Riwaya: SARAI SEHEMU YA NNE(04) ***Ilipoishia*** jeny......aliamua kumtafuta jeny....amuombe msamaha huenda jeny akamsaidia angalau kumkopesa pesa ili baba sarai aanzishe bihashara......aliondoka na kuelekea kwenye nyumba yake aliyoitelekeza pamoja na mkewe jeny.....alitembea kwa miguu kwa sababu aliuza gari lake la kifahari kutokana na ugumu wa maisha aliyonayo kwa sasa....ilimchukua masaa kadhaa mpaka kufika....alipofika alistahajavu kukuta nyumba ile imeteketea kwa moto....ilionekana kuchakaa kabisa.. ..wakati anatahamaki mara ghafla... ***Endelea*** wakati anatahamaki mara ghafla...aliliona kaburi pembeni ya nyumba akazipiga hatua za haraka haraka alipolikaribia kaburi hilo aliona kwenye msaraba limeandikwa jina la mke wake....baba sarai hakuamini alichokiona alisikitika sana alijutia kwa kitendo alichomfanyia jeny miaka mingi iliyopita......machozi yalianza kumtoka...""Eee Mungu nisamehe...aliongea hivyo huku akilia kwa uchungu..ghafla sarai alijitokeza lakini baba yake hakumuona.....sarai aliingiwa na roho ya huruma kwa sababu aliona baba yake akiomba msamaha wa dhati bila chembe ya uwongo na kutambua kosa lake..baada ya dakika kadhaa baba sarai aliamua kuondoka......akaanza kuzipiga hatua kabla hajafika mbali alikumbuka kuwa alimtelekeza jeny na mtoto mchanga wa ajabu..alijiuliza ""sijui huyi mtoto bado yupo hai!!!! akageuka na kuangalia nyuma...ghafla alihisi kaona mtu alafumtu huyo katoweka kimiujiza.....baba sarai aliogopa akaanza kuzipiga hatua za harakaharaka nusu akimbie.... *************** ule upande mwingine alionekana yule mfanyabihashara mmoja kati ya wale watatu waliochoma nyumba ya jeny....mfanya bihashara huyo alikuwa na nyumba ambayo haijamalizika ujenzi... alionekana yupo na watu wakikaguakagua nje na ndani ya nyumba hiyo.....kisha yule mtu aliyekuwa akikagua nyumba hiyo alionekana kuridhika kisha wakaongozana mpaka benki....alitoa pesa na kumkabidhi yule mfanyabihashara aitwae Magesa..alizipokea pesa zile na kuziweka ndani ya bahasha kubwa..kisha akakabidhi hati ya kiwanja na hati ya nyumba... kumbe magesa aliamua kuuza nyumba ile ili afungue duka lingine.... magesa aliondoka na na kurudi nyumbani kwake...akiwa njiani sarai alijitokeza na kuzichukua pesa zile kimiujiza kisha akaweka makaratasi ndani ya bahasha ile....magesa hakuwa na uwezo wa kuona kilichotendeka ilikuwa ni kiinimacho aliendelea kuzipiga hatua za harakaharaka kuelekea nyumbani kwake...hakuraka haya kukodi taxi wala bodaboda aliona kama atatekwa anyang'anywe pesa zake..... alitea kwa madaha huku katanguliza kifua mbele...kama kapigwa ngumi ya mgongoni..hakutaka hata kusalimiana na mtu...aliwapita bila kuwasemesha watu aliofahamiana nao.. ************** wakati huohuo babasarai alikuwa njiani akielekea nyumbani kwake...ghafla sarai alijitokeza na kuziweka pesa chini barabarani pesa hizo ni zile alizozichukua kwenye bahasha ya Magesa....baba sarahi alizipiga hatua huku akimkumbuka mkewe ghafla aliona mabunda mawili ya pesa..yakiwa na noti za shilingi elfukumi kumi...babasarai aliziokota pesa zile haraka kisha akavua shati na kuzifunga pesa zile...alibaki nasinglend kisha akatazama kushoto kulia hakuona mtu yoyote aliyeshuhudia....akaanza kutimua mbio.....alikimbia bila kugeuka punde alifika nyumbani kwake.......akapitiliza moja kwa moja mpaka chumbani akafunga mlango alipozihesabu zilikuwa ni milioni ishirini.....baba sarai alifurahi sana akamshukuru mungu.... ************* upande mwingine aliinekana magesa akiingia nyumbani kwake huku akitembea kwa madaha huku uso wake ukitawaliwa na tabasamu kabambe......alipoingia sebuleni alimkuta mkewake kanuna...kisha mke wake akasema"" yani umetushindisha njaa umeondoka hujaacha pesa ya chakula tazama watoto walivyonyong'onyea kwa njaa....magesa aliachia kicheko cha dharau kisha akasema""yani mke wangu unakasirika kwa jambo dogo...haya nifuate kunajambi zuri nataka nikwambie pia nimekuja na pesa nyingi....unaona hii bahasha imejaa noti....mkewe alifurahi kusikia hivyo kisha akamfuata magesa mpaka chumbani......walipoingia upande wa ndani....magesa alimkabidhi mkewe bahasha ile kisha akasema"" fungua mwenyewe hesabu pesa hizo kisha chukua utakazo ona zinakutosha alafu zitakazobaki ziweke ndani ya kabati mimi nalala nimechoka sana siku ya leo......kisha akajitupa kitandani ili autafute usingizi....mke wa magesa alifurahi sana...hakutaka kuifungua bahasha hiyo kwa wakati huo....alkafunua chini ya godoro akatoa elfu ishirini(20) pesa hiyo alikuwa kaitunza kwaajili ya drarura kama ikitokea mtoto akaugua ghafla imsaidie kumpeleka hospitali....ile elfu ishirini alikwendanayo mpaka sokoni akanunua kuku.....aliporudi alipika na baada ya lisaa limoja na nusu chakula kiliiva....walipomaliza kula mke wa magesa alimuta chumbani mme wake....akamwambia nataka nikupe pongezi mme wangu kabla sijaifungua hiyo bahasha yani hiyo inaonekana imejaa noti tu.....baada ya zawadi hii niliyokuandalia siku ya leo tukimaliza ndio nitaifungua bahasha hiyo....kisha mke wa magesa alijitupa kitandani....magesa alijua ni zawadi gani mkewe anataka kuumpa...magesa alimsogelea mkewe na kuanza kumpapasa maungo yake ya mwili..... ITAENDELEA...... usikose kufatilia simulizi hii ya kusisimua. ASANTENI.

at 7:07 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top