemwambia kuwa waondoke.
Ikabidi atoke mule chumbani kwakina Sara na kwenda tena kumfata Ana chumbani kwake, aliingia na kuongea nae kwa utaratibu kabisa,
“Mwanangu Ana niambie tatizo ni nini?”
“Mama niache, tafadhali niache”
“Sawa mwanangu, ila mimi ni mama yako mwanangu jamani. Usiponiambia na mimi utamwambia nani mwingine! Mimi na wewe ndio wa kusaidiana mwanangu. Kumbuka nakupenda sana mwanangu, ndiomana wote wale nimeachana nao ingawa wamezimia ila nimekuja kuzungumza na wewe”
“Mama, kuna mtu ananichezea akili halafu Sara anajua ukweli wote”
“Mwanangu, kama Sara anaujua ukweli najua cha kumfanya aseme ukweli kwetu hata usijali”
“Kwahiyo mama utanisaidia!”
“Ndio nitakusaidia mwanangu”
“Sasa hivi hakuna siri mama, yani watoto wako wanaelewa fika kuwa mimi ni nani na nina uwezo gani. Sasa nadhani wametafuta vya kuwasaidia ndiomana imekuwa hivi, hebu fikiria mama kabla sijafanya chochote eti chumba cha cha Sara kikaanza kutikisika kwakweli nimechukia sana”
“Kheee makubwa, sasa mbona wamezimia?”
“Sauti yangu ya kelele imewafanya wazimie, ndiomana nakwambia saivi washanijua kuwa mimi ni mtu wa aina gani. Tafadhali mama fanya kitu nijue ukweli maana nasikia aliyemfanya Sara apone ndiye aliyemuokoa Yule mwalimu aliyeanguka chooni”
“Kheee mwanangu, atakuwa jinni huyo sidhani kama ni mtu wa kawaida”
“Hata kama ni jinni sidhani kama anaweza kunishinda kiasi hiki halafu kwanini nisipate hata kengele ya hatari kuwa kuna kitu kinatendeka nyuma yangu!”
Basi Ana na mama yake wakajadili sana siku hiyo, na mama yake akamwambia atakachokifanya ili Sara aseme ukweli.
Muda kidogo Patrick nae alirudi ila aliamliwa akalale siku hiyo bila hata ya kula chochote kile humo ndani.
Kulipokucha Patrick alitoka na kuruhusiwa kuondoka ila watoto wa rose walikuwa bado hawajazinduka, na baada ya Patrick kuondoka Ana nae aliondoka na kwenda shuleni kisha huku nyuma Rose aliingia chumbani kwa Sara na kuanza kuwaburuza wanae wale mapacha mmoja mmoja, hadi wote wawili akawaingiza chumbani kwako kisha akawaweka kitandani na kuwafunika mashuka halafu akaenda chumbani kwa Sara na kumuweka vizuri Sara kitandani kisha akamfunika na shuka. Baada ya muda wale mapacha walizinduka ila kila mmoja hakukumbuka kitu chochote kilichokuwa kimetokea ila walijikuta wamechoka sana na kuulizana kwa mshangao,
“Mbona tumechelewa sana kuamka!”
“Hata sielewi, sijui kwanini”
Basi ikabidi wajiandae haraka haraka na kuondoka, sebleni walimkuta mama yao na kumuaga.
“Sasa nataka niwaagize”
“Wapi tena mama?”
“Leo msafiri, muende kule shambani Morogoro”
Mmoja akadakia,
“Mama, kuna nini tena?”
“Sitaki maswali ila nataka muende kule shambani kwangu na mrudi kesho. Nadhani tunaelewana”
Akawapa na pesa kidogo ya kuwasaidia kwenye safari hiyo, waliondoka ila walijiuliza mambo mengi sana kuwa mama yao safari hii ana mpango gani maana mara ya mwisho aliwatuma Morogoro kumbe kuna kifo cha Moza, ila kwasababu hawakuwa na kumbukumbu yoyote ya kilichotokea usiku wakapuuzia na kuondoka zao.
Muda kidogo Sara nae aliamka, tena akaoga na kujiandaa kuondoka. Alipotoka sebleni akamkuta mama yao amekaa na akamuuliza swali,
“Unaenda wapi?”
“Naenda kwenye shughuli zangu mama”
“Nani amekuruhusu?”
“Mama jamani si nimepona! Je kutoka siruhusiwi?”
“Njoo ukae kwanza hapa nikuambie”
Sara alienda kukaa karibu na mama yake , kisha mama yake akamuuliza swali,
“Wewe umejizaa au nimekuzaa?”
“Umenizaa mama, ila kwanini umeniuliza hivyo?”
