_JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA.._ .. *Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?* ...' *Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??* ... *Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje?* .. *Unamtongoza Mwanamke Miez Mitatu Akikukubalia Unafanya Nae Ngono Ukiwa Umevaa Kondomu Kwanini? Kama Ulijua Kuwa Mwanamke Huyo Ni Hatari Kwa Afya Yako Kwanin Ulipoteza Muda Wako Kumtongoza??* .. *Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe!* .. *Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula Mavi??* ... *Anakata Mti Anategemea Karatasi Halafu Juu Ya Karatasi Anaandika "USIKATE MTI"* .. *Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako* *Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa Serious Bwana* ___ongeza Yakwako

at 1:59 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top