Home → simulizi
→ Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:07
Sipo czuri jaman naumwa
tangu jana cko vema jamani
hapa najitahidi walau nipost kdogo leo kuliko kuacha..ok
ILIPOISHIA:...
"Ahaa kumbe wewe ndio
kdume unaegawa dozi humu
ndani!"alijisemea mama
zuhura .ENDELEA SASA.... mama Rose akamkaribisha
mgeni wke mama zuhura na
kukaa kwenye viti wakipiga
stori huku muda wote mama
Zuhura akimtazama anko Tony
ambaye muda wote alikuwa ameketi pembeni akisoma
gazeti."ngoja nikakuangalizie
kinywaji shoga yangu maana
tumeongea mengi
sana"alisema mama Rose n
kuelekea kuchukua soda kwa ajiri ya ya shoga'ke mama
Zuhura ambaye muda ule
akanyanyuka bula aibu na
kumsogelea anko Tony,akatoa
simu yake na kumpa anko
Tony."nipe namba yako haraka"alisema mama Zuhura
kwa sauti ya chini huku anko
Tony akibaki ameduwaa
haelewi.
"namba yangu ya nini jamni?"
"acha kujitia mtoto wewe,fanya upesi bana"
"hapana siwezi kukupa."
"ahaaaa hutakieee,sasa
namwambia mama Rose na
tabia yako ya kulala na wanae
usiku mzima mkifanya machafu,ngoja aje
nimwambie"
"haah.....ah...eee lete nikupe
hzo namba lakini naomba
usimwambie tafadhari
tafadhari naomba" "haya fanya hivyo"alisema
mama Zuhura na kumpa ile
cmu anko Tony ambaye
haraka alichukua na kuandika
namba yake ya cmu
haraka,mama Zuhura akatabasamu na hurudi kukaa
kwenye kiti.Akarudi mama
Rose na vinywaji na
kujumuika na jirani yake.
Baada ya muda kupita mama
Zuhura akaaga na kuondoka zake huku akiwa na furaha ya
kufanikiwa mpango wake wa
kuipata namba ya anko
Tony.Masaa matatu tu kupita
anko Tony akapokea simu
akiwa chumbani mwake amepumzika."halloo nani
mwenzangu"
"mama Zuhura hapa,jirani
yenu mnaemsumbua usiku
kucha mkifanya
uchafu"alisema mama Zuhura na kumfanya anko Tony akose
la kusema."hahaaaa,mbona
kimya gafla huna la kusema?
ulikuwa unadhani ni siri yenu
tu na mwenzio,basi wa tatu
nimeongezeka kujua hio siri" "tafdhari mama Zuhura
usimwambue yeyote jambo
hili,nakuomba!"
"heeee bure bure tu
nisiseme.?"
"ntakupa hata hela mama Zuhura,nakuomba unyamaze
usiseme lolote,ni aibu hii
ikijulikana"
"ahaa kumbe unajua kuwa ni
aibu!mimi nakushangaa saizi
yako tumejaa tele unaenda kufanya mapenzi na mtoto
yule,eh"
"basi nimekoma mie"
"ahaa umrkomaee.sasa
nisikilize kwa makini.."alisem
a mama Zuhura na kumfanya anko awe makini
kusikiliza."leo nakuhitaji
kwangu saa 5 usiku haijalishi
utatokaje huko wewe
mwanaume"
"jamani jamani jamani mama Zuhura,adhabu gani hiyo
unanipa ya kutoroka usiku?"
"ndio hvyo hutaki kesho
mapema nakuja kutoboa wazi
siri yenu"alisema mama
Zuhura na kumfanya anko Tony awe mpole na kukubali
matokeo kwa kuhofia aibu
itakayomkuta kwa kuvuja siri
yake.
Na kweli mpaka kufika saa 2
usiku anko akawa tayari kashapata mawazo ya
kuutumia mlango wa uani
kutorokea,akawa anasubiri
muda tu ufike lakini gafla
akashangaa kuon mlango
wake unafunguliwa,akatokea Rose akiwa na tabasamu la
aina yake huku akimsogelea
anko wake akiwa kitandani.
"Rose nina usingizi nahitaji
kulala mie"alisema anko Tony
huku akishangaa kumwona Rose akipanda kitandani alipo.
"tulale basi kama unausingizi"
"hiki chumba changu nahitaji
kulala pekeangu"
"basi sasa na mimi sitoki
humu ndani" "haaaaa hutoki kwanini?"
"nataka penzi lako"
"leo nimechoka Rose labda
kesho"
"hilo unasema wewe lakini
mwili wangu unataka sasaivi"alisema Rose na
kuanza kuupapasa taratibu
mwili wa anko,akausogelea
mdomo wa anko Tony lakini
mwenzake hakutaka.
"hutaki sio?"alisema Rose. "nshakwambia nimechoka
huelewi!"
"sasa ntapiga kelele humu
niite watu niseme
umeniingiza humu
unibake"kauli ile ilimfanya anko Tony apagawe na
kushindwa la kusema,nafasi
ile akaitumia Rose kufanya
yake taratibu na haikuwa na
jinsi anko nae akajumuika
nae,nusu saa iklimtosha Rose kupata alichokihitaji,
akamshukuru anko wake na
kurudi chumbani kwake.Anko
akanyanyuka pale kitandan
baada ya mechi asiyoitarajia
nawala kuipanga,mawazo yake yote yalikuwa kwa
mama Zuhura,hakujua
ameitiwa nini na mama huyo
hvyo ikampasa aanze safari ya
kuelekea kwa mama Zuhura
huku saa ya ukutani ikionesha tayari imekaribia saa 5 na
dakika zake ya ile ahadi
alixmbiwa na mama
Zahara,akasogea mpaka
kwenye mlango wa uani kwa
umakini huku akiangalia usalama kama
anaonekana,taratibu
akafungua mlango na
kufanikiwa kutoka nje safari
moja kwa moja kwa mama
Zuhura,akasogea mpaka dirishan kwa mama Zuhura na
kumshitua."ahaa
umekuja,sasa zunguka nyuma
uani mlango upo wazi,huku
mbele sebuleni Zuhura bado
yupo macho anaangalia cd,fanya hivyo haraka"alisema
mama Zuhura na haraka
akafanya hvyo anko tony na
kuingia ndani kama
alivyoagizwa,akafanikiwa
kuingia kupitia mlango wa uani bila ya Zuhura mwenye
umri kama wa akina Rose
kujua,mama Zuhura akamvuta
anko Tony chumbani kwake
na kumsukuma kitandani
mwake. "haya nakusikiliza mama
Zuhura"alisema anko Tony
huku akimtazama mama
Zuhura ambaye alikuwa
akiufunga mlango na funguo
na taratibu akamsogelea anko Tony pale alipokaa kitandani.
"vp tena!"alisema anko Tony.
"nataka ufanye kile
ulichokuwa ukifanya na yule
mtoto"alisema mama Zuhura
huku akiitupa kule kanga yake aliyovaa na kuuacha mwili
wake wenye steki kila
sehemu huku kiuno chake
kikipambwa na shanga tofauti
tofauti,taratibu akamsogelea
anko Tony huku macho yakubwa akiyalegeza kama
mtu aliyekula makungu.... ITAENDELEAA.
Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:07 Sipo czuri jaman naumwa tangu jana cko vema jamani hapa najitahidi walau nipost kdogo leo kuliko kuacha..ok ILIPOISHIA:... "Ahaa kumbe wewe ndio kdume unaegawa dozi humu ndani!"alijisemea mama zuhura .ENDELEA SASA.... mama Rose akamkaribisha mgeni wke mama zuhura na kukaa kwenye viti wakipiga stori huku muda wote mama Zuhura akimtazama anko Tony ambaye muda wote alikuwa ameketi pembeni akisoma gazeti."ngoja nikakuangalizie kinywaji shoga yangu maana tumeongea mengi sana"alisema mama Rose n kuelekea kuchukua soda kwa ajiri ya ya shoga'ke mama Zuhura ambaye muda ule akanyanyuka bula aibu na kumsogelea anko Tony,akatoa simu yake na kumpa anko Tony."nipe namba yako haraka"alisema mama Zuhura kwa sauti ya chini huku anko Tony akibaki ameduwaa haelewi. "namba yangu ya nini jamni?" "acha kujitia mtoto wewe,fanya upesi bana" "hapana siwezi kukupa." "ahaaaa hutakieee,sasa namwambia mama Rose na tabia yako ya kulala na wanae usiku mzima mkifanya machafu,ngoja aje nimwambie" "haah.....ah...eee lete nikupe hzo namba lakini naomba usimwambie tafadhari tafadhari naomba" "haya fanya hivyo"alisema mama Zuhura na kumpa ile cmu anko Tony ambaye haraka alichukua na kuandika namba yake ya cmu haraka,mama Zuhura akatabasamu na hurudi kukaa kwenye kiti.Akarudi mama Rose na vinywaji na kujumuika na jirani yake. Baada ya muda kupita mama Zuhura akaaga na kuondoka zake huku akiwa na furaha ya kufanikiwa mpango wake wa kuipata namba ya anko Tony.Masaa matatu tu kupita anko Tony akapokea simu akiwa chumbani mwake amepumzika."halloo nani mwenzangu" "mama Zuhura hapa,jirani yenu mnaemsumbua usiku kucha mkifanya uchafu"alisema mama Zuhura na kumfanya anko Tony akose la kusema."hahaaaa,mbona kimya gafla huna la kusema? ulikuwa unadhani ni siri yenu tu na mwenzio,basi wa tatu nimeongezeka kujua hio siri" "tafdhari mama Zuhura usimwambue yeyote jambo hili,nakuomba!" "heeee bure bure tu nisiseme.?" "ntakupa hata hela mama Zuhura,nakuomba unyamaze usiseme lolote,ni aibu hii ikijulikana" "ahaa kumbe unajua kuwa ni aibu!mimi nakushangaa saizi yako tumejaa tele unaenda kufanya mapenzi na mtoto yule,eh" "basi nimekoma mie" "ahaa umrkomaee.sasa nisikilize kwa makini.."alisem a mama Zuhura na kumfanya anko awe makini kusikiliza."leo nakuhitaji kwangu saa 5 usiku haijalishi utatokaje huko wewe mwanaume" "jamani jamani jamani mama Zuhura,adhabu gani hiyo unanipa ya kutoroka usiku?" "ndio hvyo hutaki kesho mapema nakuja kutoboa wazi siri yenu"alisema mama Zuhura na kumfanya anko Tony awe mpole na kukubali matokeo kwa kuhofia aibu itakayomkuta kwa kuvuja siri yake. Na kweli mpaka kufika saa 2 usiku anko akawa tayari kashapata mawazo ya kuutumia mlango wa uani kutorokea,akawa anasubiri muda tu ufike lakini gafla akashangaa kuon mlango wake unafunguliwa,akatokea Rose akiwa na tabasamu la aina yake huku akimsogelea anko wake akiwa kitandani. "Rose nina usingizi nahitaji kulala mie"alisema anko Tony huku akishangaa kumwona Rose akipanda kitandani alipo. "tulale basi kama unausingizi" "hiki chumba changu nahitaji kulala pekeangu" "basi sasa na mimi sitoki humu ndani" "haaaaa hutoki kwanini?" "nataka penzi lako" "leo nimechoka Rose labda kesho" "hilo unasema wewe lakini mwili wangu unataka sasaivi"alisema Rose na kuanza kuupapasa taratibu mwili wa anko,akausogelea mdomo wa anko Tony lakini mwenzake hakutaka. "hutaki sio?"alisema Rose. "nshakwambia nimechoka huelewi!" "sasa ntapiga kelele humu niite watu niseme umeniingiza humu unibake"kauli ile ilimfanya anko Tony apagawe na kushindwa la kusema,nafasi ile akaitumia Rose kufanya yake taratibu na haikuwa na jinsi anko nae akajumuika nae,nusu saa iklimtosha Rose kupata alichokihitaji, akamshukuru anko wake na kurudi chumbani kwake.Anko akanyanyuka pale kitandan baada ya mechi asiyoitarajia nawala kuipanga,mawazo yake yote yalikuwa kwa mama Zuhura,hakujua ameitiwa nini na mama huyo hvyo ikampasa aanze safari ya kuelekea kwa mama Zuhura huku saa ya ukutani ikionesha tayari imekaribia saa 5 na dakika zake ya ile ahadi alixmbiwa na mama Zahara,akasogea mpaka kwenye mlango wa uani kwa umakini huku akiangalia usalama kama anaonekana,taratibu akafungua mlango na kufanikiwa kutoka nje safari moja kwa moja kwa mama Zuhura,akasogea mpaka dirishan kwa mama Zuhura na kumshitua."ahaa umekuja,sasa zunguka nyuma uani mlango upo wazi,huku mbele sebuleni Zuhura bado yupo macho anaangalia cd,fanya hivyo haraka"alisema mama Zuhura na haraka akafanya hvyo anko tony na kuingia ndani kama alivyoagizwa,akafanikiwa kuingia kupitia mlango wa uani bila ya Zuhura mwenye umri kama wa akina Rose kujua,mama Zuhura akamvuta anko Tony chumbani kwake na kumsukuma kitandani mwake. "haya nakusikiliza mama Zuhura"alisema anko Tony huku akimtazama mama Zuhura ambaye alikuwa akiufunga mlango na funguo na taratibu akamsogelea anko Tony pale alipokaa kitandani. "vp tena!"alisema anko Tony. "nataka ufanye kile ulichokuwa ukifanya na yule mtoto"alisema mama Zuhura huku akiitupa kule kanga yake aliyovaa na kuuacha mwili wake wenye steki kila sehemu huku kiuno chake kikipambwa na shanga tofauti tofauti,taratibu akamsogelea anko Tony huku macho yakubwa akiyalegeza kama mtu aliyekula makungu.... ITAENDELEAA.
