Love story:ANKO INATOSHA. Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:06 ILIPOISHIA: "mh na hii chupi nayo humu ndani imefata nini"alijisemea Rose huku akimtazama anko wake aliekuwa bado anakoroma. ENDELEA NAYO SASA.. Hakupata jibu la haraka,akaificha ile nguo na akamsogelea anko wake na kumuamsha,"mh vipi rose"alisema anko Tony huku akiw bado anaun'gamun'gam u wa usingzi. "amka chai tayari,wew mpaka saivi umelala cjui umekesha wapi?" "ah jana nlikuwa nacheki muvi jana mpaka usiku sana ndio maana" "aaahaa,ulikuwa na nani ukiangalia hyo muvi?"aliuliza Rose,swali ambalo lilimshtua anko Tony awe na wasiwasi kulijibu. "a..ah..hehehe,hamna...nii..ni ...niliku pekeangu!eeeh pekeangu"alisema anko Tony huku akijawa na wasiwasi."mh ameshajua nini huyu,nimekwisha kama ni hvyo!"alijisemea moyoni anko Tony huku usingizi ukiwa umeisha gafla. "sawa kama ulikuwa mwenyewe,karibu chai mezani"alisema Rose na kuondoka huku akiwa kaificha ile nguo kwenye mfuko wa dela alilovaa. Baada ya dakika 5 anko naye akajumuika nao pale mezani huku akiwa na wasiwasi.Rose muda wote alikuwa akimtazama Eliza kwa umakini."leo nina wewe mpaka nijue ukweli."alisema Rose huku na kugeuka kumtazama anko Tony ambaye muda wote alikuwa anaonekana kujiamini lakin moyoni ana wasiwasi juu ya maswali alioulizwa na Rose. Mishale ya saa 9 ya mchana kila mtu amepumzika kwenye chumba chake huku Eliza na Rose wakiwa wametulia chumbani huku Eliza akionekana kutafuta kitu kwenye nguo zake kwa muda mpaka akajichokea."jamani Rose hukuona kufuli langu humu ndani"alisema Eliza akimaanisha nguo yake ya ndani.Swali lile lilimfanya Rose atabasamu."bora umeuliza mweenyewe ngoja sasa.."alisema Rose na kuendelea."kwani wewe uliiweka wapi" "yaani jana tu nili..."akakumb uka kuwa jana alikuwa ameivaa."mamaa...nitakuwa nimeiacha kwa anko Tony jana"alijisemea Eliza moyoni. "ahaa ushakumbuka ulipoiwekaee"alisema Rose. "mh jana nilifua na nahisi anko atakuwa kakusanya na nguo zake maana na yeye alifua,atakuwa katoa na hyo nguo yangu kwenye kamba"alijitetea Eliza. "Eliza muongoo" "kweli jamani,ngoja nkamuulize anko"alisema Eliza na kutaka kuondoka kuelekea kwa anko. "mimi siamini ngnja twende wote tena ntamuuliza mimi kama kweli alikuwa amefua jana"alisema Rose na wote wakaongozana kuelekea kwa anko wao huku eliza akijawa na wasiwasi."huyu naye kin'ga'ganizi"alijisemea eliza huku akiwa wa kwanza kufungua mlango wa anko ambaye alikuwa akipangapanga nguo zake,akashtuka baada ya kuwaona Eliza na Rose wakiingia ndani kwake,Eliza akamtazama anko Tony na kumkonyeza. "samahani anko kwa usumbufu maana kuna kesi hapa kidogo."alisema Rose na kumfanya anko wake awe na wasiwasi. "Eliza anaxema jana ulikuwa unafua na yeye nae alikuwa anafua,eti kuna nguo yake yeyote umeikusanya na nguo zako kwa bahati mbya"aliuliza Rose huku akimtazama anko wake.Swali lile lilimfanya anko atafakari huku akimtazama eliza ambye alikuwa akimuonesha ishara fulani akionesha kidole kwenye rhemu yake ya siri ambayo Rose hakuweza kuona.Anko Tony akatabasamu baada ya kufahamu ishara ile,"ni kweli kuna nguo itakuwa yake nilikusanya na nguo zangu na jana ileile nkaiweka hapa kwenye kiti nashangaa asubuh siioni nikajua mwahunyewe kaja kuchukuwa"alisema anko huku akiwa anajiamini. "mimi cjaichukua anko na nimeitafuta kweli ndo mpaka nikamuuliza Rose"alisema eliza. "ujachukuwa?sasa imeenda wapi?"alisema anko tony huku rose akiona aibu.Kimya kikatawala kama dakika 3 hivi na gafla rose akaitoa ile nguo na kumpa eliza."nisameheni bhana nlikuwa nakufikiria vengne Eliza,nguo kama hizi eliza hutakiwi kuziacha hadharani ujue anko ni kama mzazi wetu,sio vzuri"alisema rose na kugeuka kuondoka zake,Eliza akamsogelea anko wake na kumpiga mabusu matatu ya mdomoni."dah nusu 2shtukiwe"alisema eliza. "usijali" "haya poa ila pole kwa uchovu wa jana usiku maana umechelewa hata kuamka leo" "dah asante bhana ila namaliza kupanga nguo nirudi tena kulala" "ok baadaye bhasi"alisema eliza na kuondoka zake. Siku hyo mama zuhura yule jirani ambye alisikia na kuona yale mambo yaliyofanywa usiku kwenye chumb cha anko akiwa na Ruth alienda shndgyake mama Rose jumtembelea,akakaribishwa sebuleni ambko akamkuta anko tony alikuwa amekaa."ah kumbeio wewe kidume unaegawa dozi humu ndani?"alijisemea mama zahara myoni...ITTAENDLEA

at 10:47 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top