Home → ushauri
→ MWANAMKE WAKO ANAKUFANYIAGA HAYA?????? MKIWA KITANDANI
*🅱 professional love*

KAMA wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio na miguno hiyo. Ni nini basi kinachopelekea milio na miguno hii kutolewa? Je milio na miguno hii ni ya kweli au ni zuga tu, ili kumfanya mwanaume ajisikie “kijogoo“?
Baadhi ya wataalamu wa masuala ya kujamiiana na mapenzi walijiuliza pia maswali hayo. Mwaka jana, Gayle Brewer wa Chuo Kikuu cha Central Lancashire na Colin Hendrie, wa Chuo Kikuu cha Leeds waliibuka na utafiti wao waliouita “Copulatory Vocalization“ (kwa tafsiri nyepesi-“Milio/sauti za kujamiiana”). Katika utafiti huo, waliuliza wanawake 71 ambao wanashiriki tendo hilo mara kwa mara (sexually active) kati ya umri wa miaka 18 na 48 kwa ajili ya kupata undani zaidi wa suala hili la kutoa milio wakati wa kujamiiana.
Wataalamu hao waliweza kubaini kwamba wengi wa wanawake hao walikuwa wanatoa milio, lakini sio tu wakati wanafika kileleni (orgasm), bali 66% walisema walitoa milio, ili kuharakisha wanaume zao kufika kileleni, na 87% walisema kwamba walitoa milio, ili kumfanya wanaume ajisikie “Kijogoo” (boost his self-esteem).
Wataalamu hao waliongeza kusema kwamba “Wakati mwanamke kwa kawaida hufika kileleni wakati wa kutomasana, mara nyingi milio ya kujamiiana imeripotiwa kutokea mara kwa mara kabla au sambamba na wakati ambao mwanaume anafika kileleni“. Walisema pia katika utafiti wao imebainika kwamba wakati mwingine wanawake walitoa milio na miguno, ili kukabiliana na kuboheka, uchovu, na maumivu wakati wa tendo la ndo, kwahiyo basi wanaume inabidi kuwa makini kwani wakati mwengine kumbe mtoto wa watu ana umia! Au pengine yupo kwenye zile harakati za kukuzuga, ili ujione “Kijogoo”?
Wataalamu wanaendelea kusema kwamba tatizo kubwa ni kwamba jamii imefanywa kuamini kwamba milio wakati wa tendo la kujamiiana huusishwa na mwanamke kufika kileleni au kufurahia tendo hilo, kiasi kwamba imefikia wanawake kuona ni busara kudanganya (fake) kwamba wamefika kileleni (wakijua fika kwamba mwanaume tayari ana amini hivyo) wakati kumbe hawajafika popote.
Wataalamu wanaonya kwamba sio busara kwa wanawake kudanganya kwamba wamefika kileleni, kwani kufanya hivyo kunapelekea wanaume kufikiri kwamba wanafanya kila kitu sawa wakati wa mapigo, wakati kumbe sio. Mwalimu wa elimu ya kujamiiana, Patty Brisben, anashauri kwamba wanawake watumie miguno/milio kama “njia ya kuonyesha kwamba wanafurahia tendo, lakini sio njia ya kuficha kama tendo hawalifurahii.”
Kuficha au kutokuficha, wataalamu wanasema kwamba suala la kutoa milio/miguno wakati wa tendo la kujamiiana sio suala la binaadamu peke yao, utafiti kwa wanyama umebaini kwamba hata manyani jike (baboons) hutoa milio fulani kabla au wakati wa tendo hilo. Nyani jike hutoa milio fulani kuhashiria kwa nyani dume kwamba yupo tayari kwa tendo hilo na pia manyani jike huongeza milio wakati wanajamiiana na nyani dume, ambae ana cheo katika kundi lao (higher-ranked male baboon). Zaidi ya hayo, nyani jike aina ya “Macaque” amebainika pia kutoa milio/miguno wakati wa tendo hili nyeti, ili kumfikisha mwenza wake kileleni haraka!
