STORY FUPI Likizo moja kijana mmoja aliamua amchukue rafiki yake na kwenda wote kukaa nyumbani kwao kwani ilikuwa ni likizo ya muda mfupi na rafiki yake anakaa mji mmoja uliopo mbali na chuo chao hivyo ingekuwa ni gharama kwenda kwa muda mfupi na kisha kurudi. Mama wa kijana yule alifurahi sana na kumpokea rafiki wa mwanae na kuandaa chakula kizuri na kisha kumwandalia sehemu ya kulala katika chumba cha wageni. Baba wa familia ile yeye alikuwa ni mfanya biashara maarufu wa eneo lile na kwa habari za mitaani ilisemekana kuwa alikuwa akitumia ushirikina kwa kufanya sadaka za damu za watu ili aweze kujipatia utajiri zaidi. Baada ya kugundua yule mgeni yupo pale akapanga na vijana wake wa kazi kuwa usiku wamchukue yule kijana na kumuua ili akamilishe sadaka ya mwaka huo kwani sadaka hiyo haikutakiwa kuangamiza wanafamilia wake bali watu wengine. Usiku wa manane wale vijana wakaja na kwenda kwenye kile chumba na kumuua yule mtoto kama walivyoagizwa na bosi wao na kisha kumchukua na kwenda kumweka walikoelekezwa. Mzee akaamka asubuhi na mapema na kwenda kuangalia ile maiti na kufika kule hawakuamini kuona ni mwanae aliyeuawa kwani usiku wakati wa kulala mtoto aligundua kuwa kile chumba kina tatizo la umeme na kuona sio busara kumwacha mgeni alale bila taa hivyo wakabadilishana vyumba na mgeni kulala chumba chake. Mzee yule alianguka na kufa muda mchache akiwa anakimbizwa hospitali kwa ajili ya presha kuwa juu. Nami nakuombea rafiki yangu usomaye ujumbe huu kuwa kila mwenye roho mbaya na ya kukudhuru wewe, familia yako, kazi zako au mafanikio yako ashindwe na kuaibika kabla ya mwaka huu haujaisha Kila mpango mbaya dhidi yako na uwarudie mara mbili hao waliopanga kukudhuru. Na kila shetani anayetaka kukuharibia mipango yako afe kwa sumu ya nguvu za Mungu kama huyu Baba. Naomba haya kwa kuamini Mwenyezi Mungu atatulinda na kututetea daima na wote tuandike AMEN AU NENO LOLOTE KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU na kisha kushare ujumbe huu na Kamwe hatutaumizwa na mipango ya shetani Usiudharau ujumbe huu SHARE NA WENGINE

at 7:35 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top