SIMULIZI: JINA LA URITHI SEHEMU YA NANE(08) ⚪⚪⚪ILIPOISHIA⚪⚪⚪ uchovu,,akaangaza macho yake huku na kule kutafuta mti wenye kivuli,angalau ajipumzishe,,, akafanikiwa kuona mti mkubwa akaamua kuufuata mti huo,,akajipumzisha....Laula akajikuta anazama kwenye dimbwi la mawazo mazito akanyanyua uso wake kutazama kando,,,akashtuka kuona eneo hilo kama alishawahi kuliona,,na sio mara ya kwanza,,alipojaribu kuvuta kumbukumbu,,,akastaajabu sehemu hiyo ni eneo la makaburi aliyoyaona ndotoni usiku wa jana! akanyanyuka harakaharaka....akazipiga hatua kuelekea katikati ya makaburi...huenda akaliona lile kaburi laliloliona kwenye ndoto...punde si punde akasikia sauti ya vishindo vya mtu akitembea nyuma yake!!!! TAHARUKI!!!!! ⚪⚪⚪ENDELEA⚪⚪⚪ hofu ikazidi kuongezeka,,akaogopa kugeuza shingo yake,,hakutamani hata kushuhudia, mtu aliyekuwa nyuma yake,,mapigo ya moyo yakaanza kupiga kwa kasi ya ajabu,,jasho likaanza kumtoka! mwili wa Laula ukaonyesha kutetemeka....punde si punde vile vishindo hakuvisikia tena..akaamua kugeuza shingo yake,lakini hakuona mtu yeyote! akaangaza angaza macho yake huku na kule,kwa mbali akahisi kama kamuona mtu anaishilizia mtu huyo alionekana ni mzee kikongwe! akamtambua mtu huyo kutokana na mavazi aliyoyavaa kikongwe huyo,,si mwingine ni yule babu yake! Upande mwingine kule kijijini,,alionekana mkuu wa kijiji ,akiwa tayari kamuita mganga mchawi apige tunguri,,kujua chanzo cha miujiza iliyoonekana kijijini hapo! mganga huyo ni moto wa kuotea mbali,,,aliaminika kuwa hakuna jambo aliloshindwa kulifanya! mganga akasema,,"nahitaji muda niachwe peke yangu, naweza kupata chumba? mkuu wa kijiji akasema,," chumba kipo...aliongea maneno hayo huku akiongozana na mganga,kuifuata nyumba iliyokuwa jirani na shamba,,,akafungua mlango kisha akauliza,,"nadhani chumba hiki kitakufaa. mganga akajibu,,"bila shaka. mkuu wa kijiji akazipiga hatua akaondoka na kumuacha mganga akiwa peke yake! mganga huyo akavua nguo zake zote akabaki mtupu kama alivyozaliwa! kisha akatoa zana zake za kichawi tayari kuianza kazi yake ya uganga! akachukua pembe la ng'ombe,,,akanyunyizia dawa ya kichawi ndani ya pembe hilo....kisha akaanza kuongea lugha ya kichawi huku akazunguka ndani ya chumba hicho...alifanya hivyo kwa mara kadhaa....kisha akatabasamu,,akavaa nguo zake,,na kutoka nje ya chumba hicho. wakati huo wazee wa kijiji pamoja na baadhi ya wanakijiji,,wakiambatana na mkuu wa kijiji,,walikuwa wamesimama nje wakisubiri majibu ya mganga huyo....wakamuona anatoka ndani ya chumba hicho... mganga akazipiga hatua kuwafuata kisha akasema,,"msiwe na wasiwasi mimi ndiye SAGALI wa SAGALI...nimeshaweka mtego wa hatua ya kwanza,,mtego huo ni maalumu....kwa yeyote aliyehusika na mambo hayo lazima