“Sasa niambie ukweli, ni kitu gani kimerudisha kuongea kwako na kuona kwako”
“Jamani mama inamaana haujapenda nilivyopona?”
“Wewe niambie tu umeponaje?”
“Nilikuwa nimelala hapa sebleni, mara nikasikia sauti ikisema inuka Sara umepona. Nikafungua macho yangu nikaona halafu nikajaribu kuongea napo nikaweza. Basi nikafurahi sana nimeweza kupona mama”
“Sara usinifiche, mimi ni mama yako niambie ukweli”
“Huo ndio ukweli mama wala hakuna ukweli mwingine zaidi ya huo”
“Sara, sitaki kutumia ukali mwanangu. Niambie ukweli”
“Huo ndio ukweli mama”
“Nadhani unataka kuona nitakufanya nini”
Rose akainuka na kuelekea chumbani, kisha Sara nae akainuka na kutaka kutoka nje ila akakuta mlango umefungwa kila alipojaribu kuufungua ilikuwa ni vigumu kuufungua ikabidi akae chini amsubirie tu mamake arudi.
Bado Neema alikuwa akishangaa sana jinsi Salome alivyobadilika kwani mwanae hakuwa hivyo kabla, vitu vingi sana Salome alikuwa anavifanya vya tofauti. Muda huu alikuwa nae sebleni wakiangalia luninga, mara gafla Salome akashika kichwa chake kwa nguvu na kumfanya Neema amuulize kwa mshangao huku ameinuka na kumshikilia,
“Vipi Salome mwanangu!”
Ila Salome hakujibu zaidi aliinuka na kukimbilia chumbani halafu akafunga mlango. Kwakweli Neema alishindwa kuelewa kabisa kuwa imekuwaje lakini bado hakupata jibu kabisa, akawa tu anamgongea mlango,
“Jamani mwanangu Salome fungua, una matatizo gani mwanangu!”
Hakujibiwa wala mlango haukufunguliwa na kumfanya azidi kuchanganyikiwa lakini akaamua kwenda kukaa akisikilizia tu kipi kitajili baada ya hayo.
Baada kama ya lisaa limoja Salome alitoka ndani, na alimkuta mama yake akilia. Salome alimfata mama yake na kuanza kumbembeleza,
“Usilie mama, mimi ni mzima”
“Salome mwanangu, ulinifungia mlango lazima nihisi kuna kibaya kimekupata”
“Hakuna kibaya chochote mama”
“Sasa kwanini uliondoka gafla ukishika kichwa na kwenda kujifungia ndani?”
“Kichwa kiliniuma mama, sasa niliingia ndani na kunywa dawa na kupumzika sikutaka kuacha mlango wazi kwamaana niliona ungesumbuka”
“Jamani Salome mwanangu mbona siku hizi umebadilika sana, toka lini umefanya hivyo mwanangu?”
“Nisamehe mama yangu, naomba unisamehe sana”
Neema sasa alinyamaza ila akaja kushtuliwa tena na kauli ya Salome,
“Mama nataka kwenda kwa baba”
“Kivipi Salome?”
“Nataka kwenda kuishi na baba”
“Jamani Ssalome jamani, subiri basi kesho nitakujibu”
“Sitaki kusubiria kesho, nataka leo leo iende kwa baba”
“Hapana Salome, siwezi kukuruhusu leo. Subiri utaenda tu”
“Huwezi kubadilisha mawazo yangu mama, nishajipanga kwenda. Nitakuja tena tu hapa nyumbani ila kwa leo niache niende”
“Hapana Salome”
Ila Salome akainuka na kwenda chumbani kwake kisha akatoka na begi dogo na kumwambia mama yake,
“Baki salama mama”
Halafu akatoa milioni moja na kumkabidhi mama yake, hakutaka hata kusikia mama yake atasema nini kwani muda huo huo akatoka na kuondoka, kwakweli Neema alikuwa kama amepigwa na bumbuwazi hizi kwani aliona ni mambo ya ajabu sana kutokusikilizwa na mwanae.
Wale mapacha walipokuwa wanajiandaa ili wapande basi waende Morogoro maana walichelewa sana kutokana na mambo waliyokuwa wanayafanya ndiomana ikawachelewesha, wakasikia mtu akiwaita,
“Kulwa na Doto”
Walishtuka na kumuangalia aliyewaita, kwakweli sura ya Yule mtu ilikuwa ni ngeni machoni mwao ila walipomuangalia zaidi waligundua kuwa mtu Yule amefanana na baba yao wa kambo Mr.Patrick. Walimsogelea Yule binti na kumsikiliza vizuri,
“Naitwa Salome”
Wakatazamana na kumuuliza,
“Unatujua sisi?”
