Home → Love sms
→ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
*๐HII NI KWA WANAUME๐*
..... Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza...?
....... Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao.
๐ *Vichekesho Kweli* : mnatarajia kuvuna wakati hamjapanda ?
Mnatarajia vielee nakati hamjaviunda...?
Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani) atapendeza ...?
๐Wewe ukisha nunua roba la mchele, mafuta, unga, na mkaa unahisi ndio Ushamaliza , Halafu eti unamlaumu mke hapendezi...
๐ Kubwa zaidi unarudi kwako bila ya taarifa , Sasa ajipambe saa ngapi ?
๐Hembu mume jijengee mazowea Kabla hujatoka kazini mpigie Simu mwenza wako Mwambie *mke wangu kipenzi, my sweety, my love, mama watoto wangu* saivi ndio natoka kazini baada ya mda Fulani ivi nitakuwa nishafika nyumbani...
๐ Uone ukirudi kama hujamkuta mke kesha oga , kajipamba , ananukia na anapendeza kwa ajili yako..
*Ugonjwa wakujitakia hau ambiwi pole*
๐คWanaume badikikeni, andaa mazingira ya mke kupendeza alafu kama ajajipamba na vitu vipo ndio uanze mlaumu...
Shukra
๐๐๐๐๐๐B
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: