Home → Love sms
→ *💛💛LIMBWATA LA KUOLEWA💛💛*
*Heeeeeeeeiiiiiyaaaaa mwali weeeee kuolewa ndio bahati ila miundo mbinu muhimu upoooooo👌🏻*
*Ukijituma Mungu atakushika mkono mwaliiii sasa kaa hapo km kimba la asubui ukisubiri bahati wakat wenzio kila wiki wanafunga ndoa upoooooo👌🏻*
*Mwali mwanaume umpendae mvizie akianika nguo yake yoyooteee kachomoe kauzi tu mwaliiiii👌🏻*
*Chukua ako kauzi kakionganishe na kinyuzi chochote cha chupi yako*
*Kisha kila ukitaka kulala unaivaa hiyo chupi na kabla ya kulala ukishaivaa tamka majina ya huyo mwanaume mala saba*
*Tamka majina yake matatu mwaliii*
*Fanya hiyo dozi siku 7*
*Ulete mrejesho wa kadi humu upoooooo👌🏻*
*
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: