Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:10 ILIPOISHIA.. ,..lakini kwa Ruth haikuwa hvyo,akasubiri muda muafaka aende kujua ukweli kwa anko Tony,na kweli baada ya saa 6 usiku ilipotimu ndipo akatoka kuelekea kwa anko Tony...HAYA TWENDE SAWA... Akasogea mpaka kwenye mlango wa anko Tony na kwa mbali akasikia mihemo na kelele za mahaba zikisikika kutoka mule chumbani kwa mbali sana,akazidi kutega sikio kwa umakini kusikiliza. "ah anko...anko inatosha sasa,oh kwa leo inatosha" "ngoja kidogo Eliza,ehee zidisha utundu,..tena.. .tena..a.a.a.a.h hapo ha..p..oh.. oh"zilisikika sauti hzo mule chumbani,zikamfanya Ruth abaki akishika mdomo haamini anachosikia.."mungu wangu..!na Eliza nae kumbe yumo?mamaaa"alijisemea Ruth pale mlangoni,akatoka pale na kuelekea chumbani kwa akina Rose,akafungua mlango na kuwasha taa kweny swichi,na kweli akamkuta Rose tu amelala pekeake. "jamani,jamani hii sasa balaa na ikijulikanaa,!cjui Rose atatuona watu wa aina gani,mwenzetu kajilalia zake cye viguru na njia,ah haya ntafanyaje mimi haina jinsi!"alisema Ruth na kuzima taa na kutoka chumbani kwa Rose.Kitendo cha kutembea hatua mbili tu anatokea mama yao na kutazamana uso kwa uso huku akiwa amevaa kanga yake ya kulalia."heh we mtoto mpaka saa7 hii hujalala kulikoni,na umetoka wapi huko?"alisema mama mtu. "ah nilienda chooni sasa wakati narudi nkaona mlango wa akina Rose uko wazi na hawakuzima taa wamesahau wenyewe wamelala.ndo nimewazimia"alisema Ruth kwa kujiamini kama kweli vile. "hawa nao kwa kujisahau,haya kalale mwanangu" "sawa mama"alisema Ruth na kuingia chumbani kwake na mama yake nae akarudi chumbni.Ruty akarudi kitandani na kukaa huku akitabasamu."leo kazi ipo humu ndani mama nawewe nitajua tu nawewe dhamira yako"alisema Ruth na kujipumzisha. Huku kwa mama Rose nae baada ya dakika 20 kupita akatoka nakwenda kwa anko Tony,akafika mlangoni na kuufungua mlango taratibu mpaka ndani."waoh mpenzi umekuja"alisema anko Tony huku akisogelewa na mama Rose na kukumbatiana. "lazima nije c nilikwambia tangu uje hapa cjaonja hata radha ya joto ka mwili wako,ndo nimekuja rasmi tukumbushie ya miaka mi3 iliyopita"alisema mama rose huku akishika shika kifua cha anko Tony. "usijali mpenzi mimi ni wako"alisema anko Tony na taratibu wakaigusanisha midomo yao huku wakisifiana sifa kedekede na kukumbushana mambo ya zamani. Huku Ruth nae akatoka chumbani kwake baada ya kusubiri kwa muda mrefu,akarudi tena mpaka pale mlangoni mwa anko tony,safari hii aliweza kusikia vizuri yasemwayo mule ndani kutokana na mlango kutofungwa vzuri. "ah Tony....Tony hujasahau tu makeke yako!unanikumbusha ya nyuma mpenzi wangu,aah we Tony taratibu basi jamani" "ah Magreth,wewe unaniwezea aisee,mambo yako ya taratibu kama hutaki vile,kweli n'gombe hazeeki maini"alisema anko tony huku wakiwa kwenye dimbwi la mapenzi,.Maongezi yale yalimchanganya ruth na kutokujua kinachoendlea,a kawa makini tu kusikiliza bila ya kupitwa na neno. "Tony nakupenda sana jamani uuuuuuuwi,hahaha michezo yako sijui unaitolea wapi hii," "Magreth, mie mwanaume lazima nibuni jinsi ya kukupa raha mtoto wa kike"alisema anko Tony huku akizidi kupeleka moto akiwa juu ya kifua cha mama rose. "mungu wangu!!"alijisemea ruth pale mlangoni baada ya kujua jambo,haraka akarudi chumbani kwake na kukaa kitandani huku akishika kichwa."inamaana hawa wafahamiana zaidi ya tunavyodhani sisi,mama anatuambia ni anko wetu kumbe ni hawala wake? jamani jamani sisi..loh"aliji semea Ruth mule chumbani akajichokea na kuegamia ukuta usingizi ukamchukua.** Asubuhi ya saa 4 familia nzima inakutana mezag kwa kupata kifungua kinywa huku wote wakionekana na furaha,lakini kwa Ruth haikuwa hivyo,muda wote alikuwa akimtazama mama yake kwa jicho la aina yake mpaka wanamaliza kunywa chai na wote wakatawanyika,siku hyo wote walikuwa nyumbni ilikuwa ni jumamosi ya wikiendi,Eliza na Rose wakiwa chumbni kwao hawana habari wakiangalia cd,huku mwenzao Ruth akiwa chumbani kwake akiwa bdo anatafakari swalaa la anko Tony na mama yao,nafsi yake ikamtuma kujua ukweli wa jambo hili,ajue kwanini mama yao kawadanganya kuwa ni anko wao? na kwani amemleta mpaka mule ndani na kuishi nao?."hapana kazima nijue"alisema Ruthy na kunyanyuka safari moja kwa moja chumbani kwa mama yake..NINI KITATOTEKEA

at 10:49 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top