Mwisho wa yote wataalamu wanamalizia kusema kwamba suala la kuridhishana kimapenzi (tuite “ukijogoo” wa mwanaume au vinginevyo), ni suala muhimu kwa pande zote mbili, yaaani mwanaume na mwanamke. Kwahiyo basi, suala la kutoa milio sio tu suala la mwanamke kudanganya au kufanya mambo asiyotaka, bali ni suala la kuwepo “hai” (sexually present) (mara ngani umeshasikia wanaume wa kitanzania wakilalamika kuhusu wanawake wanaokaa kama “gogo” au “kusoma gazeti” wakati wa kujamiiana??) wakati wa tendo hilo na kubadilishana mahaba na mwenza wake.
Mwisho kabisa, wanasema, “wote (wanaume na wanawake) tutoe milio!”
Je unakubaliana na utafiti huu?
Source: CNN Health
MWANAMKE WAKO ANAKUFANYIAGA HAYA?????? MKIWA KITANDANI *🅱 professional love*  KAMA wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio na miguno hiyo. Ni nini basi kinachopelekea milio na miguno hii kutolewa? Je milio na miguno hii ni ya kweli au ni zuga tu, ili kumfanya mwanaume ajisikie “kijogoo“? Baadhi ya wataalamu wa masuala ya kujamiiana na mapenzi walijiuliza pia maswali hayo. Mwaka jana, Gayle Brewer wa Chuo Kikuu cha Central Lancashire na Colin Hendrie, wa Chuo Kikuu cha Leeds waliibuka na utafiti wao waliouita “Copulatory Vocalization“ (kwa tafsiri nyepesi-“Milio/sauti za kujamiiana”). Katika utafiti huo, waliuliza wanawake 71 ambao wanashiriki tendo hilo mara kwa mara (sexually active) kati ya umri wa miaka 18 na 48 kwa ajili ya kupata undani zaidi wa suala hili la kutoa milio wakati wa kujamiiana. Wataalamu hao waliweza kubaini kwamba wengi wa wanawake hao walikuwa wanatoa milio, lakini sio tu wakati wanafika kileleni (orgasm), bali 66% walisema walitoa milio, ili kuharakisha wanaume zao kufika kileleni, na 87% walisema kwamba walitoa milio, ili kumfanya wanaume ajisikie “Kijogoo” (boost his self-esteem). Wataalamu hao waliongeza kusema kwamba “Wakati mwanamke kwa kawaida hufika kileleni wakati wa kutomasana, mara nyingi milio ya kujamiiana imeripotiwa kutokea mara kwa mara kabla au sambamba na wakati ambao mwanaume anafika kileleni“. Walisema pia katika utafiti wao imebainika kwamba wakati mwingine wanawake walitoa milio na miguno, ili kukabiliana na kuboheka, uchovu, na maumivu wakati wa tendo la ndo, kwahiyo basi wanaume inabidi kuwa makini kwani wakati mwengine kumbe mtoto wa watu ana umia! Au pengine yupo kwenye zile harakati za kukuzuga, ili ujione “Kijogoo”? Wataalamu wanaendelea kusema kwamba tatizo kubwa ni kwamba jamii imefanywa kuamini kwamba milio wakati wa tendo la kujamiiana huusishwa na mwanamke kufika kileleni au kufurahia tendo hilo, kiasi kwamba imefikia wanawake kuona ni busara kudanganya (fake) kwamba wamefika kileleni (wakijua fika kwamba mwanaume tayari ana amini hivyo) wakati kumbe hawajafika popote. Wataalamu wanaonya kwamba sio busara kwa wanawake kudanganya kwamba wamefika kileleni, kwani kufanya hivyo kunapelekea wanaume kufikiri kwamba wanafanya kila kitu sawa wakati wa mapigo, wakati kumbe sio. Mwalimu wa elimu ya kujamiiana, Patty Brisben, anashauri kwamba wanawake watumie miguno/milio kama “njia ya kuonyesha kwamba wanafurahia tendo, lakini sio njia ya kuficha kama tendo hawalifurahii.” Kuficha au kutokuficha, wataalamu wanasema kwamba suala la kutoa milio/miguno wakati wa tendo la kujamiiana sio suala la binaadamu peke yao, utafiti kwa wanyama umebaini kwamba hata