Artikel Terkait
Story...... NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi (10) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp...... 0769673145 Ilipoishia...... Baada ya dakika kadhaa Frank na Penina waliwasili nyumbani kwa Frank. Wakashuka kwenye bajaji na kuelekea kwenye nyumba ya kina Frank. Walipoufikia mlango Frank alijificha nyuma ya Penina na kumtaka Penina abishe hodi ili wawafanyie surprise Wazazi wake Frank. ***********Endelea ********* Mlango ulifunguliwa na mama yake Frank na kukutana uso kwa uso na Penina. "ooh mwanangu hujambo?" akauliza mama yake Frank. "sijambo mama shikamoo." akasalimia Penina "marahaba karibu ndani." mama yake Frank akamkaribisha Penina. "Asante mama ila nataka nikufanyie surprise." Penina akamwambia mama yake Frank. "hii ipi tena mwanangu usije ukaniue kwa presha." akaongea mama yake Frank, na Muda huo huo baba yake Frank naye akajitokeza sehemu pale na kuungana na mama yake Frank. Penina alisogea pembeni na hapo hapo Frank akajitokeza mbele ya Wazazi wake. Mama yake Frank alijikuta akishindwa kuongea na kumrukia Frank kwa furaha isiyo na kifani. Frank pamoja na Wazazi waliingia ndani huku wakiwa na furaha tele kwa kumuona tena Frank ambaye alitoweka kwa siku kadhaa. Lakini kila mmoja alikuwa na hamu ya kutaka kujua ni nini kilimtokea Frank. Frank ilibidi awaeleze kilichomtokea mwanzo mpaka mwisho. Kila mtu alihuzunika kwa hicho kilichomtokea Frank. Lakini pia Penina aliwaeleza pia kilichomkuta kaka yake Nolan na Mpaka Muda ule kaka yake alikuwa bado yupo hospitalini. Lakini hata hivyo furaha ilirejea upya usoni mwa Penina pamoja na Wazazi wake Frank baada ya kumuona Frank kwa Mara nyingine tena. Frank alienda kuoga na kubadilisha nguo Zake zile zilizochakaa na kuvaa nguo zingine nzuri ambazo ziliendana vizuri na yeye. Frank aliondoka na Penina na kuelekea moja kwa moja mpaka Katika hospital aliyopo Nolan kwa ajili ya kumjulia hali. * Lakini kumbe Katika hospital ile, Nolan baada ya kujua kuwa baba yake ndio alimfanyia mchezo ule. Nolan hakubaki tena pale hospitalini alitoroka bila hata kuruhusiwa na daktari na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwao. Penina na Frank baada ya kufika hospitalini pale. Walistaajabu kuambiwa kuwa Nolan hayupo pale hospitalini na hawajui alipoelekea. Penina na Frank waliondoka na kuelekea nyumbani kwa kina Penina wakihisi labda Nolan ameelekea huko. Na kweli baada ya kufika nyumbani kwa kina Penina walimkuta Nolan akiwa ameketi nje ya geti lao huku akionekana kuwa na mawazo tele. "Nolan vip ndugu yangu mbona mawazo tele?" alikuwa Frank akimuuliza Nolan baada ya kumkaribia. Nolan alinyanyua kichwa chake na hakuamini baada ya kumshuhudia Frank akiwa amesimama mbele ya macho yake akiwa pamoja na Frank. "oooh Frank ni wewe?" akauliza Nolan kama vile haamini, Kisha akanyanyuka na kumkumbatia Frank kwa furaha Sana. "nimefurahi Sana kukuona tena Frank, hakika wewe ndio furaha ya mdogo wangu Penina karibu tena Frank." akaongea Nolan kumuambia Frank. Na hapo hapo Nolan akamtaka Frank amueleze ni nini kilichomkuta mpaka akatoweka Muda wote ule. Frank Bila kusita alimuelezea Nolan mkasa mzima uliomkuta wa kutekwa na watu asiowafahamu. Nolan alimhurumia akampa moyo na kumtaka ajikaze kwasababu wana vita nzito mbele yao. Lakini pia Nolan akawaelezea jinsi baba yake mzee Joel alivyomtumia watu waje wamuue kwasababu ya kutetea penzi La Penina na Frank. "ina maana baba anataka akuue?" Penina akamuuliza Nolan kwa mshangao. "ndio nadhani ndio nia yake kwasababu ameona mimi ndio niliyeamua kusimama na kulitetea penzi lenu." akaongea Nolan kwa huzuni Sana. Penina pia alihuzunika Sana mpaka machozi yakaanza kutiririka usoni mwake baada ya kugundua baba yake ndio alipanga njama ya kummaliza Nolan. "lakini msijali kuweni na amani mimi nawakikishia lazima mtaoana na kuwa mume na mke." akaongea Nolan kwa kujiamini. "tunashukuru kusikia hivyo hata sisi tutakuwa pamoja na wewe kwa lolote lile." akaongea Frank naye kwa kujiamini. "Sasa sikilizeni niwaambie, nataka niwasafirishe muende mkakae nchi nyingine kwa miezi miwili alafu mimi nitabakia hapa Tanzania nikifanya taratibu za nyie kufunga ndoa na kila kitu kikiwa tayari nitawajulisha na mtarejea Tanzania kwa ajili ya kufunga ndoa yenu." akaongea Nolan kumwambia Frank na Penina. Bila kipingamizi chochote Penina na Frank walikubaliana na wazo la Nolan na kilichotakiwa ni kwenda kujiandaa na kuondoka. "ngoja bas nikajiandae Mara moja." akaongea Penina, lakini Nolan akamzuia na kumwambia. "usiingie ndani tena, sitaki uonane na baba kuanzia Sasa kila kitu utakachahitaji nitakutimizia mimi, katafuteni hoteli yoyote mkae hapo mkijianda na kama na pesa au kitu chochote mtaniambia mimi." aliongea Nolan kwa msisitizo. "ok tumekuelewa tupo pamoja." akajibu Frank Kisha wakaondoka pamoja na Penina. Nolan alinyanyuka pale chini akagonga geti na kufunguliwa na mlinzi na bila kusema kitu Nolan akaelekea moja kwa moja mpaka sebuleni ambapo alimkuta baba yake mzee Joel akiwa ameketi huku akionekana kuwa na mawazo. "Niko sambamba na wewe kwa chochote kile utakachokifanya, sitajali kama wewe ni baba yangu au nani wangu lakini nachotaka utambue Frank lazima amuoe Penina." akaongea Nolan kumwambia baba yake Kisha akaondoka na kuelekea chumbani kwake bila kusikiliza baba yake atasema nini. "wewe lazima nikuue wewe hata kama mimi ni baba yako huwezi kuniingilia Katika mambo yangu." akajisemea mzee Joel na kutoka nje kwa kasi mpaka kwenye gari Lake. Mlinzi alifungua geti na moja kwa moja mzee Joel akatoka kwa kasi mpaka Katika hospital waliyolazwa wakina Zaza. Mzee Joel alishuka kwa kasi kwenye gari Lake na kuelekea mpaka Katika chumba walicholazwa wakina Zaza. "Zaza mlifanya nini mbona mmeniangusha kias hiki?" akaongea mzee Joel kwa jazba. "mzee Joel yule mwanao ni hatari Sana hebu ona tulivyovunjwa vunjwa." akaongea Zaza huku akionesha jinsi walivyopigwa na Nolan . "ni bora mlivyopigwa kuliko hichi kingine kilichoibuka." akaongea mzee Joel na kushika kiuno. "nini tena mzee wangu?" akahoji Zaza huku akiwa anajinyanyua pale kitandani alipokuwa amelala. "Frank amerudi" akajibu mzee Joel na kuwafanya wakina Zaza washangae. "yaani kwa kweli mmeniangusha Sana alafu isitoshe Nolan ameshaanza kuota mapembe na kama nyie mmemshindwa bas itabidi nitafute wababe wengine zaidi yenu na nyie lazima nitawaua pesa niliyowapa ni nyingi Sana lakini hakuna cha maana mlichokifanya pumbavu nyie. " akaongea mzee Joel kwa hasira Kisha akageuka na kuondoka. * Penina na Frank waliwasili kwenye hoteli moja ya kifahari na kufanya taratibu zote na kuchukua chumba kwenye hoteli Ile na kulipia kukaa hapo kwa siku tatu. Lakini Frank aliwapa taarifa Wazazi wake ya jinsi mipango inavyofanyika hivyo akawataka wasiwe na hofu yoyote kuhusu yeye.* Upande wa Nolan yeye alipanga lazima amfundishe adhabu baba yake kwa namna yoyote ile. "Wewe ni baba yangu ndio sikatai, umenitunza vizuri, umenipa elimu ya kutosha Sawa, lakini kwa unyama huu unaotaka kuufanya hakika sitakuacha lazima nitaenda sambamba na wewe." alijisemea Nolan akiwa chumbani kwake akipanga mipango yake. Lakini pia Nolan aliapa kama asipofanikisha ndoa ya Frank na Penina bas atajiua. ............. Itaendelea ... Read More
CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu) SEHEMU YA SITA (06) ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO: Siku ya pili, vicent alitoka mapema nyumbani, aliwahi shule kabla hata ya rafiki zake. Hii yote ni kutokana hata usingizi haukupatikana,kutokana na mawazo aliyo nayo. Alikuta baadhi ya wanafunzi wapo darasani, Alifika akakaa kwenye kiti na kufungua begi,kuchukua kitabu na kuanza kusoma. Ila hata sijui nini kilimtuma kutazama mbele maaana alijikuta anatoa macho. ENDELEA....... Alijikuta Anatoa macho, baada ya kuona,marafiki zake nao wamewahi shule. Aiseeee vicent alichekaaaa sana, mpka akajishika tumbo. "hadi nyinyi mmewahi leo aaah kweli mtihani siyo poa".aliongea vicent huku anawatazama kwa zamu. "mimi mwenyewe sijaamini nilivyo kuona ndo maana nikasimama mlangoni nihakikishe ni wewe au hahhhhhah".aliongea Richard huku anaelekea kule alipo vicent.ila cha kushangaza suma akuchangia neno zaidi ya kuachia tabasamu na kutembea kwenda walipokuwa wenzake. "aiseeee kama tuliambizana yani"aliongea tena vicent. Hapo suma ndo na yeye akanyanyua,mdomo wake na kuongea. " hivi unajua kwanini nimeshindwa kuongea chochote?,nikwasababu naona uchuro hapo nje nimekutana na rich, hapa nakuona wewe, nikawa najiuliza hivi hawa waliambizana nini mimi wamenichunia ila nimewabamba".aliongea suma,huvu anavuta kiti anakaa. "hii ili iweje sasa imetokea tu"alijibu richard. "sisi hatuwezi kukufanyia hivyo kwasababu sote ni wamoja". Alisema vicent, suma hakuwa na neno. " oyaa tusomeni basi kabla muda wa kwenda mstalini aujafika"aliongea tena vicent. "poa mwanangu umeongea point" alijibu suma.basi kikapita kimyaa,kila mtu alifanya yakeee kwa muda huo. ******* Mwezi ulipita,hatimae miezi, na si vicent, wala niram aliye kumbuka kama walishawahi kuonana. Basi ilikuwa weekend, moja walionekana marafiki, watatu wakiwa wamesimama stendi ya mabasi,si wengine bali ni vicent, richard na suma wakiwa wamevalia nguo za nyumbani.ilibaki kama wiki mbili wafanye mtihani. Ilionyesha kuwa walikuwa wamelewa kwenye maongezi sasa sijui vicent, walikuwa wanasubiri usafiri maana vicent hakuwa na gari siku hiyo. Mara gaflaa walishtushwa na sauti, nyororo iliotokea,barabarani. "vicentiiiiiiiiiiiii" ilikuwa sauti ya niramu, aliekuwa ndani ya range nyekundu, huku akiwa amependa,kupindukia wanasemaga kadamshi, ile mbayaaaa. Wote macho yalikuwa mbele,ila hakuna mtu alieshtuka kama vicent, maana akutegemea kuonana na binti yule ana muwaza siku zote. Na ilikuwa muda Awajaonana. Kiukweli vicent, moyo ulikuwa unampenda mbio vibaya.ila alijikaza, huku nyuma suma pamoja na richard, aisee!! Macho yaliwatoka maana walishindwa kuelewa, wanae muona machoni mwao, ni jini au malaika. Vicent alijikongoja mpaka kwenye dirisha la gari, na kumsababishia niram. " mambo niram siamini kama ni wewe, kumbe unani nakumbuka? ".alijikuta anaongea mfululizo vicent huku akiuliza, swali humohumo. "poa vicent, nakukumbuka sana vp leo huna usafiri? Maana naona kama mpo wenyewe mnasubiri usafiri? ".aliuliza niram,huku macho akiwaelekezea wakina rich. "aaah ndiyo tunamsubiri dereva tax mmoja hivi,katuambia hayupo mbali".alijibu vicent huko akiangalia huku na kule kama anaetafuta kitu. "haah kwani mnaelekea wapili niwape lifti?maana mimi naelekea mbezi"aliuliza niram. Vicent akapiga mahesabu ya haraka,alafu akaongea. "aaah! Wale wanarudi nyuma ila mimi naenda kunduchi" alijibu vicent. Ila wadau ngoja niwaambie kitu, vicent ameongopa, kwasababu wenzie wanaenda kawe sawa yeye anaenda kunduchi, ila njia ni ileile wameachwa wakina suma, yeye angeendelea mbele, ila aliamua kusema vile ili aweze, kutupa ndoano Kiulaini. Tuendelee, basi niram akamwambia "basi twende nikupe lifti waage wenzio".vicent akachomoka na kuwafata, wenzie alimkuta suma anashauku si mchezo. " vipi yule ndo yule demu uliesema? Na anaelekea wapi ili atupe lift basi kama vipi" alijikuta anaongea maneno,mfululizo na swali juu. "hamna aendi huko kaniambia nimsindikize kariakoo".aliongea vicent huku anageuka nyuma, akagongana macho na niram,wote wakatabasamu. "duuuh mwana kwahiyo umetuacha? ".aliongea richard huku anakazia macho kwenye gari. "aaah aina jinsi ila chukueni hii mpande tax".alisema vicent huku anazamisha mkono mfukoni na kutoa noti tatu za elfu kumi akamkabidhi suma. Suma alizichukua na kuzitia mfukoni. "oyaaa Usikose kutupigia ukifika home"alisema rich. Na suma akadakia. "ndiyo utupe data zote maana duuuh! Mpaka nakuonea wivu".vicent hakutia neno aliishia kutabasamu huku Anaendelea kutembea, basi aliingia ndani ya gari, huku ukimya mwingi ulitawala.vicent akaona avunje ukimya, "basi nilijua utanisahau kabisa".aliongea Vicent Huku ametoa tabasamu hafifu usoni mwake, Huku macho yanatazama mbele. "Ooooh!!Hapana siwezi kukusahau,mtu muhimu Kama wewe Kwa ule Msaada wako ".aliongea Niram,huku anamwangalia Vicent, macho yakakutana, wote wakatabasamu, Niram akageuka mbele na kuendelea, kuushika usukani akizidi kukanyaga mafuta. "hahhhhah!! Ni kweli niram lakini Siyo wote wanao kumbuka fadhila".aliongea Vicent ,Huku kimoyomoyo akiomba wasifike haraka. "haaahhh sawa bwana Wala ujaongopa, ".aliongea niram,huku akizidi kuuchapa mwendo, na bahati nzuri hakukuwa na foleni. "niram nikuombe kitu Kama hutojali? ".aliuliza Vicent Huku amemgeukia kabisa, aliongea Kwa sauti nzito, tens yakubembeleza. "usijali Kama kipo Ndani ya uwezo wangu ntakupa".alijibu niram. Vicent hakaona asizubae Sana, akasema alilokusudia."nilikuwa naomba unisaidie namba yako ya simu ili niwe nawasiliana nawe hata kukujulia Hali,maana tushakuwa