apatwe na maumivu makali kwenye mwili wake, pia atakuja mpaka hapa yeye mwenyewe na kuongea kila kitu alichowahi kukifanya ndani ya kijiji hiki. wakati huo huo,,kule makaburini alionekana Laula akiwa bado kwenye taharuki, akatafakari nini cha kufanya,,ghafla wazo likamjia,akageuza shingo yake kutazama tena,ule upande aliomuna babu yake, Laula aliendelea kukodoa macho yake huenda akamuona babu yake,,lakini hakufanikiwa kumuona..akajisemea moyo,,"lakini hili kaburi lililopo mbele yangu ndio lile ninililoliona jana kwenye ndoto..alijisemea maneno hayo huku akilisogelea kaburi hilo,,akajiuli,,"hili kaburi ni la nani? punde si punde akaanza kuhisi maumivu makali tumboni! Laula akashindwa kuvumilia,,akaamua kuketi juu ya kaburi hilo,,huku akiwa ameweka mikono yake tumboni! kadri dakika zilivyozidi kusongo ndivyo maumivu yalizidi kumuandama....akanyanyuka na kuvua suruali,,ni ile suruali aliyoitoa kwenye sanduku la nguo za baba yake... wakati Laula anachuchumaa lile jino likadondoka pale juu ya kaburi! lakini Laula hakuona kitendo hicho,kutokana na maumivu makali aliyokuwanayo! punde si punde,,maumivu yakatoweka,,na tumbo lake likarudi katika hali yake ya kawaida! akanyanyuka na kuvaa suruali..akaifunga vyema kwa kamba kiunoni.....ghafla ikasikika sauti ya mingurumo ya ajabu,,,matawi ya miti iliyokuwa imeota kulizunguka eneno la makaburi,,yakaanza kutikisikika,,ukavuma upepo mkali,,,nuru ikaanza kutoweka taratibu na giza likatanda.. punde si punde lile kaburi lililokuwa mbele ya Laula likaanza kutikisika,Laula akalitazama kaburi hilo,,akashtuka kuona jino juu ya kaburi hilo! akaingiza haraka mkono wake ndani ya mfuko wa suruali aliyokuwa ameivaa, akajisemea moyoni,,"hilo jino limetokaje humu kwenye mfuko? wakati anajiuliza maswali hayo,,ghafla ardhi ikaanza kutikisika na lile jino likatoweka kimiujiza Laula akaingiwa na hofu akaamua kutimua mbio,,kutoka eneo hilo la makaburi. wakati huo huo,,kule kijijini,,waliendelea kusubiri,,punde si punde mganga akashtuka!akahisi harufu isiyoyakawaida akaingiwa na wasiwasi!!! akatimua mbio kukifuata kile chumba akachukua zana zake za kichawi,,akaziweka kando yake kisha akachukua kioo maalumu cha kichawi...akakipaka dawa ili aweze kuona nini kinachoendelea.. wakati huohuo kule upande wa nje,,wanakijiji hawakuwa na mashaka,,,ghafla ikasikika sauti ya mganga akipiga kelele.kule chumbani,,punde si punde mganga akaonekana akitokea ndani ya chumba hicho huku akitimua mbio....wanakijiji wakaingiwa na hofu...mara ghafla giza likatanda!! PATASHIKA!!!! ↔↔↔↔↔ITAENDEA↔↔↔↔↔ Kila msomaji hakikisha una LIKE hadithi hii kuipa nguvu..niirushe kila siku Ungana nami katika sehemu ya 9. wingi wa Like zenu ndizo zitafanya nilete muendelezo kwa wakati.