manyani jike (baboons) hutoa milio fulani kabla au wakati wa tendo hilo. Nyani jike hutoa milio fulani kuhashiria kwa nyani dume kwamba yupo tayari kwa tendo hilo na pia manyani jike huongeza milio wakati wanajamiiana na nyani dume, ambae ana cheo katika kundi lao (higher-ranked male baboon). Zaidi ya hayo, nyani jike aina ya “Macaque” amebainika pia kutoa milio/miguno wakati wa tendo hili nyeti, ili kumfikisha mwenza wake kileleni haraka! Mwisho wa yote wataalamu wanamalizia kusema kwamba suala la kuridhishana kimapenzi (tuite “ukijogoo” wa mwanaume au vinginevyo), ni suala muhimu kwa pande zote mbili, yaaani mwanaume na mwanamke. Kwahiyo basi, suala la kutoa milio sio tu suala la mwanamke kudanganya au kufanya mambo asiyotaka, bali ni suala la kuwepo “hai” (sexually present) (mara ngani umeshasikia wanaume wa kitanzania wakilalamika kuhusu wanawake wanaokaa kama “gogo” au “kusoma gazeti” wakati wa kujamiiana??) wakati wa tendo hilo na kubadilishana mahaba na mwenza wake. Mwisho kabisa, wanasema, “wote (wanaume na wanawake) tutoe milio!” Je unakubaliana na utafiti huu? Source: CNN Health
Artikel Terkait
Hatua 5 za kuzungumza na mpenzi wako aliyekasirika Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawada kipindi hiki huwa ni za hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefura kwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi na pengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasa yule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua za kuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafuko na kuleta amani kwenye mapenzi. Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika. MPUNGUZE MHEMKO Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi. MSOME SAIKOLOJIA YAKE Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira. MRUHUSU AKUJIBU Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake. EPUKA MARUMBANO Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano. MUOMBE MSAMAHA Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya kumazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane.” Bila shaka kwa haya machache msomaji wangu utakuwa umejifunza na kuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako. Leo niishie hapa, nikushukuu kwa kunisoma. Kaa mkao wa kura, kile kitabu bora cha mapenzi nchini TITANIC, TOLEO LA NNE, kitakuwa mtaani hivi karibuni. Usikose nakala yako. ... Read More
SEHEMU 4 za Mwili Usizopaswa Kumshika Mkeo Nyakati Hizi 18+  Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa. Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa mahusiano na ndoa waliofanya mahojiano na wanawake kama kuna sehemu wazisopenda kuguswa na waume zao na nyakati husika, umetoa picha na mtazamo ambao wanaume wanapaswa kuufahamu mapema kabla hawajaingia katika hatari ya kuwa kero au kuwakwaza wake zao. Kama tunavyofahamu, wanawake ni viumbe wenya mlango mmoja wa ziada wa fahamu kuwapita wanaume. Hii nitaizungumzia siku nyingine. Lakini mlango huu wa ziada ndio huwapa hisia ya ziada pamoja na kuwafanya kujali sana vitu ambavyo mwanaume hasa mwenye haja ya kufanya tendo anaweza asizingatie sana anataka kukidhi haja yake. Ukifuatilia sehemu hizi za mwili wa mwanamke nitakazozitaja na nyakati zake, utabaini kuwa ni rahisi sana kufahamu kwani mwanamke katika nyakati hizo anaweza kuonesha kusita sana wakati anataka kuguswa. 