MUME NI MTAMU NA NYAYO ZAKE NI PEPO👣 🌹MTUNZE MUMEO🌹 👣Nyayo za mume hua vipi??? zitizame nyayo za mumeo,zihurumie nyayo zake,zipambe nyayo zake,hlfu zibusu nyayo zake Vifaaa: Beseni safi,maji moto yalio safi tia katika jag au bakuli dogo,chukua unga wako wa singo tia maji ya mawardi, na kitaulo kidogo kilicho safi,soski na mafuta ya babycare,sabuni ya kuogea,na chicha safi za nazi,kiwembe cha kukatia kucha, na km anakea muekee kinoleo cha kusugulia kea ❤MTUNZE MUMEO❤ NJIA: bwana mueke juu ya kitanda miguu ashushe chini muekee beseni mnawishe miguu yake kwa sabuni na maji moto yaliozimulia unayatia na tonye la mix maji yanukie ili kutoa vumbi, na km ana kea mpake povu la sabuni visigino vyake na upare kea taratibu kw kikoleo ikisha kua tayar mkoshe miguu na kayamwage maji na mfute maji miguu iwe kavu 👣chukua chicha za nazi msugulie miguuni kuanzia nyayoni na kwenye vidole,kwenye visigino,mpk juu ya kifundo na kwenye kucha ili kutoa nongo chicha zinatoa nongo na kulainisha ngozi,ikisha kumsugua mpanguse miguu vizuri asibakiwe na chicha 👣chukua unga wako wa singo tia maji ya mawardi hlf msugue taratibu kwa incha ya kidole gumba,msuguwe mpk mwenye vidole na kucha zake,vifundo pia uvisugue vitoke masuguru,na nyayo zake utamsugua km dakika 5 hlfu utaliwacha singo limkaukie, 👣hlfu utamnawisha kwa maji ya vuguvugu uliyoyatia mix na yasiwe yamoto wala yasiwe ya baridi Hlfu utamfuta nyayo zake kwa kitaulo safi,ikisha utampunguza kucha zake na kuziweka sawa hlf utampaka mafuta ya baby care kuanzia nyanyoni,visiginoni mpk juu ya kifundo hlf mvishe soski afanye joto kidogo nyayo zizidi kulainika km mda wa dakika 5 👣baadae mvue soski,papasa miguu yake,mbusu...💋💋💋 Utamfanyia hivo kila baada ya wiki,hizo ndio nyayo za waume zinavotakia kutunzwa na kupambwa.. MTUNZE MUMEO..🌷

at 12:55 PM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top