Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:12 Wadau wangu naomba niwaeleshe ki2 kimoja,humu kwenye hili group nafanya kupost story hii bure kabisa lakini kama kuna anaetaka ku2miwa full story mpaka mwisho kwa inbox ni gharama(pesa),na naomba ieleweke cyo lazma kwakuwa m2 anapenda mwenyew,xaxa wengne wanataka nianze kuwatmia full story bure,hapana cfanyi kaz hyo kama hauko vzur,subiri 2 ya bure kwenye group,..nadhan imeeleweka,..OK ILIPOISHIA.. ...nae eliza baada ya kuoga na kuangalia huku na kule hakuna m2,akanyata taratibu kuelekea kwa anko Tony... ENDELEA SASA.. Taratibu eliza akausogelea mlango wa anko na kupeleka mkono kutaka kufungua lakini akahisi kitu kupelekea asite kuingia mule chumbni,zilikuw a sauti na miguno ya watu zhkitokea mule chumbani kwa anko,akatega sikio lake kusikiliza. "anko jamanii,unanipa raha siyo kifani,aah anko...anko nakupenda uh...hahaha..shika na huku ank..oh ehee" "nishike hapaee...si ndio rose..aah joto lako la kipekee wewe mtoto jamani..oh" "hata wewe anko,unaniwezea ,ndio maana siishiwi hamu kuja humu ndani,najua wew ndo unauwezea huu mwili..ah jaman ankoo,mamaweee" zilisikika zike sauti mule chumbani,sauti zilizomfanya eliza pale mlangoni abaki ameduwaa na kuziba mdomo,hakuamini kile anachosikia."ina maana ni rose ndho yupo humu ndani anafanya mapenzi na anko tony?"alijiuliza mwenyewe Eliza,kwakuwa mlango haukuwa umefungwa akapeleka mkono kwa taratibu na kuufungua bila ya wao kujua,akawa anashudia live akimuona Rose akiwa juu akisakata kabumbu,alikasirika sana na bila kuwashtua akatoka taratibu na kurudi zake chumbani huku akijitupa kitandani."anko jamani hana hata aibu,yani anatuchanganya mimi na ndugu yangu!mh anania gani huyu mama akajua je itakuwaje!malaya mkubwa yule na watakuwa wameanza huu mchezo siku nyingi,na huyu rose nae..ah"alisema eliza akiwa mwenyewe mule chumbni,ikapita nusu saa Rose akarudi chumbni kwake na kuwakuta Eliza na Ruth wamekaa kitandani wakiangalia muvi. "haya mwenzetu umetoka wapi saivi na haka kagiza kanaingia?"alisema eliza kumwambia Rose. "nmetoka dukani kwa mangi" "eh makubwa,tangu lini wewe huko kwa mangi ukaenda na kanga moja,au ndo wataka kumtega huyo mangi" "na wewe huna dogo,nimevaa mara moja kwenda kuchukua vocha hapo ila nimefika kwa mangi nkakutana na Zuhura ndo tukaanza kupiga domo pale mpaka muda huu ndio narudi" "au mwenzetu ulikuwa kwa shemeji huko unajibebisha!"a litania Ruth. "aka mwenzangu cna mchezo huo mie,hapa ninazo kibao mwilini zimenijaa sijapata wakuzitoa."alisema rose kwa kujiamini. "ah wewe nakukubali mwenyewe unajiita "mke wa padri" hutaki zambi"alisema ruth. Eliza akamtazama Rose huku akikunja mdomo,"wewe ruth ungejua hapo mwenzetu yupo mwepesi hana hata nyege ya mguu usingethubu2 kumsifia huyu mpuuzi,mie kaniboa kama nini leo hajui tu"alisema eliza moyoni mwake. * * * * * Ikapita wiki 2 nyumbani kwa mama Zuhura na mwanae hawaelewani,usiku huo ulikuwa ni kutupiana maneno tu mtu na mwanae."wewe mtoto ckuhizi umelishwa jini la kiburiee,mbna huna hata adabu,hujui unaongea na nani hapa"alisema mama Zuhura. "eh eh eh samahani mama nakuheshmu kama mama yangu.na hilo jini kama unalosema kama ninalo basi umenipa wewe"alijibu zuhura kwa dharau. "jaman jamani wewe mwana unavuta bangi nini ckuhizi? sikia nikwambie sasa usione nakuchekea ukadhani mimi ni malaya mwenzako huo umalaya wa kunijibu mimi huko peleka gukohuko kwa wavuta bangi wenzako" "hehehee hapo ndhpo nilipopataka,mimi siyo malaya kama unavodhani,wewe ndio malaya,tena narudia kwa msisitizo mama wewe ni malaya" "MUNGU WANGU...unaniambia nini, mimi nani?" "hujasikia masikio umeweka pamba,kwa mara ya tatu narudia mama wewe ni malaya,hivi mama huoni haya mama umri umekwenda huo ukae utulie,unikanye mimi mambo mabaya lakini wapi,wewe ndio umekuwa wa kunishawishi mimi kila kukicha,mbaba wa watu anatoka kwa akina mama rose kwa siri huko cjui kila kukicha unamwambia aje humu chumbani kwako tena unampitisha mlango wa uani ili mimi nisiöne uchafu unaofanya,sawa sitaona na hyo miguno na kelele mkifanya mambo yenu pia nizibe masikio?"alisema Zuhura na kumfanya mama yake awe mpole akose neno la kusema mtda ule. "wenzenu wanaendaga gest wakiona sehemu wanapokaa hapaeleweki,sasa gu unaingza mwanaume na mimi nipo humu humu tena cku nyengne nakaa sebuleni kab..." "eh wewe koma usinifundishe sehemu ya kustarehe,hapa kwangu na muda wowote nkiamua kufanya jambo langu nafanya,kwani wewe mtoto kipi usichokijua,muingize wewe basi,kama imekuuma kashtaki kwa mjumbe"alisema mama Zuhura na kuondoka zake."ahaa sasa ngoja tuonjeshane ubuyu"alisema Zuhura,akarudi chumbani kwake...NINI KITATOKEA

at 10:51 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top