Bikra yangu: 06 ilikuwa ni siku ya ijumaa saa 10 jioni kama kawaida nikisubiri my love vuai anifate na gari tuondoke siku hiyo nilichelewa kidogo kutoka chuo kutoka na mitiahani. Alipofika maeneo yale ya chuo alinipigia simu na kunielekeza mahali alipo nimfate ili anipeleke nyumbani. Nilielekea pale nilipoelekezwa, kutokana na kuchelewa sana kutoka chuo siku hiyo sikutaka niendelee kupoteza muda ktk maeneo yale ya chuo. Nilipoingia tu nilimsihi vuai awashe gari mojo kwa moja kuelekea nyumbani. Wakati tukiwa kwenye mwendo vuai alinigusia swala la kutoka nae weekend hii. Nilimwambia itakuwa ngumu kidogo nahisi kama wazazi watanishtukia coz nimekuwa mtu wa kuaga kila weekend naenda kwa marafiki zangu na kibaya zaidi baba akijua kama kila weekend huwa natoka nyumbani inaweza ikaniletea matatizo. Vuai alionekana kama mtu asiyekubaliana na hoja zangu, alikaa kimya kidogo huku akionekana kukasirishwa na kile nilichomwambia. Japo na mimi sikutaka nimkwaze kwa lolote asilolipenda kwasababu tayari nilikuwa nimempanda lakini kwa swala la kutokanae lilikuwa gumu kidogo. "inamaana kesho haitawezekana kabisa zuu"? Aliuliza vuai "ndio vuai nahisi wazazi wanaweza wakaushtukia huu mchezo coz nimefululiza sana kutoka nyumbani kila wisho wa wiki haoni kama likigundulika hili litakuwa tatizo baby"? Nilimuuliza vuai huku nikiwa ktk hali ya kumbembeleza. "Basi sawa kama umeamua hivyo" alisema vuai "Usijisikie vibaya vuai basi mi ntafanya kila namna ili tuonane lakini usinitegemee sana coz mipango yangu inaweza ikafeli, ila usijali ntakupigia simu nikujuze kama itakuwa imewezekana" nilimwambia vuai wakati huo nikiwa najiandaa kushuka ktk gari na kuelekea home. "Sawa nitashukuru sana mamie, nakuomba ujitahidi sana mpenzi wangu ntakuandalia bonge la zawadi" aliongea vuai. Nilishuka kwenye gari na vuai akaniita nielekee upande wake. "zuleiha mi nakupenda sana mamie, mipango yangu ni dhabiti kabisa juu ya maisha yetu huwa nafurahi sana pale unapofanya kila namna tuonane mpenzi wangu, usichoke baby wangu nakuahidi siku moja tutakuwa pamoja tukiishi kwa amani na uhuru, Nakupenda sana"... Aliongea vuai kisha akanibusu ktk paji la uso na kunitakia jioni njema. Vuai aliwasha gari na kuondoka na mimi haraka nikaanza kuelekea nyumbani lakini nikiwa ktk tafukuri kuhusu hiyobkesho ni vipi nitaaga ili nieleweke.......... Alipo timu muda wa kula tukiwa mezani mimi , mdogo wangu pamoja na wazazi wangu, nilihisi ule ndio ulikuwa muda sahihi sana wa mimi kueleza kuhusu safari yangu ya kesho. "Mama kesho mida ya saa mbili asubuhi nitaenda maktaba ya pale maisara pamoja na wenzangu ku_discuss mambo ya chuoni" nilisema kwa uwoga uwoga huku baba akionekana kuwa busy na matonge. "Mwambie baba yako" mama alijibu na kukaa kimya. Baba akadakia "Kama ni mambo ya masomo hakuna shida... Mama zuu utamruhusu mtoto aende akajisomee. "sawa hakuna shida" mama alijibu. "ahsante baba" nilisema na kukaa kimya huku moyoni nikiwa na furaha ya hatari. Kama ilivyo ada asubuhi na mapema niliamka na kusaidia baadhi ya kazi pale nyumbani kisha nikajiandaa kwaajili ya kutoka lakini wakati wote huo sikuwa nimemjulisha vuai kama nitatoka au laa, na nilishindwa kufanya hivyo coz mazingira ya pale nyumbai haikuwa rahisi kumpigia simu vuai na kumjuza kwamba nimepata nafasi ya kutoka. Nilijiandaa vizuri kisha nikaaga na kuondoka, sikutaka ninywe chai pale nyumbani kwasababu nilijua vuai lazima atanunua huko tutakapo elekea. Nilianza kutoka nyumba na kuelekea kwenye kituo cha daladala, nilipoona nimefika mbali kidogo na mazingira nyumbani nilimpigia simu vuai ili nimjulishe kwamba nimepewa ruhusa na tayari nimeruhusiwa ila kwa bahati mbaya simu iliita bila mafanikio , nikajaribu kupiga kwa mara ya pili pia simu haikupokelewa, nikapiga tena simu akapokelewa lakini vuai alisikiaka kama mtu aliyekuwa usingizini. "Mambo baby" nilimsalimia "poa vp zuu" alijibu vuai "safi inamaana bado umelele? Mi nimeruhusiwa na tayari nimeshatoka nyumbani, nimesima hapa kwa bakadhir nakusubili wewe tu" niliongea "duuuuh basi