Love storx:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:08 ILIPOISHIA.. .,..na kuuacha mwili wake uliokuwa na steki kila sehemu huku kiuno chake kikipambwa na shanga za rangi tofauti tofauti,taratibu akamsogelea anko Tony huku macho yake makubwa akiyalegeza kama mtu aliyekula makungu..,HAYA TWENDE NAYO.. Anko Tony akabaki akimkodolea macho ya kutoamini kinachofanywa na mama Zuhura."ja..mani mama Zuhura unafanya nini sasa"alisema anko Tony bila kujibiwa lolote,huku mwenzake akianza kuchombeza taratibu kwenye mwili wa anko ambaye baada ya muda mfupi naye akashindwa kujizuia na kujumuika pamoja wakubwa.Mwanamke aliyeonja na aliewahi kuwa kwenye ndoa hafundishwi mapenz maana yeye kafundwa na makungwi wake namna ya kumpetipeti mume,ndivyo ilivyokuwa kwa mama Zuhura kwa namna alivyokuwa akiutumia mwili wake ipasavyo kuhakikisha penzi linakolea kwa wote wawili,."leo kazi ipo"alijisemea anko Tony huku akishuhudia akilazwa chini na mama Zuhura kukamata jukwaa huku mauno ya kinyakyusa yakichukua nafasi yake huku mizimu ya anko ilipanda gafla na kujikuta akizidi spidi maradufu na kumfanya mama Zuhura kulia huku akitoa chozi la utamu wa tendo,kilio ambacho kilimstua hata mwanaye Zuhura aliekuwa sebuleni akiangalia muvi,akanyanyuka na kuusogelea mlango wa mama'ke huku akiwa haelewi kinachoendlea.Alipokaribia pale mlangoni zile kelele alizidi kuzisikia maradufu ikambidi ainame na kuchungulia tundu la funguo lakini hakuona kitu kwakuwa funguo ilikuwa pale,ikambidi aufungue kwa mlango kwa taratibu ajionee lakini pia mlango ulikuwa umefungwa kule ndani,ikawa haina jinsi akabaki pale mlangni na kutega sauti yake kusikiliza,ndipo alipotambua kelele za mahaba kwa mama'ke zikimsifia mtu kwa utendaji wake wa kazi.Kelele zile alizivumilia kwa dakika 10 lakini akashndwa na kupata hamasa za kumjua hyo mtu anaesifiwa sana ni nani na yukoje!"mama naye kaingiza mwanaume hapahapa kwa siri yani bila ya mimi kuona,mh makubwa"alisema Zuhura huku akiwa na hisia fulani hivi za mapenzi lakini akajizuia na kwenda chumbni kwake kulala. Basi tangu siku hiyo mama Zuhura akawa kaona kapata mtu wa kuzipunguza haja zake na tendo hilo wanalofanya walikuwa wakifanya bila ya yeyote kujua,kitendo kile kilimfanya zuhura awe katika wakati mgumu kila awasikiapo anko Tony namama yake wakifanya mapenzi na kutoa sauti za ushawishi,siku hyo alipandwa na midadi baada ya kupiga chabo kwa muda mrefu,akausukuma mlango wa chumba cha mama'ke kwa nguvu mpaka ndani na kuwashuhudia anko Tony na mama yake katikati ya tendo."haa mama!"alisema zuhura kujifanya anashangaa leo hajui kinachendlea,likawa kama ni fumanizi kwa watu hao wawili.."wewe mtoto mbona huna hata adabu,unaingia humu kama kwako?"alisema mama zuhura huku wakijifunika shuka na anko Tony. "tatizo unapiga kelele xana mpaka chumbani kwangu nasikia,ndo mana nikajua labda mama kakabwa nini cjui!nikaja mbio mbio,kuumbeee.." "shenzi, haya toka nje" "xawa mimi natoka"akatoka zuhura huku akimtazama anko Tony na kutokomea,akawaacha pale kitandani wakitazamana,wa katabasamu na kurejea tena kwenye dimbwi la mapenzi.Dozi aliyoitoa anko tony kwa mama zuhura ilamfanya mwenzie ashindwe kunyanyuka na kujilalia palepale kitandani kama zigo. "mimi ngoja nikuage mama Zuhura nir..." "nawewe kila mara mama zuhura mama zuhura,nimechoka niite mkewangu ndo ntaitika,ujue wewe ndio baba mtarajiwa wa zuhura?" "eh makubwa hayo,basi nakuwa nakuita mkewangu kuanzia leo" "nitafurah mume wangu" "poa lalla salama mkewangu"alisema anko tonya na kumfanya mama zuhura atabasamu,akaridhia na taratibu anko Tony akaufungua mlango na kutaka kuondoka lakì kitendo cha yeye kutoka mule chumani mwa mama zuhura alishangaa kuona ameshikwa mkono,akageuka nyuma kutazama,looh.... ITAENDELEA KESHO,SI YA KUKOSA HII...

at 10:48 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top