“Ndio nawajua”
“Na je umetuitia nini?”
“Nimetumwa na mama ambaye ni mama yenu”
“Kwani na wewe ni mama yako?”
“Ndio ni mama yangu, kaolewa na baba yangu”
Wakashangaana kwa muda na kuuliza kwa makini kuhusu baba wa Salome, naye akawaelezea,
“Mzee Patrick ni baba yangu mzazi, nz mimi ni mtoto wake wa pekee na analitambua hilo. Nimefika leo rasmi nyumbani nyie mmeondoka, ndio mama kasema niwafate hapa stendi turudi nyumbani akawatambulishe vizuri. Hata hivyo amesema huko Morogoro ameshamalizana na wakulima tayari kwahiyo hakuna cha kuendea.”
Wale mapacha wakaangaliana na kujikuta wakikubaliana nae kile alichowaambia na kuamua kughaili kwenda Morogoro na kurudi nyumbani ila Salome aliwaaga kuwa yeye anapitia mahali kwahiyo ataonana nao nyumbani.
Wakati wanarudi njiani walikutana na baba yao ambaye ni Mr.Patrick nae akiwa kwenye gari yake akirudi nyumbani kwahiyo walimsimamisha na kushuka kwenye gari ya kukodi waliyopanda kisha kuingia kwenye gari ya Patrick.
“Baba mbona na wewe unarudi nyumbani muda huu?”
“Nimejisikia tu kurudi”
Wakaona si vyema waongee sana labda baba yao anaenda kufanyiwa kitu cha kushtukiza kwahiyo wakimwambia watakuwa wameharibu ila baba yao aliwaomba wapiti kumchukua Ana maana amepigiwa simu na walimu wa Ana kuwa arudi kwao.
Basi wakapita shuleni kwakina Ana, halafu Patrick akakabidhiwa Ana arudi nae nyumbani. Walimu walimkabidhi na barua mr.Patrick aende nayo. Walirudi na kupanda kwenye gari, kaka zake wakamuuliza kwa mshangao,
“Kwani Ana imekuwaje mdogo wetu mbona mapema sana, halafu umerudishwa nyumbani na barua juu”
“Achaneni na mimi”
“Mmmh haya bhana, tunaachana na wewe ila kumbuka elimu ndio kila kitu katika maisha”
“Naweza kupata kila kitu bila ya elimu, achaneni na mimi kabisa”
“Haya tumekuacha”
Basi safari ilikuwa inafanyika ya kurudi nyumbani.
Rose alikuwa anampango wa kumfanyia mambo ya ajabu sana Sara kwavile alimficha bado ila kila alichotaka kufanya aliona kuna kitu kinapingana nae na kushindwa kuelewa kuwa ni kitu gani ambacho kilikuwa kikimshinda kufanya vile alivyotaka kufanya, akamuita Sara kwa nguvu kiasi cha kufanya hadi nyumba yake itikisike ila Sara alishindwa kuinuka pale alipokuwa amekaaa ikabidi amfate kwa hasira na kutaka kumuinua kwa nguvu ila wakati anakazana kumuinua mara gafla nguo zake zote zikaanguka chini hata asielewe kwanini zimeanguka kwahiyo akawa kama alivyozaliwa, gafla mlango ulifunguliwa na waliingia ndani watoto wake na mume wake, kwakweli wote walimshangaa mama yao kuwa kama alivyozaliwa. Ikabidi Ana akimbilie nguo na kumfunika mama yake kisha wale mapacha nao wakatoka nje kwa aibu. Kwakweli siku ya leo ilikuwa ni siku ya aibu kubwa kwa Rose ambayo hajawahi kuitegemea kwa siku zote, hajawahi kutegemea kama kuna siku atadhalilika kiasi kile.
Ana alimchukua mama yake na kwenda nae chumbani huku akisikitika sana kwa kilichotokea na kumpa mama yake pole,
“Imekuwaje mama?”
“Sijui ila nguvu zangu zimepotea mwanangu, yani sina nguvu kama mwanzo. Nimedhalilika sana”
“Pole mama, ni kitu gani kimetokea?”
“Sijui ila kila nilipokuwa nafanya dawa zilikuwa zinapingana na vitu vingine. Hapo ndipo nilipotaka kwenda kumchukua kwa nguvu Sara ila ndio nguo zikanidondoka halafu nyie mkaingia”
Mara wakasikia sauti ya Sara ikiongea kwa nguvu tena kwa ujasiri,
“Sasa huyu ndio kiboko ya Ana”
Ikabidi watoke ili wakamuone huyo kiboko ya Ana, kwakweli Rose alishtushwa sana kumuona Salome.
Itaendelea kesho usiku……!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: