UNAJUA KUMWONYESHA MPENZI WAKO KAMA UNAMPENDA????  Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama  mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa ambayo watu hukosa kujua kama wanapendwa ni kutohisi upendo. Kwa nini? Kwa sababu hata kama wanasema I love you mwisho wa kuongea kwenye simu au kabla ya kwenda kazini, hayo maneno hayana miujiza bila ya kuwa na mengine yalio rahisi . Kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoonyesha upendo na kumfanya mtu ajisikie kupendwa. 1.Usisahau kumkumbatia kabla ya kusema kwa heri. Uelewa wa kimwili ni wa muhimu kuliko maneno 2.Mwambie jinsi alivyo muhimu kwako. Hii huenda zaidi ya neno  i love you. 3.Express understanding panapohitajika  kusema. Nimeelewa unachokisema. Kama hujaelewa  elezea, kwa kusema hivi , Niambie jinsi unavyojisikia ili nikuelewe. 4.Sema mara nyingi jinsi unavyomkubali anapokuwa amefanya jambo kwako. Husband and wife in park 5.Mwambie jinsi gani unafurahia vipengele  vya upekee wake. Kwa mfano , napenda uchangamfu wako, mpongeze. 6.Toka nae siku nzima bila ya kusema kitu chochote zaidi ya kumsifia. 7.Mnunulie chakula anachokipenda bila yeye kusema. 8.Msaidie kupika 9.Kama mna watoto wapeleke kutembea, ili kufurahia michezo ya watoto ili kumwacha awe peke yake kwa utulivu. 10.Tuma ujumbe wa kimapenzi kwa mwenza wako bila sababu . 11.Mtumie email wakati yuko kazini ili kujua anajisikiaje. 12.Mpigie wakati akiwa break kusema tu hujambo 13.Karibia gari, meza, au kochi na umshike mikono yake japo kwa muda kidogo. 14.Mvutie kiti anapotaka kukaa au mfungulie mlango anapotaka kutoka au kuingia. 15.Kumbuka kumpa tabasamu, sio fake,  lile ambalo umetunza kwa ajili yake . 16.Badala ya kumweleza jinsi ulivyokuwa na siku mbaya kazini, mwambie kuwa siku hio ulihitaji kuwa na yeye kwa sababu…au nimekuwa na siku mbaya nahitaji unikumbatie. 17.Fanya utani na ucheke nae 18.Nendeni kulala kwa wakati mmoja, ongeeni pamoja au kama kusoma msome pamoja au kama kutulia kwa muda fanyeni pamoja. 19.Kama una watoto mpongeze mwenza wako mbele yao. Watoto watafurahi pia. 20.Mkumbatie mbele za watu, ingawa ataona aibu lakini atafurahia. 21.Tafuta njia nzuri za kuambiana badala ya I love you 22.Muwe na tabia ya kutoka japo mara moja kwa wiki kama mkiweza 23.Mpe zawadi 24.Mpeleke movie 25.mpe massage bila sababu au kwa ajili ya kazi nyingi 26.Mwambie kuwa yeye ni rafiki yako 27.Usiogope kumshirikisha hisia zako, Ni vizuri kufahamu kama una furaha au huna furaha wakati huo na kwa nini 28.Sikiliza anapokuambia jinsi anavyojisikia 29.Kumbuka kila mara unapoweza nunua kitu kidogo kwa ajili yake. 30.Andika ujumbe mdogo wa kimapenzi na kuacha sehemu ambapo atafika 31.Mshike mikono yake mbele za watu 32.Mpate fundisho pamoja, halijalishi ni aina gani 33.Omba msamaha unapokosea 34.Wakati mwingine  yeye awe sahihi 35.Mcheze game pamoja 36.Mpe nafasi anapohitaji hivyo.lakini afahamu kuwa upo kama atakuhitaji 37.Mchemshie maji  ya kuoga anapokuwa na stress 38.Mwoshee gari yake 39.Jaribu kufanya kitu cha wema kila siku kwa ajili yake 40.Jaribuni kufanya kitu kipya pamoja. Changamoto moja ni bora 41.Mwache alale miguu pako 42.Mtengenezee breakfast, kama inawezekana mpelekee kitandani 43.Mkumbushe kuwa yeye yuko hot au sexy 44.Mkatembee kwenye hewa nzuri pamoja 45.Mnaweza kuvaa nguo za kufanana mnapotoka kupunga upepo 46.Mjitolee pamoja 47.Mtengeneze nywele zake 48.Muweke lengo kama wanandoa, kwa ajili ya fitness, finance, na personal growth 49.Kusafiri pamoja 50.Mpe compani anapoenda mpirani,  kwenye game na uwe mmoja wao 51.Chukua muda wa kuwajua rafiki wa mwenza wako 52.Mwache atoke peke yake wakati mwingine 53.Mwekee nyimbo anazozipenda  na mcheze pamoja 54.Usiwe serious sana, uwe mcheshi wakati mwingine 55.Mwimbie nyimbo anazopenda 56.Mwambie unampenda zaidi ya jana 57.Kama una siku mbaya , sikiliza kila unachotaka kusema 58.Mwambie kuwa anavutia kuliko wakati mliokutana mara ya kwanza 59.Mwambie unamfikiria kila mara 60.Mwambie kuwa unamsaidia kwa kuwa umemwelewa 61.Mwambie unapenda mwili na akili yake 62.Mwambie unachokifurahia siku hio. Na jinsi gani kinakukumbusha  kuhusu yeye. 63.Siku yako imeendaje leo Kila ukiamka mwambie habari za asubuhi kila siku 65.Kila siku ukitaka kulala mwambie usiku mwema 66.Hakikisha anafahamu kuwa yeye ni namba moja kwako 67.Mwonyeshe kuwa unamuheshimu kwa kusikiliza mawazo yake kwenye maamuzi muhimu 68.Onyesha kukubali alichokifikiria na kukiamua  hata kama unaona kabisa hukubaliani nacho. 69.Mwambie akuchagulie nguo za kuvaa kazini 70.Nendeni gym pamoja 71.Mnunulie kadi bila sababu , hata kama hakuna sikuku 72.Tamani kumkiss kila mara 73.Mwambie kuwa umepata  bahati ya kuwa na yeye na kuwa umebadilika tangu ukiwa nae 74.Kuwa mkweli . mfahamishe makosa uliyoyafanya 75.Kuwa mpole kwake kwa sababu mwanamke ni laini 76.Mwonyeshe kuwa unamwamini ili nae awe wazi kwako 77.Pigeni picha pamoja 78.Fanyeni mambo ya kijinga pamoja 79.Alika familia yake kwenye chakula cha jioni 80.Mwombe mwenza wako mshirikishane ndoto zenu 81.Cheka anapotania,hata kama utani huo hauchekeshi 82.Uwe rahisi ili aweze kukupenda. Utagundua kuwa kumbe ni mkarimu na ana wema.

at 2:05 AM

Bagikan ke

1 comments:

avatar

Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma>

Kwaheri Gerd Ulrich

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top