1. Chuchu wakati miili yao inaendelea na shughuli nyingine za ndani Idadi kubwa ya wanawake huwa hawapendi kuguswa na wanaume chuchu zao wakati wananyonyesha au wakati wako katika hedhi. Hiki ni kipindi ambacho kama mwanamke ananyonyesha na mwanaume anataka kumgusa sehemu hiyo basi maziwa yanaweza kutoka kwa kasi na kumfanya ajisikie hayuko ‘confortable’ kuendelea na zoezi la kushiriki tendo. 2. Kwapani wanapokuwa wanatoka jasho kabla ya kuoga Wanaume wengine huwa na hisia za matamanio zaidi wanapoyaona makwapa ya wake zao. Hii ni hali ya kisaikolojia inayojengeka kwa baadhi japo sio wengi. Kuna wanaume wakiona kwapa la mwanamke basi matamanio yao huongezeka mara dufu. Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hujisikia vibaya na kukosa amani pale wanaume zao wanajaribu kuwashika kwapani wakati ambapo wametokwa jasho. 3. Sehemu za siri kabla ya kuoga Hili ni eneo ambalo wanawake wengi wameonesha kulalamikia waume zao. Kwa mazoea wanaume wengi huwa kama wanawabaka wake zao bila kufahamu, hasa pale wanapotoka safari zao wakiwa na matamanio. Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hupoteza hali ya kuwa ‘comfortable’ pale wanapoguswa na wanaume zao sehemu za siri wakati bado hawajaoga. Wanaume wengi hujikuta wakishiriki tendo la ndoa na wake zao ghafla baada ya kukamilisha kazi kadhaa za ndani wakati wanawaangalia. Wanaume wanaweza kuwa wanafurahia zaidi tendo hilo lakini wanawake pamoja na kwamba hufurahia pia lakini mlango wao wa ziada wa fahamu huwafanya kukosa amani kwa kiasi fulani wakati wa tendo ukilinganisha na nyakati ambazo wanajiamini ni wasafi. 4. Nywele zao dakika chache baada ya kutoka saloon kujiremba Ingawa unaamini kuwa mkeo alienda saloon kujiremba kwa ajili ya kukuvutia wewe, usithubutu kutaka kuzivuruga nywele zake dakika chache baada ya kutoka kwa mtaalam wa kutengeneza nywele, hata kama pesa aliyotumia ulimpa wewe. Hiki ni kama kituko hivi, lakini ndio ukweli. Wanawake hutumia muda mrefu sana kwenye vibanda au saloon za gharama kwa ajili ya kujiremba ili waongeze mvuto. Lakini, hugeuka kuwa walinzi wa vichwa vyao angalau kwa saa kadhaa. Msifie uwezavyo, lakini nywele zake usizivuruge mapema mtaharibiana ‘mood’. Haya ni kati ya mambo machache ambayo wanaume huyaona madogo sana na kufuatilia yale wanayoamini ni makubwa zaidi. Lakini mambo haya ni kati ya machache yanayokwangua taratibu kuta za hisia za mwanamke kwa mmewe. ... Read More
Mimba kuharibika na Sababu zake  Tatizo la kuharibika kwa mimba limekuwa tatizo kubwa, na limekuwa likiwatesa wengi, kama we ni mongoni mwa watu hao nakusihi usome makala haya ili kuepukana na matatizo haya. Somo hili ni mahususi kwa sababu waawake wengi wamekuwa wakaiharibikiwa na mimba bila kujua sababu. Na zifuatazo ndizo sababu za kuharibika kwa mimba. 1.Mama anapokuwa na matatizo uvimbe (fibroid), huweza kuwa na madhara na kusababisha mimba kuharibika mara kwa mara. 2. Uzito mkubwa (unene) Nayo huweza kuchangia tatizo hilo kinachohitajika ni kuwa na uzito unastahili kulingana na mhusika mwenyewe. Pia inasadikika kuwa uwepo wa manyama uzembe tumboni ni chanzo pia kwa kuharibika kwa mimba kwani, mtoto hukaa kwa shinda. 3. Historia ya kuharibika mimba mara kwa mara Mama aliepata kukumbwa na hali hii ya kuharibika kwa mimba 'miscarriage' zaidi ya mara 2 anauwezo mkubwa wa kuharibika kwa mimba yake kila anaposhika. 