marafiki".aliongea Vicent,kwa umakini wa hali ya juu ili asije kukosea step,akamkwaza Niram. " Ooooh!! Wala usijali Kwa hilo".alisema niram, huku anamtajia namba zake. Vicent aliziandika kwenye simu yake. " asante sana".alishukuru vicent. "asante nawe kwa kushukuru".alijibu niram, mara ikawa kama vituo viwili vicent ashuke. "sasa niram mie nashuka hapo kituo kinachofuata utaniacha hapo" aliongea vicent, lakini kama ungemuona moyoni mwake, alichukia kupita kiasi, alitamani wazunguke mpaka alfajiri. Duuuuh kweli mapenzi siyo poa wadau. "haaah ni hapo oky sawa"alijibu niram, na alipofika, akakanyaga break, na kusimamamisha gari. "oooh!!asante sana umenifaa mungu akufikishe salama".aliongea vicent huku anafungua mlango wa gari na kushuka. "haya asante ufike salama pia".alijibu niram, akawasha gari na kuishia, vicent alibaki anampungia mkono, mpaka alipo ishia. Kiukweli ile siku aliiona ya bahati sana kwake, hakika alikuwa na furaha mno. Alifika kwao. Akagonga geti likafunguliwa, alikuta mlinzi akamsalimu, na kuingia ndani hakumkuta yeyote ndani zaidi ya house girl. Alimsalimia akajitupa kitandaniii , pwaaaaaaah!! Aliangalia sana juu vicent, hakika kuwa na namba ya niram,kwake ilikuwa ni furaha tupu. ********* Vanessa alikuwa mezani wakipata chakula cha usiku, maana leo ilikuwa weekend kwahiyooo alikuwa mwenyewe jikoni, ila leo mawazo yalipungua kwani mawasiliano yalikuwa kama zamani na hadi asubuhi ya siku hiyo, vicent alimuaga kuwa atatoka na wakina richard. Mara ghafla alishtukia, akizibwa macho. "mmmh juliana nini bwana,ebu acha mzaha njoo ule"aliongea vanessa. " mmmh dada kwahiyo wewe mtu wako wa karibu ni Vanessa tu? ".aliuliza kwa manung'uniko Clara. Mdogo wake wa nne akitoka huyo ndo juliana, kumbuka wakiume ni wawili kwenye familia yao na ndio wakwanza na wapili. "hamna mamy wote nawapenda ila nilijua yeye, kaa chini ule mdogo wangu".aliongea Vanessa kwa sauti ya kubembeleza,huku akimvuta akae. Basi mambo yakaisha,walikula kwa furaha, wazazi na kaka zao hawakuwepo, walibaki wenyewe. ********* Niram alikuwa chumbani kwake akijisomea, wakati huo alikuwa ameshakula, alikuwa kitandani miguu kuegemeza ukutani, muda wote alikuwa mtu mwenye tabasamu usoni, kilicho mfurahisha akijulikani Mara ghafla simu ikaanza kuita...... Itaendelea CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu) SEHEMU YA SABA (07) ILIPOISHIA SEHEMU YA SITA: Niram alikuwa chumbani kwake akijisomea, wakati huo alikuwa ameshakula, alikuwa kitandani miguu kuegemeza ukutani, muda wote alikuwa mtu mwenye tabasamu usoni, kilicho mfurahisha akijulikani Mara ghafla simu ikaanza kuita. endelea........ Mara gafla akaona simu inaanza kuita. Niram akaangalia mpigaji, akaona namba ngeni. " mmh! Atakuwa Nani huyu?".alijiuliza niram, alitafakari Sana maana sikawaida kupigiwa na namba ngeni, baada ya kutafakari kwa muda.akaamua kupokea. "hellow".aliitika niram. "hallow Niram huko poa?, Vicent hapa". Ilisikika sauti upande wa pili."oooh! Vicent nashukuru mungu niko poa sijui wewe ulifika salama? ".alijibu niram nakupachika swali. "nilifika salama niram hofu ilikuwa kwako".alisema vicent. "namimi nashukuru mungu nimefika salama".alijibu niram kwa sauti nyororo kabisa. ****** Vanessa alikuwa ndani kwake akaona mbona muda unaenda sana,na ajaona msg wala simu kupigwa kutoka kwa vicent. Alikaa akasubiri na kusubiri weeeeh lakini ikawa kimya. "mmmh!! Ina maana itakuwa ajarudi bado huko alipoenda"alijisemea mwenyewe, akaona muda unaenda lakini simu aipigwi. "mmh ngoja nipige"aliamua apige yeye, akachukua simu yake na kuipiga. Jibu alilokutana nalo ni NAMBA UNAYOPIGA INATUMIKA KWA SASA.. "mmmh saa tano hii au ndo amerudi hivyo anaongea na wenzie kuwa julisha kuwa amerudi?".alijiuliza jibu akakubaliana kuwa anawasiliana na rafiki zake. ****** Huku vicent akiwa anaongea, akaona kama kuna mlio wa simu nyengine kuingia akaiangalia , alipoona mpigaji kuwa ni Vanessa akaendelea kuongea. Simu iliita mpka ikakata. Waliongea mengi na baadae niram akaaga kuwa anahitaji kupumzika. Basi waliagana na simu ikakatwa. Baada ya hapo alipiga simu kwa Vanessa,huku Akiwa ameshaupanga uongo wa kumwambia. "hellow baby mbona kimya, na napiga unatumika?".aliongea vanessa mara baada ya kupokea simu. "aaah amna nilikuwa naongea na mzee maana mchana,hakuwa na nafasi ndo kunitafuta sasahivi".alijibu vicent kwa ujasiri wa hali ya juu,bila kubabaisha maneno. "oooh kumbe haya niambie mizunguko ilikuwaje? ".Aliuliza Vanessa huku alibadili mikao ya kila aina Hapo kitandani. "ilikuwa poa sema nimechoka sana".alijibu vicent huku akijifanya anapiga mihayo. "oooh basi pumnzika baba angu tutaongea kesho".aliongea Vanessa kwasauti fulani hivi ya madeko. "sawa mama ntakuchek kesho ulale salama"alimaliza kuongea vicent akakata simu. Alienda moja kwa moja bafuni akaoga, maana choo kilikuwa ndani kwake humohumo. Alipomaliza alitoka sebleni muda ulikuwa umeenea sana ila alikuwa bado ajala, alikuta msichana ameshaenda kulala,aliwasha taa ya sebuleni akachukua sahani jikoni nakuenda kula chakula. Mara ghafla akasikia mlango unafunguliwa alikuwa mama yake, "yani wewe Bwana mi nilivyorudi nikaambiwa upo ndani nikajua ushakula".aliongea mama yake vicent,huku anavuta kiti pale sehemu ya kulia chakula akakaa. "hapana mama uwezi amini yani nilipitiwa na usingizi nikalala ndo nimeshtuka sasa hivi".aliongopa vicent, aisee huyu jamaa hatari."ooooh pole baba ni uchovu tu huo"aliongea kwa huruma mama yake. "asante mama".alijibu vicent huku anafakamia wali kwa maini. Basi waliongea mengi mama mtu alinyanyuka, na kuenda kulala. "ukimaliza usisahau kuzima taa baba".aliongea mama yake. "sawa mama ntaizima".vicent alikula akashushia juisi, akaelekea kwenye swichi akazima taa na kuenda kulala. ******* Pilikapilika zilikuwa zinaendelea, katika nyumba ya kina niram.ilikuwa Jumapili kulikuwa na ugeni mkubwa kwao, kuna ndugu zao walikuja.basi yalipikwa masontojoo siyo ya kawaida. Zilisagwa juisi za matunda basi ilikuwa tafrani. Niram akutulia alikuwa bize vibaya. "niram ebu kuongezeae chumvi kwenye biriani kule".ilikuwa sauti ya mama yake. "sawa mama".alijibu huku anaacha alichokuwa anafanya na kwenda kuweka chumvi kwenye chakula. Kila kitu kilikuwa sawa sasa niram alikuwa chumbani anajiandaa akaoge. ******** Suma alipoona ajapigiwa jana, akaona isiwe kesi ngoja amchek yeye maana umbea ulikuwa unamuwasha mtoto wa kiume huyu. Akukubali kitu kimpite hivihivi,yani