Mwanaume kwa MWANAMKE HATUNAGA UJANJA ni vile tu wanawake wa siku hizi mnapendaga KULALAMIKA.... Mwanamke anaye jijuwa kuwa ni MWANAMKE hapotezi sekunde kuvuruga penzi lake, Mwanamke alipewa nguvu ya tofauti sana katika mapenzi, Mwanamke akijitambuwa na kuusimamia umwanamke wake HAKUNAGA MWANAUME WA KUFURUKUTA KWAKE ni vile tu dada zetu na mama zetu wa sasa MMEJIKITA KI MASLAHI ZAIDI mwisho wa siku Mapenzi mnayafanya kama ziada na hilo limewapelekea wanaume kuhisi mnawachuna ndo maana nao wamejikita KUPIGA NA KUONDOKA! Mwanamke akisimamia penzi kamwe hawezi kujutia PENZI ALILOPO maana wanaume sisi mnazijuwa akili zetu zilipo.

at 8:18 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top