4. Utoaji mimba Mwanamke anapotoa mimba mara kwa mara kizazi huweza kuchangia kizazi chake kushindwa kuhimili kubeba mimba zinazokuja mbeleni kwa miezi tisa, hivyo epuka kutoa mimba. 5. Matumizi ya Pombe,Sigara Wanawake wanaotumia vilevi hivyo nao huwa katika hatari ya k?kumbwa na tatizo hili, hivyo ni vyema kuepuka matumizi ya vitu hivyo. 6. Magonjwa sugu Mama anapokuwa anazongwa na magonjwa sugu kama kisukari , moyo nk huweza kuwa chanzo cha tatizo hili pia. ... Read More
NIFANYE NINI ILI MUME WANGU AWE NA HAMU NAMI?  Mume wangu anasema ananipenda sana, nami nampenda sana. Tuna watoto wawili wa kiume. Nimejaribu kila kitu cha kumfurahisha, kama vile kuvaa vizuri, kuandaa chakula kizuri akipendacho na kinywaji lakini Lakini mwenzangu haonekani kuridhishwa na jitihada zangu. Baada ya chakula cha usiku huwa tunakaa na kuangalia Luninga huku tukiwa na vinywaji. Lakini cha ajabu nikimsogelea na kutaka niwe karibu naye ananiepuka. Yaani HATAKI hata nimguse ni kama NINANUKA au ninamsumbua vile. Je, tatizo ni nini hasa, Je nanuka? Najiuliza na jibu sipati….Alimalizia kusema huyu mama huko chozi likimdondoka…...... Naam mara nyingi hivyo ndivyo inavyokuwa kwa sisi wanawake pale tukutanapo, si jambo geni sana kwa sisi wanawake kushirikiana kihisia. Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanamke akimsimulia shoga yake anayemuamini juu ya madhila yake. Yote hiyo ni katika kutafuta nafuu na kuondokana na msongo wa mawazo. Mara nyingi simulizi nyingi zinazowakutanisha wanawake ni zile zinazohusiana na mambo ya Ndoa, mahusiano, watoto au mambo ya kifamilia kwa ujumla, mara nyingi tunatamani kupata mahali pa kulinganishia, ili kutaka kujua kama tatizo nililo nalo lina ukubwa kiasi gani. Ni hivi majuzi nikiwa kazini na mfanyakazi mwenzangu ndipo aliponieleza kile kinachomsibu kwa muda mrefu sasa, inavyoonekana, ni jambo ambalo alikaa nalo muda mrefu akijaribu kupambana nalo kimya kimya huku likiendelea kumtafuna, dada huyu wa Kiswidish. Ili kujiridhisha na kutaka kujua ukweli halisi nikamuuliza kama amemuuliza mume wake jambo hili akajibu amefanya hivyo na jawabu alilolipata ni kwamba, mume wake huwa anachoka. Yaani kazi zake ni nyingi pia malezi ya watoto yanamchosha. Nikamuuliza kama hawawezi wakati wa wikiendi watoke ili kuwa peke yao? Hapo nikapata jibu ambalo sikutegemea. Alidai kwamba akisema hivyo mume wake anaona kama yeye anaamua nini wafanye. Huyu mama akaendelea kusema, mimi ni binadamu Yasinta.,,,,,,,,,, Na nahitaji tendo la ndoa na sitaki kutoka nje kwani nampenda sana mume wangu. Nami sikuachia hapo kama mnavyonifahamu na u-Kapulya wangu nikamuuliza kama tatizo hilo lina muda gani au limeanza siku za karibuni? Mama yule akashusha pumzi, akaniangalia kwa jicho la huzuni, kisha akajibu kuwa inatokea wanafanya tendo la ndoa mara moja kwa mwezi na hapo ni ile ya haraka haraka na halafu baada ya hapo mume wake anampa mgongo na kulala . Hapo….akasita kidogo …nikamuuliza ulitaka kusema nini? Akaendelea unajua Yasinta mwanamke anahitaji kuandaliwa kwanza, mimi huwa siandaliwi kabisa........ Mweh! Nikaona makubwa haya ......nilikosa Jawabu la kumpa kwa kweli, nikabaki kuguna tu. Hata hivyo nilijaribu kumshauri aende kwa washauri nasaha wa masuala ya Ndoa na mahusiano, lakini akadai kuwa mumewe ni mkaidi na hawezi kukubali. Mwenzenu swala hili limenishinda maana sijui nimsaidieje! Je Wewe kama msomaji unaweza kunisaidia ni ushauri gani nimpe mama huyu, ili awe na furaha katika Maisha ya ndoa yake? Ushauri tafadhali........... ... Read More