alikuwa tofauti na richard mwenzie hakuwa mpenda kufuatilia yasiyo muhusu. Basi aliweka vocha akampigia "oyaaa mwanangu unayumba"haliongea suma ."hamna nilichoka sana yani uwezi amini ".alijibu vicent. "eeeh ilikuwaje jana na yule mtoto mzuri?".aliongea suma huku akitegesha masikio vizuri kupata udaku "hahhhhah suma eeh nna kazi kama unataka kuhusu hiyo stori ntakupigia baadae " "ok poa basi usisahau ".alijibu suma huku anakata simu. Ila suma akakumbuka kitu ayaaaaaah!! Daaah!!.Nimesahau kumuuliza Kitu, yeye na haraka zake mpaka nimesahau".aliongea suma huku anamlaumu vicent,kwa uamuzi wa kukata simu haraka. "anyway nitamchek baadae".aliongea suma, mara kisimu chake kikaanza kuita."duuuh huyu somoe ana mpya gani nae mi leo nnampango wa kuonana na hadijaa".alijiseme suma kimoyomoyo ,huku anaangalia ile simu bila kuipokea. Labda niwafafanulie vijitabia vya huyu ismail au kwa ufupi ndo unaweza kumuita suma. Yani suma yupo tofauti na wenzake, suma kwanza ni mwingi wa habari,anapenda kujua mambo ya watu ni mwongeaji mno kuliko wenzake.ajatulia hata kidogo isimpitie sketi mbele yake lazima amfate tu, ila richard na vicent wapo tofauti sana na yeye, richard ana mahusiano na binti mmoja anasoma, shule tofauti na yao. Na ni huyohuyo tu ndo yupo nae. Lakini suma weeeeeeh!! Mwiko mkubwa tena uchuro, kutulia na mwanamke mmoja. Basi baada ya simu kukata akaizima na kuendelea na mambo mengine. ******* Ilikuwa ni mida ya jioni. Wageni wameshaondoka, nyumbani kwa kina niram. Na mama yake kama unavyomjua mtu wa pilikapilika usiseme, alikuwa ameshaenda kuzurura muda mrefu. Aaaaah ahhh!!,sijui muhindi gani huyu mwenye tabia za Kiswahili.ok tuachane nae tuendelee. Basi niram alikuwa amekaa sebuleni peke yake, maana mdada wa kazi hupendelea kukaa ndani kwake kama kazi ameshazimaliza. Basi alijikuta mpweke sana na alijikuta anatamani, kuongea na vicent,ili apate kampani na kupoteza muda kidogo. Hata sijui ni kwanini alimuwaza vicent kuwa ndio mtu pekee wa kumtoa upweke. Hata mimi sijui,ila tutajua hivi karibuni. Basi aliingalia simu kwa muda nakujifikiria ampigie au atulie asimpigie. Basi nafsi ya niram ikawa inashindana,moja inamwambia piga nyengine, inamwambia usipige ila akiwa katika mgongano wa kutoa maamuzi nini afanye, gafla akaona kitu moyo ukapiga paaaaah!!! .alishindwa kuamini alichokiita. Itaendelea.... ... Read More
Story...... NI WEWE TU PENINA Sehemu ya kumi na tatu (13) Ilipoishia....... Mzee Joel ndio hakuamini baada ya kuingia ndani na kukuta vijana wote wamelazwa chini alafu kidogo hivi akatokeza Nolan akiwa amepigilia suti nyeusi Kisha akamwambia baba yake ambaye ni mzee Joel, "naenda kwenye kikao cha harusi ya Penina na Frank na kama utahitaji kadi unijulishe nikuletee ya kwako." ***********Endelea ********* Nolan baada ya kumuambia baba yake maneno hayo aliingia kwenye gari na kuondoka. Nolan alifikia sehemu ambayo ilikuwa maalumu kwa ajili ya kutengeneza kadi za harusi. Nolan alitengeneza kadi za harusi zisizopungua Mia moja hamsini kwa ajili ya harusi ya Penina na Frank. Kadi hizo hazikuwa za kuchangia harusi ya Frank na Penina bali kadi za mualiko. Nolan alijipanga kusimamia kila kitu Katika harusi ya Penina na Frank hivyo yeye alitengeneza kadi ambazo ni kama kiingilio cha kuhudhuria harusi hiyo bila kuchangia chochote. Nolan baada ya kukamilisha zoezi la kutengeneza kadi zile akaanza kutafuta ukumbi Mkubwa wenye hadhi ya kufanyia sherehe ya harusi ya Frank na Penina. Nolan alifanikiwa kuupata ukumbii ambao aliuhitaji na baada ya hapo Nolan akaanza kuzigawa kadi zile kwa watu mbali mbali ikiwemo na marafiki pia. Nolan moja kwa moja aliwasili nyumbani kwa kina Frank na kuwakuta Wazazi wake Frank ambao walimpokea kwa furaha Sana. "kikubwa kilichonileta hapa ni kuhusu harusi ya mtoto wenu Frank pamoja na mdogo wangu Penina, napenda kuwaafahamisha kuwa taratibu za harusi ya ndugu zetu hawa inaendelea vizuri na hapa nimewaletea kadi za mualiko." alianza kuongea Nolan baada ya kukaribishwa ndani na Wazazi wake Frank huku akiwakabidhi kadi zile Wazazi wake Frank. "Asante Sana kijana wetu na hongera Sana kwa hapa ulipofikia Mungu azidi kukusimamia zaidi na zaidi." wakaongea Wazazi wake Frank huku wakimshukuru Sana Nolan. "msijali Sana hii kazi ilikuwa lazima niifanye na lazima nitaitimiza, na kingine ninachotaka kukifanya kwa Sasa nataka niwahamishe hapa nyumbani kwenu niwapelekee sehemu mkakae hapo kwa siku kadhaa mpaka pale harusi ya mtoto wenu itakapokamilika, nafanya hivi kwa sababu ya usalama wenu kwasababu kuna vita kubwa inaendelea. " akaongea Nolan na kutoa maelezo hayo ambayo Wazazi wake Frank walikubaliana nayo bila wasi wasi wowote. Wazazi wake Frank pamoja na Mdogo wake Frank walijiandaa na kuondoka na Nolan ambaye aliwapeleka Katika hotel moja iliyopo nje kidogo ya jiji la dar es salam na kuwataka wakae hapo kwa wiki tatu kabla ya harusi ya Frank na Penina na gharama zote atazisimamia yeye Nolan. Nolan baada ya hapo alishika njia ya kurudi nyumbani kwa ajili ya kwenda kupumzika kidogo. * Dickson aliwasili Tanzania kwa Mara nyingine tena Ila awamu hii alikuwa na vijana wake wanne alioongozana nao. Baada ya kuwasili uwanja wa ndege moja kwa moja Dickson pamoja na vijana wake walichukua gari ndogo na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwa mzee Joel.* Mzee Joel alizidi kuchanganyikiwa baada ya kumaliza siku ya pili Sasa bila kumuona Penina na wala hajui ni wapi Penina alipo. Jambo hilo lilimvuruga Sana mzee Joel na kumfanya ashindwe hata kula chakula anachopikiwa na mkewe. Mzee Joel pia aliweza kuwasiliana na mkuu wa kikosi cha the killer na kumueleza jinsi vijana wake walivyoshindwa kuifanya kazi waliyoagizwa na kujikuta wakipokea kichapo kikali kutoka kwa Nolan. Mkuu yule wa kikosi cha the killer aliyejulikana kwa Jina la buffalo alipigwa na butwaa baada ya kupewa taarifa zile na mzee Joel. buffalo hajawahi kuamini kama kuna mtu yoyote anayeweza kupambana na vijana wake na akawaweza, hivyo taarifa zile zilimshangaza Sana. Buffalo akaamua ni lazima amjue huyo kijana ni nani aliyeweza kuwatandika vijana wake. "mzee hiyo kazi niachie mimi nitapambana nae mwanzo mwisho." akaongea buffalo kumwambia mzee Joel. Mzee Joel aliweza kumuelewa buffalo na kukataa simu na kumsubiri buffalo aingie kazini mwenyewe kwasababu yeye ndio mtu pekee Sasa aliyebaki wa kumtegemea. Dakika chache baada ya mzee Joel kuongea na buffalo, mzee