Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:09 ILIPOISHIA: ..kitendo cha yeye kutoka mule chumbani mwa mama Zuhura alishangaa kuona anashikwa mkono,akageuka nyuma kutazama..TUENDELEE.. Loh..alishangaa kumuona Zuhura akiwa mtupu huku macho yake yakionekana kulegea sambamba na mwili wake mzima huku akimtama anko Tony kwa huruma ya mahaba.. "mungu wewe mbon..."alizibwa mdomo kwa kidole anko Tony akitaka kusema jambo. "nakuomba nakuomba na nipo chini yamiguu yako unisaidie haja yangu mmenipandisha hisia zangu ukiwa ndani mama,sasa mwili wangu unawashwa hatari,naomba walau dakika 3 tu jamani"alisema Zuhura huku akimshika miguu anko huku akitetemeka kwa hisia kali. "Zuhura,kitendo unachotaka tufanye ni hatar kwako na kwangu pia,mama yako akijua humu itakuwa kesi juu ya kesi maana nimetoroka kwangu huko na wakisikia mzozo tukifumwa na mama yako ndio kabisaa,tafadhari" "hebu nionee huruma jamani,ona nipo mtupu hivi kuonesha nimezidiwa na hisia,usiogope kuhusu mama nisaidie mie nilale kwa amani na usiku wote huu!"alisema Zuhura taratibu na kumfanya anko Tony abaki akimtafakari akaangalia saa ya ukutani na kuona imexhatimu saa 6:38 za usiku,akiangalia toto kweli limejaariwa huku chuchu zake ndogo kama apple bichi zilianza kumvutia anko,huku akiendelea kutafakari akajikuta akivamiwa na Zuhura na kuanza kuonjana ladha ya mate yao,hawakuchelewa na dakika 5 tu mbele wakajirusha kwenye sofa sebuleni na kuanza kupeana utamu.** Siku 3 baadae kupita,Rose na Eliza wakiwa chumbani wamepumzika wakipga stori za hapa na pale,huku mwenzao Ruthy akiwachugulia na kuona hawana habari,taratibu akataka kuingia chumbani kwa anko Tony akasogea mpaka mlangoni mchana ule na kufungua mlango lakini alishangaa umefungwa lakini kwa mbali alisikia sauti ya watu wawili wakicheka na kutaniana."sikufich mpenzi tangu uje hapa cjapata muda wa kufaidi penzi letu maana nilikuwa bize,ila leo usiku nakuja tena tutakuwa wote ucjali"ilisikika sauti ya mwanamke "sawa karibu ntakuwa nakusubiri"alisema anko, Ruth alishndwa kuelewa,akarudi kwa akina Rose na moja kwa moja akaingia chumbni kwao na kuwakuta wakicheza karata,akabaki na mshangao.."mh sasa anko atakuwa nanani chumbani kwake?au ndo kaanza kuleta wanawake humu ndani?ngoja sasa"alisema Ruth na kufungua mlango na kuutazama mlango wa anko wao mara gafla akatoka mule chumbani mwa anko na kumuona mtu ambye hakutegemea kumuona kutokea mule ndani",haraka akarudi tena chumbni kwa wenzake na kuwafanya washtuke. "wewe vp mbna mbiombio"alisema eliza huku akimtazama ruth akiwa anahema,hakuwez kuamini ikambidi awadanganye tu.."ah nimeangalia sebuleni nkaona mtu anatisha huyoo"alisema ruth na kuwafanya wenzake waangue kicheko. "hebu 2tokee huko na uwoga wako wakati nyumb yetu inalindwana yesu,ushindwe"a lisema Rose huku akiendlea kucheka,Ruth nae akajifanya kucheka huku akitoka nje na kuwacha wenzake wakicheza karata,akarudi chumbani kwake na kujibwaga ktandani huku mawazo yakamuandama kichwani. "hivi ni macho yangu ama naota?mh hapana ngoja nisubiri hyo usiku"alhjisemea mwenyewe mule chumbni kwake na kujilalia. Baada ya chakula cha usiku kila mtu akaenda kulala baada ya wote kuagana,lakini kwa Ruth haikuwa hvyo akasubiri muda muafaka aend kujua ukweli kwa anko Tony,na kweli akasubiri mpaka masaa saa 6 usiku ndipo alipotoka na kuelekea kwa anko Tony..,.NINI ATAONA? NINI KITATOKEA?MIMI NA WEWE HATUJUI...TUKUTANE SEHEMU YA 10 YA STORY HII

at 10:48 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top