HIVI UNAIJUA MAANA YA MAPENZI VIZURI AMA.......???  Jina mapenzi limeweza kupewa maana nyingi kulingana na maongezi yanayozunguka jina hilo. Mapenzi yaweza kusemwa kwamba ni jina linaloonyesha hisia za mtu iwe mahaba, pendo kwa mtu ama upendo wa Mungu. Mara nyingi watu wengi hukosea kwa kuchambua mapenzi katika mahaba pekee. Watu wengi hudhania mapenzi huwa yanahusisha moyo wa binadamu, lakini hakika ni kwamba huhusisha ubongo wa mwanadamu. Kuna aina nyingi za mapenzi ambazo binadamu huonyesha katika maisha yao wanapoendelea na shughuli zao za kila siku. Kama binadamu sisi husahau aina nyingine za mapenzi kwani wengi wetu hawajui neno mapenzi lina maana nyingi. Kwa kufafanua mapenzi yapo na aina zifuatazo Mapenzi ya kimwili (Eros) Aina hii ya mapenzi ni ya kimahaba. Kwa mfano mwanamume kumtamani mwanamke ama vile vile mwanamke kumtamani mwanamume kwa hamu ya ngono. Hapa mapenzi huwa yanayoendelezwa na hisia za kumtaka yule mwingine kimapenzi. Hii ndio aina ambayo watu wengi duniani hudhani ndio maelezo kamili ya mapenzi ill hali hii ni moja yapo ya zingine nyingi. Aina hii ya mapenzi ni muhimu kwa watu wanaoanza kutongozana ama watu wanaofikiri kuwa katika uhusiano. Mapenzi ya Urafiki (Philia) Aina hii ni ambayo inavutiwa na mtu kukufanyia kitendo kizuri ama kukusaidia ama ni mtu mzuri kwa ujumla. Mapenzi hapa yaweza kuwa kwa ndugu ama rafiki yako mzuri. Mapenzi haya huwa sana ambapo mtu wanashiriki maadili sawa na mwenzake na kwamba hisia zao sinaambatana ama mmoja anapokea matendo sawia na yale anamwelekezea yule mwenzake. Mapenzi ya aina hii yanaenziwa sana duniani. Wataaluma huamini kwamba mapenzi ya urafiki husaidia kutoa tamaa ya mwili na kuzingatia kufahamiana zaidi kwa marafiki na dunia kwa jumla. Mapenzi ya Familia(Storge) Aina hii ya mapenzi ni inayoonekana na wazazi kwa watoto wao na pia kutoka kwa watoto kwa wazazi. Aina hii hutofautiana na ya urafiki kwani haizingatii kile mtu anachokutendea bali uhusiano wa kidamu na vile wazazi na watoto wao wanavyotegemeana. Sifa za binafsi hazizingatiwi hapa ili wazazi waonyeshe wanao hisia hizi. Uhusiano wao huchangia kwa mapenzi haya. Mapenzi haya huhusishwa na mtu kujiskia yuko huru na salama. Mapenzi ya Kujitolea(Agape) Aina hii ya mapenzi inazingatia asili, mapenzi kwa Mungu au miungu na mapenzi kwa usiowajua. Hii ni mapenzi ya kujitolea kwa ubinafsi ama mapenzi ya ubinadamu. Aina hii inahusishwa na kuto tarajia malipo au kitu chochote kwa matendo unayoyafanya. Yaani ni mapenzi yakujitolea mhanga. Aina hii ya mapenzi hutusaidia kuwapenda watu tusiowajua na kusaidiana kibinadamu kwa hali yoyote ile. Dunia yastahili kuwa na aina hii kwa wingi ili tukaweza kukaa kwa amani na furaha. Mapenzi kwa Mungu ama niungu pia huwa katika aina hii. Kumwabudu Mungu aliye binguni ni mfano mmoja wa kueleza aina hii. Mapenzi Changamfu (Ludus) Aina hii ya mapenzi ni mapenzi yasio na dhamira yoyote na ma mzaha tu. Mapenzi haya hayana masharti hata kidogo. Mfano wa aina hii ya mapenzi ni kama mtu anovyomtongoza mwingine, kupinga densi na kucheza. Aina hii ya mapenzi haina mambo mengi kwani huwa ni kawaida