Joel alipata taarifa kuwa kuna wageni nje wanahitaji kuonana na yeye. Mzee Joel alitoa ruhusa wageni hao wakaribishwe ndani. Kitendo bila kuchelewa wageni wale walifunguliwa geti na kukaribishwa mpaka ndani. Mzee Joel alishtuka baada ya kuona ugeni wenyewe ni wa Dickson pamoja na vijana wake wanne. "karibuni karibuni Sana." akaongea mzee Joel huku akijaribu kujichekesha japo hakuwa na amani hata kidogo. "hatuna haja ya kukaa mzee Joel, tumekuja kumchukua Penina nataka kujua kama inawezekana au haiwezekani?" akauliza Dick huku akionesha dhahiri kupandwa na hasira. "inawezekana kijana wangu tafadhali kaeni kidogo bas." akaongea mzee Joel kwa upole. "nimeshakuambia hatuna haja ya kukaa sisi tumekuja kumchukia Penina tu." akaongea Dick kwa msisitizo. "kijana wangu Dick naomba nipe muda wa siku mbili tu nitakuwa tayari nimeshakamilisha hili swala." akaongea mzee Joel kuwaambia wakina Dick. "Mzee umenipotezea Muda na umekula pesa zangu nyingi Sana, Sasa naondoka na kesho nitarudi unikabidhi Penina la sivyo pesa zangu utarudisha na utalipa Muda wangu nilioupoteza kwa ajili yako." akaongea Dick kwa jazba na kuondoka pamoja na vijana wake na kumuacha mzee Joel akitokwa na jasho jembamba. Baada ya dakika chache wakina Dick kuondoka Nolan naye aliwasili nyumbani na kumkuta baba yake akiwa na mawazo tele huku pembeni akiwa chupa ya pombe kali. "Baba shikamoo" akasilimia Nolan lakini alijua baba yake hataitikia salamu yake. Mzee Joel kweli hakuitikia salamu ya Nolan alibaki akimtizama tu kwa hasira. Nolan naye hakujali alitoa kadi tano za harusi ya Penina na Frank na kumwekea baba yake kwenye Meza iliyokuwa mbele yake. "karibu Sana Katika harusi ya Penina na mpenzi wake wa Muda mrefu Frank, wewe pamoja na rafiki Zako mnakaribishwa. " Nolan ndio alimwambia baba yake mzee Joel baada ya kumuwekea kadi zile kwenye Meza iliyokuwa mbele yake, Kisha akaondoka na kuelekea chumbani kwake. ............ Itaendelea ... Read More
Story - - - - - NI WEWE TU PENINA Sehemu ya pili (2) By GIVAN IVAN Phone & whatsapp___0769673145 Ilipoishia........ Katika bar moja iliyopo maeneo ya sinza kikao kimoja kilikuwa kikiendelea, na huku kilichokuwa kikipangwa Katika kikao kile ni namna ya kulivunja na kuliharibu penzi la Penina na Frank. Mzee Joel ambaye ni baba yake Penina, pamoja na Angel ambaye ni mdogo wake Penina pamoja na vijana wengine watatu wa kiume na mmoja wa kike, ndio waliokuwa wahusika wakuu wa kikao kile. *********ENDELEA ******** "sitaki mwanangu aolewe na yule mlala hoi kwa namna yoyote Ile naomba muyakatishe mpenzi yao, nitawapa pesa yoyote mnayotaka." alisikika mzee Joel akiwaambia vijana wake. "hamna shinda mzee wetu kuanzia Sasa tupo Katika mipango ya kuliharibu penzi hilo usijali mzee wetu." kijana mmoja aliyeitwa zaza ndio alisikika akiwaambia mzee Joel maneno hayo. "nitafurahi Sana kama hili likifanikiwa siwezi kukubali mwanangu aolewe na yule mnuka jasho." mzee Joel bado alizidi kuongea kwa jazba. "baba hata mimi nakuunga mkono Dada hawezi kuolewa na yule mnuka shombo." aliongea Angel naye kumuunga mkono baba yake. "hamna shida mzee Joel tutafanya mnayotaka." akaongea Zaza. "bas Sawa ngoja niwape pesa ya maji ili muweze kuianza kazi Mara moja." akaongea mzee Joel na kutoa pesa kias cha shilingi laki mbili na kumkabidhi Zaza agawane na wenzake. "Asante Sana mzee wetu na kuanzia Sasa sisi tunaianza Kaz." akaongea Zaza huku akipokea pesa zile, na Kisha wakaagana na mzee Joel na kuondoka.* Katika ukumbi mmoja wa starehe mziki wa taratibu ulikuwa ukipigwa kwa utaratibu wa hali juu kabisa, huku watu wawili wanaopendana kupita maelezo wakiwa ndani ya ukumbi huo huku wakiburudika na mziki mwororo uliokuwa ukipigwa Katika ukumbi ule, watu hao ni Penina pamoja na Frank. "Frank nakupenda Sana mpenzi wangu sijui nifanye nini ili ujue ni kwa kiasi gani, nafahamu jinsi baba yangu anavyokuchukia Ila yeye hawezi kuwa chanzo cha mimi kutokukupenda wewe, hakika nakupenda Sana." aliongea Penina maneno hayo akimuambia Frank na kujilaza kifuani mwake. "nafahamu Penina ni kwa kiasi gani unanipenda na pia unatambua ni kwa kias gani mimi nakupenda, napenda nikuahidi tu kuwa NI WEWE TU PENINA hakuna mwingine zaidi yako." Frank naye alimwambia Penina maneno hayo ambayo yalimfanya Penina azidi kutoa tabasamu tamu usoni mwake na kuzidi kumvuruga Frank, ambaye alijiona ni mwanaume mwenye bahati Sana kuwa na msichana mrembo kama Penina. Kama Kuna zile sifa wanaume huzitafuta kwa wanawake bas Penina alikuwa nazo na zingine za ziada. "yaani mpenzi wangu kila nikikuangalia nakuwa na maswali mengi ya kijinga ya kukuuliza kwa jinsi tu ulivyo mzuri." aliongea Frank akimwambia Penina. "hahahaaaa maswali gani hayo mpenzi wangu hebu niulize moja." akaongea Penina na kumtaka Frank amuulize moja. "swali moja ambalo huwa najiuliza kila ninapokuona huwa najiuliza hivi wewe ulizaliwa na mwanadamu au Mungu ndio alikutengeneza mwenyewe alafu akakuleta duniani?" akauliza Frank huku akiwa anamtazama Penina. "hahahaaaa Frank mpenzi wangu mi nimezaliwa na mwanadamu kama wewe." akajibu Penina huku akicheka kwa maneno ya Frank. "najua wewe umezaliwa na mwanadamu kama mimi Ila wewe ni mrembo Sana Sana sanaaa." akaongea Frank huku akizidi kumsifia Penina. Penina naye alifurahi Sana na kuzidi kuwa na furaha zaidi kwa sifa alizokuwa akipewa na Frank. "Asante Sana mpenzi wangu kwa sifa zote ulizonipa ila Kuna kitu nataka nikuambie." akaongea Penina na kumtizama Frank. "kitu gani tena mpenzi wangu?" akahoji Frank huku akiwa ametumbua macho. "mbona umeshtuka hivyo Sasa?" Penina akamuuliza Frank baada ya kumuona ametumbua macho. "lazima nishtuke si unajua tena namna navyokupenda isije ikawa ni kitu kibaya." Frank akamjibu Penina. "usijali mpenzi sio kitu kibaya na nina Imani utafurahia." Penina akamwambia Frank kumtoa hofu. "ok niambie bas ni kitu gani?" akahoji Frank huku akionekana kuwa na haraka ya kutaka kujua. "nataka siku chache zijazo tufunge ndoa alafu tufanye harusi kubwa ili tuwakomeshe maadui zetu ambao hawataki kutuona tukiwa pamoja.." Penina ndio alimwambia Frank ambaye alikuwa kimya kumsikiliza. "kweli mpenzi wangu hata mimi nimeshaliwaza hilo tatizo lipo kwangu, bila Shaka unatambua hali iliyopo Katika familia yetu, hatuna uwezo kipesa hivyo nahitaji muda zaidi kulitimiza hilo Penina." Frank akamwambia Penina huku akiwa amepoteza tabasamu usoni mwake. "Frank mpenzi wangu ondoa Shaka kuhusu