ngoja niamke coz nilikuwa bado nimelala nipe kama dakika kumi ntakuwa hapo" alisea vuai "poa baby" nilimjibu na kukata simu Nilisubili pale kwa takribani robo saa nzima, punde gari ya vuai ilifika na kusimama mbele yangu. "Hi baby" alisema vuai "Hello honey mzama wewe" tulisalimiana na kuingia ndani ya gari, sikutaka tuendelee kupoteza muda tukiwa ktk eneo lile aliwasha gari na kuanza kuondoka. siku hiyo gari haikuonekana kuelekea mjini kama nilivyo zoea, ilionekana kuelekea nje ya mji kidogo tena vuai akionekana kuendesha kwa mwendo wa kasi kuliko kawaida. "Umeaga vp nyumbani baby" aliuliza vuai "nimewaambia kwamba leo naenda discussion na wenzangu maktaba" nilimjibu "safi unaakili sana baby" alisema vuai. nilikaa kimya kwa muda kisha nikamuuliza kwa leo tunaelkea wapi vua? "we usijali utapaona tu mamie lakini ni nje ya mji kdogo" alosema vuai Gari ilikuwa katk mwemdo mkali sana lakini ilionekana kuelekea sehemu moja iliyojulikana kwa jina la kiwengwa ni nje kidogo ya mji. Sehemu hiyo ni maarufu sana kwa kuwa na mahoteli mengi sana. Tulipita hotel nyingi sana huku nikiwaza kwamba leo jamaa kaamua kunipeleka beach nini. Kipindi safari ikiendelea pumde vuai akapunguza speed na kuelekea moja kati hotel zilizokuwa ktk eneo lile, ilikuwa ni Neptune hotel ndio jina la hotel lilivyo someka. Tulifunguliwa geti na kuelekezwa mahali pa kupaki gari na moja kwa moja tukaelekea reception na kupewa maelekezo mbali mbali kuhu mazingira yale. Kuotoka na kutoka nyumbani bila ya kunywa chai ilitulzimu tuelekee resta iliyopo ndani ya hotel hiyo ili kup5a chai. Kiukweli siku hiyo safari ilikuwa ndefu kidogo ikilinganishwa na safari zote nilizo zoea kwendwa kwani siku hiyo tulitumia zaidi ya dk 58 kutoka nyumbani. Tulielekea resta tukaagiza kila mtu akala anachojisikia baada muda kadhaa vuai aliaga kuelekea toilet, japo alichukuwa muda kidogo kurudi mi sikujali hilo niliendelea kumalizia chai yangu. Baada ya muda kidogo vuai alirudi akaniambia nikimaliza kunywa chai tutembee kidogo kutazama mazingira ya hotel ile. Nilipo maliza kweli tulifanya hivyo kama vuaia alivyotaka tulitamaza mandhari nzuri ya hotel na busta ilivyotengenezwa kibunifu, tulipiga picha mbili tatu laki hatukiishia nje ya hotel tu ilitubidi tuingie hadi ndani ya vyumba baadhi ambavyo havikuwa na watu. Tulitembelea kwenye vyumba viwili tu tulipofika chumba cha tatu vuai alionekana kuwa mwenyeji sana katika chumba kile. "We vuai hebu acha kufanya vurugu kwenye vyumba vya watu " nilimwambia huku nikiwa na hofu Ondoa shida kuhusu hilo sisi ni wageni kama wageni wengine, tunaangalia room itayokuwa nzuri tuilipie ili tukae tuongee mambo yetu. Aliongea vuai kwa utani. "mmmmmh hapana ,kwanini utoe pesa nyingi kulipia room kwaajili ya kuongea tu!? Kwakuwa tumekunywa chai hapa hata tukirudi kukaa kule resta haina shida " nilimwambia vuai "Usihofu mamie pesa ipo" we njoo ukae hapa mi nimeshalipia hii room kwahiyo kuwa huru" alisema "Umelipia saa ngapi wakati muda wote tulikuwa pamoja"? Nilimuuliza "Nililipia wakati nimeenda toilet nikaona ni vema nilipie kabisa coz nilihisi unaweza ukahitaji muda wa kupumzika baby" alisema vuai. "mmmh haya bana, enhe niambie mpenzi wangu?" nilimwambia jambo kishingo upande "nimekuleta leo hapa leongo ni kuzungumza juu mstakabali mzima wa maisha yetu yatakuwaje baadae, kwanza kabisa mi namshukuru sana mungu kunipatia binti mrembo kama wewe, sijawaza hata siku moja kukukosa za ya kifo kuwa chanzo cha kupotezana kiukweli mi nakupenda sana". Wakati vuai anasema yote hayo alikuwa amekaa kwenye kiti kilichokuwa pembeni ya kitanda na mimi nikiwa nimekaa kitandani. vuai aliendelea kuzungumza kwa hisia za hali ya juu huku akionyesha kumaanisha kile anachokizungumza wakati huo huo akisimama huku akisogea taratibu mahali nilipokuwa nimekaa. "zuleiha my wife to be wewe umeshakwa mpenzi wangu tayari na ni ngumu sana kwa mwanaume yoyote ambaye anajielewa kuwa na..................................... ITAENDELEA

at 4:41 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top