tu. Aina hii huwa sawa kwa watu wanaojitosheleza kimaisha. Aina hii ya mapenzi huwa gumu wakati mtu mmoja hufasiri kwamba mwingine ana hamu ya kimwili. Inafaa watu waweze kuelewa kama wanahamu zaidi na raha na kufurahi tu. Mapenzi Madhubuti(Pragma) Aina hii ni mapenzi ambayo yako na msingi wa wajibu wako kwa mwingine na wa kuzingatia maslahi ya mwingine ya siku za usoni. Mfano mwema ni kwa wapenzi ambao wako katika ndoa. Aina hii inahusishwa na uvumulivu na maelewano kati ya walio katika ndoa. Aina hii ya mapenzi hukuzwa kwa muda wa miaka kadha na ndio maana yaitwa madhubuti ya ka kudumu. Mvuto wa kimwili sana hauzingatiwi katika aina hii ya mapenzi bali kujengana kimawazo na kufanya maisha yao kuwa bora zaidi. Kinyume na aina zingine za mapenzi mapenzi madhubuti huzingatia pande zote mbili za wapenzi wawili. Lazima wewe wanapendana ama kuwa na mafikira na dhamira sawia. Mapenzi ya Kibinafsi (Philautia) Mapenzi haya ni ya mtu binafsi. Aina hii ya mapenzi huwa ina matokeo mawili, yaweza kuwa nzuri ama ya kudhuru. Upande mbaya wa aina hii huwa kwa ile hali ya ubinafi, kutafuta umaarufu na kutafuta utajiri na hufanya mtu kujiona ana dhamana kuliko mtu mwingine yeyote. Upande huu hufanya mtu akajiona yuko mkubwa kuliko mungu. Pia kuna upande mzuri wa aina hii ya mapenzi ambao inahusiana na mtu kujijua, kwa kufahamu uwezo wako na kujidhamini kwa uzuri wako na unachoweza kufanya. Kwa uhusiano wowote, huwezi kumpenda mwingine kama wewe mwenyewe hauna mapezi ya kibinafsi. Kwa kujipenda kwanza ndio tunaweza kupenda wengine na kuwatunza vizuri maishani. Aina hii ni muhimu sana kwa maisha ya kila mwanadamu. Mapenzi ya kibinafi humsaidia mtu kujua mazuri na mabaya na kupanga maisha yake kwa nji inayostahili. Mapenzi ya kibinafsi humwongezea mtu hali ya kujiamini na kujidhamini. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi huweza kuelewana sana na watu wengi kwa vile kwa kujidhamini watu pia hukudhamini. Hii husaidia kwa vile mnaelewana na watu kazini, nyumbani na mahali pengine ambapo mnapatana. Watu waliyo na mapenzi ya kibinafsi hawahitaji kujigamba ili watu wawajue ama kujionyesha kwa watu. Uzuriwao hujionyesha kwa wanayofanya na wanavyoongea. Watu wanaojipenda kibinafsi huwa wako huru kwa mambo mapya na uwazi. Uchambuzi na ufahamu wa mapenzi ni nini husaidia kila mwanadamu kutambua aina gani anafaa kuwapa watu kwa kila wakati na aina gani ya mapenzi kutupilia mbali. Mwanadamu anaweza penda ila kwa hiari yake. Haina maana lazima mtu akupende ndio umpende nawe. Kila mwanadamu anauwezo wa kumpenda mwingine ama kitu anachotaka hata kama yeye mwenyewe hajapatiwa mapenzi hayo. Lazima kama mwanadamu kufanya mapenzi kama kitu cha kawaida kwa kila tunachofanya maishani. Iweke iwe sehemu ya maisha yako na utu wako. Pia ni muhimu kuwa na aina hizi zote za mapenzi kwa uhusiano kwa kila siku na watu wengine ilituweze kuishi maisha marefu. Kama binadamu, mapenzi ya muhimu sana ni yale ya kujitolea na yale ya kibinafsi. Unapokuwa na mapenzi yasiyo tarajia kitu chochote na mapenzi yako mwenyewe ndio utaweza kuwapa watu mapenzi hayo mengine. Tukiweza kushikilia aina zote zingine za mapenzi kwa mahusiano yetu basi tutakuwa na maisha marefu na yenye kufana. Mapenzi ni kitu muhimu maishani na ni sharti yaenziwe na kila mwanadamu. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: