Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:11 ILIPOISHIA:. "hapana lazma nijue"alisema Ruth na kunyanyuka safari moja kwa moja chumbni kwa mama'ke.. ENDELEA YA 11.. Akiwa chumbani mama Magreth(mama Rose) akipanga nguo zake,akasikia mlango ukibishwa hodi,alikuwa Ruth na kuingia mpaka ndani,akasogea karibu na mama'ke na kumsaidia kukunja nguo huku moyoni akiwa na lake lililomleta."hii nguo ni muda kweli,inafika miaka miwili lakini bado haijapauko"alisema mama Rose huku wakiendele kukunja nguo na mwanaye. "wew mtunzaji sana mama,na vilevile huwaga hauivai mara kwa mara ndio maana"alisema Ruth na baada ya muda kdogo kukatawala hali ya ukimya,Ruth akamtazama mamayake."halafu mama,kuna kitu ntataka akujua kutoka kwako"alisema Ruth na kumfanya mama'ke ageuke kumuangalia. "ki2 gani hcho mwanangu,niambie" Ruth akanyamaza kama sekunde 10 hivi na kuendelea "hivi kwenye familia yenu ulisemaga mlikuw wangapi?"aliuliza Ruth. "umesahau jamani,sisi tulikuwa watano,wakwanza marehemu dada yetu,nafuata mimi wanakuja wajomba zako mapacha ambao nao wamefariki ndio wa mwisho huyo anko wenu Tony"alisema mama Rose kwa kujiamini. "ahaa kuumbe,dah natamani ningewaona hao wajomba zangu mapacha,mungu awalinde huko walipo,na marehemu baba alikuwepo mkiwa wote hai?" "ndio,wote anawajua tena kama anko wenu huyu Tony ndio alikuwa karibu nae mpaka tulipomzika baba yenu"alisema mama Rose huku Ruth akimtazama mama yake kwa dharau"wewe mama mnafiki wewe yani unaongea hata hupepesi macho kwa uongo wako,muone vile"alijisemea moyoni Ruth na kuendelea."sawa mama nlitaka tu kujua hivyo,mie ngoja nkapumzike" "haya mwanangu"alisema mama Rose huku akimsindikiza mwanae kwa macho na tabasamu."hahah aaa mngejua nyhe watoto kuwa huyu sio mjomba wenu hata msingeuliza,haya muacheni arudishe afya mpenzi wangu Tony mie kwa raha zake"alisema mama Rose na kuendelea kupanga nguo.Ruth bado hakuridhka na majibu ya mama'ke,akaenda kwa anko Tony na kuingia mpaka ndani."vipi Ruth"alisema anko tony. "safi tu anko naona umeptmzika mwenyewe" "eebwana nimetulia hapa anko wangu,naona leo umeingia kwa adabu kweli ule 2ndu wako wa kuvua kanga yako ukiwa mlangni leo vipi"aliuliza anko huku ruth akikaa karibu yake."ah cyo kila siku unataka kufanya mapenzi cku nyengne kama leo mnapiga stori za maisha tu"alisema ruth. "mh sawa anko wangu"alisema anko. "hivi anko,katika familia yenu mlikuwa wangapi"aliuliza ruth na kumfanya anko Tony aanze kuumiza kichwa kudanganya."ah eh dah...hahaha..ahaa sisi bwana,sisi kiukweli sisi..kama alivyosema cku ile mama yenu kuwa mimi ni mdogo wake..eee ndo hvyo"alisema anko tony bila kueleweka maneno. "mimi nataka kujua mlikuwa wa ngapi"alisema rut huku akimkazia macho anko wake. "ah hehe..ah sisi bwana tulikuwa wanne wakwanza mama yako,wapili marehemu kaka,watatu mimi na wamwisho ni mdgo wangu wa kume aliefariki nae"alisema anko kwa kujifanya anajiamini, Ruth akabaki akimtazama tu."mmeona sasa mmejichanganya wenyewe mama anaxema la kwake na wewe bwana wake unasema la kwako,waone vile"alisema ruth huku akinyanyuka."haya nashkuru kwa kuniambia kwaheri anko"alisema ruth na kuondoka zake. Mida ya jioni anko tony akiwa bdo yupo chumbni kwake ametulia hana habari,anashangaa mlango wake unafnguliwa anatokea Rose na kumsogelea anko wake na shda yake haswa ni kutaka kufanya mapenzi na anko,kama kawaida yake anko wa watu anajisogezea tu na kujilia vyake huku wakisahau kufunga mlango kwa ndani,nae Eliza baada ya kuoga na kuangalia huku nakule hakuna mtu,akanyata na kuelekea kwa anko tony...NINI KITATOKEA HUKO,JIBU LIPO NAFASI YA 12.TUKUTANE..

at 10:50 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top