at 3:49 AM

Bagikan ke

2 comments:

avatar

Hello kila mtu jina langu ni Magbon Oshimin nilikuwa nikitambua na misaada ya hiv mwaka 2004 na nimeishi nayo kwa miaka lakini namshukuru Mungu juu ya yote kwa sababu nilikutana na Dr Sagbo Diba yeye ni daktari wa mimea ambaye aliandaa dawa za mimea kwa ajili yangu na baada ya kuchukua dawa wakati anipouliza, baada ya kuchukua dawa nilikwenda kwa mtihani mwingine na ikatoka hasi usijui jinsi ninavyofurahi. Hivyo marafiki zangu wanakuambia kwamba sasa Dr Sagbo Diba ni mmoja wa daktari mkubwa wa Herbalist nchini Afrika na ana tiba ya ugonjwa huu VVU. Yeye ni vizuri kutambua kama moja ya bora caster spell nchini Afrika, nina kutumia hii kati ya kueneza habari njema kuna dawa ya dawa. Pia aliniambia kwamba ana tiba ya VVU, CANCER, DENGE, HERPES, EBOLA, ZIKA, CHICKEN POX, LEUKEMIA, TUMOR YA KIMA NA KAZI ZA MAZINGO. Tafadhali kila mtu aliye na ugonjwa huu wa mauti au anaye na mshirika wa familia au rafiki awe na uhusiano naye, ndiye Dr alimtuma kutoka kwa Mungu kutupa tumaini kumpa jaribu na utafurahi ulivyofanya. Ni ushahidi wa hai. ikiwa unahitaji msaada tafadhali usipoteze wakati wowote.Unaweza kumsiliana naye.
barua pepe (drsagbo6088@gmail.com)
WHATSAPP +2347019642881

avatar

Hello, mimi ni Rayna Ham Baada ya kuwa na uhusiano na mume wangu kwa miaka, alivunja na mimi, nilitenda kila kitu kumrudisha lakini yote ilikuwa bure, nilitaka kurudi sana kwa sababu ya upendo ninao kwa yeye, nikamsihi kwa kila kitu, nimefanya ahadi lakini alikataa. Nilielezea tatizo langu kwa rafiki yangu na alipendekeza kwamba nipaswa kuwasiliana na kipaji cha spell ambacho kinaweza kunisaidia kupiga spell kumrudisha lakini mimi ni aina ambayo haijawahi kuamini kwa spell, nilikuwa na chaguo kuliko kujaribu, mimi alipeleka barua ya barua ya barua, na akaniambia hakukuwa na shida kwamba kila kitu kitakuwa sawa kabla ya siku tatu, kwamba mzee wangu atarudi kwangu kabla ya siku tatu, alitoa spell na kushangaza siku ya pili, ilikuwa karibu 4:00 jioni. Wangu wa zamani aliniita, nilishangaa sana, nikamjibu wito na yote aliyosema ni kwamba alikuwa na huruma sana kwa kila kitu kilichotokea kwamba alitaka nirudi kwake, kwamba ananipenda sana. Nilifurahi sana na nikamwendea yeye ni jinsi tulivyoanza kuishi pamoja kwa furaha tena. Tangu wakati huo, nimefanya ahadi kwamba mtu yeyote ninayejua kuwa na tatizo la uhusiano, napenda kumsaidia mtu huyo kwa kumtaja kipaji cha pekee halisi na cha nguvu ambacho alinisaidia kwa tatizo langu. email: dr.zulugreattemple@gmail.com
 unaweza kumtuma barua pepe ikiwa unahitaji msaada wake katika uhusiano wako au Uchunguzi mwingine wowote.
1) Upendo Unaelezea
2) Upendo uliopotea unaelezea
3) Talaka inaelezea
4) Inaelezea ndoa
5) Kuzuia Spell.
6) Maelekezo ya kupasuka
7) Piga Mpenzi wa zamani
8.) Unataka kupandishwa kwenye ofisi yako
9) wanataka kukidhi mpenzi wako
10) Tiba ya ugonjwa wowote unaoambukizwa
11) unataka pesa
12) unataka biashara yako kukua kwa kasi
13) unataka mtoto wako mwenyewe
            Usichukue moyo wako wasiwasi hadi mwaka mpya wakati kuna suluhisho kwa hilo.Kuunganisha mtu huyu mzuri ikiwa una shida yoyote na suluhisho la kudumu
kupitia dr.zulugreattemple@gmail.com au whatsapp yake kwenye +2349075609697
Asante mimi marehemu

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top