hilo mimi nina uwezo wa kulisimamia hilo mwanzo mpaka mwisho, na kuthibitisha hilo hapa nimekuja na funguo nne, moja ni ya duka kubwa la kuuza bidhaa za jumla na moja, mwingine ni wa gari kubwa la kubebea mizigo, mwingine ni wa nyumba mpya niliyowanunulia wazazi wako kama zawadi ya kunizalia mwanaume anayenipenda kwa dhati na mwingine ni wa gari ndogo nililokununulia wewe mpenzi wangu. " alimaliza Penina kumwambia Frank maneno hayo na kumuacha akiwa mdomo wazi. " waooow ni ngumu Sana kuamini ila acha niamini tu, Asante Sana mpenzi wangu." alisema Frank huku akimkumbatia Penina na kumshushia mabusu mfululizo. "usijali mpenzi wangu ila nataka utambue nayafanya yote haya kwasababu nakupenda Sana, lakini pia ni moja wapo ya maandalizi ya harusi yetu." Penina akamwambia Frank huku akiwa amejilaza kifuani mwake. "nashukuru Sana Penina mpenzi wangu kusikia hivyo na mimi nikuahidi kuwa na wewe mpaka mwisho wa uhai wangu hakika ni wewe tu Penina." Frank akamwambia Penina huku akiwa amemkumbatia kwa nguvu. Wakati huo tayari Muda ulikuwa umeenda Sana na tayari ilikuwa ni saa moja usiku, hivyo Frank na Penina waliondoka kurudi nyumbani huku Penina akimuahidi Frank kumkambidhi vitu vyote alivyomwambia siku inayofuata. Penina alimfikisha Frank nyumbani kwake, Frank akashuka kwenye gari na kumuuga mpenzi wake Penina. Kisha Penina akageuza gari na kuondoka. Baada ya Penina kuondoka tu, Frank kabla hajapiga hata hatua moja kuondoka pale, ghafla alishtukia amezungukwa na vijana watatu wa kiume waliokuwa wamevalia miwani nyeusi kila mmoja. Na hata Frank alipowaangalia hakuweza kuwafahamu. ....... Itaendelea. ... Read More
MUUZA MAZIW EP 07 “aaaaahh!! Jamani wifi wao!!” Aliongea kwa furaha baada ya kumuona mgeni aliyekuwa akigonga ni penina. “asante wifi , shikamoo!” Penina aliongea na kisha kumkumbatia wifi yake kwa furaha. “ marhaba wifi ,vipi masomo?” Aliongea huku akiipokea mizigo aliyo ibeba “naendelea vizuri tu wifi” “haya mungu akusaidie” Aliongea lisa na kuelakea sebuleni , aliiiweka mizigo pembeni ya kochi na kasha kuelekea sehemuk ilipo friji. Penina, penina akaamua kuichukua mizigo ili aipeleke chumbani. “hapana wifi, hapana , hiyo iache hapo hapo nitaiingiza mwenyewe,, wewe kwanza kunywa juisi upumzike.“ Aliongea lisa huku akiwa ameshikilia jagi lenye juisi pamoja na glasi, alifanya hivyo kwa sababu chumba anachotakiwa kulala penina ndicho chumba ambacho amemficha muuza maziwa. “usipate tabu wifi wangu kunywa juisi upumzike, nipo kwa ajili yako “ Aliongea lisa huku akiibeba mizigo na kuelekea chumbani na kumuacha penina akinywa juisi taratibu. Alipoingia chumbani alimshutua muuza maziwa na kumweleza hali halisi. “kwahiyo nitatoka saa ngapi humu?” “ itabidi uvumilie mpaka usiku wifi akilala , mlango wa nje nitauacha wazi leo” Aliongea lisa “Sawa lakini vipi kuhusu chakula manaake niana njaa” “ usijali nitakuletea utakula humu humu , jitahidi usitoke nitajaribu kufanya mpango hata kamakabla ya usiku ikiwezekana” “poa” Muuza maziwa aliitikia “alafu nitaa……” Lisa alikatiza kauli yakebaada ya kusikia mlio wa kitasa kikifunguliwa. Haraka haraka muuuza maziwa aliingia kabatini na kisha lisa aliufunga mlango wa kabati hiyo kabla hata hajauachia mlango huo alisikia sauti nyuma yake. “wifi mbona unagombana na hilo kabati!?” Swali hilotoka kwa penina lilimfanya lisa ashikwe na kigugumizi cha ghafla huku akitoa maelezo ya kujikanyagakanyaga. “ah, mh, a-, u-n-a-j-u-a hi-li ka-ba-ti ni bo-vu” “limeharibika , ooh, mungu wangu!” Penina aliongea huku akilisogelea kabati hiloili kuiangalia sehemu ilipoaribika. “ah, hapana wifi usiiguse hapa nimeitegesha , iache hivyo hivyo mpaka atakapokuja fundi kulirekebisha” Aliongea Lisa haraka haraka. “okey”[sawa] Aliongea Penina huku akitikisa kichwa kuonyesha kwamba ameelewa. “nataka kuoga wifi” “na kweli manaake umechoka kweli kweli wifi yangu” Aliitikia Lisa haraka haraka kwani alijua huo ndio upenyo wa kumtoa muuza maziwa. Na kweli penina alipoingia bafuni lisa aliufungua mlango wa kabati haraka na kumtoa muuza maziwa , akala chakula haraka na kuanza safari ya kutoka nje ya nyumba hiyo , walipofika kwenye mlango wa kutokea muuza maziwa alimbusu lisa kwa mara ya mwisho , alipomaliza kufanya hivyo alitoka ndani ya chumba hicho na kutokeza koridoni ili atoke nje kabisa ya nyumba hiyo lakini kabla ya kufanya hivyo alisikia muungurumo wa gari, halikuwa gari lingine bali gari la Jerry mume wa Lisa. Hofu iliwaingia kwa ghafla na haraka haraaka walirudi tena chumbani kwa penina , ambapo kama kawaida alimfungia muuza maziwa kabatini, hawakuwa na njia nyingine tena bali hile waliyoipanga awali, muuza maziwa asubiri mpaka usiku wa manane Penina atakapo lala ndipo atoke kwani Lisa atauacha mlango wa kutokea wazi. Lisa alipomaliza kumfungia muuza maziwa katika kabati alitoka nje ya chumba hicho,akiwa koridoni aligongana ana kwa ana macho na mumewe. Wote wawili waliinamisha vichwa vyao chini. Kwani kila mmoja aliona aibu kwa kumsaliti mwenzake. Lisa kwa muuza maziwa na Jerry kwa sekritari wake. “Ah, mmh, wifi amekuja , kakaribu!” Aliongea Lisa kwa kujiumauma huku akiwa na wasi wasi. “ asante amekuja saa ngapi?” “sio muda mrefu” “aah yuko wapi sasa nimsalimie?” “yuko bafuni anaoga” “Okey” [sawa] Aliitikia na kisha kuelekea chumbani kwake. Lisa nae alimfuata mumewe nyuma hukubado akiwa na hofu juu ya kugundulika kwa uwepo wa muuza maziwa ndani ya nyumba hiyo. “Pole na kazi dear” Aliongea Lisa huku akijibaraguza kwa kumvua tai mume wake, macho yake bado yalikuwa na aibu sababu bado alikuwa na wasi wasi kwamba labda mumewe amegundua chochote. “ah, asante mpenzi” Aliitikia Jerry huku akitabasamu, lakina nae pia tabasamu lake liliishia mdomoni tu moyoni nafsi ilimsuta . Maovu aliyoyafanya na sikritari wake ofisini kwake yalikuwa bado yakionekana katika kichwa chake. Akavua nguo na kuingia bafuni kuoga lisa nae alimfuata na kujumuika nae kuoga . Alifanya hivyo ili Jerry hasihisi chochote. Walioga huku kila mmoja akiwa hana habari na mwenzake. Kwani wote wawili walikuwa wamechoka, walipomaliza kuoga wakavaa na kasha kwenda sebuleni. Huko wakamkuta Penina akianga lia tv. “mdogo wangu huyo!” Jerry aliongea kwa furaha huku wakicheka. “kaka!” Penina aliitikia na kisha kumkimbilia kaka yake. “waoo!!!” Waliongea kwa pamoja na kisha kukumbatiana kwa furaha. “habari za masomo!?” ITAENDELEA.. ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: