NILIVYOFANYA INTERVIEW NA LUSIFA 16
Alianza kunieleza kuwa mchoro ule mwanzo wake ni kutoka kwenye kitabu cha Mfalme Suelemani, “The Lesser Key of King Solomon’ ambapo mchoro huo ulitumika kumfungia mfalme wa majini ya Mashariki aliyeimrubuni mfalme Suelemani kwa kumpoka ufalme wake akichukua sura yake.
Alinielekeza kuwa wachawi na viumbe wanaotumia uchawi mweusi, huugeuza mchoro huo na kuuweka pembe yake kugeukia chini. (nimeambatanisha hapo juu)
Kama hiyo haitoshi Shehe akanieleza kuhusu vitunguu saumu, akasema kuwa vitunguu hivi ni moja kati ya mimea ya awali kabisa kuumbwa na Mungu ambayo ilipandwa kuuzunguka ule mti wa katikati wa bustani ya Eden ambao Mungu alimkataza Adam asile, hapo utaelewa kuwa ndipo shetani alipofungiwa asivuke.
Vitunguu hivi huweza kumfukuza shetani mbaya, mchawi, jini na hata mizimu yenye nia mbaya. Hivyo basi kwa kumuingiza Jay Love ndani ya hii pentagram na kumzungushia hivi vitunguu saumu kunamfanya ashindwe kufanya kitu chochote kibaya juu yetu.
“Kama unabisha unaweza ukajaribu kuwaza kumfanyia jirani yako ubaya halafu tafuna hii tembe moja ya kitunguu saumu utaona wazo lako baya likiondoka lenyewe na utajikuta ukishindwa kufanya chochote kibaya, “ alisema Shehe na kuongeza kuwa vitunguu hivyo husafisha pia damu chafu na kudai kuwa kwa wale wanaotumia saumu kwenye chakula huepushwa na mabaya mengi kuliko wale ambao hawatumii kabisa.
Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
ReplyDeleteAnasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159